kidogo

The Old Kerosene Store is located at Bathers Beach in Fremantle, Western Australia, adjacent to the ruins of the original Fremantle Long Jetty. It is a single-storey limestone building and forms part of the historic Arthur Head Reserve precinct.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    JamiiForums Tanzania 750k(take home) ni mshahara unaweza kumfanya mtu aishi kidogo bila wasi hapa Bongo?

    Wakuu nilikuwa nauliza tu kama 750k ni takehome inayoweza kumfanya mtu aishi kidogo standard life. Maana usikute nadharau kumbe naweza kufanya kitu.
  2. MK254

    JamiiForums Tanzania Urusi walaumu Ukraine kwa kuendeleza mapigo hata walipoomba wasitishe kidogo kupisha Krisimasi

    Haingii akilini, umevamia nchi ya watu na kuanza kuiba ardhi halafu unaomba wasitishe kukupiga ili upate fursa ya kusheherekea krisimasi yako..... Aunilateral ceasefire called by Russia appears to have had little effect on fighting on the ground, with officials accusing each other of opening...
  3. Lambo jini

    JamiiForums Tanzania Tatizo la kutotoa shahawa au kutoka kidogo

    Kwema wakuu nasumbuliwa na tatizo la kutoa shahawa kidogo au kutotoka kabisa pindi ninapojamiiana, hali hii imeambatana na maumivu ya korodani Je, ni ipi tiba? Shukrani.
  4. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Hakuna anayeupenda umaskini ila suala la kuzipata pesa za mauza uza hapana kwa kweli, wacha tuzisake kibishi turidhike na kidogo tunachokipata

    Hizo pesa za mauza uza hata waganga wanazikimbia ilhali wao wana uwezo wa kuzipata ila hawazitaki kabisa, hata mhitaji akifanikiwa kuzipata mganga anazikwepa. Mganga pale anakuwa ni dalali tu anaewaunganisha anaezitaka na majini. Huyo anaezitaka inabidi atoe kitu muhimu kwake kwa majini ili...
  5. C

    JamiiForums Tanzania Jamaa yangu anasema kuna demu wake anakuja, nimpishe kidogo

    za leo wakuu kuna jamaa yangu mmoja alinipa hifadhi home kwake maana niliingia mjini mambo hayajakaa sawa. sasa juzi kanambia kuna manzi anakuja ili wainjoy sikukuu so nicheki utaratibu na mahali pa kukaa, sijajua ataondoka lini huyo demu. Ila jamaa ana chumba na sebule na mi nilikuwa naangusha...
  6. 666 chata

    JamiiForums Tanzania Enzi hizo kwenye mitihani ilikuwa akili kidogo, ujanja mwingi

    Unakumbuka enzi izo za vibomu? wengine wakiita nondo, uangaliziaji na makamati ya kimkakati wakati wa mitihani mashuleni? ujanja ujanja wa kila namna ilimradi tu watu wafaulu mitihani. Baadhi ya matukio Tuko necta ya fomu 6 kuna demu mmoja aka kamatwa na ki karatasi kimekunjwa kwa ustadi mkubwa...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Jipatie jiko la gesi la kulipia kidogo kidogo kama luku kuanzia sh 1000

    Hili ni zuri sana, haikulazimishi kulipia mtungi mzima kwa Sh 23000 au Sh 58000. Kwa Sh 1000 yako tuu (buku) unanunua sehemu ya gesi iliyo kwenye mtungi na kupikia. Achana na zile gesi ikiisha unatelekeza mtungi na kurudi kwenye mkaa au kulazimika kutibua bajeti yako uliyojiwekea. Unalipia...
  8. Tareq20

    JamiiForums Tanzania Inatembea kidogo kidogo ikinyata

  9. B

    JamiiForums Tanzania Blog ni ajira, naingiza milioni 1 kwa mwezi

    Mwaka huu 2022 Mwezi wa 5 nilipost Uzi mmoja kuhusu blog (Usome hapa). Kuna baadhi walinicheki niwape msaada nilifanya ivyo ingawa ni wachache tu waliofanya kweli na sasa wanapiga pesa. Hivyo basi, huu ni mwendelezo wa mada Ile ambayo kwa kipindi kile nilikuw napata 400k Hadi 600k kwa Mwezi...
  10. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania World Soccer Photo Album

    Ronaldinho Gaucho. Aliletwa duniani kuiburudisha dunia kupitia miguu yake iliyosheheni ujuzi wa kipekee.
  11. The Supreme Conqueror

    JamiiForums Tanzania Moroko wasichukuliwe poa hata kidogo lolote linaweza kutokea

    Leo moroko wameendeleza kile walichokianzisha tangu hatua za makundi ni timu pekee mpaka sasa iliyoruhusu nyavu zake kuguswa mara 1 tena kwa goli la kujifunga wenyewe dhidi ya Canada katika michuano hii ya kombe la dunia huko Qatar. Hakika ni jambo la kujivunia wakiwa na kocha mzawa wamecheza...
  12. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Hapa nachanganyikiwa Sana. Sielewi kwa kweli

    Hivi samaki ni Halal kuliwa kwake au si halal? Maana huwa naona wanajifia wenyewe tu. Hawachinjwi. Na vitabu vinataka tule mnyama aliye chinjwa sasa hapo wadau inakuaje? Maana mimi huwa nasita sana. Naona tunakula kibudu.
  13. Ertugrul Bey

    JamiiForums Tanzania Wivu kidogo katika mapenzi ni mzuri!

    Kuna member mwenzetu mmoja alisema Katika Uzi wake kuwa " mume wake hashiki Simu yake,ana mruhusu kwenda sehemu yoyote na akienda sehemu Bila kuaga wala haulizwi". Na madam huyu alisema angependa kumuona mumewe anampenda Kwa kumjali na sio kuonyesha kutokujali. Naweza kusema kuwa Ni kweli...
  14. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Waislamu na walokole punguze kidogo unafiki

    Hellow Mimi huwa na chukizwa sana na baadhi ya watu ambao wanapenda sana kujiona bora kuliko wengine especial waislamu na walokole Waislam wao wanajiona wapo sahihi kwa asilimia 100 na wengine ni watenda dhambi hua nachukizwa sana Unakuta mtu anasema huyo ni najisi mala amelaaniwa nani...
  15. Gaddaf i06

    JamiiForums Tanzania Jf members mpunguze uongo kidogo

    God is good all the time, All the time....(don moen). Humu ndani kuna vijana wanatupiga za uso nyingi sana. Mpaka sasa nimeshawakariri members 21 (kwa Id zao), hawa watu ni waongo, ninaposema ni waongo ujue ni waongo kweli kweli (standard gauge). Ni kweli mnafurahisha na kuchangamsha lakini...
  16. P

    JamiiForums Tanzania CCM haiaminiki hata kidogo kwa sasa. Tuna uhakika gani ikiwa siyo wao wanaohusika na ukamatwaji wa ndege zetu?

    Siwachoshi! Mliorogwa na jina JPM muendelee kuamini kuwa hasara zote za nchi hii chanzo chake ni yeye hata kama miaka miwili yuko kaburini! Swali ni je, ndege yetu iliyokamatwa huko imefanya safari ngapi za kwenda na kurudi hata kabla ya JPM kuwepo? Tutaaminije kama siyo mikono michafu ya...
  17. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Katiba inaweza kuchelewa kidogo

    Kama vijana wako bize wanalike Picha za mazigo mitandaoni. Vijana wa ovyo kabisa.
  18. Chizi Maarifa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Ruto: Polisi inapaswa kuwalinda watu wote bila kujali vyama vyao

    Huyu atakuwa amelewa. Hajui madaraka yakoje na tayari anaanza kuwa na akili za Kibeberu. Anaongea maneno gani haya? Utamaduni huu wa kuiga kwa mabeberu. Ni utamaduni wa hovyo. Anataka alete machafuko Kenya na East Africa? Nadhani ameshachoka kuwa Rais. Au ameshiba wenzake wenye uzoefu na Urais...
  19. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania Mama Samia asali uliyompimia Mbowe muongezee kidogo maana naona kama imepungua akikuzingua mpe Alovera

    Naona Mbowe asali aliyopewa ilikuwa ya kuonjeshwa haijamtidhisha ameanza chokochoko za Kizee ili apewe asali nyingine tena lkn mimi namshauri Samia aendelee kumpa asali ya kuonja ili awe mvumilivu ukifika wakati wa kumpa ya kunywa achanganye na Alovera hii ni chungu ataitema japo vile...
  20. NyegereBOY

    JamiiForums Tanzania Nina wazo ambalo linaweza kutunufaisha mimi na wewe kama una kipato kidogo na hujui pa kuwekeza

    Nawasalimu Kwa jina la muungano wana JF wote Kifupi nisikuchoshe wala tusichoshane nitaenda moja Kwa moja kwenye maada kama kichwa kinavyoeleza Mtanisamehe Kwa uandishi wangu Mimi sio muandishi mzuri Kwa kifupi Mimi ni kijana Wa kitanzania mkazi Wa jijini Dar es Salaam. Katika harakati za...
Back
Top Bottom