The Old Kerosene Store is located at Bathers Beach in Fremantle, Western Australia, adjacent to the ruins of the original Fremantle Long Jetty. It is a single-storey limestone building and forms part of the historic Arthur Head Reserve precinct.
Leo nimeacha chombo changu sehemu fulani, nikatembea kwa miguu kwa muda mrefu. Kwa kweli nilichokutana nacho njiani kimenifanya nitafakari sana kuhusu usalama wa watembea kwa miguu.
Nilipofika sehemu ya kuvuka barabara, nilihisi wasiwasi mkubwa. Pikipiki zinakuja kwa kasi, magari nayo yanapita...
Wahusika tatueni hii stimulus (salary advance) haraka Kuna watu wamefyekwa salary yote (jokes)🤣
Kupitia mitandao ya kijamii mbalimbali naona watu... wanasubiri salary advance kama vile wanasubiri mshahara, Tunaomba mabenk fanyieni KAZI suala hili mapema au toeni kauli kwa uwazi ambayo itawapa...
NO CASE TO ANSWER
kwa msaada wa AI
Wote tuliskilza ushahidi wa prosecution, je ulikidhi vigezo hivi kuruhusu kesi iendelee?
Katika kesi maarufu ya R v Galbraith (1981), mahakama ilitoa mwongozo unaotumiwa na jaji (au mahakama) kuamua kama upande wa mashtaka umeshindwa kabisa kuleta ushahidi...
No Case to Answer
In English criminal law, no case to answer refers to a situation in a trial where the defence argues that the prosecution's evidence is so weak or lacking that a reasonable jury, properly directed by the judge, could not convict the defendant. It allows the defence to...
Dj Choka kwa sasa anasumbuliwa na figo, hivyo anahitajika mara kwa mara kufanya dialysis kusudi aweze kuishi.
Kumchangia afanyiwe dialysis ni jambo zuri sana pia ni thawabu kwa Mwenyezi Mungu.
Ila shida ya huyu jamaa omba yake ni kama ana lazimisha , hana ile hekima ya kumuomba mtu na mara...
Hello
Njegere sio mboga ni kiungo tu cha chakula kama vile nyanya na matumiz yake ni
Una weza pikia kwenye
Ubwabwa
Samaki
Nyama
Ndizi
Ivyo wengi mna geuza matumizi badaal yake mna ifanya mboga mna unga na nazi mna kosea ile ni kiungo cha nakshi nakshi kwenye chakula kuleta mvuto katika...
Uyu dada namfaham sabab alisoma nami shule Level nlimwacha kidogo madrasa. Akaja olewa na mshkaji ambaye tulikuwa naye ofisi moja. Kwenye harakati za mtu mweusi.
Wamefanikiwa kupata watoto watatu saSA. Katika watoto watatu hao mmoja tu ndo wa jamaa wawili wa mtu mwingine.
Jamaa kagundua kube...
Awali ya yote ashukuliwe Mungu Mkuu atoaye pumzi na afya.
Wadau najua wataalamu na wafanyabishara wamo humo ndani naombeni ushauri kama nilivyoeleza hapo juu kuwa kipato changu na nahitaji kufungua biashara ya kuuza juisi je hiyo pesa inatosha kwa mtaji na ni vitu gani hasa vinahitajika ili...
Nguzo za madaraja ya baharini hujengwa kwa teknolojia maalumu ili ziweze kustahimili maji, mawimbi, mikondo ya bahari, na uzito wa daraja.
Kwa ujumla, hatua zake ni hizi:
Uchunguzi wa eneo
Wahandisi hupima kina cha bahari.
Huchunguza aina ya udongo au mwamba ulioko chini ya maji.
Hupima nguvu...
Kwema
Kuna baadhi ya vitabu nimewahi kusoma mwandishi anaeleza kuwa kila mwanaadamu ana asilimia ya ukichaa/uchizi kwenye akili yake na hii asilimia ya uchizi imejificha , na sometimes inajitokeza unaitumia
Wengi hii asilimia ya uchizi Wana iamsha na pombe, bangi .. vilevi tofauti tofauti ...
Habari wana JF.
Kwa wale wote wanao hitaji kufanya biashara/kuwekeza Kariakoo. Naomba msiogope hivi sasa ndiyo wakati mzuri sana wa kuwekeza/kufanya Biashara Kariakoo Majengo mapya yanajegwa kila siku. Na bei za fremu ni nzuri sana(affordable hata kwa mtu mwenye mtaji mdogo).
Zipo fremu...
Tabia yoyote hapa duniani hutengenezwa au watu hujifunza na mwisho wa siku ndio inakuwa sehemu ya maisha yao ya kila siku.
Leo ningependa kuzungumzia kuhusiana na kujenga tabia ya kuweka akiba hata kwa kiasi kidogo sana cha buku mbili tu kwa mwezi ( 2,000/=)
Tukiwa na tabia ya kuweka akiba...
Ipo Concept Moja kuwa MTU mwenye kichwa mviringo na mwenye kichwa kidogo ana IQ ndogo
Au ana poor cognitive ability.
Na vise versa yake kuwa watu wenye vichogo na vichwa vikubwa Wana good cognitive ability...
Je dhana hii inaweza ikawa na ukweli kiasi Gani ?..
Kuna kufungwa, kufanga na kutoka sare. Sasa km timu unayoishabikia imefungwa usichukue hisia zako ukawa na hasira kiasi cha kutaka kuvunja mpaka TV.
Ilikua hivi mpira umeanza alipofungwa SA dakika za mwanzo kabisa nikaona mtu anaanza kuuma ulimi nikasema emu tusubiri tuone gemu imeendelea mpaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.