kenya

Kenya
Jamhuri ya Kenya ni nchi iliyoko Afrika Mashariki katika ikweta, kando ya Bahari ya Hindi.

Kenya imepakana na Ethiopia (kaskazini), Somalia (kaskazini mashariki), Tanzania (kusini), Uganda na Ziwa Victoria (magharibi), kisha Sudan Kusini (kaskazini magharibi).

Kenya ni nchi mwanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki na wa miundo mingine mbalimbali ya kimataifa.

Mji mkuu ni Nairobi.
  1. H

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Paul Mackenzie -Shakahola!

    Nimemkumbuka huyu Mchungaji aliyeweza kufundisha mafundisho yaliyopelekea wafuasi wake wa kukaribia 1000 kujiua/kuuwawa hapo Kenya mwaka jana Hii inafafa na Mchungaji Kibwetere wa Uganda naye aliua waumi wake karibia idadi hiyo hiyo hapo Uganda Kwa kipindi hiki nafikiri waumini wanatakiwa wawe...
  2. Kevin85ify

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya Railways Rising From The Ashes

    Kenya railways has been a SOE(State owned enterprise) that has been making huge losses over the last several decades. This culminated with the company making a huge operating loss of close to KSHS 10.5 billion in the year FY 2021/2022. A turn around initiative instituted by the former regime has...
  3. Richard

    JamiiForums Tanzania Tanzania sasa yapata kibali kipya cha kupakua na kupakia mizigo Nairobi. Kenya walitaka tufuate taratibu

    Baada ya maombi ya Tanzania kupata kibali kipya cha kuruhusu kupakia na kupakua mizigo kiitwacho Fifth Freedom Traffic Rights, ndege za ATCL sasa zimeruhusiwa kutua Nairobi. Ndege za ATCL zikiwa njiani katika safari za kimataifa safari hii zitaruhusiwa kupakua na kupakia mizigo katika katika...
  4. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Kenya na Tanzania zarejesheana Vibali vya Safari za Ndege

    Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA), imeruhusu tena vibali vya Shirika la Ndege la Kenya (KQ) vya kuendesha safari za ndege za abiria kati ya Nairobi na Dar es salaam chini ya vifungu vya Haki za Uhuru wa Trafiki namba tatu na nne kuanzia January 22, 2024 na imetengua uamuzi wake wa jana...
  5. chiembe

    JamiiForums Tanzania January Makamba ameonyesha uthabiti kusimamia maslahi ya Tanzania nje ya nchi, mfano mzuri ni suala la ATCL kuzuiwa biashara Kenya

    Upele umepata mkunaji. Hakika kwa sasa diplomasia ya Tanzania iko imara, hakuna mtu atatuchezea abaki salama. Hii yote kazi ya nani? Waziri wa Mambo ya Nje, January Makamba. Tulitaka kuchezewa na wakenya kwa kujifanya wao bora sana na kuwekea vikwazo biashara ya ATCL halafu wao wanataka wapepee...
  6. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania Sakata la Kenya Airways na Air Tanzania: Anayeathirika ni Air Tanzania

    Eti wanapiga stop Kenya Airways kwa jeuri gani wakati kila siku mko huko kujikomba? Msichokijua labda Kenya Airways ni mbia wa KLM-Air France kuizuia kutua Dar/Tanzania kunaathiri KLM-Air France pia, hivyo hakuna kitu hapo. Kenya Airways itatua Dar na biti la Air Tanzania Kenya litabakia kwani...
  7. chiembe

    JamiiForums Tanzania Tanzania yazuia ndege za Kenya Airways kutua nchini. Ni baada ya Kenya kutoruhusu ndege za Tanzania kubeba mizigo Kenya

    Kumekucha. Kama kupata tupate wote, kwa nini unazuia ATCL isinlbebe mizigo Tanzania na kutua Kenya. Nadhani kuna haja ya kutumia forum za kidiplomasia za EAC. Vinginevyo tuambiwe EAC imeshindwa kukutanisha viongozi wake ili kutatua mambo yao kwa amani. ====== Taarifa ya Mamlaka ya Usafiri wa...
  8. Suley2019

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mamlaka ya Uganda yamkamata Waziri wa Zamani wa Kenya akitaka Kusafirisha Dhahabu ya Mamilioni Kuelekea Dubai

    Mahakama ya Kupambana na Rushwa iliyosimamiwa na Mheshimiwa Esther Asiimwe jana ilimweka Stephen Kipkyen Tarus, ambaye pia ni aliyekuwa Mbunge nchini Kenya, rumande katika gereza la Luzira kwa udanganyifu wa nyaraka za usafirishaji na kusababisha upotevu wa mapato kwa Serikali ya Uganda...
  9. 2 of Amerikaz most wanted

    JamiiForums Tanzania Kenya 🇰🇪 men are so Caring

  10. D

    JamiiForums Tanzania Nigeria to ban degrees from Kenya, Uganda in crackdown

    By AFRICA NEWS Nigeria has announced an expansion of its suspension of degrees accreditation, encompassing additional countries such as Kenya and Uganda. This decision follows the recent suspension of accreditation for degrees obtained from institutions in Benin and Togo. During an interview...
  11. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bodaboda waishitaki Serikali kwa madai ya kuwatelekeza katika mipango yao, wadai fidia ya Ksh. Bilioni 426 (Tsh. Trilioni 6.7)

    Baadhi ya waendesha pikipiki (bodaboda) kutoka jijini Malindi wameamua kuchukua hatua ya kisheria dhidi ya serikali ya Kenya Kwanza, wakidai kuwa wamesahaulika katika mipango ya serikali na kusababisha hasara kubwa kifedha pamoja na matatizo ya kisaikolojia. Kulingana na nyaraka za mahakama...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Nabii Rolinga: Kenya inaongozwa na Mzimu wa Rais wa Kwanza ambaye hakuwahi kuzikwa Hadi Leo.

    Salaam, Shalom!! Kumekucha 2024, Anayejulikana Kwa Jina la Nabii Rolinga, amesema kuwa chanzo Cha Nchi ya Kenya kumwaga Damu Kila Uchaguzi ni sababu ya Mzimu wa aliyekuwa Rais wa Awamu ya kwanza Jommo Kenyata. Amedai kuwa Hadi sasa anayetawala Nchi hiyo katika Ulimwengu wa Roho ni Mizimu ya...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Mzozo wa uagizaji mafuta, Uganda yaifikisha Kenya Korti ya Afrika Mashariki

    02 January 2024 MZOZO WA UAGIZAJI MAFUTA BAINA YA KENYA NA UGANDA Kufuatia kinachodaiwa bei ya juu ya udalali inayofanya Kenya juu ya nishati ya mafuta Uganda inayoagiza kutoka nje, Serikali ya Uganda yafikisha mzozo huo Mahakama ya Afrika ya Mashariki. Uganda inadai bei ya mafuta katika...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Rais Ruto atangaza kuanzia Januari 2024 matibabu Kenya ni bure.

    Msikilize mwenyewe hapa. https://twitter.com/ntvkenya/status/1726228842904244275?s=19
  15. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Watanzania tuige huu Uzalendo: Wafanyabaishara wadogo Kenya waandamana kuunga mkono kodi mpya ya Serikali

    Wafanyabishara wadogowadogo Kenya, maarufu kama Juakali wameungana na kuingia barabarani kuunga kodi mpya ya kwa ajili ya ujenzi wa nyumba iitwayo housing levy. Tukumbuke kodi ndio msingi wa maendeleo, na Tanzania itajengwa na watanzania ==== A group of youth on Thursday flocked the streets...
  16. Girland

    JamiiForums Tanzania Upinzani ndani ya Kanisa Katoliki - Maaskofu wapinga kauli ya Papa, Poland, Kenya na Malawi wapinga

    Baraza la maaskofu nchini Poland limekataa kutoa baraka kwa wapenzi wa jinsia moja. Hatua hii inaifanya Poland, Kenya na Malawi kuwa nchi zilizopinga agizo la kiongozi mkuu wa kanisa katoliki. SIJASIKIA kauli ya TEC, je, wanaunga mkono kubariki wapenzi wa jinsia moja au la? Au tuwaache kwanza...
  17. T

    JamiiForums Tanzania Kati ya Benki 10 Kubwa Afrika Mashariki, Benki 8 Zinatoka Kenya

    Wakuu habari za Jumatatu. Kuna jambo kidogo limenivutia kidogo kunitazama kwa umakini zaidi, wazungu husema lime 'attract my attention'. Jambo lenyewe ni kwamba, imetolewa orodha ya benki kubwa 10 Afrika Mashariki. Katika orodha hiyo benki 8 kati ya 10 zinatoka Kenya. Kwa mfano, mtaji wa...
  18. raisiajaye

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya Kenya iliyokataliwa na Hayati Magufuli yaletwa nchini

    Rais Samia wanasiasa wabaya wamekuwekea mtego mwingine hatari sana, wameleta kampuni toka Kenya yenye masilahi na wao inayomilikiwa na Mkenya Andrew Chege kwa kushirikiana na baadhi ya wanasiasa wa Tanzania Kampuni iliyokataliwa na JPM yarudishwa kinyemela (Safari tech) ya Kenya Wametapeli...
  19. kavulata

    JamiiForums Tanzania Tanzania ni bora kuliko Kenya, Lissu apingwa na Wakenya kwa ushahidi, anatia aibu.

    Lisu ana matatizo sana jamani, msikie anavyopingwa na wakenya kwa ushahidi. Anaitangazia ubaya Tanzania huko nje ya mipaka, ni hatari sana huyu mtu. Hataki wawekezaji waje hata kidogo. ni mtanzania gani? https://www.youtube.com/watch?v=FPYkc2W3ZVc
  20. R

    JamiiForums Tanzania Utoaji wa VISA Duniani unasimamiwa na principle ya Reciprocity; kauli ya Rais wa Kenya imejaa presha ya kisiasa kuwakabili wakosoaji wa sera zake

    Dunia inaendeshwa kwa nipe nikupe, au kwa kauli nyingine nikune nikukune. Visa nayo ipo hivyo; tafsiri nyepesi ni makubaliano ya nchi na nchi kuhusu taratibu za kuingia na kutoka katika mataifa husika. Rais wa Kenya amekaribisha wageni kuingia Kenya bila visa, lakini hakuna Sehemu kwenye...
Back
Top Bottom