kenya

Kenya
Jamhuri ya Kenya ni nchi iliyoko Afrika Mashariki katika ikweta, kando ya Bahari ya Hindi.

Kenya imepakana na Ethiopia (kaskazini), Somalia (kaskazini mashariki), Tanzania (kusini), Uganda na Ziwa Victoria (magharibi), kisha Sudan Kusini (kaskazini magharibi).

Kenya ni nchi mwanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki na wa miundo mingine mbalimbali ya kimataifa.

Mji mkuu ni Nairobi.
  1. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania CEO wa Standard Group Ajiuzulu Baada ya Miezi Saba

    CEO wa kampuni ya habari ya Standard Group, Chaacha Mwita, ametangaza kujiuzulu wadhifa wake baada ya kuhudumu kwa miezi saba tangu kuteuliwa rasmi, huku kampuni hiyo ikifanya mabadiliko mengine katika bodi yake ya wakurugenzi. Katika taarifa iliyotolewa Ijumaa, Oktoba 16, 2026, Standard Group...
  2. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya Yaipiku Ethiopia Kama Uchumi Mkubwa Zaidi Afrika Mashariki! Lakini Kuna Jambo Nyuma ya Ushindi Huu wa Uchumi

    Kenya imeirejesha taji la kuwa na uchumi mkubwa zaidi Afrika Mashariki baada ya kuipiku Ethiopia, ambayo ilikuwa imeshikilia nafasi hiyo kwa takriban miaka 5 kulingana na takwimu za Shirika la Fedha Duniani (IMF). Kwa mujibu wa ripoti ya IMF ya Oktoba 2026, takwimu za mwaka 2025 zinaonyesha...
  3. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Mnashangaa John Pambalu kukamatwa, kwanini hamjiulizi aliondokaje Tanzania kwenda Kenya kwa Maria Sarungi

    Tuviache vyombo vyetu vya Dola vifanye KAZI yake. Bila shaka. Pambalu anayajua makosa yake na anajua kipi kilimfanya akimbilie Kenya, anajua kwanini alikuwa analelewa na Maria Sarungi, anajua kwanini sasa imempasa arudi Tanzania, anajua mahusiano kati yake na Maria Sarungi yapoje. Mimi binafsi...
  4. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Kama jukumu la Jumuia ya Africa mashariki ni kulinda ustawi wa nchi wanachama hakuna haja ya kufichiana waharifu Kenya rudisheni Tanzania hao waharifu

    Sidhani kama Rwanda inaweza kuhifadhi waharifu mfano wa akina sativa, maria Sarungi, Hilda newton ndani ya EAC. Pia sidhani kama Tanzania inaweza kuhifadhi waharifu kutoka nchi ndani ya EAC KWANINI KENYA? ikumbukwe kuwa mwaka 1977 EAC ilikufa chanzo walikuwa ni wakenya. Tuache kufichiana...
  5. Troll JF

    JamiiForums Tanzania Wanaharakati wa Tanzania walioko Kenya kurudishwa nchini

    Serikali ya Kenya imekataa maombi ya Sativa, Hilda Newton, Twaha na Rose Mayemba waliotaka Political Asylum, wameambiwa TZ hakuna shida ya kisiasa warudi kwao au wakae kwa kufuata taratibu, That's Why Pambalu amerudi soon wengine watarudishwa na watakamatwa kwa walichokifanya Oktoba 29.
  6. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwaka Mmoja Bila Raila Odinga: Kenya Yaadhimisha Kifo cha Baba Huku Urithi Wake Ukiendelea Kuibua Mijadala

    Leo, Oktoba 15, 2026, Kenya inaadhimisha mwaka mmoja tangu kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu, Raila Amolo Odinga, mwanasiasa aliyekuwa na ushawishi mkubwa katika historia ya siasa za Kenya na mapambano ya demokrasia nchini. Raila alifariki Oktoba 15, 2025, akiwa na umri wa miaka 80 katika jimbo la...
  7. Etwege

    JamiiForums Tanzania Kenya itawachukua miaka 50 kujenga reli ya umeme.

    Kutokana na ufisadi unaoendelea nchini Kenya wa kuongeza gharama ya miradi ili kujipatia 10% itawachukua miaka 50 ijayo kujenga SGR yenye akili kama ya Tanzania ambayo ina hadhi Sawa na za Ulaya. SGR ya Tanzania unaweza kutumia umeme au mafuta na unaweza kwenda kwa speed ya 160km kwa saa. SGR...
  8. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya yathibitisha kisa cha pili cha Ebola, mgonjwa wa miaka 39 agundulika akiwa Karantini

    Kenya imethibitisha kisa cha pili cha Ebola, baada ya mgonjwa mwenye umri wa miaka 39, ambaye ni ndugu wa karibu wa mgonjwa wa kwanza, kupatikana na virusi hivyo akiwa karantini. Mkurugenzi Mkuu wa Wizara ya Afya, Dkt. Patrick Amoth, amethibitisha. Kisa hiki kipya kinaonyesha umuhimu wa...
  9. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hospitali ya Chuo Kikuu cha Aga Khan yapigwa faini ya Shilingi milioni 1 za Kenya kufuatia kifo cha mgonjwa kilichosababishwa na maambukizi aliyopata

    Baraza la Madaktari na Madaktari wa Meno nchini Kenya (KMPDC) limeitoza Faini Hospitali ya Chuo Kikuu cha Aga Khan kiasi cha KSh1 milioni kutokana na usimamizi mbovu na mapungufu katika matibabu ya Valarie Cherono Misoi, aliyefariki dunia baada ya kujifungua mnamo Agosti 2019. Kamati ya nidhamu...
  10. Traxtion

    JamiiForums Tanzania Kenya: Malecturer wa chuo wavaa vijora na kucheza taarab huku wakiendelea na mgomo

    Wahadhiri (Lecturers) wa Chuo Kikuu cha Multimedia nchini Kenya wameendelea na mgomo wao, huku wakiandamana wakiwa wamevaa madera ili kuvuta hisia za umma kuhusu malalamiko yao. Wahadhiri hao wanaitaka serikali kushughulikia madai yao kuhusu medical scheme, pension nk huku mgomo ukiendelea na...
  11. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Gavana Muthomi Njuki Achaguliwa Mwenyekiti Mpya wa Baraza la Magavana Kenya

    Gavana wa Tharaka Nithi, Muthomi Njuki, amechaguliwa kuwa Mwenyekiti mpya wa Baraza la Magavana nchini Kenya (Council of Governors – CoG), akichukua nafasi iliyokuwa ikishikiliwa na Gavana wa Wajir, Ahmed Abdullahi. Uchaguzi huo ulifanyika Oktoba 12, 2026, wakati wa mkutano wa magavana 47...
  12. Dr Matola PhD

    JamiiForums Tanzania Ni sababu zipi za msingi Tanzania huduma za internet ziko juu, majumbani bado huduma za Wi-fi ni chache kuliko Kenya?

    Wanajamvi Kenya ni mashemeji kwahiyo mambo mengi sisi kama Wabongo huwa tunafanya comparison na mashemeji. Sasa nilikuwa na kasafari Nairobi kwa siku kadhaa kuna vitu nimegunduwa ni tofauti sana na kwetu kwaleo nitaongelea huduma za Internet na sample ni Jiji la Nairobi. Hali iliyopo nyumbani...
  13. USSR

    JamiiForums Tanzania Picha saneta kali Kareni Nyamu azua Gumzo nchini kenya baada ya kupigwa picha akinyonya kidole gumba ndani ya bunge ,je kunyonya gumba ni ishara mpw

    Wakenya wamechukizwa wakisema alikuwa anaangalia video za ngono na kuwa na hamu ya mdushelele Wamemtaka kuolewa sasa maana yeye ni kiongozi na analipwa pesa kutumika sio kuwaza ngono muda wote inadaiwa hana mme . Je kunyonya dole gumbe kule chini panakuwa pamelowa USSR
  14. A

    JamiiForums Tanzania Benni McCarthy: Kenya haiwezi kushinda AFCON hata mkinipa Mamilioni ya Dola

    Kocha mkuu wa Harambee Stars, Benni McCarthy, anaamini kuwa Kenya bado ina safari ndefu kabla ya kuweza kushindana kwa uhalisia na vigogo wa soka barani Afrika kuwania ubingwa wa AFCON. McCarthy amesema kuwa kwa sasa Kenya haina rasilimali za kutosha wala kikosi chenye wachezaji wengi wenye...
  15. Archival Sense

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Government warns Ugandans against participating in political activities in Kenya

    The Ugandan government has issued a stern warning to citizens against crossing into Kenya to participate in political or electoral activities ahead of Kenya’s 2027 General Elections. The government cautioned Ugandans to respect Kenya’s laws and refrain from involvement in political activities...
  16. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ebola Kenya: Watu 10 Wawekwa Karantini Huku 57 Wakifuatiliwa - Serikali Yataja Hospitali Na Idadi Ya Vitanda Vya Dharura

    Kenya imeongeza ufuatiliaji baada ya kuthibitisha kesi ya kwanza ya Ebola nchini, huku idadi ya watu waliotambuliwa kuwa walitangamana na mgonjwa ikifikia 57. Kati yao, 10 wamewekwa karantini, huku ufuatiliaji wa wengine ukiendelea na idadi hiyo ikitarajiwa kuongezeka. Mgonjwa huyo, raia wa...
  17. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ilianzia Kama Utani: Raia wa Nigeria Afariki Angani Akirejea Nyumbani Ndani ya Ndege ya Kenya Airways"

    Tukio la kusikitisha limetokea angani ndani ya ndege ya shirika la Kenya Airways (KQ) iliyokuwa ikisafiri kutoka Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta (JKIA), Nairobi kuelekea Lagos, Nigeria, baada ya abiria mmoja wa kiume kupoteza maisha kabla ya ndege hiyo kutua. Jinsi Tukio...
  18. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Msechu Mwaka wako huu [Kenya nako kuna deal linanukia!]

    Peter mwaka huu ni 1wako upewe nini tena? Inasemekana Kaka wa Raila kashang"ata shuka hukoo. Andaa nguo tu. Jina unalo tayari
  19. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Gen Z wa Kenya waliyeyushwa kama Mvuke pamoja na kuwa na KATIBA MPYA!

    Afrika hata katiba waandike mitume na manabii. Ipo namna ya kuwa dikteta "Uchwara" hapo Kenya 2024 waliibuka vijana wanajiita Gen Z wakaandamana mpaka kuingia kuharibu vitu bungeni. Mwamba Ruto aliwafagia kimya kimya kama hamnazo. Akaenda kuwatupa dampo la Kwa-njenga kama kuku hukoo. Hapo...
  20. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania GenZ wa Kenya sina hamu..ha ha ha!

    Ruto, alias Kasongo ana umilia mengi!
Back
Top Bottom