kenya

Kenya
Jamhuri ya Kenya ni nchi iliyoko Afrika Mashariki katika ikweta, kando ya Bahari ya Hindi.

Kenya imepakana na Ethiopia (kaskazini), Somalia (kaskazini mashariki), Tanzania (kusini), Uganda na Ziwa Victoria (magharibi), kisha Sudan Kusini (kaskazini magharibi).

Kenya ni nchi mwanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki na wa miundo mingine mbalimbali ya kimataifa.

Mji mkuu ni Nairobi.
  1. Bata Boy Official

    JamiiForums Tanzania Niende Uganda ama Kenya

    Mtu aende wapi kujitafuta ambako usalama, gharama za maisha sio za kutisha. Ambako kuna watanzania wengi. Ambako watu wake ni wakarimu kwa wageni. Wapi unashauri mtu aende KENYA ama UGANDA?
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Nane ya pamoja ya Biashara (JTC) Kenya na Tanzania zakutana kutatua changamoto za Kibiashara

    JUMUIYA YA MKUTANO WA KAMATI YA NANE YA PAMOJA YA BIASHARA (JTC) KATI YA JAMHURI YA KENYA NA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA KUSHUGHULIKIA MASUALA YANAYOATHIRI BIASHARA TAREHE 18 - 22 MACHI 2024, KISUMU, KENYA. 1. Mheshimiwa Dkt William Samoei Ruto, Rais wa Jamhuri ya Kenya na Mheshimiwa Dkt...
  3. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Serikali ya Kenya yaitaka Tiktok kueleza jinsi inavyolinda Taarifa Binafsi za Wananchi

    KENYA: Serikali kupitia Ofisi ya Kamishna wa Ulinzi wa Taarifa Binafsi (ODPC) imeiandikia barua kampuni ya ByteDance Limited inayomiliki #TikTok ikiitaka kutoa hakikisho la namna inavyofuata Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi ya Kenya Waziri wa Mambo ya Ndani, Kithure Kindiki, amesema ODPC...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Je, ni vibaya kuona aibu kuzidiwa na Kenya, Zambia na Malawi kwenye demokrasia

    Kulikuwa na mkutano wa African diaspora hapa Texas. Sio uongo niliona aibu sana wenzetu wa Zambia, Kenya, na Malawi wakiongelea siasa na demokrasia. Sisi masikini hata katiba nzuri yenye kutoa haki sawa tunaleta siasa. Nilijiuliza sana bila kupata jibu zuri. Kama kweli viongozi wetu wanapenda...
  5. Suley2019

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania New Covid-19 variant circulates in Kenya

    New Covid Variant A new Covid-19 variant is in circulation in the country. Doctors say the new variant called JN1 and and Swine Flu
  6. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bunge la Kenya lapokea Muswada unapendekeza Maafisa wa Tume watakaochelewesha Matokeo kufungwa Miaka 5 jela

    KENYA: Bunge limepokea Muswada wa Marekebisho ya Sheria za Makosa ya Uchaguzi wa mwaka 2024 ambao unapendekeza kuwekwa Kifungo cha Miaka 5 jela kwa Maafisa wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) watakaochelewesha kutangaza Matokeo . Muswada huo unasomeka "Itakuwa ni makosa kwa Wajumbe na...
  7. Intelligent businessman

    JamiiForums Tanzania Elon Mussa wa Kenya, aomba kukutanishwa na baba ake Elon Musk

    Nanukuu "Wapendwa Wakenya, tafadhali mnisaidie kuungana tena na baba yangu Elon Musk. Mapema miaka ya 90 mama yangu alikuwa meneja wa hoteli ya JW Marriot Masai Mara Lodge, wakati Elon Musk alipotembelea hapa. Sasa ninaishi katika umaskini uliokithiri licha ya baba yangu kuwa bilionea wa...
  8. Heparin

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Ndege mbili zagongana angani, wawili wafariki Dunia

    Mamlaka ya Usafiri wa Anga nchini Kenya imethibitisha kisa cha kugongana kwa ndege ya abiria ya kampuni ya Safarilink na ndege ya mazoezi. Uchunguzi umeanza kubaini chanzo cha ajili hiyo. ‘’Uchunguzi umeanza kupitia mashirika mbalimbali ukiongozwa na Idara ya Uchunguzi wa Ajali za Anga na...
  9. Kijakazi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ruto to deploy Kenyan troops to Haiti, do you see parallels?

    Haya as if Kenya hakuna gangs, US funded and trained Kenyan troops zitatumwa Haiti eti kuzuia uhalifu, ikumbukwe tangia raisi wa watu wa Haiti auliwe Ikulu na so called gangs Haiti haijatulia na inashutumu CIA kuhusika, sasa US an fund Kenyan forces to be deployed in Haiti, Haitian are blacks...
  10. greater than

    JamiiForums Tanzania Kumbe hapa ndipo wanapotuzidia Kenya na Nigeria

    IDADI YA VYUO VIKUU KWA NCHI KUSINI MWA SAHARA 1.Nigeria -262 2.Kenya -129 3.Afrika Kusini - 123 4.Ethiopia -73 5.Ghana - 70 6.Uganda - 69 9.Tanzania - 52 Hakuna ubishi kama elimu ni muhimu katika maisha ya watu. Taifa ni ngumu kujinasua kiuchumi kama haija jipambanunua kielimu. Hizo takwimu...
  11. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Hii SGR Dar-Moro Masaa Mawili, Duniani Huko Wanatumia Dakika 20!

    SGR yetu ya kwanza toka kuumbwa kwa dunia ilijaribiwa kwa mbwembwe pamoja na wadau kuhoji vipi umeme ukikatika itakuwaje? Mkurugenzi mkuu wa TRC ndg Kadogosa alijibu kwa mbwembwe tuna backups transformers na diesel engine za dharula, pamoja na majibu hayo umbali uliotumika haukuweza kutoa...
  12. G

    JamiiForums Tanzania TUMEPIGWA? Hili ni treni la SGR nchini Kenya miaka sita iliyopita. Gari linaifukuzana nayo kwa speed ya 120 Km/Hour

    Ni miaka sita iliyopita
  13. M

    JamiiForums Tanzania Hayati Nyerere alifanya Watanzania tudharauliwe sana na nchi za nje hasa Zimbabwe na Kenya

    Aliacha kujenga taifa lake akabaki kupigania uhuru wa mataifa ya nje ambayo hivi leo hayana msaada kwetu. Kilichobakia ni kudharauliwa tu bila hata soni. Tulionekana hatujui kiingereza, nchi inabarabara mbovu, shule mbovu huku watoto wakikaa nchini na kuvaa masempele mashuleni. Wazimbabwe na...
  14. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Kwanini mstari huu kwenye ramani ya Kenya umepinda, ilikuwa kwa nia gani?

  15. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu Kenya yaamuru Wafungwa waruhusiwe kuhudhuria Mazishi ya ndugu zao

    KENYA: Mahakama Kuu imetoa uamuzi kuhusu Haki za Msingi za Wafungwa katika maisha ya kawaida na kuamuru kuwa Wafungwa wote nchini humo wanapaswa kupewa Haki kama Binadamu wengine ikiwemo Haki ya kuhudhuria Mazishi. Mahakama imetoa uamuzi huo kupitia Kesi iliyofunguliwa na Mwandishi wa Habari...
  16. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Tanzania yawa miongoni mwa nchi zinazofanya vizuri kiuchumi Afrika 2024. Yazipiku Kenya na Uganda

    Nchi 3 za Afrika Mashariki zimetajwa katika orodha hiyo ambapo zitaongozwa na Rwanda inayotarajiwa kupata Ukuaji wa 7.2% ikifuatiwa na Tanzania 6.1% na Uganda itakayokua na Ukuaji wa Uchumia wa 6%. Afrika itachangia uchumi wa nchi kumi na moja kati ya 20 zinazokuwa kwa kasi zaidi duniani...
  17. Replica

    JamiiForums Tanzania Pamoja na faida kubwa mabenki ya Kenya, mikopo chechefu yatishia uimara wake. Benki zetu kubwa mbili hazifanani nao?

    Taasisi ya Moody's inayohusika kutoa muono kwenye soko la mikopo na madeni imebadilisha maoni yake kuhusu hali ya mabenki ya Kenya kutoka imara mpaka hasi ikitoa tahadhari juu ya kiwango kikubwa cha mikopo chechefu na isiyofanya vizuri pamoja na faida kubwa na mtaji imara ambacho mabenki ya...
  18. Crocodiletooth

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je Rais wa Kenya W. Ruto yupo sahihi kwa hili?

    "Nimeongea na watendaji wa serikali yangu kuhusu baadhi ya wahubiri kucheza na imani za wakenya. Kuanzia sasa yule anataka kuuza maji asajiliwe na mamlaka ya maji, yule anataka kuuza mafuta asajiliwe na food and drugs authority, na yule anataka kuuza mbegu asajiliwe wizara ya kilimo. Watambulike...
  19. Suley2019

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mamlaka ya Mapato Kenya (KRA) yakosa kukusanya mapato ya nusu mwaka kwa Ksh 186B

    Mamlaka ya Mapato Kenya (KRA) ilikusanya jumla ya Ksh 1.27 trilioni katika nusu ya kwanza ya mwaka wa kifedha 2023/24 ulioisha mwezi wa Desemba 2023. Data mpya kutoka Hazina ya Kitaifa inaonyesha kuwa ukusanyaji wa nusu mwaka ulikuwa chini ya lengo kwa Ksh 182.4 bilioni hasa kutokana na...
  20. Heparin

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Afisa wa Kenya aliyehudhuria mazungumzo ya Haiti huko Washington apatikana amekufa katika chumba chake cha hoteli

    Mwanachama wa ujumbe wa Kenya uliokuwa ukitembelea Washington alipatikana amekufa katika chumba chake cha hoteli mapema wiki hii, maafisa wa Marekani na vyombo vya sheria walithibitisha Alhamisi. Afisa huyo alikuwa afisa wa polisi wa ngazi ya juu ambaye alikuwa amesafiri kwenda Marekani...
Back
Top Bottom