kenya

Kenya
Jamhuri ya Kenya ni nchi iliyoko Afrika Mashariki katika ikweta, kando ya Bahari ya Hindi.

Kenya imepakana na Ethiopia (kaskazini), Somalia (kaskazini mashariki), Tanzania (kusini), Uganda na Ziwa Victoria (magharibi), kisha Sudan Kusini (kaskazini magharibi).

Kenya ni nchi mwanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki na wa miundo mingine mbalimbali ya kimataifa.

Mji mkuu ni Nairobi.
  1. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Afisa wa Kenya aliyehudhuria mazungumzo ya Haiti huko Washington apatikana amekufa katika chumba chake cha hoteli

    Mwanachama wa ujumbe wa Kenya uliokuwa ukitembelea Washington alipatikana amekufa katika chumba chake cha hoteli mapema wiki hii, maafisa wa Marekani na vyombo vya sheria walithibitisha Alhamisi. Afisa huyo alikuwa afisa wa polisi wa ngazi ya juu ambaye alikuwa amesafiri kwenda Marekani...
  2. JamiiForums Tanzania Tanganyika Majimaji, Congo Mayimayi, Kenya Maumau. Mjue Mama Onema wa kundi la SIMBA WA MULELE

    Magwiji wa Afrika walikuwa wengi tu wa aina ya Kinjekitile Ngwale... Soma historia ya huyu mama anaitwa Mama Onema ambaye aliishi Congo na ndio alikuwa akiwakinga na Risasi waasi wa kundi la SIMBA MULELE wakipigania ardhi yao dhidi ya wavamizi Marekani na kibaraka wao Mobutu. Mama Onema...
  3. JamiiForums Tanzania Nini kimesababisha kifo cha Edward Lowasa? Kenya wadai ni saratani, Tanzania wanasema ni ugonjwa wa mapafu, shinikizo la damu, na utumbo kujikunja!

    Chanzo cha vifo vya viongozi wetu huwa kinaleta mkanganyiko, sasa ni kuhusu nini hasa kimesababisha kifo cha Lowasa.
  4. JamiiForums Tanzania Nchi 3 (Kenya, Tanzania na Uganda) zinadaiwa zaidi ya Tsh. Trilioni 339 kwenye Deni la Taifa

    Kwa mujibu wa takwimu za Benki Kuu za Kenya, Uganda na Tanzania kuhusu hali ya Madeni ya Taifa kwa Nchi hizo, inaonesha madeni kwa pamoja yamefikia takriban Tsh. Trilioni 339.93. Kenya inaongoza ikiwa na deni la Tsh. Trilioni 176.81 huku utawala wa Rais William Ruto ukitajwa kuchangia deni la...
  5. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Toyota yasaini makubaliano ya Kuunda Magari yake nchini Kenya

    Kenya na Toyota Tsusho Corporation ya Japani wametia saini makubaliano ya mfumo wa ushirikiano katika utengenezaji wa magari na maendeleo ya nishati mbadala. Makubaliano hayo yatawezesha Toyota kuanzisha kiwanda cha kutengeneza magari nchini. kampuni imefanya uwekezaji wa awali wa Kshs 800...
  6. JamiiForums Tanzania SI KWELI Eneo la Kihistoria lililogunduliwa fuvu la binadamu wa kwanza (Olduvai Gorge) lipo Kenya

    Habari, Kuliwahi kutokea madai yakisema kuwa Olduvai Gorge ipo nchini Kenya. Rosemary Odinga alisema Olduvai Gorge ipo Kenya, Tazama video hapa chini: Je, mnaweza kutusaidia kuweka kumbukumbu sawa hili?
  7. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naliona anguko la taifa la Kenya kijamii( Kuiga uzungu kunaliangamiza taifa la Kenya)

    Ukioa demu mkenya, tofauti yako na alie oa mzungu ni moja tu. Wewe ulie oa demu wa kikenya umeoa mzungu feki na yule alie oa demu wa kizungu ameoa mzungu orojino. Ila wewe ndio utapata tatu kwa sababu mtu anae iga siku zote huwa ana overreact. Anaiga mpaka hata Yale yasiyo faa kuigwa. Wakenya...
  8. JamiiForums Tanzania Kwanini Kenya na Uganda hawakuwepo Afcon?

    Ndg zangu sisi wengine soka tunaiona tuuu. Tanzania tulipitaje kwenda wakati Mozambique, Uganda, Kenya nakadhalika wengine hatuliwaona afcon.. sisi tulipataje nafasi Nawasilisha
  9. JamiiForums Tanzania Master Jay: Wasanii wa Kenya wanajua kuimba kuliko wasanii wa Tanzania

    Producer mkali kuwahi kutokea na Jaji wa mashindano ya kuimba Tanzania Master Jay, amesema kuwa wasanii wa Tanzania ni waburudishaji na sio waimbaji wazuri kama wasanii wa nchini Kenya. Akiwa anafanya mahojiano na East Africa Radio Master Jay amesema, “Kitu ninachojivunia ni kwamba...
  10. JamiiForums Tanzania Tanganyika imejifunza mlipuko wa Gesi Kenya!Ujenzi kilalela tutavuna tunachokitaka! Wananchi wasubiri kupewa pole wakiwa kaburini?

    Leo 2-2-2024 "Lori moja ya nambari ya usajili isiyojulikana ambayo ilikuwa imesheheni gesi ililipuka na kuwasha moto mkubwa ulioenea sana. Mtungi wa gesi uligonga Godown na kuteketeza godown hilo linalohusika na nguo na nguo," msemaji wa serikali Kenya Isaac Mwaura alisema. TANZANIA. Biashara...
  11. JamiiForums Tanzania Nilichojifunza Kenya: Madaktari Tanzania Mnaandika Dawa za Kiwango cha Chini

    Kenya kuna makampuni mengi makubwa ya madawa, ambayo mengi yao ni innovators wa dawa mbalimbali (brands), ambazo nchi nyingine hususani India huja kuzalisha baadaye kama generic. Kwa wasiojua brands huuzwa ghali, ila ni bora zaidi, wakati ni generic huuzwa kwa bei ya kutupwa, nyingi zikiwa na...
  12. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Marekani inatumia shinikizo na nguvu laini kwa Kenya kuunga mkono vita dhidi ya Wahouthi nchini Yemen

    Marekani na washirika wake wanatumia shinikizo na nguvu laini kwa Kenya kuunga mkono vita dhidi ya Wahouthi nchini Yemen - na kwa kuongeza vita vya Israel huko Gaza - wakilenga kumaliza mfululizo wa mgomo wa kutatiza meli zinazosafirisha bidhaa kupitia Bahari Nyekundu. Nairobi katika muda wa...
  13. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu ya Kenya yaizuia Serikali kupeleka Askari kupambana na magenge Nchini Haiti

    Mahakama Kuu ya Kenya imezuia Serikali kupeleka Askari kupambana na magenge Nchini Haiti Mahakama imeeleza kuwa hatua ya kupeleka Askari Polisi ni kinyume cha Sheria kwa vile Baraza la Usalama la Kitaifa halina mamlaka ya kisheria ya kutuma Polisi nje ya Kenya bali linaweza kupeleka Wanajeshi...
  14. JamiiForums Tanzania Kenya ndiyo nchi inayoongoza kwa Wanawake Kuuawa Kikatili na Waume / Wapenzi wao

    Piteni huko BBC Swahili mkaisome au baadae Saa 2 na dakika 45 fuatilieni marudio ya ufupi ya Kipindi cha Dira ya Dunia muisikilize. Kuanzia sasa ukisikia Dada yako ana Mchumba au Mume au anakaribia Kuolewa na Mwanaume wa Kenya Kwanza mpe Pole kisha muulize Akifa kwa Kipigo Kitakatifu cha...
  15. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya yakabiliwa na changamoto ya madeni huku ukomo wa muda wa kulipa deni la bilioni 25 za IMF ukiwadia

    Kulingana na ripoti ya jukwaa la habari za biashara nchini Kenya, BusinessDaily, IMF ilifichua kuwa Kenya ni miongoni mwa wakusanyaji wakuu wa mapato yake kwani benki hiyo inapanga kupata takribani asilimia 2 ya mapato yake ya mkopo kutoka nchini Kenya. "Income kutoka Kenya inatabiriwa...
  16. JamiiForums Tanzania Kenya yafuta 50/50 baada ya talaka, unachukua ulichochangia

    Ndugu zangu katika JF tujadili jinsi ya kuanzisha hili vuguvugu ambalo litasababisha mabadiliko ya sheria. Kila mtu aondoke na alichochuma. Hii itasaidia sana kuimarisha ndoa
  17. JamiiForums Tanzania Kama maandamano ya Kenya hayakuleta matokeo, tutegemee nini kwenye haya yetu ya Januari 24, 2024?

    Kwema Waheshimiwa! Kwanza sijajua maandamano haya ni endelevu au ni ya siku moja tuu. Maandamano ya amani ni nini hasa? Huwezi ita maandamano ya amani wakati muda huohuo ni kudai haki Fulani. Hakuna maandamano ya hivyo. Kudai haki zipo njia nyingi kama kukaa mezani, lakini yakishakuwa...
  18. JamiiForums Tanzania NSSF - KENYA

    Nilisikiliza mjadala wa NSSF Kenya - LIVE, nikaona kikokotoo chao kina endana endana na vya Nchi za wenzetu... Fikiria Mfanyakazi wa Kenya hukatwa 5% ya Mshahara na muajiri humchangia 5% kufanya jumla ya michango iwe 10% lakini akistaafu hupata wastani wa pension ya nusu ya Mshahara wake kila...
  19. JamiiForums Tanzania Utalii kenya kupaa kwa kuzindua Starlink

    Nimekuwa nikifatilia kwa makini harakati za Kenya kuipatia vibali kampuni ya Starlink kuanza kufanya kazi nchini humo, mwaka huu mtandao wa Starlink utaanza kufanya kazi. kwa masikitiko makubwa sijasikia lolote kutoka TCRA tangu mara ya mwisho kusikia kampuni hio kuomba vibali. Nashangaa kwa...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Kuimarika kwa shillingi ya Tanzania dhidi ya shillingi ya Kenya

    Hii ni habari njema sana. Shillingi ya Tanzania imeimarika sana dhidi ya shillingi ya Kenya. Miezi michache iliyopita shilingi moja ya kKenya ilikuwa ikibadilishwa kwa shillingi 22 ya Kitanzania. Leo hii shillingi moja ya Kenya inabadilishwa kwa shillingi 15.52 ya Kitanzania. Hii ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…