kenya

Kenya
Jamhuri ya Kenya ni nchi iliyoko Afrika Mashariki katika ikweta, kando ya Bahari ya Hindi.

Kenya imepakana na Ethiopia (kaskazini), Somalia (kaskazini mashariki), Tanzania (kusini), Uganda na Ziwa Victoria (magharibi), kisha Sudan Kusini (kaskazini magharibi).

Kenya ni nchi mwanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki na wa miundo mingine mbalimbali ya kimataifa.

Mji mkuu ni Nairobi.
  1. funaku

    JamiiForums Tanzania Is Kenya a weakest link to undermine EAC autonomy?

    All EAC Protocols and ministers need to immidiate meet and discuss how easy is the EU or US is able to subbotage EAC cohesion through Kenya. My observation is that ...there are so many activities and organisations working from there which are undermining the true and ultmate EAC intergration
  2. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kuna sheikh mmoja huko Kenya Izudin baada ya sakata la Kenya na Tanzania anasema wanaharakati waache ila anajisahau kudai haki za Palestina

    Hata Idd Amin alitaka haki kwa kuwafanya wajinga waislamu. Huyu anakwambia wanaharakati wanamakosa ila hapo hapo ndio mtu wa kwanza kulalamika palestina na waislamu wanaonewa. Alitaka wanaharakati majini au
  3. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Musalia Mudavadi: Kama wewe ni Mkorofi Kenya na ufikiri utafanya hivyo kwenye nchi nyingine My Friend haitowezekana

    “Wametembea, wamejaribu kwenda kuleta mchezo wanaoleta hapa katika manchi jirani, nini kimetokea?, tukiambia Waty that Kenya is so democratic they don’t believe it” “Watu wanatoka katika Taifa zingine wanakuja kufanya maandamano hapa, haya wamejaribu, hawakutoka kwa Airport, wameambiwa rudi...
  4. chiembe

    JamiiForums Tanzania Seneta Cherargei wa Kenya amuomba Rais Samia asaidie kuwatia adabu wakenya wasio na nidhamu, ataka washitakiwe na wafungwe

    Rais Samia apongezwa ndani ya Bunge la Seneti la Kenya kwa kuwashughulikia wakenya wasio na nidhamu. Hakika Samia kaonyesha hacheki na wowote, kapongezwa ndani ya Bunge la Seneti la Kenya.
  5. Singo Batan

    JamiiForums Tanzania Wakenya punguzeni kiherehere

    Siku chache zilizopita nilikuwa na fikra za kuwaona Wakenya kama ni ndugu wa Watanzania. Lakini nimebaini nyie sio ndugu wala hatupaswi kuambatana nanyi abadani. Tanzania ni Jamhuri inayojitegemea na ina utaratibu wake wa kujiongoza. Hatuna unasaba wa kupeana maelekezo ya nini tufanye kwa tamaa...
  6. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania Kushambuliwa kimtandao (Cyberstrike) na kuzuiwa wanaharakati wa Kenya uwanja wa ndege; Watanzania tusimame pamoja

    Matukio mawaili makubwa wiki hili; kuzuiwa wanaharakati wa Kenya (Martha Karua et al) na kushambuliwa kwa akaunti nyeti za mitandao na ku kisha kuchapisha taarifa potofu. Sipendi dhulma na uonevu anaofanyiwa Tundu lakini pia ni utoto kuwapa airtime hawa Wakenya Madhaifu ya serikali ya CCM...
  7. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wakenya wasema watakuja kuhudhuria kesi ya Lissu na watahakikisha wenzao walioshikiliwa huku wanarudi kwao salama, hawamwogopi Rais Samia

    Wakuu, Kunazidi kutokota huko, majirani wanasema hawatakaa kimya wakiona wenzao wanahenyeshwa wakati hawajafanya kosa lolote. ===== Wakenya wasema watakuja Tanzania kusikiliza kesi ya Lisuu, na kuhakikisha wenzao walioshikiliwa nchini wanakuwa salama na wanarejea wakiwa wazima makwao...
  8. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Yote ya Gen Z Kenya ni sababu Bangi, Jobless wengi ambao ni graduates, Serikali haijali na maisha magumu sana, Tanzania inakaribia hali ya Kenya

    Ukibisha sawa ukiafiki chukua hatua , ukivimba utavimbishwa na utapasuka Mungu hachezewi. Kupanga ni kuchagua aidha mipasho, jeuri, kibri na dharau wajiandae kwa mashimo ya futiz za kutoshea. Tuishi kwa namna ya udogo na ukubwa wenye kunyenyekea . Ni hayo tu
  9. funaku

    JamiiForums Tanzania Maneno ya Cassypool, Chawa wa Rais Samia nchini Kenya

    Huyu jamaa aniachaga hoi kwa vituko vyake.
  10. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kuna kipindi kupitia redio ya Kenya radio47 kikijadili udukuzi wa Tanzania account za serikali

    Kama utapata mda kuna kipindi kina channel yake kikiitwa radio47 kuna mkenya mmoja kaeleza kama kafunguka kwa hasira. Anavyo dai tanpol kwenye account zake kwenye nywira (password) wametumia jina la diamond,zuchu au mama samia 1234 ndio zinatumika. Mpaka anaeleza haya inawezekana hata account...
  11. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Huwezi kuzungumzia machafuko ya mwaka 2007 - 2008 baada ya uchaguzi Kenya bila kumtaja Martha Karua

    Ni kwa nia njema ya kuwajulisha wasiomjua Martha Karua hasa upande wake wa uovu. Mwaka 2007 hadi mwanzoni mwa 2008 kulitokea machafuko ya baada ya uchaguzi yaliyosababisha vifo vya zaidi ya watu 1500, ubakaji wa zaidi ya wanawake 3000 huku watu zaidi ya 300,000 wakipoteza makazi yao. Ulikuwa ni...
  12. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Seneta mmoja Kenya aunga mkono Rais Samia kuzuia wanaharakati wa Kenya

    Seneta mmoja nchini Kenya ameeleza kuunga mkono hatua ya Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwapiga marufuku wanaharakati kutoka Kenya. Samson Cherargei, seneta wa kaunti ya Nandi, anasema ni haki ya Rais Samia kuzuia watu wanaoingilia masuala ya nchi yake kutoka nje. "Namuunga mkono...
  13. funaku

    JamiiForums Tanzania Trending :Kurejeshwa kwa Martha Karua na muitikio wa media huru za Kenya

    Inaonekana Ujumbe Sahihi umefika kwa nyakati sahihi. KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
  14. M

    JamiiForums Tanzania Serikali zuia Taasisi za Serikali kununua IT Specialist na Apps kutoka KENYA

    Ujumbe tumeupata kupitia udukuzi. Wakenya ni majirani wapinzani Kiuchumi, Kisiasa nk. Lkn kwa bahati mbaya tumewapa kazi zooooote za kututengenezea mifumo Nyeti ya serikali kukusanya mapato, Apps, Mishahara nk nk nk. Tulionya, tukasema tukafoka tukatokwa mapovu hamkuelewa. Anyway tumevuliwa...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Not in my country: Wasituharibie kwetu! President Suluhu warns against foreign activists interference in Tanzania

    Now, 2025! Tanzania's President Samia Suluhu has defended the recent deportation of some high-profile Kenyan nationals, accusing unnamed foreign activists of attempting to destabilise the country's internal affairs asserting "Tanzania won't tolerate foreign interference. She pointed to a...
  16. funaku

    JamiiForums Tanzania Upo umuhimu wa kutambua washiriki wa mikutano ya CHADEMA kwa sasa inawezekana wamejaa wanaharakati kutoka Kenya

    Vyombo vya Ulinzi visionee aibu hawa nyang'au ambao wanajidai wanajua Kingereza huku kichwani ni empty head. Kama jana waliweza kusafirishwa kwa Wingi kuja kisutu bila shaka watakuja sana au wanakuja sana kwenye mikutano inayoendelea. Kamwe wasiruhusiwe kuchafua amani na kumwaga damu Tanzania.
  17. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Msukuma: Mimi ningekuwa askari ningekuwa na maamuzi magumu zaidi, hauwezi kutoka Kenya kuja kuchochea wenzio

    Wakuu Mbunge wa Geita vijijini, Joseph Kasheku Msukuma amvaa Martha Karua kwa madai ya kuingilia mambo ya ndani ya Tanzania huku akisema "ningekuwa askari ningekuwa na maamuzi magumu zaidi, hauwezi kutoka Kenya kuja kuchochea wenzio"
  18. meningitis

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Bunge Ulinzi na Usalama haina budi kujadili mwenendo wa Kenya katika siasa za Tanzania!

    Yapo matukio kadhaa ya kisiasa yaliyotokea na yanayoendelea kutokea nchini mwetu nyuma yake kukiwa na factor moja muhimu yaani #Kenya# hii trend sio ya bahati mbaya kama unachambua mambo kwa kina. mfano: 1-Lissu baada ya kupigwa risasi alienda kitibiwa Kenya. 2-lema alitorokea kupitia Kenyana...
  19. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 THRDC: Mwanaharakati Boniface Mwangi wa Kenya na Mwanasheria Agather Atuhaire wa Uganda wanashikiliwa na Jeshi La Polisi

    Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) umeeleza kuwa mwanaharakati kutoka Kenya Boniface Mwangi, pamoja na mwanasheria kutoka Uganda Agather Atuhaire wanashikiliwa katika kituo cha polisi cha Kati Dar es Salaam. Mwangi na Atuhaire walikuja Tanzania kufuatilia kesi inayomkabili...
  20. Stroke

    JamiiForums Tanzania Wanaharakati wa Kenya Msifanye Siasa Tanzania

    Mimi kama stroke. Nawaeleza tu kwa sauti ya upole wanaharakati wa Kenya. Hakuna mahali penye ufisadi, mauaji, wizi wa kila namna kama Kenya. Sioni Justification yeyote ya nyie kuja Kulia lia hapa Tanzania. Sasa nawaambia hivi?? Malizaneni kwanza nyie kabla ya kuja kwetu kutuletea harufu zenu.
Back
Top Bottom