kenya

Kenya
Jamhuri ya Kenya ni nchi iliyoko Afrika Mashariki katika ikweta, kando ya Bahari ya Hindi.

Kenya imepakana na Ethiopia (kaskazini), Somalia (kaskazini mashariki), Tanzania (kusini), Uganda na Ziwa Victoria (magharibi), kisha Sudan Kusini (kaskazini magharibi).

Kenya ni nchi mwanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki na wa miundo mingine mbalimbali ya kimataifa.

Mji mkuu ni Nairobi.
  1. D

    JamiiForums Tanzania Ingekuwa Kenya, Lissu asingekaa gerezani hata sekunde moja. Eti Raila umsweke ndani uone kama Kenya haiwaki moto

    Tanzania hatujui kudai haki zetu wala haki zenyewe hatuzijui. Kama Gen Z tu walizuia mswada usisainiwe na rais je ingekuwaje raila angewekwa mahabusu? Tanzania ni wajinga wote na nadhani kitendo cha CCM kutupa hiinelimi ya madesa vyuoni basi waliua kila kitu.
  2. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Kenya: Visa 700,000 vya utoaji mimba vinaripotiwa kwa Mwaka, kati ya hivyo 80% vinawahusu Wanandoa

    Ripoti ya Wizara ya Afya kwa ushirikiano wa African Population and Health Research Centre (APHRC) na Taasisi ya Guttmacher imeeleza kuwa kati ya Aprili 2023 na Mei 2024, zaidi ya visa 792,000 vya utoaji mimba vimeripotiwa Nchini Kenya. Ripoti imeeleza namba hiyo ni sawa na wastani wa visa 57.3...
  3. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Jana Mbunge wa Kenya kauliwa na huku kwetu kiongozi wa kidini kavamiwa. It makes you wonder kwamba je wewe mpambanaji wa kawaida what worst can happen

    Aisee, Amani na Utulivu ndio tumaini la mwisho katika ubinadamu ila kwa bahati mbaya kwa baadhi ya watu sio kitu cha thamani kwao. Nawatakia Amani ndugu zangu.
  4. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Minimal salary ya Kenya vs minimal salary ya Tanzania!

    Heko mama samia suluhu hasaan our best president ever, congratulation, kiwango cha chini cha mshahara kwa Tanzania ni shs 500,000/-(24,000kshs),wenzetu huko Kenya wao bado wapo kwenye 311,000/-(15000kshs) mpaka leo hii..... -Wataalamu hapa watufafanulie purchasing power of both N. B, pamoja na...
  5. funaku

    JamiiForums Tanzania Mashambulio Pacha Kenya na Tanzania Mbunge Charles Were na Padre Charles Kitima

    Wataalamu wa ubashiri na nyota na pia jamii ya wana intelligensia tumeyasikia matukio haya mabaya yaloyotokea Ndani ya nchi hizi jirani. Ikumbukwe mwaka 1998 kuliwahi kushuhudiwa mashambulio ya awali duniani ya kigaidi yanayotumia milipuko katika majengo Nairobi na Daressalaam yaliyofanywa...
  6. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Angalia Jukwaa la Wageni rasimi mei mosi Kenya Vs Jukwaa la wageni rasim Mei mosi Tanzaniza pale Singida,

    Nilisema jana Taifa linaangamia kwa ujinga. Ni mwendo wa Uchawa, Mbona Jk, Mkapa na Mwinyi huu ujinhahaukuwepo? Au walikuwa washamba sana? Hii ni singida. Hii ni Kenya jikwaa kuu lina rangi za Bendera za nchi na hakuna picha ya William Ruto.
  7. Daby

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania TANZIA Mbunge wa bunge la Kenya Charles Were apigwa risasi na kufariki

    Vyombo vya Kenya Jana usiku vilitoa habari ya kuuliwa kwa Mbunge Were aliyepigwa risasi na mtu aliyekuwa anayeendesha pikipiki. Tukio hili limetokea baada ya Mbunge huyu wa ODM kuliomba jeshi la polisi la Kenya kumpatia ulinzi kutokana na vitisho kutoka kwa watu wasiojulikana kwa wiki kadhaa...
  8. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Upinzani Kenya watishia kuishitaki serikali ya Ruto ICC

    Viongozi wa vyama vya upinzani nchini Kenya wamelaani vikali ghasia zilizozuka katika Eneo Bunge la Kilgoris, Kaunti ya Narok, kati ya wananchi na maafisa wa polisi kuhusu mgogoro wa ardhi ya ekari 6,800 – ambapo watu watano waliuawa. Katika taarifa ya pamoja iliyosainiwa na Kiongozi wa Chama...
  9. CHASHA FARMING

    JamiiForums Tanzania Hivi Tanzania kuna anaye lima Ashagwandha Herb? Kenya nimekuta wana mashamba makubwa na wana Export.(King of all Herbs)

    India ndio mzalishaji mkuu wa Ashwagandha na ndio Exporter mkuu pia wa hii Dawa kwenda Ulaya na Marekani.Hata Bongo kuna kampuni zinazalisha dawa hii zina park na na hisi iko Dar hio kampuni. Sasa juzi kati nikakuta Kenya kumbe wanalima na wana export mizizi ya hii herbs. Je Tanzania tunalim...
  10. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Democrasia iliopo Kenya hasa uhuru wa habari sio wa levo hizi za Africa ni beyond Africa labda Ulaya huko nako pia nina wasiwasi.

    Democrasia iliopo Kenya sisi hata robo yake hatutarajii kuifikia , kwa kizazi hiki cha kipumbavu. Jamaa wako mbali sana kwenye uhuru. Angalia hii habari na piga picha ndio Bongo hii. Hii je? Kenya uhuru wa Habari ni beyond, Tanzania kuna wajinga wanadanganywa kwamba kuna uhuru wa Habari...
  11. Mpepetaji

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya, Video: Mbunge akiwazonga polisi na kuhoji kwanini wanaua watu

    Mbunge wa Emurua Dikirr, Johana Ngeno, alijikuta katika mvutano na polisi kufuatia tukio la vurugu lililosababisha vifo vya watu watano katika eneo la Angata Barrikoi, Kaunti ya Narok, Kenya. Tukio hilo lilitokea wakati wa maandamano ya wakazi waliokuwa wakipinga mzozo wa ardhi, ambapo polisi...
  12. Cambodian

    JamiiForums Tanzania BBC documentary kuhusu maandamano ya Kenya

    Nimetoka kutizama Documentary ikiielezea maandamano ya Kenya . Documentary ile imeenda mbali na kukusanya ushahidi wa video kabisa ikimuonesha askari aliyehusika kumuua mwandamanaji mmoja . Video hii itabaki milele na haki itakuja kupatikana tu . Ushauri kwa wote wanaojiona invisibles na...
  13. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Kenya wanapanga kufuta majimbo/ Constituency 27. Tanzania tunaongeza wanaaminishwa italeta maendeleo

    Kenya uchahaguzi mkuu ujao wanaoanga kupunguza majimbo 27 na hivyo wabunge 27 wanwenda kukosa kazi. Raia wa Kenya wanataka idadi ya Wabunge ipungue na sio iongezeke. ================== Aliyekuwa Kiongozi wa Chama cha Farmers, Irungu Nyakera, Aonya Kuhusu Hatma ya Majimbo 27 Nchini Kenya...
  14. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais wa Finland akitembelea Tanzania atumiwe email za kutosha kuhusu kutembelea nchi isiokuwa na utawala wa sheria

    Hii ndio njia ya kudili na hawa CCM kuliko kutwa nzima kujaza servers ya Jf na post za kulia lia tu. Tuachane na post za kulia lia. Sasa kwa upande wa Tanzania, huyu Mwamba wa Finland anapaswa kutumiwa email za kutosha kwamba anatembelea taifa lisiloheshimu misingi ya utawala Bora, akipata...
  15. Yoda

    JamiiForums Tanzania Imekuaje Kenya kuingizwa katika Mgogoro wa Tanzania na Malaw?!

    Kuna mtu anaweza kuelezea sababu za magari ya Kenya kutoka Malawi yanayopitia Tanzania kutaabishwa katika mipaka yetu kutokana na mgogoro wetu na Malawi?
  16. Heparin

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwanasheria Martha Karua atua Kisutu kutoka Kenya kumpambania Tundu Lissu

    Wakili Mpale Mpoki anayeongoza jopo la Mawakili wa Kumtetea Tundu Lissu ameimbia mahakama kuwa leo kuna observe kutoka Kenya Wakili nguli Martha Karua. Lakini pia yupo Wakili Ferdinand Makore na Michael Lugina kwa upande wa utetezi. Martha Karua ni mwanasiasa mashuhuri wa Kenya, wakili wa...
  17. Yoda

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Ruto wa Kenya alalamika ni vigumu sana kusifiwa na raia wa Wakenya!

    It is very rare to get compliments from Kenyans - President Ruto
  18. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ziara ya Rais wa Kenya nchini China yaonesha nia ya Nchi za Kusini ya kuimarisha ushirikiano

    Jumanne wiki hii, Rais William Ruto wa Kenya aliwasili Beijing na kuanza ziara ya siku tano nchini China. Ziara hii inafanyika baada ya Rais Donald Trump wa Marekani kuanza “vita vya ushuru” dhidi ya dunia nzima, na Bw. Ruto ni rais wa kwanza wa nchi ya Afrika kutembelea China katika kipindi...
  19. JF Member

    JamiiForums Tanzania Riba ya Mikopo ya Tanzania na Kenya

    Katika kujisomea kwangu mambo ya uchumi. Naona sasa ni rahisi kukopa kenya na kuja kuwekeza Tanzania. Riba yao ni nafuu kuliko ya kwetu. Kwa hari hii sisi tutaendela kuwa chini kiuchumi. Serikali na BOT fanyeni mpango mpunguze Riba ili wananchi wakope pesa na wawekeze. What is the CBK base...
  20. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Kikwete alivyozungumza uwazi wa Uchaguzi Mkuu ulivyokuwa bora katika Uchaguzi wa Kenya

    Rais mstaafu wa Tanzania, Jakaya Kikwete alivyokuwa anaongoza ujumbe wa waangalizi wa Uchaguzi Mkuu wa 2022 uliofanyika Agosti 9, 2022 Nchini Kenya.
Back
Top Bottom