kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. K

    JamiiForums Tanzania Kazi za BOT zilizopitia utumishi walisema wanataka watu wa Upper Second, First Class tu. Mbona na sisi wenye Lower Second system ilituruhusu kuomba?

    Hali zenu wandugu? Kuna tangazo la kazi za BOT zilitangazwa na Ajira portal,lile tangazo lilisema wanatakiwa kuapply watu wenye upper and first class pekee, ila cha kushangaza mfumo uliruhusu mtu yeyote mwenye degree tajwa aombe. Hivi tunaweza kuitwa kweli kwenye usaili, na imekuaje mpaka...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Hivi Mbowe, Lema, Sugu na wenje mbali na siasq wanaweza kufanya kazi gani? Lisu naona yuko katika genge la wahuni na zero brains.

    Kwa vyovyote tulitegemea mbowe awe dictator ndani ya chama mana nje ya siasa hana cha kufanya mana hata form four hakumaliza vile vile mnyika alidisco pale udbs alipokuwa anasoma bba. Watanzania mjue hawa hawaki kwa maslahi yenu bali ni njia ya kujinufaisha wao wenyewe. Uzuri kwa hili...
  3. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Polisi anafanya kazi mbali na inapoishi familia yake. Askari Mgambo anatumwa kukamata watu wa mtaani kwake. Hii sio sawa hata kidogo....

    Good Morning my dear brothers and sisters out there. MGAMBO WANAOFANYA KAZI SAMBAMBA NA POLISI NJE YA MIJI MIKUBWA (DAR, MWANZA, ARUSHA, MBEYA) (1) Mgambo anakamata watu anaoishi nao mtaa mmoja. Polisi anakamata watu nje ya eneo analoishi yeye pamoja na familia yake. Hii ni nini kama sio...
  4. P

    JamiiForums Tanzania Angalieni wenyewe Tanesco wanavyofanya kazi

    Leo ni wiki inafika na sijapata huduma. Update : Leo tarehe 21/12/2024 saa tisa na dakika 35 tanesco wamefika na wametatua tatizo Asante sana meneja asante sana mdau Sope suazo kwa kunipa namba ya meneja Asante mafundi walionihudumia Asante TANESCO
  5. milele amina

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa kujirusha mitandaoni,namajukumu yao ya kazi ,wananchi hawayaoni kimatendo

    Moshi umekuwa mji mchafu kuliko miaka yote
  6. G

    JamiiForums Tanzania Dada wa kazi ya uwakala

    Habari wakuu kwa mtu mwenye ofisi ya uwakala na anatafuta dada mzoefu kwenye kazi ya uwakala anaweza kunichek...ikiwa Dar itapendeza zaidi
  7. W

    JamiiForums Tanzania Mbele ya CHADEMA Kuna Uzima na Mauti, wapiga kura kazi kwenu

    Ukiangalia mtifuano uliopo Katika Kinyang'anyiro Cha Uwenyekiti Taifa ndani ya Chama Kikuu Cha Upinzani CHADEMA, utagundua kwamba Kuna Uzima na Mauti kwenye hicho Chama. Mauti ya Chadema iko hapa: Tuhuma za miaka yote kuihusu Chadema kama taasisi zimekuwa zikipuuzwa sana huku wanasiasa maarufu...
  8. M

    JamiiForums Tanzania NSSF ituruhusu tulioajiriwa serikalini kuchukua mafao yetu NSSF tuliojiwekea wakati tukifanya kazi private

    Mwanzo ilikua ukimaliza mkataba wako secta binafsi unaruhusiwa kuchukua mafao yako yote. Lakini sasa upo utaratibu ambao nashindwa kujua kwa nini umeletwa. Mimi nilifanikiwa kuweka michango yangu kwa miaka kadhaa nssf wakati nafanya kazi secta binafsi. Baada ya kupata ajira ya serikali nilikua...
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Ulega: TANROADS mnatakiwa kufanya kazi Usiku na Mchana ili kukamilisha miradi ya dharura iliyo chini yenu

    Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, ameagiza Wakala wa Barabara nchini (TANROADS) kufanya kazi usiku na mchana ili kukamilisha miradi ya dharura iliyo chini yake. Waziri Ulega ametoa maagizo hayo kwenye mkutano wake na Menejimenti na Mameneja wa TANROADS wa mikoa yote nchini uliofanyika mjini...
  10. Dogoli kinyamkela

    JamiiForums Tanzania Mwanajeshi wa Marine (USA) aliamua kuacha kazi jeshini na kuanza kazi mpya kama mwalimu wa high school

    Mwanajeshi wa Marine (USA) aliamua kuacha kazi jeshini na kuanza kazi mpya kama mwalimu wa high school, sasa kabla mwaka wa masomo haujaanza aliumia mgongo na akatakiwa avae plaster cast(piopi zile wanazovaa waliovunjika), akafungwa plaster cast iliyozunguka sehemu ya juu ya mwili wake...
  11. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Ukifanya kazi zaidi ya miaka 10 na huna kiwanja au nyumba hayo sio maadili

    Katibu Msaidizi Sekretarieti ya Maadili Kanda ya Kusini, Bw. Filotheus Manula amewaambia Viongozi wa Umma kuwa Maadili kwa kiongozi wa Umma hayapimwi kwa kiongozi kuwa masikini au tajiri, kwani kiongozi anaweza kuwa masikini na akawa hana Maadili na kiongozi anaweza kuwa tajiri na akawa na...
  12. mr pipa

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya udereva wa mabus au roli semi tella

    Nina uzoefu wa miaka 8 nimeendesha katika nchi tatu ikiwemo rwanda, kenya,pamoja na south Afrika Nina mepitia veta na nina cheti, nina leseni class E, C, B,D Nipo tayari kufanya kazi mkoa wowote kwa malipo yoyote sina tamaa Gari ambazo nazimudu pamoja na scania,schman, howo,faw, na zingine...
  13. milele amina

    JamiiForums Tanzania Ninaomba mwenye utaratibu namna ya kukodisha Karimjee Hall kwa miaka mitatu mfulilizo kwa kazi maalum! Kuanzia Tar 20.12.2024

    Ninawasilisha!
  14. Tman900

    JamiiForums Tanzania Punguzeni kuomba, wote tunafanya kazi Kipato sawa

    Linapofika swala la Asubuhi kwenda kwenye Chai, Ofisi nyingi huwa Zina Staff Tea. Sasa Kuna wale ambao wanaenda Canteen kununua chai. Mshahara tunalipwa wote kiwango sawa au Hata wewe umenizidi mshahara, Punguzeni kuomba nunuliwe Breakfast. Na ukifika Mchana pia kama Kawa mda wa luch...
  15. Knock life

    JamiiForums Tanzania Ipi kazi ngumu kati ya kuongoza nchi na kuongoza chama cha siasa?

    Ndugu Yericko Nyerere , naona mrija wako upo hatarini kukatwa . Baada ya ujio wa Tundu Lissu ndo tujaua ukweli ikiwa kilimo cha Bamia kinalipa hadi mtu kujenga hekalu na maghorofa.
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Silaa aitaka Bodi ya TTCL kuandaa Mpango Kazi wa Kujiendesha Kibiashara

    Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Jerry William Silaa (Mb), ameiagiza Bodi ya Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) kuandaa mpango kazi utakaowezesha shirika hilo kujiendesha kibiashara. Waziri Silaa ametoa maagizo hayo leo tarehe 16 Desemba, 2024 wakati akizindua Bodi ya...
  17. N

    JamiiForums Tanzania Aliye Rebrand TigoPesa kuitwa Mixx by Yas afukuzwe kazi

    Inaonyesha kabisa hii marketing team ya mwekezaji mpya haipo serious. Mixx by Yas ndo huduma gani? Haireflect chochote kinachohusiana na huduma za kifedha. Jina limekaa kama DJ wa vigodoro. Hata Focus group walishindwa kufanya kabla ya kuweka hilo jina? Yani kutoka syllables nne — ti-go-pe-sa”...
  18. ALENI WAKALA

    JamiiForums Tanzania Naomba Msaada: Ushauri, Kazi, Mtaji, au Vifaa vya Kusikilizia

    Habari wanajamii, Naitwa Allen, Samahani Kwa usumbufu, natambua mna mambo mengi ya kufanya ila kwa MDA wako umeamua kupitia Uzi huu🙏🏿, Napitia changamoto ya Usikivu hafifu Kwa takribani miaka mitano (5) hali ambayo imeathiri sana maisha yangu ya kila siku. Nimezunguka HOSPITALI tatu (3)...
  19. G

    JamiiForums Tanzania Namtegemea Mungu kwa asilimia kadhaa, nawashangaa watu wanaomtegemea kwa asilimia zote, Ni kwamba wamesahau kazi ya akili na umuhimu wa kufanya kazi ?

    Huwa nashangaa sana nikiona collective thoughts za waafrika hasa mitandao ya kijamii, Utaona mtu kaandika "Mwaka huu utapata milioni 100, andika amen" basi utakuta mpaka komenti elfu 1 watu wanaamini watajaziwa pesa kwenye mito wanayolalia waamke wazikute kama mapera. Wengine hata...
  20. I

    JamiiForums Tanzania Naombeni kazi Dodoma

    Habari za asubuhi wapendwa. Kijana mpambanaji miaka 28 nimekuja Dodoma kupambana ila hali imekuwa tete nimeshindwa kiukweli naomba kama kuna mwenye ramani ya kazi au kibarua dodoma naomba msaada. Angalau niweze kumudu gharama za kukaa hapa Dodoma. Nipo tayari kuwasaidia fundi au kufanya...
Back
Top Bottom