kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Kazi ya Polisi ni kuwathibiti watu wanaokunywa pombe za machicha wasilete fujo.

    Kama watu elimu yao ni ndogo,kama watu wakivuta bangi,basi, inevitably wataleta fujo na Polisi ni kazi yao kuhakikisha kwamba inakuwepo law and order. Kwa sababu ikifika mahali kwamba watu wanaona kwamba hawalindwi ins maana kwamba lazima wajilinde wenyewe. Na watu wakianza kujilinda wenyewe...
  2. P

    JamiiForums Tanzania Naomba kazi

    Mimi ni mchumi kutoka chuo Cha ushirika Moshi(MoCU) TITLE: MR PROFESSION: ECONOMIST EXPERIENCE: FRESH GRADUATE LOCATION: MBEZI-DAR ES SALAAM Naomba kazi yoyote halali ambaye daily naweza pata kuanzia 10k . *Naweza kuandika (Research) * Naweza kufanya data analysis kwa kutumia SPSS na Excel...
  3. Brojust

    JamiiForums Tanzania Kwa Hapa Tanzania, ukikosa kazi kabisa sio lazima ukabebe tofali au kazi za ujenzi, Nenda kijijini kalime.

    Mwanangu mpambanaji, umekosa mtaji, mjini hakueleweki, ushamaliza degree yako na home hapaeleweki kazi hazieleweki. Sikia, chukuwa vyeti vyako, scan, tunza kwenye email yako, tengeneza template ya barua ambayo unaweza ku edit hata kwa simu. Piga simu kujijini kwenu, haswa kwa watu wa mbeya...
  4. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Jumuiya ya umoja wa mabaharia Tanzania yampongeza waziri Kombo kwa kazi nzuri ya kuhudumia mabaharia wa Tanzania nje ya nchi

    JUMUIYA YA UMOJA WA MABAHARIA TANZANIA YAMPONGEZA WAZIRI KOMBO KWA KAZI NZURI YA KUHUDUMIA MABAHARIA WA TANZANIA NJE YA NCHI Jumuiya ya Umoja wa Mabaharia Tanzania imempongeza Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo, kwa juhudi kubwa...
  5. K

    JamiiForums Tanzania PCCB mko wapi nilitegemea kuona mnalifanyia kazi maana hapa Tanzania kuna utawala wa sheria ( rule of law)

  6. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi

    Nini Elim ya kidato cha nne nahitaji kazi kwa mwenye kazi
  7. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Azam Ongezeni watu wanaotafsiri kazi za Sana za nje.

    Lengo lenu ni zuri sana, lakini kitendo cha kazi nyingi za sanaa kutoka nje ya Tanzania zinazotafsiriwa kwa kiswahili kuwa na sauti zile zile kwa kazi tofauti tofauti, siyo sawa. Itapendeza kama mtaweza kuwa na watia sauti tofauti wengi kuliko Kila kazi ya sanaa kutumia sauti zile zile za watia...
  8. Kang

    JamiiForums Tanzania WhatsApp kuacha kufanya kazi simu za zamani Jan 1

    Meta wameamua kuacha kussuport simu zenye Android KitKat (4.4) kwenda chini kuanzia Jan 1 2025. Baadhi ya simu maarufu ambazo zitaacha kufanya kazi ni Samsung: Galaxy S3, Galaxy Note 2, Galaxy Ace 3, Galaxy S4 Mini Motorola: Moto G (1st Gen), Razr HD, Moto E 2014 HTC: One X, One X+, Desire 500...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kazi

    Wakuu poleni kwa majukumu! Ndugu zangu naombeni msaada wenu mwenye connection ya kazi naomba aniunganishe,hakika nimechoka kujitolea now ni mwaka 3 najitolea bila ajira.nina experience ya laboratory technician, laboratory analysis, quality control, quality assurance na microbiologist .kama kuna...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa mkemia uanaeanza kazi salary scale ipi na je ni tofauti kwa tbs,gcla tpdc na wizara kwa chief pharmacist.

    Naomb kujuan salary scale ya mkemia kwa tbs,gcla na tpdc,nimr,nm
  11. Bueno

    JamiiForums Tanzania Kwa ambae anafahamu Waziri wa Ajira kwa sasa ni nani Ndejembi, Ndalichako au Ridhiwani?

    Wakuu naomba kufahamu maana hizi pangua za hivi karibuni zimesababisha nivurugwe sielewi elewi naomba kwa anaefahamu anifahamishe vizuri. Hivi Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu kwa sasa ni nani? Naombeni kumfahamu wakuu Waziri anaeshughulikia masuala ya...
  12. KABAKA28

    JamiiForums Tanzania ChatGPT ameshindwa swali langu?

    AI imetumia zaidi ya siku moja sasa, mpaka sasa haijatoa jibu la swali/task langu. Kila nikiuliza update ananiambia nisubiri analifanyia kazi. Au uwezo wake umeishia hapo?
  13. WOWOWO

    JamiiForums Tanzania Maria Sarungi kamwingiza Lisu mtegoni, kazi ni kama inaenda kukamilika if no intervention

    Kwa sisi wafuatiliaji wa siasa za upinzani Tanzania lakini na uhusiano kati chama dola na dola na chama dola na upinzani lakini mazingira ya siasa za Tanzania kwa ujumla wake tunafahamu kwamba siasa za Tanzania zinaishi katika state machinery ambayo ina players wengi. Lakini msingi na kazi...
  14. A

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi kwenye NGOs au mashirika yanayosaidia watu

    Habari wana JF Naitwa Aisha natafuta kazi kwenye mashirika yanayosaidia watu au EGOs nina shahada ya sheria msaada tafadhali
  15. L

    JamiiForums Tanzania Wanajeshi wa Uingereza wanaacha kazi ya jeshi licha ya malipo bora

    Wanajeshi wa Uingereza wanaacha kazi ya jeshi bila sababu za msingi,licha ya mshahara mzuri wanaolipwa,sababu. Ni Nini? UK soldiers quit in thousands despite Labour's pay rise Soldiers are quitting the British Armed Forces at an alarming rate, despite a pay rise over the summer, Report informs...
  16. Mwanangikolo

    JamiiForums Tanzania Nimepata agents wa kuniuanganisha na kazi nchini POLAND. Je ni nitapa au nitaliwa hela yangu tu Bure na kazi nisipate

    Me ni mwenyeji wa Kanda ya kati uko mkoa x ila kwa sasa nipo mjini Dar baada ya kupata huu mchongo. Kuna jamaa angu alinstua kwamba nije Kuna kazi imepatikana uko nje ya ulaya katika nchi ya Poland. Basi nikawa nimekuja toka wiki iliyopita kufatilia basi akawa ameniunganisha na uyo agent na...
  17. Q

    JamiiForums Tanzania Wanaharakati wa Tanzania kazi yao ni kudandia kwenye migongo ya vyama vya siasa.

    Wepesi sana kulaumu vyama vya siasa vinapofanya makosa huku wao wakijificha nyuma ya laptop. Dada wa Taifa alijaribu kuandaa maandamano akiwa ughaibuni lkn nayo hayakufanikiwa kwa sababu alitegemea Chadema wajitokeze, kwanini wanaharakati hamkujitokeza kumuunga mkono mwenzenu. Maria Sarungi...
  18. D

    JamiiForums Tanzania Hivi Mbowe, Lema, Sugu na wenje mbali na siasq wanaweza kufanya kazi gani? Lisu naona yuko katika genge la wahuni na zero brains.

    Kwa vyovyote tulitegemea mbowe awe dictator ndani ya chama mana nje ya siasa hana cha kufanya mana hata form four hakumaliza vile vile mnyika alidisco pale udbs alipokuwa anasoma bba. Watanzania mjue hawa hawaki kwa maslahi yenu bali ni njia ya kujinufaisha wao wenyewe. Uzuri kwa hili...
  19. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Serikali inapaswa kuona umuhimu wa kuweka sheria na utaratibu mzuri kwaajili ya watanzania wote wanaofanya kazi viwandani ili kuwalinda na ukatili

    Watanzania maskini wengi wao wamekuwa wakipitia wakati mgumu na manyanyaso wengi wao wakiwa ni wanawake na watoto wanaofanya kazi viwandani hali hii haikubaliki na inaminya haki za msingi za binadamu. kuna ushahidi mkubwa kuwa kuna watanzania wengi wananyanyasika viwandani na kufanyishwa kazi...
  20. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Hivi ili uwe muokota makopo lazima kichwani ziwe zimepungua?

    Hivi hii kazi ukitaka kuifanya lazima uwe chizi kidogo maana naonaga waokota makopo kwa asilimia 100% ni kama wamevurugwa akili zao kama hamnazo je ndio mfumo wenyewe wa hizi mishe au ndio kutingwa na maisha magumu nakaribisha maoni yenu waokota makopo na msio waokota makopo ila hii sio kazi...
Back
Top Bottom