Kuna Muda Nikimuona Mwanamke wangu ananisogelea akiwa mpole sana Na Kuniita majina Matamu kama
“Mume wangu Kipenzi ,My Chulululilu, Baba watoto wangu..”
Najua tayari sentensi inayofuata ni “Naomba….”
Wakuu Mwanamke asiyekuwa na kazi ni Mzigo Mkubwa sana ,Shida zake ni kama seasons,Ukimaliza...