kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi katika kampuni ya clearing and forwarding

    M
  2. JamiiForums Tanzania Hawa sio matapeli wa ajira kweli? wao wanauza form ya maombi ya kazi Tsh 2500, Mirogena & Company Limited

    Habari wadau hawa jamaa wametangaza nasafa sa kazi lakin nashangaa wanakwambia jaza form alafu ulipie tsh 2500 ya form? Ukishaingia kwenye tovuti yao ndo unakutana na hizo habari za ada ya form kweli inaingia akilini hii kitu wanajiita...
  3. JamiiForums Tanzania GE2020 Namshauri mgombea wangu wa Urais CCM, Dkt. Magufuli aache kufanya kazi ya kumjibu Tundu Lissu, ni kazi ya kina Polepole

    Mimi nawashangaa sana hasa vijana wa CCM tuliokaa kimya tukimwacha mgombea wetu anajibizana na mgombea wa CHADEMA Tundu Lissu. Hivi tunaelewa maana ya hili? Mnaelewa mitego anayotengeneza Tundu Lissu? Vijana wenzangu wa CCM tuache kutanguliza maslahi mbele, tumsaidie Rais na mgombea wetu...
  4. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi inayohusiana na Logistics and Transport

    Habari wana JF wa jamvi hili la Ajira. Nina diploma ya Logistics and Transport Management kutoka katika chuo cha usafirishaji (N.I.T), plus Microcomputer course kutoka University of Dar es salaam (U.C.C). Nina experience ya miaka miwili kusimamia magari na madereva, nina skills za kutosha...
  5. JamiiForums Tanzania Michezo ya kubahatisha kama biko na tatu mzuka mmiliki wao ni nani na inafanyaje kazi?

    Habari wakuu, nahitaji kujua hivi hii michezo ya kubahatisha wamiliki ni akina nani manake imeibuka kuwa mingi sasa. Na pesa wanayokusanya inaweza kuwa nyingi hivi au kawaida? Pia huwa inaendeshwaje kwa maana ya kuchagua namba na mambo mengine.
  6. JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri Chato: Mkutano wa mgombea Urais Dkt. Magufuli (CCM) - Septemba 14, 2020

    MKUTANO WA MGOMBEA URAIS JOHN POMBE MAGUFULI KUTOKEA CHATO, GEITA UKO LIVE === MAGUFULI: Ndugu zangu wa Chato na Geita kwa ujumla, mwaka 1995 nilikuja kuomba kura kwa nafasi ya ubunge, mkanipa miaka 5, nikaja tena mwaka 2000, nikaja tena 2005. Katika vipindi vyote vinne nikiwa mbunge...
  7. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ana huruma, wenye vyeti feki walitakiwa walipe pesa zote walizolipwa miaka yote au wawe jela kawaachisha kazi tu

    Kufanya kazi kwa kutumia vyeti feki na kulipwa mshahara ni uhujumu uchumi Rais Magufuli ana huruma wenye vyeti feki walitakiwa walipe pesa zote walizolipwa miaka yote au wawe jela kawaachisha kazi tu Angekuwa mkali sasa hivi magereza yangekuwa yamejaa hadi kushindwa kumudu Pia walitakiwa...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Natafuta Kazi ya kufundisha

    1. Mm ni mwalimu wa physics na chemistry kutoka chuo cha St. John' s University of Tanzania. 2. My experiences 1 year worked Goldland school Kigamboni. 3. Natafuta nafasi ya kufundisha kwenye masomo yaliyotajwa hapo juu kuanzia I level and A Level . 4. Namba yangu ya simu 0685580831 5. Myemail...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Msaada wa haraka sana kuhusu namna ya kuomba kazi zilizotangazwa kwenye system

    Wana Jamii forums elimu heshima Naomba msaada, ninapoingia kwenye hii system ya kuomba hizi ajira, nimekutana na changamoto zifuatazo na nimeshindwa kufanya chochote, email already exist Mara account already exist nimeshindwa kufanya chochote nisaidie jamani mwaka Jana niliomba lakini...
  10. JamiiForums Tanzania Ajira Mpya za Walimu zinaweza kuwaumiza zaidi wasio na kazi kabisa mtaani

    Sio muda mrefu Serikali imetangaza ajira 13000 kwa walimu wa sekondari na shule za Msingi. Jambo hili ni tumaini jipya kwa walimu hasa wale ambao walikuwa hawana 'michongo' tangu wamehitimu elimu zao Nawaza wale ambao wamejichimbia kijijini jinsi watakavyopata 'Bundle cost' (The newest form of...
  11. JamiiForums Tanzania GE2020 Wakurugenzi waliowaondoa Wagombea wa Upinzani kwa maelekezo ya CCM wafutwe kazi, wana ajenda yao wakiachwa wataleta machafuko

    Baada ya Tume ya Uchaguzi kuthibitisha kwamba haikuwa sahihi kuwaengua Wagombea wa Upinzani kama ilivyofanywa na Wasimamizi wa uchaguzi ambao ni wanachama wa CCM, kuna haja ya kuwaondoa kabisa wakurugenzi hao kwenye usimamizi wa uchaguzi huu ili kuepusha maafa. Hawaaminiki tena na wala hata wao...
  12. JamiiForums Tanzania Nafasi za Kazi Wizarani na Taasisi zinazojitegemea

    Kumb. Na EA.7/96/01/ K/277 8 Septemba, 2020 TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Wizara na Taasisi zinazojitegemea anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi za kazi nne (4) kama...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Naomba kazi au kibarua mkoa wowote

    Habari wana Jamii Forums, Naomba kwa yeyote anayeweza anisaidie kazi/kibarua au hata mtaji kama itawezekana kwa mkopo baada ya makubaliano. Jinsia: Me. Elimu: Kidato cha sita. Makazi: Dar es salaam. NB: Niko tayari hata ikipatikana mkoani(nje ya dar). Nawasilisha.
  14. D

    JamiiForums Tanzania Nimetuma maombi ya kazi kimakosa

    Naombeni msaada wadau, Nimetuma kimakosa application za ualimu, nilienda internet cafe kufanya application bahati mbaya aliyenihudumia akawa amechanganya taarifa zangu na mtu mwingi kwenye vyeti sasa tatizo linakuja nashindwa kuviondoa vyeti vya mtu mwingine kwenye account yangu.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Hivi TBC kazi yake ni kumwonyesha Magufuli peke yake?

    TBC inaendeshwa kwa kodi za Watanzania wote. Kwanini Magufuli peke yake ndio anaonyeshwa kwenye hii TV ya Taifa? Yaani hata akiwa anasalimiana na watu barabarani TBC inamwonyesha. Mbona wagombea wa vyama vingine hawaonyeshwi kama anavyoonyeshwa huyu?
  16. JamiiForums Tanzania CHADEMA tuliwaambia kazi kubwa ni kujenga chama matawini ndio utafute kushika dola mkadharau

    Wapiga kura hupatikana chini kwenye matatu mitaaani na vijijini. CHADEMA walikuwa na resources zote hasa kipindi cha Slaa na Lowasa. MATAJIRI wengi walikuwemo chadema wangeweza kujenga ofisi Nzuri na za makao makuu na za matawi nchi nzima bila hata kutumia ruzuku Bali michango tu ya wanachama...
  17. JamiiForums Tanzania Leo naweka 'Utani' wangu pembeni kabisa na naomba wana Simba SC Wenzangu 'Mnisamehe' ila kwa huyu Michael Sarpong Kazi ipo Kwetu na Tuisila abadilike

    Michael Sarpong Leo niseme tu ukweli wangu nimewahi Kuwashuhudia Washambuliaji mahiri sana hapa nchini Tanzania kutokea Timu mbalimbali za Ligi Kuu yetu hii ila kwa Kumtizama Kwangu katika Mechi zake Mbili huku nami nikiwa 'namtathmini' kwa Jicho langu la Kiuchezaji Mpira hasa miaka yangu ya...
  18. JamiiForums Tanzania Je upo kama mimi? Nina marafiki wachache wa kweli, nawaza sana siku wakiniacha peke yangu

    Yes, najua kaka zako, dada zako, wadogo zako au familia yako ya wewe na mkeo/mumeo pamoja na watoto ni muhimu kuliko marafiki zako lakini haimaanishi mtu usiwe na marafiki, marafiki ni watu muhimu pia(kwa kiasi) Nakumbuka zamani nilikuwa na marafiki wengi sana, shule ya msingi ndio nilikuwa nao...
  19. JamiiForums Tanzania Hotuba ya Rais ya kuvunja Bunge la 11: Ni vitu gani kama vioo vipo mbele ya Mheshimiwa Rais - teleprompter ya kusomea ni nini?

    Nipo hapa naangalia hotuba ya Mweshimiwa Rais, sasa kuna kitu kinanitatiza kuna vioo viwili vipo mbele ya Mweshimiwa Rais mbele sijaelewa ni vitu gani vile?
  20. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta watu watatu wa kufanya nao kazi

    Habari za mida hii. Mimi ni kijana mjasiriamali mdogo,kwa maana ya mtaji mdogo na idadi ndogo ya wateja.Pamoja na hayo nahisi kwamba kuna fursa nyingi ambazo nashindwa kuzitumia ipasavyo kwa sababu tu ya kuwa peke yangu na kukosa support ya watu sahihi. Hivyo basi nahitaji vijana watatu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…