Wewe ni Mwalimu (Msingi, Sekondari n,k) na unahitaji mtu wa kubadilishana naye kituo cha kazi?
Weka ombi lako hapa na wengine watawasiliana nawe.
Ni muhimu kuzingatia kuwa, ukiweka baruapepe (email), namba yako ya simu mtandaoni haishauriwi (at your own risk). Njia bora inayopendekezwa na...
dar
elimu
elimu msingi
kazi
kituo
kubadilishana
mawasiliano
moshi
mshahara
msingi
mwalimu
natafuta
ngazi
shule
shule ya msingi
tabora
uhamisho
umma
vijijini
vituo
watumishi
watumishi wa umma
wilaya
Kufanya kazi kwa kutumia vyeti feki na kulipwa mshahara ni uhujumu uchumi
Rais Magufuli ana huruma wenye vyeti feki walitakiwa walipe pesa zote walizolipwa miaka yote au wawe jela kawaachisha kazi tu
Angekuwa mkali sasa hivi magereza yangekuwa yamejaa hadi kushindwa kumudu
Pia walitakiwa...
1. Mm ni mwalimu wa physics na chemistry kutoka chuo cha St. John' s University of Tanzania.
2. My experiences 1 year worked Goldland school Kigamboni.
3. Natafuta nafasi ya kufundisha kwenye masomo yaliyotajwa hapo juu kuanzia I level and A Level .
4. Namba yangu ya simu 0685580831
5. Myemail...
Wana Jamii forums elimu heshima
Naomba msaada, ninapoingia kwenye hii system ya kuomba hizi ajira, nimekutana na changamoto zifuatazo na nimeshindwa kufanya chochote, email already exist Mara account already exist nimeshindwa kufanya chochote nisaidie jamani mwaka Jana niliomba lakini...
Sio muda mrefu Serikali imetangaza ajira 13000 kwa walimu wa sekondari na shule za Msingi. Jambo hili ni tumaini jipya kwa walimu hasa wale ambao walikuwa hawana 'michongo' tangu wamehitimu elimu zao
Nawaza wale ambao wamejichimbia kijijini jinsi watakavyopata 'Bundle cost' (The newest form of...
Baada ya Tume ya Uchaguzi kuthibitisha kwamba haikuwa sahihi kuwaengua Wagombea wa Upinzani kama ilivyofanywa na Wasimamizi wa uchaguzi ambao ni wanachama wa CCM, kuna haja ya kuwaondoa kabisa wakurugenzi hao kwenye usimamizi wa uchaguzi huu ili kuepusha maafa.
Hawaaminiki tena na wala hata wao...
Kumb. Na EA.7/96/01/ K/277 8 Septemba, 2020
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Wizara na Taasisi zinazojitegemea anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi za kazi nne (4) kama...
Habari wana Jamii Forums,
Naomba kwa yeyote anayeweza anisaidie kazi/kibarua au hata mtaji kama itawezekana kwa mkopo baada ya makubaliano.
Jinsia: Me.
Elimu: Kidato cha sita.
Makazi: Dar es salaam.
NB: Niko tayari hata ikipatikana mkoani(nje ya dar).
Nawasilisha.
Naombeni msaada wadau,
Nimetuma kimakosa application za ualimu, nilienda internet cafe kufanya application bahati mbaya aliyenihudumia akawa amechanganya taarifa zangu na mtu mwingi kwenye vyeti sasa tatizo linakuja nashindwa kuviondoa vyeti vya mtu mwingine kwenye account yangu.
TBC inaendeshwa kwa kodi za Watanzania wote. Kwanini Magufuli peke yake ndio anaonyeshwa kwenye hii TV ya Taifa?
Yaani hata akiwa anasalimiana na watu barabarani TBC inamwonyesha. Mbona wagombea wa vyama vingine hawaonyeshwi kama anavyoonyeshwa huyu?
Wapiga kura hupatikana chini kwenye matatu mitaaani na vijijini.
CHADEMA walikuwa na resources zote hasa kipindi cha Slaa na Lowasa. MATAJIRI wengi walikuwemo chadema wangeweza kujenga ofisi Nzuri na za makao makuu na za matawi nchi nzima bila hata kutumia ruzuku Bali michango tu ya wanachama...
Michael Sarpong
Leo niseme tu ukweli wangu nimewahi Kuwashuhudia Washambuliaji mahiri sana hapa nchini Tanzania kutokea Timu mbalimbali za Ligi Kuu yetu hii ila kwa Kumtizama Kwangu katika Mechi zake Mbili huku nami nikiwa 'namtathmini' kwa Jicho langu la Kiuchezaji Mpira hasa miaka yangu ya...
Yes, najua kaka zako, dada zako, wadogo zako au familia yako ya wewe na mkeo/mumeo pamoja na watoto ni muhimu kuliko marafiki zako lakini haimaanishi mtu usiwe na marafiki, marafiki ni watu muhimu pia(kwa kiasi)
Nakumbuka zamani nilikuwa na marafiki wengi sana, shule ya msingi ndio nilikuwa nao...
Nipo hapa naangalia hotuba ya Mweshimiwa Rais, sasa kuna kitu kinanitatiza kuna vioo viwili vipo mbele ya Mweshimiwa Rais mbele sijaelewa ni vitu gani vile?
Habari za mida hii.
Mimi ni kijana mjasiriamali mdogo,kwa maana ya mtaji mdogo na idadi ndogo ya wateja.Pamoja na hayo nahisi kwamba kuna fursa nyingi ambazo nashindwa kuzitumia ipasavyo kwa sababu tu ya kuwa peke yangu na kukosa support ya watu sahihi.
Hivyo basi nahitaji vijana watatu...
Salaam Wakuu,
Nahitaji Welder mwenye ujuzi wa kutumia Mig na Tig Welding Machines.
Mig Welding Machine
Tig Welding Machine
- Malipo ya kazi hii yanategemea makubaliano kati yako (fundi) na Muajiri (Mmiliki wa mashine tajwa hapo juu). Kigezo cha msingi ni uzoefu na uwezo wa kufanya kazi...
Salamu na Utangulizi
Waungwana naamini mpo salama nami kwa kudra zake Muumba nipo salama. Tuwaombee wenzetu ambao kwa namna moja au nyingine afya zao si nzuri zipate kuimarika na warudi katika shughuli zao. Binafsi si muandishi wa mada humu jukwaani, ila ni mdau mzuri wa kuchangia hoja...
Habari za usiku huu ndugu zangu, Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, natafuta kazi serikalini
Elimu yangu ni: Degree ya ICT
Jinsia: Kiume
Umri: 29
Uzoefu kazini: 4 Years.
Uzoefu katika mambo yafuatayo:
1. Penetration Testing (vulnerability, sniffing, exploit & tools and social...
Hello JF,
Nadhani nishawahi kulileta before..
Ningependa kuona serikali yetu.. ina invest kwenye skills za vijana/graduates wetu...
Kwa mfano Jeshi lingefutwa, badala yake vijana watafutiwe ajira zile za temporary...
3-6 Months! za masomo waliyosomea
Hio hela inayotumika kuwa train vijana...
Habarini ndugu zangu.
Naomba kama naweza pata sehemu ya Law firm, nifanye kazi kwa kujitolea kwa kipindi hiki kwani nimemaliza masomo mwezi huu.
Natanguliza shukrani 🙏