kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. JamiiForums Tanzania Nina shahada ya nursing nimefaulu mtihani wa leseni. Natafuta kazi ya kujiingizia kipato

    Naitwa Paul Sirai Peter ni kijana mbunifu na kwenye jitihada yangu nimalize nilikuwa napima watu pressure masokoni kwa Mia mbili kabla ya kutakiwa kupata kibali hivyo naomba msaada wa kibarua chochote kitachonipa angalau mkate wa Kila siku. 0689052541
  2. JamiiForums Tanzania Referrers wanaohitajika wakati wa maombi ya kazi hasa serikalini ni akina nani?

    Inasikitisha sana wakuu
  3. JamiiForums Tanzania Tunduru: Mama aua mtoto wake kwa sumu ya panya kwa masharti ya kupata kazi za ndani Arusha

    MKAZI wa Kijiji cha Mwenge, Kata ya Mtina wilayani Tunduru, mkoani Ruvuma, Neema Athumani (24), anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za mauaji ya mtoto wake kwa kumwekea sumu ya panya kwenye soda. Taarifa za tukio hilo zinadai kuwa mwanamke huyo alitekeleza mauaji hayo Desemba 24, mwaka huu, baada...
  4. JamiiForums Tanzania Natafuta binti wa kazi kwa ajili ya Mama Ntilie. Mshahara Tsh. 3,000/- kwa siku

    Hello Jf Binti wa kazi anatafutwa. Sifa 1. Ajue kupika chapati 2. Awe na Lugha nzuri kwa wateja na mchangamfu 3. Ajue hesabu 4. Awe anajua kuhudumia vizuri Kazi ni ya mama ntilie, kuuza supu na chapati Mshahara ni 3000 kwa siku, nyongeza utajadiliana na boss wako. Chakula utapata hapo hapo...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Viongozi waandamizi jifunzeni kujitegemea, mnawatesa wasaidizi wenu kuwatumikisha kinyume na kazi zao

    Kiongozi mwandamizi hana gari binafsi yakutembelea amekalia kutumia gari ya umma kufanya shughuli za Kiserikali na shughuli za familia bila kujali masaa ya kazi kwa madreva na wasaidizi wengine. Ninaishi na mzee mmoja hapa anatumia gari ya Serikali kama yake binafsi, kila sehemu anapokwenda...
  6. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi au connection ya Kazi

    Habarini wadau, poleni na majukumu ya kila siku ya kutafuta ridhiki. Mimi ni mwalimu niliyehitimu katika chuo kikuu cha St. John (Dodoma) katika shahada ya ualimu wa masomo ya Chemistry na Biology. Ninaishi Mtwara. Nina uwezo wa kufanya kazi katika mazingira tofauti, pia napenda kufanya...
  7. JamiiForums Tanzania Kwanini vigogo wengi wa serikalini wakifukuzwa kazi huwa masikini ghafla

    Najaribu kujiuliza. Viongozi wakubwa wanapostaafu, wanapofukuzwa Kazi, wanaposimamishwa Kazi ghafla wanakuwa masikini, ombaomba, na wagonjwa kwa asilimia Kubwa. Cha ajabu ukienda Nigeria wale Magavana huwa ni matajiri balaa. Mfano mmoja niliona kajenga kanisa la mamillioni peke yake. Tatizo...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri wa Afya Dkt. Molel, si kila ziara lazima usimamishe mfanyakazi kazi ndiyo uonekane umefanya kazi. Kuwa mbunifu

    Nimemsikiliza Naibu Waziri wa Afya akiwa Longido, Kwanza haeleweki ameenda kukagua nini. Haeleweki anavyozungumzia mapungufu katika ujenzi wa kituo cha afya tatizo ni mganga mkuu wa Wilaya, Mkurugenzi, Mkandarasi au ni kiumbe gani anapaswa kulaumiwa na kwa makosa gani. Pamoja ukweli kwamba hata...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Jaffo hao Wakurugenzi walikuwa wanasimamia uchaguzi, huo ushuru wangekusanya muda gani? Usiwafute kazi tafadhali!

    Tunakumbushana tu waziri wa Tamisemi Mh Jaffo kwamba 2020 ulikuwa ni mwaka wa uchaguzi na hao wakurugenzi ni wasimamizi wa uchaguzi. Kusema kwamba wasipofikisha 50% ya lengo la makusanyo ya mwaka ifikapo Devember 31 wajitathmini kama wanatosha kubaki ofisini ama uwatimue ni kuwaonea bure. Kwa...
  10. JamiiForums Tanzania Kangi angalau alijaribu kuwadhibiti ST, huyu Simbachawene hamna kitu labda mengine!

    Kama wewe ni mtumiaji na msafiri utakubaliana na mimi kwamba wavunjaji wakubwa wa Sheria za barabarani ni Serikali, magari ya ST hayafwati Sheria zozote, hayasimami kwenye taa, yanatanua, huko kwenye kibao cha 50 km/saa wanakwenda wanavyotaka, angalau Waziri aliyepita alikuwa anadili nao lakini...
  11. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi

    Ni muhitimu katika fani ya Health SYSTEMS MANAGEMENT kwenye utumishi inahusishwa na ukatibu wa afya. Nahitaji kazi/ajira si internship popote Tanzania. Kwa sasa nipo kibaha.
  12. JamiiForums Tanzania Tumepiga hatua katika kujenga mazingira bora ya uwekezaji nchini lakini bado tunayo kazi kubwa ya kufanya

    Mwaka wa 2020 unaelekea ukingoni na ni kawaida yetu binadamu kufanya tafakari ya nini tumefanya kwa mwaka tunaomalizia na kuweka malengo ya mwaka ujao wa 2021. Hatua kubwa katika uchumi wa Tanzania kwa mwaka huu wa 2020 ni ile ya kuingia katika kundi la nchi za uchumi wa kati, ikiwa ni miaka...
  13. JamiiForums Tanzania Wakandarasi wa miradi ya maji waonywa kufanya kazi kwa mazoea

    Serikali imewataka wakandarasi wanaosimamia ujenzi wa miradi ya maji nchini kuacha siasa na kufanyakazi kwa mazoea. Rai hiyo imetolewa na Naibu Waziri wa maji, Mhandisi Marry Prisca Mahundi wakati akiongea na wananchi wa kata ya Sakura wilayani Pangani mkoani Tanga akiwa katika ziara yake ya...
  14. JamiiForums Tanzania Nahitaji kazi ya part time, mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa kwanza

    ...
  15. JamiiForums Tanzania Q NET yarudi kivingine sasa, itakua BF Suma. Watanzania hakuna pesa rahisi jamani, fanyeni kazi!

    Kwa wale mlionibeza baada ya kushusha uzi wa Q NET hapa nafikiri mmeona mambo yaliyotokea. Hizi Ponzi Scheme zinakuja na ahadi nono za kitajiri na watoa masomo walishajua watanzania tukoje. Sasa sikieni kuna hawa wengine wanaitwa "BF SUMA" mzigo ni ule ule wamebadilisha bega tu. NARUDIA...
  16. JamiiForums Tanzania Je, kama Taifa tupo salama kuwa na wabunge wenye vyeti feki waliowahi kufukuzwa kazi kwa kufoji?

    Taifa linapokuwa na mkuu wa nchi msemakweli linakuwa ni taifa zuri, maana hamumunyi maneno bali anaweka mambo wazi. Alipokuwa anawaapisha mawaziri wa wa cabinet ya Tanzania mkuu wa nchi yetu alisema kuna mbunge alifukuzwa kazi kwenye paranja la vyeti feki lakini kwa zali la mentali sasa ni...
  17. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya civil technician

    Wakuu habari za weekend....nmerudi tena kijana wenu mwenye connection nafasi ya civil engineering naomba aniunganishe.Nina uzoefu wa kazi za bara bara nmefanya miradi ya DMDP Dar es salaam na pia miradi ya tarura na tanroad mkoa wa kilimanjaro.Kwa maelezo zaidi cv yangu ipo inajieleza,msaada...
  18. JamiiForums Tanzania Ombi la kazi ya ualimu

    Habari, Mimi nimwalimu niliehitimu katika chuo kikuu cha elimu kishiriki cha Dar es salaam na kutunukiwa shahada ya ualimu katika masomo ya Economics pamoja na Political Science and Public Administration. Hivyo natafuta kazi ya Ualimu (kufundisha) ngazi yoyote kama ifuatavyo Advanced Level...
  19. N

    JamiiForums Tanzania Dada angu anatafuta kazi mpishi mzuri wa vyakula vya mgahawani hotel

    Habari zenu wadau, Nina dada angu anatafuta amesomea mambo ya hotel so ni mpishi mzuri.Mbali na hlo pia anaweza kufanya kazi kama dukani na nyingne za halali. Kwa mawasiliano niibox ili nikuunganishe nae.
  20. JamiiForums Tanzania Sina kazi na nahitaji pesa km kuna mtu ana kazi/kibarua cha muda na anahitaji usaidizi au mtu wa kufanya tafadhali nipo hapa

    Kama kichwa cha habari hapo juu mm ni me umri ni late 20s, nipo dar es salaam kwa sasa elimu ni shahada ya maendeleo ya watu na ninafamilia kwa mwenye kazi ninamudu kazi mbalimbali za kutumia nguvu na za akili pia nahitaji nipo teyari kuifanya kazi yako vizuri. Kwa mwenye kazi au connection...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…