Naitwa Paul Sirai Peter ni kijana mbunifu na kwenye jitihada yangu nimalize nilikuwa napima watu pressure masokoni kwa Mia mbili kabla ya kutakiwa kupata kibali hivyo naomba msaada wa kibarua chochote kitachonipa angalau mkate wa Kila siku.
0689052541
MKAZI wa Kijiji cha Mwenge, Kata ya Mtina wilayani Tunduru, mkoani Ruvuma, Neema Athumani (24), anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za mauaji ya mtoto wake kwa kumwekea sumu ya panya kwenye soda.
Taarifa za tukio hilo zinadai kuwa mwanamke huyo alitekeleza mauaji hayo Desemba 24, mwaka huu, baada...
Hello Jf
Binti wa kazi anatafutwa.
Sifa
1. Ajue kupika chapati
2. Awe na Lugha nzuri kwa wateja na mchangamfu
3. Ajue hesabu
4. Awe anajua kuhudumia vizuri
Kazi ni ya mama ntilie, kuuza supu na chapati
Mshahara ni 3000 kwa siku, nyongeza utajadiliana na boss wako.
Chakula utapata hapo hapo...
Kiongozi mwandamizi hana gari binafsi yakutembelea amekalia kutumia gari ya umma kufanya shughuli za Kiserikali na shughuli za familia bila kujali masaa ya kazi kwa madreva na wasaidizi wengine.
Ninaishi na mzee mmoja hapa anatumia gari ya Serikali kama yake binafsi, kila sehemu anapokwenda...
Habarini wadau, poleni na majukumu ya kila siku ya kutafuta ridhiki.
Mimi ni mwalimu niliyehitimu katika chuo kikuu cha St. John (Dodoma) katika shahada ya ualimu wa masomo ya Chemistry na Biology. Ninaishi Mtwara.
Nina uwezo wa kufanya kazi katika mazingira tofauti, pia napenda kufanya...
Najaribu kujiuliza.
Viongozi wakubwa wanapostaafu, wanapofukuzwa Kazi, wanaposimamishwa Kazi ghafla wanakuwa masikini, ombaomba, na wagonjwa kwa asilimia Kubwa.
Cha ajabu ukienda Nigeria wale Magavana huwa ni matajiri balaa. Mfano mmoja niliona kajenga kanisa la mamillioni peke yake.
Tatizo...
Nimemsikiliza Naibu Waziri wa Afya akiwa Longido, Kwanza haeleweki ameenda kukagua nini. Haeleweki anavyozungumzia mapungufu katika ujenzi wa kituo cha afya tatizo ni mganga mkuu wa Wilaya, Mkurugenzi, Mkandarasi au ni kiumbe gani anapaswa kulaumiwa na kwa makosa gani.
Pamoja ukweli kwamba hata...
Tunakumbushana tu waziri wa Tamisemi Mh Jaffo kwamba 2020 ulikuwa ni mwaka wa uchaguzi na hao wakurugenzi ni wasimamizi wa uchaguzi.
Kusema kwamba wasipofikisha 50% ya lengo la makusanyo ya mwaka ifikapo Devember 31 wajitathmini kama wanatosha kubaki ofisini ama uwatimue ni kuwaonea bure.
Kwa...
Kama wewe ni mtumiaji na msafiri utakubaliana na mimi kwamba wavunjaji wakubwa wa Sheria za barabarani ni Serikali, magari ya ST hayafwati Sheria zozote, hayasimami kwenye taa, yanatanua, huko kwenye kibao cha 50 km/saa wanakwenda wanavyotaka, angalau Waziri aliyepita alikuwa anadili nao lakini...
Ni muhitimu katika fani ya Health SYSTEMS MANAGEMENT kwenye utumishi inahusishwa na ukatibu wa afya.
Nahitaji kazi/ajira si internship popote Tanzania.
Kwa sasa nipo kibaha.
Mwaka wa 2020 unaelekea ukingoni na ni kawaida yetu binadamu kufanya tafakari ya nini tumefanya kwa mwaka tunaomalizia na kuweka malengo ya mwaka ujao wa 2021.
Hatua kubwa katika uchumi wa Tanzania kwa mwaka huu wa 2020 ni ile ya kuingia katika kundi la nchi za uchumi wa kati, ikiwa ni miaka...
Serikali imewataka wakandarasi wanaosimamia ujenzi wa miradi ya maji nchini kuacha siasa na kufanyakazi kwa mazoea.
Rai hiyo imetolewa na Naibu Waziri wa maji, Mhandisi Marry Prisca Mahundi wakati akiongea na wananchi wa kata ya Sakura wilayani Pangani mkoani Tanga akiwa katika ziara yake ya...
Kwa wale mlionibeza baada ya kushusha uzi wa Q NET hapa nafikiri mmeona mambo yaliyotokea. Hizi Ponzi Scheme zinakuja na ahadi nono za kitajiri na watoa masomo walishajua watanzania tukoje.
Sasa sikieni kuna hawa wengine wanaitwa "BF SUMA" mzigo ni ule ule wamebadilisha bega tu. NARUDIA...
Taifa linapokuwa na mkuu wa nchi msemakweli linakuwa ni taifa zuri, maana hamumunyi maneno bali anaweka mambo wazi.
Alipokuwa anawaapisha mawaziri wa wa cabinet ya Tanzania mkuu wa nchi yetu alisema kuna mbunge alifukuzwa kazi kwenye paranja la vyeti feki lakini kwa zali la mentali sasa ni...
Wakuu habari za weekend....nmerudi tena kijana wenu mwenye connection nafasi ya civil engineering naomba aniunganishe.Nina uzoefu wa kazi za bara bara nmefanya miradi ya DMDP Dar es salaam na pia miradi ya tarura na tanroad mkoa wa kilimanjaro.Kwa maelezo zaidi cv yangu ipo inajieleza,msaada...
Habari,
Mimi nimwalimu niliehitimu katika chuo kikuu cha elimu kishiriki cha Dar es salaam na kutunukiwa shahada ya ualimu katika masomo ya Economics pamoja na Political Science and Public Administration.
Hivyo natafuta kazi ya Ualimu (kufundisha) ngazi yoyote kama ifuatavyo
Advanced Level...
Habari zenu wadau,
Nina dada angu anatafuta amesomea mambo ya hotel so ni mpishi mzuri.Mbali na hlo pia anaweza kufanya kazi kama dukani na nyingne za halali.
Kwa mawasiliano niibox ili nikuunganishe nae.
Kama kichwa cha habari hapo juu mm ni me umri ni late 20s, nipo dar es salaam kwa sasa elimu ni shahada ya maendeleo ya watu na ninafamilia kwa mwenye kazi ninamudu kazi mbalimbali za kutumia nguvu na za akili pia nahitaji nipo teyari kuifanya kazi yako vizuri.
Kwa mwenye kazi au connection...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.