kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Mtendaji wa Kijiji cha Hydom amshindilia makonde mwanakijiji. Asimamishwa kazi kupisha uchunguzi

    Taarifa zinaonesha kwamba Mh Mtendaji anaitwa Adella na ni Mtendaji wa kijiji cha Hydom kilichopo Mbulu , mkoani Manyara. Cha kushangaza ni kwamba Mwananchi aliyedundwa ndiye ameshtakiwa mahakamani kwa kumshambulia Mtendaji. Nachukua nafasi hii kuwashukuru Wazalendo waliorekodi tukio hili la...
  2. ManziCute

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi Dodoma

    Niko Morogoro ila natafuta kazi yoyote katika mji wa Dodoma nina Elimu ya Diploma ya Business Admnistration nipo tayari kufanya kazi yoyote katika mji huwo. Mwenye connection yoyote plz anitafute 0782394214
  3. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Mawakala wa kutafutia kazi watu nje ya nchi wa serikali na binafsi, fikirieni pia kutafutia watu kazi za msimu vijijini Ulaya, Marekani na Canada

    Kama ilivyo kwenye mashamba makubwa ya miwa Tanzania ya viwanda vya sukari kama Mtibwa, Kilombero nk ambako hutoa ajira nyingi mno za msimu kwenye mashamba yao vivyo hivyo Ulaya, Marekani na Kanada Ona kijiji hiki cha Thailand ambacho ambacho wanakijiji wake kila mwaka msimu wa kuvuna matunda...
  4. Caisel

    JamiiForums Tanzania Naomba kazi nijipatie kipato cha kujikimu

    Naitwa Omari Juma napatikana Mtwara, Nanyumbu, Mangaka elimu yangu ni ya sekondari lakini sikufanikiwa kuendelea na masomo. Naomba mtu yeyote mwenye kazi anisaidie ili niweze kuishi kama vijana wengine naomba sana msaada wenu. Nimefikia hatua ya kuandika hii leo hapa kutokana na ugumu wangu wa...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Ukistaafu, ukitumbuliwa, ukiacha kazi utakuja kuishi na sisi?

    Hakuna Jambo linawatesa wastaafu na waliotumbuliwa kama kuwaza namna yakuja kuishi uraiani na sisi. Wengi wa wadosi wa siku hizi wamewekeza sana kuaribu maisha ya wanaowaongoza kuliko kuwaletea maendeleo wanannchi. Viongozi wetu wamekuwa wepesi sana kumwita subordinate wake fisadi, mwizi nk...
  6. Pain killer

    JamiiForums Tanzania Naombeni kazi yoyote ile ya halali nifanye wakati huo nikisubiri majibu ya kampuni za ulinzi nilizo omba

    Mkuu kampuni gan umeomba Mbona garda ukiomba unaanza mafunzo hapo hapo haina kusubili subili hovyo hovyo
  7. Granite

    JamiiForums Tanzania Engineer wa Ujenzi natafuta kazi

    Wakuu naleta kwenu maombi yangu ya kazi za ujenzi, nimesota mtaani miaka mitatu. Nimefanya vibarua vya kujitolea kwenye miradi ya kampuni ndogo sijafanikiwa kupata ajira. Naweza kusimamia Site iwr ya mradi wa Majengo, Barabara au Maji, naweza kufanya Design, naweza kutumia Software za...
  8. F

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Afya Dkt. Dorothy Gwajima anafanya kazi nzuri. Mnyonge mnyongeni lakini mpeni haki yake

    Binafsi sina chama cha siasa na sijawahi kuwa mshabiki wa chama chochote cha siasa katika maisha yangu yote. Naomba niseme yafuatayo, kwanza sina chuki na kiongozi wowote wa aidha CCM au CHADEMA au chama chochote cha siasa. Nimefuatilia ziara na ufanyaji kazi wa waziri wa Afya Dr. Dorothy...
  9. Ushimen

    JamiiForums Tanzania 44 New Vacancies At TUME Ya Utumishi wa Mahakama, January 2021- (Various Posts)

    See the document below for more information
  10. Wizara ya Afya Tanzania

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mollel awafunda wafamasia wapya ili wawe wabunifu wasiishie kufanya kazi ya kutoa dawa pekee

    Naibu Waziri wa Afya, Maendeleoya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Godwin Mollel amewata wafamasia walioingia rasmi leo kwenye taaluma hiyo wasisubiri kufanya kazi za kuingiza dawa au kumpatia mgonjwa dawa bali wametakiwa kuwa wabunifu kwa kutengeneza dawa kwenye maeneo yao kazi ili kuweza...
  11. Richard

    JamiiForums Tanzania Mzee Uledi adai Dkt. Abbasi ameshindwa kazi au hafahamu majukumu ya kuwa Msemaji wa Serikali

    Kuna mwanaJF mmoja hapa amewahi kusema kwamba mzee Uledi ni yule mzee mwenye macho mekundu na ni mwongo sana. Huyu ni mzee mmojabwapo wa mazee wanounda kamati chini ya mshona viatu ambae hii ni kazi yake ya kujipatia kipato halali kabisa. Leo mchana huu nimepita pale Tandamti Street na nimempa...
  12. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Waziri Jafo aagiza Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Tarime kusimamishwa kazi kwa kusafirisha mwili wa mtumishi juu ya carrier ya gari

    Waziri Jafo amsimamisha kazi Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Tarime kwa kusafirisha mwili wa mtumishi juu ya carrier ya gari. Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais-TAMISEMI amemsimamisha kazi Kaimu Mkurugenzi wa Halmasharauri ya Wilaya ya Tarime, Jumanne Yassin ili kupisha uchunguzi Yassini...
  13. steve_shemej

    JamiiForums Tanzania Fundi welding natafuta kazi

    Habarini wanandugu. Nimekuja kwenu naomba ajira mim ni fundi welding nina cheti. Nina uzoefu kwenye arc pia nina uzoefu wa wastani kwenye MIG welding Namba yangu hii 0763329715
  14. T

    JamiiForums Tanzania Tuyaenzi Mapinduzi ya 12.01.1964 kwa kufanya kazi

    Na: MC Wenceslaus Dodoma. 12.01.2021 Habari za leo ndugu watanzania wenzangu na wazalendo wote wa Tanzania hii! Ni matumaini yangu kuwa tunaendelea kuwajibika vema katika ujenzi wa uchumi wa nchi yetu Tanzania. Nitumie nafasi hii kuwatakia mapumziko mema ya siku ya leo hasa tunapoadhimisha...
  15. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Wizara ya utalii sikilizeni ushauri wa huyu mtalii chukueni yale mnayoona yafaa yafanyieni kazi

    Huyu mtalii kuna kitu anakilalamikia sekta ya utalii Kenya lakini malalamiko yake na sisi kama wenye utalii yaweza tusaidia
  16. K

    JamiiForums Tanzania PM Kassim Majaliwa piga kazi, achana na ndoto za Urais, umemponza SG Dk. Bashiru Ally

    Wanabodi heshima kwenu! Taarifa zilizonifikia kutoka chanzo ninachokiamini ni kwamba ziara za Waziri Mkuu Kassim Majaliwa mikoani pamoja na mambo mengine anazitumia kujiweka sawa kwa ajili ya kumrithi Rais Magufuli. Duru za siasa mikoani zinaeleza kwamba, sehemu kubwa ya Wabunge waliopitishwa...
  17. beth

    JamiiForums Tanzania Rais Hussein Mwinyi awataka Vijana kuacha tabia ya kuchagua kazi

    Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi amesema serikali inatambua ukubwa wa tatizo la ajira linalowakabili vijana na tayari imeanza kuchukua hatua kutekeleza ahadi zilizotolewa wakati wa kampeni za Uchaguzi Mkuu uliofanyika Oktoba mwaka jana. Dk Mwinyi aliyasema hayo katika kilele cha matembezi ya...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Nina elimu ya Stashahada ya Uhasibu, naomba ajira

    Mimi ni binti wa miaka 25 elimu yangu Diploma ya Uhasibu. Ninaomba ajira ndugu zangu Nina uzoefu na kazi hii kwa miaka 2. Naishi Kibaha Mlandizi kazi popote nipo tayari 0628882267.
  19. Trubarg

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakenya Ile floating bridge yenu haifanyi kazi?

    Likoni accident: Driver and conductor saved from sinking tour bus
  20. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Waziri Jafo apiga marufuku Wakala wa Majengo Tanzania kupewa kazi Halmashauri ya Buchosha

    Wakala wa Majengo Tanzania ( TBA) wametakiwa kurejesha Shilingi million 300 walizolipwa kwa ajili ya ujenzi wa majengo ya Serikali katika Halmashauri ya Buchosa mkoani Mwanza, huku Halmashauri hiyo ikipigwa marufuku kuwapa kazi TBA. Akizungumza wakati wa ziara yake wilayani humo juzi, Waziri wa...
Back
Top Bottom