kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. JamiiForums Tanzania Chadema ni wa MOTO Balaa CCM kazi wanayo uwanja wa uchaguzi ukiwa huru

    Guys guys Imagine hapa TAL Bado yupo jela lakini mwitikio bado ni mkubwa na unatisha hatari wamedhibitisha kweli ni chama kikuu Tanzania. Sipati picha Lissu awe huru hii chadema iko na MOTO 100 times kabla ya kufungiwa na baadhi wa wa mbunge wa CCM waanze kujitafakari mapema kama wataendelea...
  2. JamiiForums Tanzania Nawezaje kuishi bila kazi yeyote, tusaidiane

    Shikamoon wakubwa Mwishoni mwa mwaka Jana niliweka mipango yangu kuwa ifikapo tarehe 5 Mwezi wa Kwanza niwe nimeshalipa chumba changu,ikiwa ni njia ya kujitegemea, wazazi wangu ,haswa mama hakupenda kabisa nihame nyumbani huku akiniasa ikiwa maisha ni magumu nirudi. Mmmh ,nikalipa chumba...
  3. JamiiForums Tanzania Hospitali ya Sekou Toure yatoa tangazo la nafasi za kazi ya Mhudumu wa Mochwari na Afisa Tehama Msaidizi

    Pia soma: ~ Mtumishi anayetuhumia kulazimisha Wafiwa kununua majeneza kwake Hospitali ya Sekou Toure asimamishwa kazi ~ Uongozi wa SEKOU TOURE Hospital uchunguze, kuna Mtumishi analazimisha wanunue majeneza anayouza, wakikataa anagoma kuosha miili ~ RC Mtanda: Uchunguzi unafanyika tuhuma za...
  4. JamiiForums Tanzania Chelsea yamtimua Kocha Liam Rosenior baada ya mfululizo wa matokeo mabovu

    Klabu ya Chelsea FC imemfuta kazi kocha wake mkuu, Liam Rosenior, kufuatia mwenendo mbaya wa matokeo ndani ya klabu hiyo. Uamuzi huo umechukuliwa leo Jumatano Aprili 22, 2026 baada ya Chelsea kupoteza michezo mitano mfululizo ya ligi bila kufunga hata bao moja, hali iliyozua shinikizo kubwa...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Nafasi Ya Kazi Wezesha Mzawa Microfinance – Loan Officer

    We are seeking a motivated, experienced Loan officer/ Credit officer to join our growing company. In this position, you will evaluate and approve or deny loan applications. You will act as liaison between financial institutions, individuals, and businesses applying for loans as well as process...
  6. JamiiForums Tanzania Unawezaje kuorganise mgomo kazini bila kupoteza kazi yako

    Wanasheria, nawezaje kuendesha mgomo kazini bila kupoteza kazi yangu. Nahitaji muongozo wa kisheria.
  7. JamiiForums Tanzania Mtumishi anayetuhumia kulazimisha Wafiwa kununua majeneza kwake Hospitali ya Sekou Toure asimamishwa kazi

    Uongozi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mwanza Sekoutoure umepokea taarifa ya Mtumishi kitengo cha Mochwari anaeuza majeneza na kulazimisha wafiwa kununua kwake na tayari umeshachukua hatua za haraka za kumsimamisha kazi mtumishi huyo ili kupisha uchunguzi wa tuhuma hizo. Aidha Tunawahimiza...
  8. JamiiForums Tanzania Nafasi za Kazi - Security Guards

    TANGAZO Wanahitajika 5 Security Guards: Wanaume 3 Wanawake 2 Eneo la Kazi - Kiwanda Kipo Temeke Dar Sifa: Awe na uzoefu wa kazi ya ulinzi usiopungua miaka 2 na kuendelea Aliyepitia JKT atapewa kipaumbele (added advantage) Elimu kuanzia kidato cha nne na kuendelea Waombaji watume CV zao...
  9. A

    JamiiForums Tanzania KERO Taasisi ya OSHA rudisheni hela yangu, nililipia training, mkanipotezea hadi nimefukuzwa kazi

    Kero yangu naipeleka kwenye Taasisi ya OSHA - inayoshughulikia usalama katika eneo la kazi, niliomba training tangu mwezi wa 10 Mwaka 2025 na nikalipa ada ya Sh 300,000 kwa ajili ya training. Sasa imepita miezi 5 tangu niombe kusoma, wamekuwa na majibu mepesi kiasi kwamba hawaoni umuhimu wa...
  10. D

    JamiiForums Tanzania Tupeane mbinu mpya za kuhifadhi pesa za vikundi naona vm-koba kazi inataka kuwashinda

    Dalili ya Mvua ni Mawingu ndungu zangu, Hawa Mkoba online naona kama kazi inataka kuwashinda! Naomba tupeane Mbinu mpya ya kuhifadhi pesa za vikundi ambapo unaweza kuhifadhi kirahisi na kuipata kwa haraka muda wowote 24/7
  11. T

    JamiiForums Tanzania Naomba Msaada wa kuelewesha kuhusu Tangazo la kazi lililotolewa na JWTZ 14.04.2026

    Habari za zenu wana JF, Husika na mada hapo juu mimi ni kijana Mtanzania, ambaye nimeona nikajitolee kulitumikia Taifa kupitia Jeshi la Wananchi. Tangazo nililiona na vigezo vyote ninavyo, ila sasa sijaelewa kitu kimoja ambacho naomba msaada wenu kwa ambao mna uzoefu na hili jambo. Shida...
  12. A

    JamiiForums Tanzania KERO App ya Mwendokasi haifanyi kazi siku ya nne leo, tunashindwa kununua tiketi ilihali kuna hela ndani ya App

    App ya mwendokasi haifanyi kazi siku ya nne leo, tunashindwa kununua tiketi ilihali kuna hela ndani ya app. Ukiwapigia wanasema wanarekebisha
  13. JamiiForums Tanzania Nafasi mpya za kazi JWTZ

    Kazi ni kwenu Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limetangaza rasmi nafasi za kuandikishwa jeshini kwa vijana wa Kitanzania wenye elimu ya sekondari hadi elimu ya juu, hatua inayolenga kuongeza nguvu kazi na kuendeleza taaluma mbalimbali ndani ya jeshi. Kwa mujibu wa tangazo hilo...
  14. JamiiForums Tanzania Nafasi za Kazi TAKUKURU

    TAKUKURU imetangaza nafasi za kazi, nafasi mpya za kazi zilizotangazwa na TAKUKURU zimegawanyika katika makundi mawili: Kundi la kwanza, Muombaji awe na angalau elimu ya shahada ya kwanza iliyotolewa na chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika moja ya fani...
  15. A

    JamiiForums Tanzania KERO Responded TAMISEMI tembeleeni waajiriwa wenu kwenye vituo vya kazi hasa ajira mpya hawapokelewi vizuri

    Serikali hasa TAMISEMI watoe tu uhamisho hata kama hajamaliza miaka mitatu, haswa kwa hawa watumishi wapya! Kuna baadhi ya wilaya za pembezoni kama mkoa halmashauri zao, watumishi wapya wanapokuja hawapokelewi vizuri vituo vyao vya kazi. Watumishi wapya wanapoleta chachu nzuri ya maendeleo...
  16. JamiiForums Tanzania Mrembo huyu hapa akipiga kazi. Nyie wengine kazi kushinda saloon na kupiga simu za vibumu. (Mizinga)

    Urembo wako usiwe guarantee ya kudate na wanaume kibao Ili wakuweke mjini. Acha kushinda saloon binti acha kushinda mtandaoni kutingisha makalio, kurembuarembua Ili upate likes. Kama mrembo, mbona warembo wapo kibao na wengine walishaiga dunia. Na bado kuna wengine daily wanazaliwa. Punguza...
  17. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Ma-HR katika Mradi wa SGR Mwanza – Isaka wachunguzwe. Wanajineemesha kwa kufukuza watu kazi

    Wakandarasi wanaofanya kazi SGR tuna kero moja kwanza mshahara wa Serikali ilipopandisha mwanzo kabla hawajapandisha ilikuwa kwa siku ni shilingi 17,200 kwa madereva na ma operator, ila kwa malabour ilikuwa 16,200 baada ya serikali kupandisha wameweka level sio dereva, sio operator wote ni...
  18. JamiiForums Tanzania Je, AI Itachukua Kazi Yako? Ukweli Kuhusu Akili Bandia na Ajira Tanzania

    Akili Bandia (Artificial Intelligence – AI) imeanza kubadilisha namna dunia inavyofanya kazi. Kutoka kwenye biashara, benki, kilimo, hadi elimu, mashine na mifumo ya kompyuta yenye uwezo wa kujifunza sasa zinaweza kufanya baadhi ya kazi ambazo zamani zilifanywa na binadamu. Hali hii imezua swali...
  19. F

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kuishi Marekani lazima uwe na kazi nzuri, vinginevyo kulipa kodi ya pango ni kazi sana

    Bei ya kupangisha nyumba iko juu kama dola 1200 .Ukiwa huko bila kazi ya maana mtaishi watu wawili au watatu ili mlipe kodi.Waafrika wengi wanalala nje.ukitaka kwenda huko hakikisha uko na kazi nzuri
  20. JamiiForums Tanzania Uzi maalumu kwa vijana wa kuomba kazi TAKUKURU

    Wakuu nafasi zimetoka 500 kwa bachelor na diploma naomba Uzi huu uwe maalumu kupeana abc za taratibu za kuomba ajira nk
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…