kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. D

    JamiiForums Tanzania Kazi au internship Mwanza, (BA Community Development)

    Habari Wana JF, Nimehitimu shahada ya Maendeleo Jamii. Natamani nipate internship au kazi halali. Msiulize kama sitafuti nipo natafuta na nimesambaza barua sehemu kadhaa lakini sehemu nyingi wanasema hawana nafasi so, kupitia Wana JF naweza kupata chochote. Shukrani
  2. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Dugange Aipongeza TARURA kwa Kazi Nzuri ya Ujenzi wa Miundombinu ya Barabara

    Naibu Waziri Dugange aipongeza TARURA kwa kazi nzuri ya Ujenzi wa Miundombinu ya Barabara Naibu Waziri, Ofisi ya Rais (TAMISEMI) Mhe. Festo Dugange ameipongeza TARURA kwa kazi nzuri ya ujenzi wa miundombinu ya barabara nchini. Pongezi hizo amezitoa wakati alipotembelea mabanda ambayo yapo...
  3. A

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote ndani na nje ya Tanzania, nina elimu ya Degree ya Education

    Habari wana jamvi, Natafuta kazi yoyote ya halali, Elimu: Bachelor degree (shahada) ya ualimu masomo kiswahili na Geography Umri: Miaka 28 Eneo nilipo: Dae Es Salaam, Goba Lugha: kiswahili na English fluently (speaking and writing) Uzoefu: Nina uzoefu wa mambo mbalimbali ikiwa ni ufundi wa...
  4. JamiiForums Tanzania Mwanamke usiache kazi kisa mwanaume

    Greetings members and guests!!!!! Napokea malalamiko/Kero/misuguano/sintofahamu n.k kuhusu wanawake kuacha kazi kisa wanaume.... Wadada acheni hizi eti unaacha kazi kisa jamaa kasema acha mwisho wa siku ni kuonewa mpaka kufikishana dawati la jinsia na mahakamani. Kwani nini mnafanya hivo...
  5. JamiiForums Tanzania Tangazo la Kazi Kwa Watanzania Ktk Kampuni ya Space X (Twitter) Nchini Marekani

    Watanzania tuchangamkie fursa hizi, wakenya wasije kuwapiga bao FaizaFoxy USSR Maghayo instanbul Pascal Mayalla Mshana Jr OKW BOBAN SUNZU FRANCIS DA DON Msanii Mpwayungu Village Bufa Kaka yake shetani UMUGHAKA ChoiceVariable
  6. JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi: Walimu wa English kufundisha "twisheni" watoto wa shule za kayumba

    Baada ya kutoa maoni yangu kwenye Uzi wa Bongotunacheza uitwao " FAIDA nilizo zipata baada ya kuwatoa watoto wangu English Medium na kuwaleta Kayumba" nimepokea pms nyingi sana watu wakiniuliza ninatumia mkakati gani kuhanikisha watoto wangu wanafanya vizuri kwenye somo la kiingereza kama...
  7. JamiiForums Tanzania Ulishawahi kumsaidia mtu kupata kazi lakini malipo yake yakawa kukuumiza?

    Habari ya asubuhi. Leo nina maumivu mno🥹. Moyo wangu unawaka moto wa tanuru na nahisi katika hali ya kibinadamu ninakosa uvumilivu💔. Nilimpa mtu connection ya kazi lakini amegeuka mwiba kwangu🥹. Yes, ninajijua ni mwanamke jasiri sana katika kuvumilia changamoto lakini katika hili ninahisi moyo...
  8. G

    JamiiForums Tanzania Kazi yako kubwa inayokuweka mjini ni ipi?

    Nmechoka kuficha ndugu zangu mimi kazi kubwa mjini nabeti hakuna kingine uboss wote nautolea hukoo kwenye igaming jamani, Ni pata potea hapakaliki kivumbi uko kwenye maslots mpaka ugali upatikane...😆😆😆 Niambie slot yako moja unayoipenda na inapatikana kampuni ipi. Je ushindi wako mkubwa pia...
  9. A

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi: Natafuta mtu mwenye maarifa ya uokaji (Bakery)

    Hello. Natafuta mtu mwenye maarifa ya uokaji (Bakery). Mjuzi katika utengenezaji wa mikate,cakes na maandazi. Mwenye kujua kutumia vifaa vya uokaji eg. Mixer, ovens etc. Yoyote mwenye interest na baking anaweza ku apply. Ofisi zipo mwanza mjini. Karibuni.
  10. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya Clinical officer

    Mimi nikijana mwenye mika 28 ninaishi mkoa wa Tanga nimehitimu chuo mwaka 2021. Kwa sasa nimejitolea katika hospitali ya wilaya. Natafuta kazi mkoa wowote na wilaya yoyote. Kwamawasiliano na kupata CV yangu: kclafya@gmail.com
  11. JamiiForums Tanzania Mkata nyasi za garden natafuta kazi

    Natafuta kazi za 1; Kutunza garden 2; Kukata nyasi za garden Nina uzoefu wa miaka 4 kwenye kazi za garden Nipo Dar Mtoni kijichi 0715271246
  12. JamiiForums Tanzania Nilichojifunza Nanenane: Kufanya Kazi Halmashauri ni kupoteza muda na kukaribisha umasikini tu

    INTRODUCTION: Kwanza kabisa Mimi Mr. Liverpool ni mtumishi wa umma ndani ya Halmashauri kwa muda wa miaka 11. Miaka 5 nimekuwa Shule na 6 ndio kazini. Niko kwenye Halmashauri iliyo chaka sanaaa. SCENARIO Tokea nifike Nanenane 01/08 Mbeya nimekuwa nikitembelea mabanda ya ofisi nyengine...
  13. JamiiForums Tanzania Ghana: Maafisa 27 wa Uhamiaji wasimamishwa kazi kwa kuruhusu nyaraka bandia

    Watumishi hao wametuhumiwa kushiriki katika makosa mbalimbali yanayohusisha nyaraka bandia ikiwemo suala la kughushi visa. Kati ya waliosimamishwa Watumishi watatu ni wazoefu wakati 24 ni Maafisa wa ngazi za chini, ambapo uchunguzi unaendelea dhidi yao. Kati ya wote waliosimamishwa kwa tuhuma...
  14. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, nipo Dar es Salaam

    Natumaini nyote ni wazima wa afya njema. Natafuta kazi ya aina yoyote, ambayo itaweza nipatia kipato ambacho kitanisaidia kupata walau chakula na malazi. Ndani na nje ya Dar es Salaam. Taarifa zangu binafsi kwa ufupi: Kijana mchapakazi, mwenye nidhamu na mwepesi kuzoea mazingira ya kazi...
  15. JamiiForums Tanzania Tupe mbinu zako unawezaje ishi mjini bila kazi ya kudumu?

    Unawezaje kuishi mjini, kama DSM, bila deal la maana 🤔🤔🤔🤔
  16. JamiiForums Tanzania Usimuunganishie ndugu, rafiki au mtu wa karibu nafasi ya kazi ofisini kwako

    Hii ni nature na hakika, Usijaribu kujionyesha kuwa u mwema au u mtoto wa mjini kwa kumuunganishia mtu wa karibu nafasi ya kazi kazini kwako. Mtavurugana mpaka mchanganyikiwe. Hii nimeiona kazini kwa watu kadhaa nami yalitaka yanitokee sema nikapanchi. Mtafutie kazi ndugu au rafiki katika...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Nimeacha kazi U.A.E ya ubaharia niliyotafutiwa na shangazi

    Wakuu hope salama, polenii na majukumu ya kulijenga taifa na familia kwa ujumla. Dhumuni la kuandika huu uzi ni namna now navyojiskia, ilikuwa mwaka 2018 baada ya kumaliza chuo nikiwa kitaa sina mchongo nikapata taarifa kuwa kuna kampuni ipo Abu Dhabi inahitaji wafanyakazi wa kwenye meli yani...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi medical laboratory assistant

    Anahitajika mtaalamu aliyesomea medical laboratory assistant/technician. Kwa mawasiliano zaidi piga 0745225561
  19. JamiiForums Tanzania Mtanzania ndio binadamu pekee bila kumbembeleza hawezi kufanya kazi ipasavyo

    Ndugu zangu mimi ni mtanzania, ila watanzania tunahitaji mabadiliko makubwa sana hasa kwenye sekta ya ajira. Watanzania tunaringa, wavivu japo siyo wote ila asilimia kubwa tupo hivyo, nenda kwenye mabank, hosptalini, nida, manispaa, tra kwenye viwanda nakadhalika, aiseeh utachoka. Alafu umkute...
  20. JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Lodhia group of companies, mwisho wa maombi ni Augusti 11, 2023

    EMPLOYMENT OPPORTUNIES AT LODHIA GROUP OF COMPANIES Lodhia Industries is one of the leading and fastest growing steel & plastic manufacturers inTanzania and is currently operating out of two locations, Dar-es-salaam and Arusha. Since thefoundations of the company laid back in 1996, Lodhia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…