Nazungumza hili na wao wakakumabna na tunayokumbana nayo sisi, kutokana na maamuzi wanayofanya juu yetu.
Kwa sababu, kiuhalisia:- Rais hawezi kuhisi madhara ya kupanda kwa bei ya mafuta wala Waziri au Mbunge. Hawawezi kuona machungu ya kupanda kwa bei kunakosababishwa na kodi zao
Hivi ni...
Mpaka sasa haijakuwa wazi sana juu ya kilichotokea pale kiongozi wa Wagner, Prigozhin alipofanya uasi na kuelekea kama kutaka kuipindua serikali ya Urusi.
Nchi rafiki za Ukraine zilionenaka kufurahia tukio lile japokuwa wachache walitilia mashaka mtiririko mzima wa matukio.Jambo...
Unajua vijana hamjitumi kijana una degree unaomba kazi ya hovyo. Ningekusaidia ila ujanifata PM (mtu anaesaidia hana manyanyaso)....ndio maneno yao kila siku na kwa kila mtu.
Guys Ili ni jukwaa la kazi yani waomba kazi na watoa kazi wanakutana. Kwa nini utoe maneno ya kejeli kwa mwenzio. Ajira...
Habari,
Kama nina nyumba ya kawaida tu siyo ghorofa na sitaki kuibomoa ila mahali hapo hapo nataka juu ya nyumba hii nijenge nyumba nyingine ambayo haitategemezwa na nyumba hii ya zamani kiasi hata hii ya chini ikichakaa sana na kubomoka ile ya juu itasimama bado.
Watalaamu wa ujenzi nijuzeni...
Wakuu juzi tu hapa wameongeza kodi ya mita za luku kutoka 1000 hadi 1500 inamaana kwa siku za tarehe 1 ukinunua umeme wa 5000 unapata unit 9, inamaana inakua umenunua umeme wa 3500.
Kinacho sikitisha na kuchosha ni kukatika kwa umeme hovyo, sasa nyie wizara ya nishati hizo hela mnazotukata...
kuna mtu wangu wa karibu kuna muda anasafiri ukimuuliza ulikua wapi anasema kufanya kazi maalumu na sehemu maalumu hapo ndo sielewagi kabisa..natamani anaeelewa haya mambo anielezee
Poleni na mihangaiko ya siku nzima Wakubwa zangu kwa Wadogo zangu.,
Kama mada inavyojieleza natafuta kazi yoyote halali ambayo inaweza kunikwamua kwenye hii hali mbaya niliyonayo ya kiuchumi maana nimekuja kujikuta nina msongo mkubwa wa mawazo.
Sifa zangu:
Mtahiniwa wa mitihani ya ATEC 2(Hapa...
Hello kwema?
Natafuta Nurse/Medical Assistant awe amekamilika vyeti vya taaluma husika.
Eneo la kazi ni Mbezi mwisho barabara ya kuelekea Kinyerezi Dar es Salaam.
Awe tayari kufanya kazi shift za usiku, akiwa maeneo karibu na hayo itapendeza.
Akiwa tayari hata leo aje aanze kazi, mshahara...
Hii nchi kila kitu ni cha hovyo. HESLB mmefungua dirisha la kuomba mkopo lakini mpaka muda huu watu bado wanaohangaika kukamilisha vipengele.
Mfumo wenu ni mbovu nimelipia control number lakini kila nikitaka ku-create account page ina-load tu tangu asubuhi.
Kama mlijua hamjajipanga kwa nini...
Nimestaajabishwa Sana na baadhi ya mwanasiasa kufikia kukodi helikopta kupita kijiji kwa kijiji kana kwamba tupo kwenye kampeni za ugombea nafasi za uongozi wa kitaifa,sioni mantiki ya jambo hili kufanyika kwa wakati huu kwani sio muda wake,nashauri kwa weakness AMBAYO baadhi ya taasisi...
Ni usiku mnene. Naamua kuandika DOKEZO hili.
Kwa uchungu wa yanayoendelea katika nchi yangu.
Katika mada hii, nitaomba wachangiaji kujadili kwa uwazi kabisa, na kuongezea mifano mingine baada ya hii nitakayokuwa nimeiweka hapa.
Lengo ni Nia njema kabisa kurekebisha pale tulipokosea na...
Wana jf kwema, natafuta kazi yoyote iwe halali nipo Arusha, professionally mm ni mwalimu wa Geography na history. Nina ujuzi wa computer. Fluent in English and Swahili.
Mandonga alindwe, awekewe ulinzi asiingie ulingoni
Ni aibu ukawa na mwili mkubwa vile then ukawa unapigwa tu kila siku. Ngumu anazopigwa na huyu Mganda zinaitwa Kideath beeper; hizi ngumu siyo nzuri maana zinaweza kugeuka death zisipodhibitiwa.
Mpeni kazi huyu mzee bado tunamuhitaji
Nchi hii ina mambo jamani, yaani kuna vita zinaendelea chini chini huko ndani ya chama Mungu amsaidie mama yetu SSH.
Nia ya uwekezaji pale bandarini ni njema kabisa, dhamira safi kabisa. Ni uwekezaji unaokwenda kukata mirija wa watoto wa mjini ambao wamekuwa wakinyonya pale kwa raha zao.
Sasa...
Heshima yenu wakuu.
Kuteleza na kuanguka kisha kuinuka tena na kusonga mbele ni shule nzuri sana ya vitendo ambayo humfanya mwanadamu kuwa na mbinu thabiti za kutatua changamoto zake za hapa na pale katika maisha. Wazungu wanasema, "mistakes are the best lessons".
Nawakaribisha kwenye uzi huu...
kama kichwa cha uzi kinavyojieleza . nawakaribisha vijana wote wenye mawazo ya teknologia yabayoweza kua biashara au msaada kwa taifa ili yafanyiwe kazi.
Habari wana Jamii,
Ninatafuta mtu anayeweza kuendesha nyumba ndogo ya wageni iliyoko mjini Mwanza, maeneo ya Buswelu. Mwombaji kazi awe na elimu na uzoefu katika mambo ya biashara na kompyuta (kwa ajili ya uendeshaji wa biashara hiyo na kuitangaza katika majukwaa tofauti tofauti likiwemo la...
Habari,
Natafuta kijana wa kufanya kazi za welding. Kituo kipo tayari kuanza kazi.. Kijana mwenye ujuzi huo au alietoka veta anifuate dm kwa mazungumzo zaidi. Kituo kipo Dar es salaam.
Karibuni kwa yeyote mwenye uhitaji wa kazi.
Asanteni.
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam amepokea kibali cha kutekeleza Ikama
na Bajeti kwa Ajira mpya katika mwaka wa Fedha 2022/2023 yenye Kumb. Na. FA.97/228/01’TEMP’/06 ya tarehe 06 Aprili, 2023 kutoka kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.