kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. JamiiForums Tanzania Kuweni serious na vijana, msiongee tu

    Kila ninapopita nakutana na sakata la vijana, jinsi viongozi wanavyowazungumzia ni watu wasiojituma, wasiopenda kufanya kazi, yaani vijana wa Kitanzania wanaonekana hawapendi kazi kuliko vijana wengine duniani. Viongozi walioajiriwa wanatuambia sisi tujiajiri. Mtu unaweza vipi kujiajiri pasipo...
  2. JamiiForums Tanzania Kazi nzuri za Rais Samia zituachie Katiba Mpya

    KAZI NZURI YA RAIS DKT SAMIA INAHITAJI KATIBA MPYA. Na Elius Ndabila 0768239284 Kumekuwa na mjadala wa Katiba mpya ambao umekuwa ukiibuka na kufifia. Mjadala umekuwa unaibuka na kufifia kwa kuwa una sura mbili. Sura ya kwanza wanahitaji katiba mpya na sura ya pili hawahitaji katiba mpya...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Nina degree katika field ya mazingira, natafuta kazi

    Habari Wana JF, Mimi ni binti wa miaka 23 napatikana dodoma level Yangu ya elimu ni degree katika field ya mazingira Naomba msaada wa connection ya kazi au kwa yoyote Mwenye kuhitaji kibarua aniajiri Ili niweze kujikimu Nb: kazi yoyote halali nina uwezo wa kuifanya 🙏
  4. JamiiForums Tanzania Hii Ap ya voda ina kazi gani

    Sijaelewa hii ap ya voda je ni kuni track kuingilia mawasiliano yangu au nimeitoa haikubali naitoaje.
  5. JamiiForums Tanzania Hizi ndio mada chokonozi za Media za Tanzania, kazi ipo!

    Jisomee Mwenyewe halafu toa maoni yako.
  6. JamiiForums Tanzania Kuna kazi mtu akiipata lazima tu tabia itabadilika kwa asilimia kadhaa kuendana na mazingira

    Kuna kazi ukiipata hata kama uwe na roho nzuri kiasi gani itakubadilisha tu kwa asilimia kubwa ili uendane nayo Mfano: kazi ya utrafiki,ukondakta hasa kwa mikoa ya Arusha na dar,kukusanya ushuru, Hizo ni baadhi tu
  7. JamiiForums Tanzania Kufanya kazi vijijini nilikuwa nasikiaga tu kwa jirani

    Yamenikuta natamani kulia, nimepata ajira somewhere jamani chumba ni wadudu tu mda wote hata raha hamna masisimizi kibao hadi kitandani, kipindi cha mvua kinaanza chumba kinavuja, majongoo yanaingiaga ndani unaweza sema Niko nje network hakuna ni baadhi tu ya maeneo network inakamata. Ajira...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Balozi Polepole kapotelea Cuba, ameungana na Kabudi na Dr. Bashiru Ali kujisomea majarida. Maskini kutoboa si kazi ndogo!

    Polepole amejitahidi kuandika andika na kusema ila mwisho ameishiwa pumzi baada ya vyombo vya habari kumkataa pamoja na mvuto kwenye social media kupotea. Huyu ni moja ya watu waliotoka familia maskini kama ilivyo kwa Bashiru na Kabudi. Kwa kuonekana wanataka kukitutumua familia za kifalme...
  9. JamiiForums Tanzania Kazi chafu: Hamas wanategeshea mabomu wanaohama Gaza Kaskazini ili kuwatisha wabaki, wanawasingizia Israel kuwalipua wanaohama

    Hamas wanategesha mabomu kwenye magari yanayohamisha watu Gaza kaskazini, Hamas hawaoni taabu kuua wapalestina kwa lengo la kutengeneza propaganda kuwasingizia Israel ndio wanafanya haya mashambulizi
  10. JamiiForums Tanzania Mimi ni mkristo lia lia ila mambo anayoongea Mohamed said kabla ya uhuru yanafikirisha yasipuuzwe na yafanyiwe kazi

    Nimesoma mabandiko mengi ya mzee Mohamed Said kuhusiana na uhuru ni ukweli usiopingika historia ya Tanzania imechakuchuliwa sana ni fupi sana kitu ambacho kinaleta doubt. Sitaki kumlaumu Julius Kambarage Nyerere ila nachojua alikuwa mwerevu sana kuliko wenzake yaani wakati wapo kwenye harakati...
  11. C

    JamiiForums Tanzania Naomba anaejua kwanini Procurement imetengwa

    Habari wakuu, Mimi nimhitimu wa Diploma NTA level 5 katika chuo cha TIA Mbeya kada ya manunuzi na ugavi. Kama ilivyo siku hivi kazi zimekuwa adimu sana, kazi pekee zinazopatikana na zinatanganzwa mara kwa mara ni za AFISA UTENDAJI MADARAJA TOFAUTI. Moja ya kigezo cha kuitwa kwenye usaili Ni...
  12. JamiiForums Tanzania "Kampuni yetu ya Teknolojia tunatafuta Mwekezaji wa kuongeza nguvu ya mtaji na Ufanisi kwenye kazi "

    Jambo, Tunatafuta mwekezaji mwenye nia ya kuwekeza katika kampuni yetu ya teknolojia inayojihusisha na kuuza vifaa vya usalama wa elektroniki na shughuli zingine za teknolojia. Tunaamini kuwa uwekezaji wako utatusaidia kuongeza ufanisi wetu na kufikia wateja wengi zaidi. Kuhusu kampuni yetu ni...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Usiombe kuacha kazi kisa Forex. Nilivyofilisika na kukimbilia kijijini Tabora

    Nilikuwa nimechoka na maisha ya kufanya kazi saa nane kwa siku katika ofisi flani hivi pale Posta jijini Dar es Salaam. Ndoto yangu ilikuwa kubwa zaidi kuliko kiti changu cha ofisini na mshahara wangu wa kila mwezi. Nilikuwa na hamu kubwa ya kujaribu kitu kipya, kitu ambacho kingenipa uhuru wa...
  14. JamiiForums Tanzania Je, Geita ina fursa gani?

    Wakuu nataka kuja Geita vipi wakuu naweza pata mwangaza kidogo chocjote mtu anafamu? Aidha lodge bei nafuu, mishe nknk
  15. JamiiForums Tanzania Mwalimu Maganga aliyekataa Ukuu wa Wilaya na kurudishwa kwenye Ualimu alisharipoti kazini?

    Mwenye taarifa za Mwalimu Maganga, Katibu Mkuu CWT aliyekataa uteuzi wa Ukuu wa Wilaya na kurudishwa kwenye Ualimu, kama alisharipoti kituo chake cha kazi atujulishe tafadhali!
  16. JamiiForums Tanzania Waliovyobipu walijisifia wanaijua kazi, hizi kelele za kuonewa wanavyopigiwa zinatoka wapi?

    Nashangaa kumekuwa na jitohada kubwa zinafanyika ionekane kwamba aliebipu aonekane ni muhanga wa kitendo alichofanya akijua kabisa ukibipu kinachofata huwa ni kupigiwa. Mwanzoni alivyobipu alijisifia ni shujaa na kutembea kifua mbele, simu ikaanza kupigwa ila aliebipu hakupokea zikawa ni missed...
  17. D

    JamiiForums Tanzania Kwanini baadhi ya nafasi za kazi zinazotangazwa zinakosa watu

    Habari wanajamvi Nimefuatilia placements nyingi za kazi lakini kuna jambo nimegundua unakuta wakati tangazo la kazi linatoka serikalini labda linahitaji watu 20 lakini watakaoajiriwa ni 12 tu shida ni nini...? Ni kwamba vijana sikuizi hawajiriki ndoo maana baadhi nafasi kukosa watu na kua...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Ma IT tuunganishe nguvu tuweze kunufaika na kazi na ubunifu wetu

    Tttt
  19. JamiiForums Tanzania RASMI: Belouizdad yamfuta kazi kocha wake Sven Vandernbroeck (Kishingo) aliyekuwa kocha wa zamani wa Simba

    Klabu ya CR Belouizdad ya Algeria Imetangaza Kumfuta Kazi Kocha wake Mkuu Sven Vandenbroeck raia wa Ubelgiji Kufuatia Mwenendo Mbaya wa Timu hiyo katika mechi za Ligi kuu ya Algeria (League 1) ambapo Wikiendi hii Timu hiyo ilipoteza mchezo wake wa Ligi wakiwa nyumbani dhidi ya Klabu ya Khenchela...
  20. K

    JamiiForums Tanzania TANGAZO LA KAZI YA CLEARING AGENT

    Kampuni ya JASMIS INTERNATIONAL LIMITED yenye ofisi zake Mbezi Beach Karibu Na CHEMICOTEX INDUSTRIES inawatangazia watanzania wote wenye vigezo na sifa kutuma maombi yao kuanzia leo hadi Oct 14,2023 Kazi : Clearing Agent Idara: Operational Vigezo Cheti / Diploma ya clearing pamoja na awe...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…