kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. JamiiForums Tanzania Tangazo la nafasi za kazi TAA la Tarehe 01/09/2023

    Habarii wanaJF, Ni takribanii miezi minne imepita tangia Tanzania airports authority (TAA) watoe tangazo la nafasi za kazi tarehe 1/09/2023 ajira za mkataba kwenye kada mbalimbali. Lakini mpaka ninapoandika Uzi hapa hakuna taarifa yeyote kama watu waliishaitwa kwenye usailii au wapo kazini...
  2. JamiiForums Tanzania Mwongozo wa Kazi ya Mhandisi wa Kompyuta (Computer Engineer Career Overview)

    Mhandisi wa kompyuta huchanganya uhandisi wa umeme na sayansi ya kompyuta ili kutegeneza teknolojia mpya. Wao hupanga, kujenga, na kuratibu vifaa vya kompyuta katika kompyuta za kisasa. Wahandisi hawa wanazingatia kuunganisha vifaa(hardware) na programu(software) katika mfumo mmoja...
  3. JamiiForums Tanzania Unapata shot ya stock kwenye biashara Yako? Nipe kazi niwe stock controller wako. Mungu ni mwema SITAKUANGUSHA

    Nina uzoefu wa miaka minne na nusu ambapo nilifanya katika moja ya depot ya kampuni ya Cocacola, hizi ambazo zinaitwa SSD. Nilikuwa chini ya kampuni Fulani ambayo mshahara wangu ulikuwa ukipitia kwenye hiyo kampuni. Nilifanya kazi Kwa miaka kadhaa na niliacha kazi Kwa amani kabisa pasipo...
  4. JamiiForums Tanzania Msaada natafuta kazi

    Wakuu habari? Nahitaji msaada wa kazi.yeyote anayefaham kazi ilipo naomba aniambie.Nina ujuzi wa laboratory ,QC pia kazi yoyote nitafanya.hapo chini ni part ya CV yangu pamoja na certificate training .asanteni sana
  5. JamiiForums Tanzania Kwa jinsi baadhi ya watu walivyo kuwa slow hapa jukwaani, laiti kama ningefanya nao " kazi" enzi zangu za ushetani basi wengi wao wangekufa

    Miaka ya elfu 2 mwanzoni nilikuwaga jambazi. Section yangu ilikuwa udereva. Jukumu langu lilikuwa kuwaendesha " ma afande wangu " baada ya tukio. Kanuni yangu ilikuwa tukienda "kiwanja" ( eneo la tukio) kukiwasha, tukio likisha fanyika basi ndani ya dakika 2 baada ya tukio inatakiwa kila...
  6. JamiiForums Tanzania Wataalamu wa IT naomba mnisaidie kuifunga simu isifanye kazi na kumtafuta aliyeniibia

    Wakuu kuna kisimu changu kimeibiwa sasa nimehangaika naona imekuwa mambo mengi kama mtu unaweza kuifunga isifanye kazi kama inawezekana nitashukuru Lakini pia kama utaitrack kama utamlipisha ukimkamata aliyeiiba hii simu ni wewe tu upendavyo mimi nimesamehe lakini roho inaniuma naweka na imei...
  7. JamiiForums Tanzania Dar: DAWASA imeanza kutekeleza kazi ya kufunga kifaa cha kusukuma maji kwenda Bonyokwa

    Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es salaam (DAWASA) imeanza kutekeleza kazi ya kufunga kifaa cha kusukuma maji (Booster pump) kwa lengo la kuongeza upatikanaji maji katika eneo la Mavurunza kwa ajili ya kupeleka maji katika maeneo ya Bonyokwa kwa Kichwa, Kwa Dani Mrwanda, Shedafa...
  8. JamiiForums Tanzania Hatimaye Anjela atimiza ndoto yake ya muda mrefu, Zuchu akubali kufanya nae kazi

    Kila mtu ana ndoto zake na malengo yake. Anjela msanii aliyekuwa konde gang wakashindwa kumpa huduma muhimu akasepa, ndoto yake kubwa ni kufanya kolabo na msanii wa kike namba moja east africa Zuchu. Leo baada ya kuelezea namna atafurahi akitimiza ndoto yake hii, Zuchu alimpa go ahead ya...
  9. JamiiForums Tanzania Kenedy, Kazi, Abel na Mwenda wana kitu; waaminiwe Simba Sc

    Nimeangalia mechi zote za Mapinduzi Cup alizocheza Simba Sc. Kuna kitu nimekiona miguuni kwa baadhi ya wanandinga wa Simba Sc. Nimemuona Kazi akipiga kazi nzuri akiimarisha ulinzi eneo hatari la Simba. Jana dogo sambamba na Kenedy Juma wamepiga soka zuri kwa kujiamini. Kuhusu Israel Mwenda...
  10. JamiiForums Tanzania PreGE2025 DC Rungwe azindua Zahanati ya Ilenge, aonya wanaokiuka maadili ya kazi

    Mkuu wa Wilaya ya Rungwe, Jaffar Haniu amezindua Zahanati ya Ilenge iliyopo katika Kata ya Kyimo ikiwa ni mwendelezo wa kuhakikisha Wananchi wanapata huduma ya afya karibu na Makazi yao, Januari 5, 2024. Akizindua Zahanati hii, Haniu amewashukuru Wananchi kwa ushirikiano waliouonesha katika...
  11. JamiiForums Tanzania Wale wahuni waliomuua Ghadaff nawalaani kila ninapopita na kuona kazi aliyofanya

    Muamar Ghaddaf alitusaidia sana kujenga Misikiti. Ukipita barabara ya kwenda Mwnza unakuta kiia baada ya kms kadhaa pembezoni mwa barabara kuna Msikiti. Ukienda Tanga vivyo hivyo, ukienda Ntwara, ukienda Mbeya, Rukwa... Kiukweli jamaa alikuwa jembe sana. Na pale Dodoma alitujengea Msikiti...
  12. U

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kijana anahitaji kazi

    Habari zenu wanajukwaa, kuna kijana anahitaji kazi katika maduka ya jumla jumla yanayouza kati ya vitu vifuatavyo 1)Vifaa vya umeme 2)Machines mbali mbali. Anapatikana Dar. Elimu yake ni kidato cha sita, ana nida na ana leseni ya udereva anaweza kuzungumza English kwa ufasaha na anauzoefu wa...
  13. JamiiForums Tanzania Mtwara: Mganga Mfawidhi asimamishwa kazi kwa kuwaambia Wagonjwa yeye ana Roho Mbaya kuliko wanavyofikiri

    https://www.instagram.com/reel/C1rIUPsi23K/?igsh=ZWI2YzEzYmMxYg%3D%3D Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mtwara Abeid Abeid Kafunda, amemsimamisha kazi Mganga Mfawidhi wa Zahanati ya Mkwajuni Isabella Renatus kutokana na madai ya kutokuwa na kauli nzuri kwa Wagonjwa huku akijisifu kuwa ana...
  14. JamiiForums Tanzania Kampuni za ujenzi zilivyokimbia kazi Gavao Same

    Tarura wanatangaza tender location ni kupanua barabara ya changarawe kuanzia saweni juu mpaka gavao Kabla ya kuomba kazi kampuni ya ujenzi inataenda kutembelea eneo husika ili kujirithisha sababu kuna habari za chini chini walizipata kwamba gavao hapafikiki kirahis Safari inaanza wanaenda...
  15. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi

    Habari wakuu hongereni kwa mwaka mpya. Nikienda moja kwa moja kwenye mada. Mimi natafuta kazi yoyote ila nina uzoefu wa miaka 2 laboratory technician pia quality control pia nina uzoefu wa blending operator yaani uwezo wa kublending products zote hasa za spirit mfano konyagi, vodica, value...
  16. JamiiForums Tanzania Kitabu kipya: "Ujasusi Ni Nini Na Je Majasusi Wanafanya Kazi Gani Hasa?"

    Tangazo la kitabu kipya kuhusu taaluma ya Ujasusi. Bei sh 45,000/= (free delivery jijini Dar, mikoani sh 5,000/=). Whatsapp/M-Pesa 0767-340-975 Yaliyomo kitabuni 👉Maana ya ujasusi 👉 Historia ya Ujasusi 👉 Aina za Ujasusi 👉 Ujasusi wa kimtandao 👉Ujasusi kama nyenzo ya diplomasia 👉Ujasusi...
  17. P

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi/nahitaji kazi yeyote ambayo haivunji sheria za mungu na haivunji sheria za nchi

    Hello wapendwa,Mimi ni binti Nina miaka 26 Ninaishi Dar es salaam Natafuta kazi/Nahitaji kazi yeyote ambayo HAIVUNJI SHERIA ZA MUNGU na HAIVUNJI SHERIA ZA NCHI Nina certificate ya (Medical attendant) Hivyo hata Kama ipo ya inayofanana na hiyo fani yangu pia sawa. Naenda mkoa wowote kazi...
  18. JamiiForums Tanzania Wapagazi chapeni kazi ,mishahara imepanda

    Leo asubuhi wpagazi wanaofanyakazi ya kubeba mizigo ya wageni katika mlima Kilimanjaro maarufu kwa jina la 'wagumu'wamekutana mjini moshi na habari kubwa kwao ni kupanda kwa mishahara yao ambayo kwa miaka nenda rudi wamekuwa kwenye harakati za kupambania maslahi yao. Mwaka 2008 yapata miaka...
  19. JamiiForums Tanzania Kama hauna njaa acha kazi msinisumbue!

    Jamani katika harakati za kutafuta kazi, vibarua na ajira rasmi. Wengi tumeangukia sekta binafsi. Aloo huku watu wanasota mbaya, kuna viwanda hapo vingunguti malipo ni bukutano per day. Unaingia asubuhi mpaka saa 12 jioni. Wengine wanaingia usiku. Ili upate hizo kazi lazima uhonge mlinzi wa...
  20. JamiiForums Tanzania Naomba msaada namna ya kutengeneza portfolio ya kazi

    Mwenye ujuzi ni namna gani naweza kutengeneza portfolio kwa ajili ya kuonesha kazi nilizofanya. Naomba anisaidie maana sifahamu wapi nianzie.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…