kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Kazi hizi zinawafaa INTROVERTS wa Tanzania wasiopenda ama wenye shida ya kusocoalize

    Introverts ni watu wanaopenda kuwa peke yao ama kuwa na circle ndogo sana ya watu, ni aidha wana aibu, wakimya, wana ulemavu wa mawasiliano, n.k. hivyo kupelekea wao kuwa na uwezo mdogo wa kusocialize, Watu hawa huchukuliwa kimakosa kwamba wana viburi au wana jeuri, Kazi hizi zinawafaa...
  2. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Enyi Vijana, chezeni kwenye ajira za serikali lakini ajira za makampuni / biashara binafsi muwe serious sana na kazi, kufukuzwa ni instantly

    Nayaongea haya mchana huu ikiwa nimepigiwa simu na kijana graduate niliemtaftia kazi mwezi wa 11 mwaka jana kuniambia kafukuzwa kazini, ishu yake ni kwamba alikuwa mtu wa kutoka toka muda wa kazi. Ajira za serikalini mambo ya kutoka wakati wa kazi yamezoeleka, waweza fanya masihara utavumiliwa...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Azim Dewji: Uhaba wa umeme unatokana na maendeleo ya wananchi

    AZIM DEWJI: UHABA WA UMEME UNATOKANA NA MAENDELEO YA WANANCHI Mfanyabiashara mkubwa nchini Mzee Azim Dewji ameongea na waandishi wa habari leo Januari 13, 2023 na kueleza kuwa amefanya utafiti mdogo na kugundua moja ya sababu zinazopelekea uhaba wa umeme nchini ni kuongezeka kwa mahitaji...
  4. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Sehemu ya kusubiria abiria Kivukoni joto ni kali na feni hazifanyi kazi

    Kuna tatizo tunaomba Serikali, Jamii na hasa mamlaka husika zifahamu ili hatua zichukuliwe, ni kuhusu kero ya joto kutokana na msongamano wa watu Kivukoni Jijini Dar es Salaam. Abiria tunaotumia vivuko tunapata shida sana wakati wa kusubiri Kivuko kwenye lounge kutokana na joto kali...
  5. P

    JamiiForums Tanzania Kazi viwandani

    Hapa Dar es salaam nikienda kiwanda gani au kampuni gani kuomba kazi nitapata ??? Naombeni connection ya kazi wapendwa Kazi yeyote,hata hapo officne kwako kama wanahitaji mtu wa usafi ni connect plz,
  6. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Watu wa protokali hawana weledi, haikuwa sahihi kumuweka Hafidhi pembeni ya Kikwete Mapinduzi

    Katika sherehe za miaka 60 ya mapinduzi nilishtuka kuona pembeni ya mme wa rais ndugu Hafidh kukaa rais mstaafu Kikwete. Mpangilio huu ulimfanya Hafidh kukosa furaha na utulivu muda wote wa sherehe nadhani hii ilisababishwa na mzee wetu kutokuwa karibu na wanasiasa na wajeda. Kwa mujibu wa...
  7. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Vyoo vya UDOM ni hatari kwa afya ya watumiaji wake

    Jamani tunaomba msaada sisi wana UDOM. Sikatai madarasa mazuri kabisa na pia masomo yanaenda vizuri na walimu wanafanya kazi vizuri sana lakini shida ni vyoo jamani. Vyoo vimejaa balaa na hivyo kufanya tuugue sana. Pia vinavuja kwa juu na hakuna kinachotendeka hadi sasa. Naomba tu na hili...
  8. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Kama Uchumbani unapewa mchezo kwa mbinde usimuoe! Ukifosi kumuoa jiandae kunyimwa hata mwezi/ mwaka mzima

    Suala la sex lina uzito sana ndani ya ndoa hasa kwa mwanaume ambae kaumbwa na matamanio makubwa kwenye ya libido / sex drive. Unapoona mwenzako uchumbani kwenye suala la mchezo ni mpaka ajivute vute, hadi umuhonge, umbembeleze sana na pengine hana hisia kwenye sex basi huyo ni wa kupiga na...
  9. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania JWTZ kufanya maonyesho ya ukakamavu kwenye Sherehe za Kitaifa kumepitwa na wakati

    I am not in the least bit impressed. Maonyesho ya kuvunja mbao, ya kuvunja matofali ya mchanga, ya kuokoa ‘mateka’ kwenye kiwanja cha mpira, na mengineyo, kwangu hayana maana yoyote ile. https://youtu.be/nE4VLXQ-bKY?si=VaXPStM2NnumYO_n
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Serikali yaahidi kuendelea kuimarisha Ulinzi Kwa kutoa vitendea kazi Kwa Jeshi la Polisi

    Mkuu wa Wilaya ya Mbeya, Benno Malisa ameahidi kuendelea kushirikiana na Jeshi la Polisi kwa kuhakikisha linapata vitendea kazi ikiwemo magari kwa ajili ya kufanya kazi kwa ufanisi. Ametoa kauli hiyo Januari 12, 2024 wakati akikabidhi magari mapya matatu kwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya...
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Kazi ya kusafisha mifumo ya majitaka ikiendelea kutekelezwa na DAWASA Jijini Dar

    Kazi ya kusafisha mifumo ya majitaka ikiendelea kutekelezwa na Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es salaam (DAWASA) katika mtaa wa Mchikichi na Kongo Kariakoo Jijini Dar es salaam. Kuziba kwa mfumo huu kunasababishwa na wananchi wenye tabia ya kutupa taka ngumu ikiwemo mawe makubwa...
  12. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Kufanya kazi TAMISEMI shida tupu, kila ukilala unaota uko jela

    TAMISEMI aidha uwe muadilifu wa kiwango cha SGR ili ustaafu salama au uwe na tamaa za kula vizuri, kupata usafiri bora na kupeleka watoto private school ili uishie jela. TAMISEMI hata ukiiba elfu 50 jiandae kufukuzwa kazi au kufungwa. TAMISEMI ukifanya kazi kuwa makini, unaweza kuingizwa...
  13. Majok majok

    JamiiForums Tanzania Simba mnayo safari ndefu ya kuijenga timu yenu, zile 5 za Yanga zinaweza kuja kujirudia msipofanyia kazi mapungufu yenu!

    Nimeifatilia Simba kwenye mechi zote za mapinduzi cup na nimeona bado wanayo matatizo makubwa sana ya kiufundi, nilitegemea mabadiliko baada ya benchikha kuichukua timu lakini silioni ilo kwa sasa! Simba bado Wana shida ya kucheza mpira wa taratibu na kujenga mashambulizi kwa mwendo wa konokono...
  14. AFRICAN BOYI

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote halali, huku mtaani sio poa

    Habari zenu wakuu Wakuu naombemi kazi yoyote ya halali huku mtaani sio poa. Huku kitaa nimepambana sana huku na kule lakn bado kugumu ila hatukati tamaa. Naombeni kwa yeyote mwenye kazi aniunganishe tafadhali, ata za viwandani sawa tu muhimu kupata chochote kitu. Mwenye connection za saidi...
  15. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Ati ni kweli kuwa kuna kada hata wafanye Kazi miaka mia hawezi kuwa na nyumba kama ya Mwijaku?

    Habari wakuu! Baada ya kuwakandia Machawa na kuwatukana vilivyo mpaka humu ndani uzi wangu kufutwa. Moja ya viongozi wa bodi ya Machawa Tanzania alinipigia simu jana akiwa na furaha nyingi. Nikiwa najua kuna dili la kibiashara linakuja, nashangaa ananiambia unamuona Mwijaku huko. Nikamwuliza...
  16. Brightly

    JamiiForums Tanzania Tangazo la nafasi za kazi TAA la Tarehe 01/09/2023

    Habarii wanaJF, Ni takribanii miezi minne imepita tangia Tanzania airports authority (TAA) watoe tangazo la nafasi za kazi tarehe 1/09/2023 ajira za mkataba kwenye kada mbalimbali. Lakini mpaka ninapoandika Uzi hapa hakuna taarifa yeyote kama watu waliishaitwa kwenye usailii au wapo kazini...
  17. Onny Alex

    JamiiForums Tanzania Mwongozo wa Kazi ya Mhandisi wa Kompyuta (Computer Engineer Career Overview)

    Mhandisi wa kompyuta huchanganya uhandisi wa umeme na sayansi ya kompyuta ili kutegeneza teknolojia mpya. Wao hupanga, kujenga, na kuratibu vifaa vya kompyuta katika kompyuta za kisasa. Wahandisi hawa wanazingatia kuunganisha vifaa(hardware) na programu(software) katika mfumo mmoja...
  18. Tanki

    JamiiForums Tanzania Unapata shot ya stock kwenye biashara Yako? Nipe kazi niwe stock controller wako. Mungu ni mwema SITAKUANGUSHA

    Nina uzoefu wa miaka minne na nusu ambapo nilifanya katika moja ya depot ya kampuni ya Cocacola, hizi ambazo zinaitwa SSD. Nilikuwa chini ya kampuni Fulani ambayo mshahara wangu ulikuwa ukipitia kwenye hiyo kampuni. Nilifanya kazi Kwa miaka kadhaa na niliacha kazi Kwa amani kabisa pasipo...
  19. Jicholamwewe

    JamiiForums Tanzania Msaada natafuta kazi

    Wakuu habari? Nahitaji msaada wa kazi.yeyote anayefaham kazi ilipo naomba aniambie.Nina ujuzi wa laboratory ,QC pia kazi yoyote nitafanya.hapo chini ni part ya CV yangu pamoja na certificate training .asanteni sana
  20. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Kwa jinsi baadhi ya watu walivyo kuwa slow hapa jukwaani, laiti kama ningefanya nao " kazi" enzi zangu za ushetani basi wengi wao wangekufa

    Miaka ya elfu 2 mwanzoni nilikuwaga jambazi. Section yangu ilikuwa udereva. Jukumu langu lilikuwa kuwaendesha " ma afande wangu " baada ya tukio. Kanuni yangu ilikuwa tukienda "kiwanja" ( eneo la tukio) kukiwasha, tukio likisha fanyika basi ndani ya dakika 2 baada ya tukio inatakiwa kila...
Back
Top Bottom