David Kafulila bado ni kijana mdogo, anaweza kuwa na nia njema kabisa lakini hana uzoefu namna serikali inavyoenda na inavyoendeshwa.
Ndoto zake za PPP ni nzuri kwenye makaratasi, lakini utekelezaji wake ni wa kufikirika.
PPP ni Public Private Partnership, yaani serikali na wawekezaji kukaa...