David Zacharia Kafulila (born 15 February 1982) is a Tanzanian NCCR–Mageuzi politician and Member of Parliament for Kigoma South constituency since 2010.
HAPPY INTERNATIONAL MEN’S DAY 2026 – THE FUTURE IS EVERYONE - KAFULILA
Katika kuadhimisha Siku ya Wanaume Duniani, Mkurugenzi Mtendaji wa PPPC, David Zacharia Kafulila, kupitia akaunti yake ya X (zamani Twitter), ametoa ujumbe unaosisitiza umuhimu wa ushirikiano kati ya wanaume na wanawake...
David Kafulila bado ni kijana mdogo, anaweza kuwa na nia njema kabisa lakini hana uzoefu namna serikali inavyoenda na inavyoendeshwa.
Ndoto zake za PPP ni nzuri kwenye makaratasi, lakini utekelezaji wake ni wa kufikirika.
PPP ni Public Private Partnership, yaani serikali na wawekezaji kukaa...
Private public parteship (PPPs) ni uchumi dhaifu na sio wa kuutegemea ktk kujenga taifa letu kwa karne hii.
Muwekezaji ni sawa na mpangaji, leo yupo kesho anaondoka muda wowote, kujaribu kuutegemea uchumi wa namna hii ni kuua future ya mtanzania.
Ni sawa na mgonjwa wa Malaria aliyemeza...
KAFULILA ANASEMA CHINI YA RAIS SAMIA PPP IMETOKA MRADI SIFURI HADI ZAIDI YA MIRADI 100
Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia nchini Bwana David Kafulila amesema uelewa kuhusu Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP) umeendelea kuongezeka miongoni mwa mamlaka za Serikali na wanasiasa...
Wakuu,
Kuna jambo ambalo limekuwa likileta tafakuri nyingi kuhusu baadhi ya kauli za kiuchumi zinazotolewa na David Kafulila.
Baadhi ya kauli hizo ambazo zinzweza kuzua mijadala ni kama zifuatazo
1. DIRA 2050 – Uchumi wa dola trilioni moja.
Kafulila amekuwa akihamasisha kwamba Tanzania...
KUPITIA PPPs, TUNATAKA KUWA NA SEKTA NDOGO YA KILIMO YENYE ZANA BORA ZAIDI, TEKNOLOJIA YA KISASA ILI KUONGEZA MCHANGO WAKE KWENYE UCHUMI (GDP)
Akijibu swali la Mwanachuo Rachel, Bwana David Zacharia Kafulila, Mkurugenzi Mtendaji wa PPPC Tanzania, alisema watu wanapaswa kupungua katika sekta ya...
Akizungumza na vijana wa Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA), Mkurugenzi Mkuu wa PPPC, David Kafulila, alisema kuwa upande wa Serikali vijana ndiyo nguvu kuu ya kuleta mabadiliko na mageuzi yoyote ambayo taifa linayahitaji ili kusonga mbele.
David Kafulila alisema kuwa ili kufanikisha hilo...
WABONGO MAPOYOYO SANA WAKIAMBIWA UKWELI WANAANZA KUJILINGANISHA NA CHINA NA INDIA😁😁😁
WATU WAJINGA NA WASIO NA VISION WALA MISSION WAPO HAPA DUNIANI KUZURURA TU. MUDA WAO MWINGI WANATUMIA KUNGONOKA.KISHA VITOTO VYAO WANATEGEMEA VILELEWE NA JAMII.
HUU NI MTINDO MBOVU WA MAISHA NA TABIA MBAYA YA...
MAREKAN Ina watu zaidi ya Milion 300, na wameendelea .
Kafulila usione Haya kusema kua "Afrika tuna uçhumi mdogo licha ya Idadi kubwa ya watu kwa sababu ,Ni Afrika tu ndo Mtu anatafuta Urais kama Sifa, Wizi, Ufisadi
Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania, David Kafulila, amesema kupunguza urasimu katika sekta ya umma na kufungua milango ya ushindani kwa sekta binafsi ni hatua muhimu katika kuongeza tija, kukuza uchumi na kuboresha kipato cha wananchi hasa wa kipato cha chini.
Akizungumza...
Wasalaam Jf,
Tuendelee kumsikiliza mtaalamu wa PPPs na nondo zake kalikali.
Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia Tanzania (PPPC), David Kafulila, amesisitiza umuhimu wa kuwapa kipaumbele wafanyabiashara na wawekezaji wa ndani, akieleza kuwa wawekezaji wa kigeni wanapaswa kuja nchini kwa...
Wasalaam Jf.
Record hii ya David Kafulila inanivutia kuwa mchumi,
Akimkaribisha Mtendaji Mkuu wa Kituo cha Ubia Tanzania, Bwana David Zacharia Kafulila, mchumi mahiri Dkt. Bravios Kaihoza alisisitiza umuhimu wa taasisi za kiuchumi katika safari ya maendeleo ya Taifa lolote lile Duniani...
Mwaka 2030 sio mbali sana na kwa Hali ilivyo kama CCM hakitagawanyika na kusambaratika uhalisia mchungu ni wao kuendelea kutawala kupitia chaguzi za hadaa na nguvu ya vyombo vya dola.
Tunachotakiwa kama raia wa nchi hii ni kuchagiza walete angalau wagombea wenye nafuu wenye akili na haya kiasi...
Tanzania ni nchi ya ajabu sana, unakuta sehemu nyingi zenye viwanda vya maji vinavyouza maji ya chupa nchi nzima raia wanaozunguka hivyo viwanda hawana maji safi laini ya bomba hata ya kunywa na kupikia tu.
Sasa kwa sababu viwanda vya maji vya akina Azam, Kilimanjaro, GSM, Hill Water na vingine...
Anasema haka kajamaa kanajitutumua sana. Lakini ni kama kamedharaulika tu watu hawakaoni. Kila siku kanatoa matamko na takwimu za kipuuzi za kichawa mpaka mwenyewe anasema haka katoto kanafanya propaganda za kituko.
Huyu mwongeaji ni MwanCCM kada mwandamizi ambage ana na amekuwa na nafasi...
Tanzania imeendelea kuimarisha nafasi yake katika uwekezaji wa miundombinu na utekelezaji wa miradi kupitia ubia kati ya Serikali na sekta binafsi (Public-Private Partnerships – PPP), huku ikitajwa kuwa miongoni mwa nchi zinazoongoza barani Afrika katika kuvutia uwekezaji binafsi kwenye...
Kuna mambo yanachekesha kwelikweli, kumeibuka nyuzi kibao hapa jukwaani zikimwonesha Kafulila kama mtu smart sana😂.
Kumbe mama yenu anataka kumwachia kiti. Mwambieni amefeli, hata yeye yupo kiharamu, tumekaa palee tunasubiri uchaguzi.
Heshima sana wsnajamvi.
Kuna utaratibu wa hila na laghai za kila aina ambazo sijui chanzo chake au kusudio lake.
Huyu Kafulila kila uchao utasikia kasema hili mara kasema lile.
Ukitazama nyuzi kuhusu Kafulila hasa JF nadhani kuna kundi la watu pengine wanalipwa au yeye mwenyewe Kafulila...
Mkurugenzi wa Kituo cha Ubia nchini Tanzania (PPPC), David Kafulila, akizungumza na wasomi wa Tengeru Institute of Community Development (TICD) jijini Arusha, alitoa maelezo ya kuvutia kuhusu nafasi ya wanawake katika uchumi na maendeleo ya Taifa.
Kafulila alikuwa akijibu swali la Chiku mmoja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.