jinsi

Hu Jinsi (胡進思) (died April 28, 948) was a general of the Chinese Five Dynasties and Ten Kingdoms Period state Wuyue, becoming powerful during the reign of its third king Qian Hongzuo (King Zhongxian). After Qian Hongzuo's death, Hu had frequent conflicts with Qian Hongzuo's brother and successor Qian Hongzong (King Zhongxun). Fearing that Qian Hongzong would kill him, he deposed Qian Hongzong in a coup and replaced him with his brother Qian Hongchu (King Zhongyi, later known as Qian Chu).

View More On Wikipedia.org
  1. Bongo Tech Giant

    JamiiForums Tanzania Mwongozo wa jinsi ya Kufanya ili Uweze kulipwa na Facebook kila Unapo Post Content Zako

    Watu wengi bado wanatumia Facebook kama sehemu ya kupitisha muda tu, bila kujua kuwa kila siku mamilioni ya dola yanagawanywa kwa creators wanaopost maudhui yanayovutia. Ukweli ni kwamba Facebook siyo tu mtandao wa kijamii ni soko la fursa. Kila unapopost kwenye Facebook, huna post tu kwa ajili...
  2. Chura

    JamiiForums Tanzania KIAMA CHA WANAHARAKATI JANJA JANJA: Jinsi Hatua ya Rais Trump Inavyoweza Kukata Mirija ya Fedha kwa Kina Maria Sarungi

    Na Mchambuzi Chura wa Siasa za Kimataifa Januari 7, 2026, itakumbukwa kama siku ya kihistoria katika diplomasia ya ulimwengu baada ya Rais Donald Trump kutangaza rasmi kuiondoa Marekani katika mashirika ya kimataifa 66. Hatua hii, inayokuja chini ya sera ya "America First", si pigo kwa...
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Jinsi Porojo za wanasiasa zinavyoharibu Sekta ya Afya nchini

    Kumekua na kukithili kwa porojo za kisiasa juu ya sekta ya afya nchini, hali inayopelekea huduma kuendelea kuwa duni na zisizoridhisha. Jambo moja wapo ni hili la kupitiwa na kubadilishwa kwa miundo ya kimshahara katika sekta ya afya,, jambo hili kila Waziri anaepewa dhamana kuongoza wizara ya...
  4. X

    JamiiForums Tanzania Jinsi Marekani ilivyosaidia kuondoa utawala wa marais kadhaa duniani na mafanikio iliyoleta katika nchi hizo

  5. L

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kuepuka Fines za Kodi na Brela

    Wafanya biashara wengi hupigwa fines wasizozitegemea na wanajikuta na mrundikano wa madeni makubwa yanayo waelemea kila uchwao. SAbabu kuu zinazofanya wafanya biashara wanapigwa fines ni kutokuzijua compliances wanazotakiwa kuzifanya kila mwezi na kila mwaka. Nimekuandalia E-book inayoitwa...
  6. Godoro la kioo

    JamiiForums Tanzania Jinsi nilivyotapeliwa kizembe na muuzaji wa ‘Simu used kutoka Dubai’

    Wakuu poleni na matatizo yanayoikumba nchi yetu. Poleni kwenu mliopoteza ndugu, jamaa, na marafiki kutokana na yaliyojiri oct29 Bila kuwachosha. Kuna msemo maarufu usemao """Wajinga ndiyo waliwao"""' Ilikuwa tarehe 20 mwezi wa 11 mwaka 2025 ndo siku ambayo kwa mara ya kwanza nilihisi...
  7. JOHNGERVAS

    JamiiForums Tanzania Hii dunia watu makatili sana. Sikiliza hii stori ya John Kaaya akieleza jinsi polisi walivyomtesa

    Kama ni kweli kuna watu waliuawa bila hata hatia, tena kwa makusudi https://youtu.be/kW4x1NROh0k
  8. ELIA MWAPINGA

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kuanza Kutengeneza Pesa Mtandaoni Bila Mtaji (Kwa Wanaoanza Kabisa)

    ❌ Tatizo la Watu Wengi: Watu wengi wanataka kutengeneza pesa mtandaoni lakini wanaamini bila mtaji haiwezekani. Ukweli ni kwamba… mtaji mkubwa si pesa, ni maarifa + muda +uvumilivu . Njia 3 za kutengeneza pesa mtandaoni ambazo unaweza kuanza Bila Mtaji 1️⃣ Kuuza Ujuzi (Hata Kama Unaona Ni...
  9. Richard

    JamiiForums Tanzania HOUSE OF BLOOD: Gazeti la "The Sun" la Uingereza lilivyomuita Rais Samia mchinjaji na juu ya ukatili uliofanyika kwa raia wake

    Vyombo kadhaa vya habari barani Ulaya na Marekani vimeuandika raisi Samia vibaya sana kuhusu azma yake ya kung'ang'ania madaraka ambayo ilimpelekea kuamuru raia wake wauawe na vyombo vya usalama vya Tanzania. Lakini gazeti la The Sun la nchini Uingereza toleo la tarehe 6 Disemba nalo...
  10. Raymanu KE

    JamiiForums Tanzania Jinsi vijana wa Gen Z wanavyosherehekea krismasi

    😂😂
  11. kingphisher

    JamiiForums Tanzania Jinsi gani ya kuwa Data Analyst

    Wakuu, moja kati ya passions nilizonazo ni pamoja na kuwa "data analyst ". Nipo kwenye process ya kumalizia SQL queries course relating to data analytics. Katika research ambayo nimefanya huko YouTube, wanasa ni lazima nizijue zofuatazo. 1. Sql 2. Advanced excel ikiwemo "pivot table and Vlookup...
  12. technically

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kujilinda na watekaji

    Hakikisha nyumbani ukosi kichupa chenye asidi Hakikisha nyumbani ukosi mafuta ya petrol Tengeneza kabati maarumu Kama zile za kutunza mithihani shule weka vifaa vyako pale. Hakikisha nyumba yako ina mlango wa chuma kwa nje na wa mbao kwa ndani. Wajinga wakija wawai na asidi wakati wanafungua...
  13. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupika vitumbua

    Hello Kwanza andaa mchele wako uchambue usiwe na mawe wala chuya kisha uoshee vizuri kisha loweka mchele mimi nili uloweka kuanzia asubuhi up jion so inategemeana na wewe unataka kuvipika saa ngapi kama ni asubuhi nashauri loweka usiku Baada ya hapo nika brendi kwenye brend nikiwa...
  14. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Jinsi Nyerere alivyofanyiwa hila hadi kuacha kazi ya ualimu

    Kitabu Uamuzi wa busara kinazungumzia maamuzi mbalimbali magumu yaliyofanywa na Mwalimu JK Nyerere na TANU. Kuanzia Mwalimi kujiuzulu kazi ya ualimu, TANU kuamua kutosusia uchaguzi, Mwalimu kujiuzulu ubunge, Mwalimu kujiuzulu Uwaziri Mkuu, Muungano, Azimio la Arusha. Kinapatikana ndani ya app ya...
  15. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania (Kumbukizi) Lema: Jenista, kwa jinsi unavyopenda Uwaziri siku ukitumbuliwa unaweza ukafa

    Godbless Lema ni Nabii wa Kweli heshimuni maono yake kuepuka Majanga Godbless Lema akiwa Bungeni aliwahi kusema: "Jenista kwa jinsi unavyopenda Uwaziri siku ukitumbuliwa unaweza ukafa baada ya siku si nyingi. Huwezi ku--defend kila jambo kwa sababu unataka uonekane. Kuna saa unachill, wisdom"
  16. Sir Matics Leokas

    JamiiForums Tanzania Dini, Siasa, na Jinsi Zinavyodhibiti Dunia

    Dini na siasa ni mifumo yenye nguvu kubwa katika kuongoza maisha ya watu. Vyote viwili vinaongoza fikra, maamuzi, na maadili ya jamii kwa njia ambazo hazionekani moja kwa moja. Siasa hutumia dini kujenga utii na uhalali. Wanasiasa wengi huonekana kwenye ibada ili kupata ushawishi wa kiroho na...
  17. Jbst

    JamiiForums Tanzania Jinsi kupika njegere za nazi

    Habari zenu wana jamvi, heri ya sikukuu ya ya taifa letu. Naomba kuelekezwa namna ya kupika njegere za nazi na wali wa nazi.
  18. N

    JamiiForums Tanzania Jinsi Operation Maalum ya Kulinda wananchi wa Libya ilivyoenda

    Walianza na kauli moja. Tunaingiza vikosi kulinda wananchi wasionewe na kuumizwa na serikali yao. Hapa ndipo walipo December hii.
  19. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Jinsi Viongozi wa Kiislamu Wanavyopaswa Kutatua Migogoro ya Jamii

    Uongozi wa Kiislamu umejengwa juu ya hekima, usawa, subira, na uchamungu. Migogoro ya kijamii iwe ya kifamilia, kijiji, kiuchumi, au kiimani—inatakiwa kutatuliwa kwa njia zinazolingana na Qur’an na Sunnah. Chini ni kanuni kuu na mifano halisi: 1. Kusikiliza Pande Zote Bila Upendeleo (العدل)...
  20. Keynez

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Jinsi Samia anavyoongelewa huko Oman

    Nimekutana na hii post katika mtandao mmoja Instagram mkubwa wa Oman ikimuongelea Samia. Mtandao huo umeripoti jinsi Samia anavyotrend kwa kujaza ndugu zake wa karibu katika nafasi nyeti za serikalini. Ila nimejiuliza inakuwaje hadi Oman inaposemekana amejijengea mazingira fulani fulani na...
Back
Top Bottom