jinsi

Hu Jinsi (胡進思) (died April 28, 948) was a general of the Chinese Five Dynasties and Ten Kingdoms Period state Wuyue, becoming powerful during the reign of its third king Qian Hongzuo (King Zhongxian). After Qian Hongzuo's death, Hu had frequent conflicts with Qian Hongzuo's brother and successor Qian Hongzong (King Zhongxun). Fearing that Qian Hongzong would kill him, he deposed Qian Hongzong in a coup and replaced him with his brother Qian Hongchu (King Zhongyi, later known as Qian Chu).

View More On Wikipedia.org
  1. MALCOM LUMUMBA

    JamiiForums Tanzania Kumbukizi la kihistoria: Jinsi barua ya kughushi ilivyomuua Mfalme wa Rumi

    Lucius Domitius Aurelianus, Hili ni jina kubwa mno kwenye historia ya dunia: Huyu alikuwa ni jemedari mahiri kabisa wa vita (Impeator) na baadaye akaja kuwa mfalme wa bora wa Dola la Roma (Caesar). Wengi humkumbuka kama The Emperor Who Saved The World, japo alitawala kwa miaka mitano tu na...
  2. lord atkin

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Jinsi Dk Nchimbi alivyogundua Rais Samia anatamani mabadiliko

    Katika barua yake kwa umma Mhe Dk Emmanuel Nchimbi amesema kwamba nanukuu "... nimejiridhisha pasipo shaka kuwa Mhe. Rais anatamani mabadiliko, hivyo nimeamua kutimiza ahadi yangu...." Alipoona baadhi ya viongozi na wabunge wa ccm wanasimama hadharani na kumuita Yuda alidhani wanajituma...
  3. bless on

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupangilia kitanda chako kiwe na muonekano mzuri

    Huna haja ya kutumia mabilioni au kukaa kwenye hoteli ya nyota tano ili kufurahia kitanda chenye muonekano wa kifalme. Mabadiliko makubwa ya muonekano wa chumba chako yanaanzia kwenye sanaa ya kupangilia kitanda chako kila asubuhi! Ukiangalia mpangilio wa kitanda hiki kwenye picha, utagundua...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Jinsi Miamala ya Airtel Money inavyowapa Wateja fursa za zawadi

    Wateja wa Airtel Tanzania wanaendelea kupata fursa za kushinda zawadi mbalimbali kupitia miamala yao ya kawaida ya Airtel Money, chini ya kampeni ya Minyoosho Inaendelea ambayo inawahamasisha wateja kutumia Airtel Money katika shughuli zao za kila siku, huku miamala inayokidhi vigezo ikiwapa...
  5. secretarybird

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Pointi Sita: Jinsi Mfumo wa Mitihani hapa nchini Unavyopotosha Ufafanuzi wa Kihistoria.

    Sidhani kama Kila tukio la Kihistoria lilisababishwa (causes) na mambo sita na kuendelea au lilisababisa (effects ) mambo sita na kuendelea. Katika somo la history hapa nchini kumekuwa na tabia kutaka kuwaaminisha wanafunzi kuwa kila tukio la Kihistoria limesababishwa na mambo mengi sana. Ni...
  6. bless on

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupangilia chumba au sebule yako bila gharama:

    Watu wengi wanaamini kuwa ili uwe na sebule au chumba kinachovutia kama picha za kwenye mtandao, lazima utumie mabilioni ya fedha kununua samani za gharama. Ukweli ni kwamba, siri ya muonekano wa kisasa na wa kifahari (cozy vibe) ipo kwenye mpangilio, rangi, na vitu vidogo vidogo. Kama unataka...
  7. G

    JamiiForums Tanzania Utafiti unaonyesha jinsi saratani ya tezidume unavyobadilisha mfumo wa kemikali mwilini ili dawa isifanye kazi

    Kama kawaida yetu, tunaangaza afya ya Tezidume… hii mpya ya leo Uvimbe wa saratani ya tezidume unaweza kubadilisha mfumo wa kemikali wa asidi ya amino (amino acid metabolism) ili kuondoa vizuizi vya kawaida vya utengenezaji wa lehemu (cholesterol), mchakato ambao unaweza kuchochea uwezo wa...
  8. youngkato

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kuanzisha na Kufanikiwa Katika Biashara ya Butcher Tanzania

    Butcher inaweza kuanza na mtaji mdogo, lakini bila eneo sahihi, usafi, nyama bora na huduma nzuri kwa wateja—unaweza kuuza kila siku lakini bado usipate faida unayoitarajia. Biashara ya butcher ni miongoni mwa biashara zenye uhitaji wa kila siku kwa sababu nyama ni bidhaa inayotumiwa na...
  9. TIB RASILIMALI

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kuepuka Makosa ya Kuwekeza kwenye Hisa au Hatifungani

    Habari zenu wakuu, Uwekezaji kwenye hisa au hatifungani (bonds) unaweza kuwa njia nzuri ya kujenga utajiri kwa muda mrefu. Lakini kama ilivyo kwenye uwekezaji mwingine, unaweza kupoteza fedha si kwa sababu uwekezaji ni mbaya, bali kwa sababu ya maamuzi mabaya ya mwekezaji mwenyewe. Katika mada...
  10. n00b

    JamiiForums Tanzania Mbinu Mpya za Udukuzi wa WhatsApp na Jinsi ya Kujilinda (Mwongozo wa 2026)

    Leo ningependa kushiriki nanyi dondoo muhimu sana kuhusu usalama wa akaunti zetu za WhatsApp. Siku hizi, wadukuzi (hackers) hawatumii nguvu nyingi kuvunja mfumo wa ulinzi (encryption) wa WhatsApp, bali wanatumia mbinu za kilaghai (Social Engineering) kuwahadaa watumiaji. Haya ni mambo muhimu...
  11. V

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kurudosha email au username ajira portal

    1. Wapigie utumishi au fika kwenye ofisi zao 2.Jaribu kureset password kwa email unayoikumbuka kwa kuiedit 3.hii ya tatu ni mwisho na wengi hamuijui lakini ukitaka nikwambie tuwasiliane personally kwasababu siyo wote mtaitumia vizuri.Naandika ivi kwasababu kuna watu wenye biashara zao huwa...
  12. V

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kufuta qualifications ajira portal

    KWENYE mfumo kwa upande wa elimu ya chuo NK hasa kuna sehemu imeandkwa REQUEST REMOVAL use it kama uliweka qualifications wrongly
  13. K

    JamiiForums Tanzania 🔥 Kutoka Kongo Hadi Morogoro: Miamba Mitatu ya Rumba na Jinsi Watoto Wao Walivyobeba Urithi wa Wazazi

    Wanajamii Forums, leo naomba tupitie kwa ufupi magwiji wa muziki wa dansi ama Rumba wa Afrika Mashariki na Kati, kazi zao zilizotukuka, na jinsi vizazi vyao vinavyolinda urithi huu wa kihistoria. Tasnia ya muziki wa kizazi cha dhahabu (Golden Era) barani Afrika ilitawaliwa na ubunifu mkubwa wa...
  14. tpaul

    JamiiForums Tanzania Jinsi matapeli wa mjini wanavyotumia "harusi" kupiga pesa; inauma sana

    Mjini shule. Ndivyo unavyoweza kusema. Ukija mjini njoo na akili usije na jembe. Huku mjini ni mahali pa kutumia akili zaidi kuliko nguvu. Kuna aina mpya ya utapeli imeibuka hapa mjini kupitia michango feki ya harusi. Mtu akijiona amepigika sana kimaisha hutafuta senti kidogo za kuchapisha kadi...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Stori za Wanawake wanaojiita High Class Pisi Kali, ni kujadili Jinsi ya kupata waume za watu wenye hela.

    Huu umekuwa kama ulemavu sasa. Kwa kazi yangu ya kukutana na Jamii moja Kwa moja nimekuwa mtu wa kajichanganye kwa watu wa rika zote, jinsia zote, levels zote, maskini, Hali ya Kati na matajiri, pia nimeweza kukutana na socialites, influencers, famous na cerebrilities. Mada zao ni kula bata...
  16. David ngayanimo

    JamiiForums Tanzania SNARE - JINSI INAVYOKUWA

    SNARE - JINSI INAVYOKUWA [Vperse 1] Toka zamani ndoto yako kuwa mwanamuziki / Ukaandika mistari, ukapiga tizi, ukawa fiti / Singo ya kwanza hewani, juu kwa juu ikatiki / Watu bila Ubishi kazi wakaikubali / Interviews kila kona, wabaya wakata hayari / Washikaji 'fangio', madem wakazimia...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Wakongwe wamerudi kwenye gemu, Kizazi Kipya mmeona jinsi age go tulivyokuwa tunainjoi mziki mzuri?

    Kwa sasa kama wakongwe wamepindua meza kwani kila tukio sasa wakongwe wanapanda kupaform muziki wa bongo fleva wa zaman, kwetu sisi age go ni burudani kabisaaa. Tumeona kwenye Tamasha la Miaka 30 ya Bongo Fleva namna ambavyo lilionekana watu wamelipokea vyema na kuonesha kufurahi kwani wengine...
  18. tucker carlson

    JamiiForums Tanzania Ulikuta nini kwenye simu yake na kikabadilisha kabisa jinsi unavyomuona mpenzi wako?

    Naomba nianze na mimi Mimi alinipa simu yake nimuungie bando la Airtel Nikaona text imepop up kwa juu imeandikwa "Happy Anniversary baby, Cant wait to see you tonight" Nikameza mate nikanyamaza, sikumwambia chochote. Wiki inayofuata nikamtoa out, nikamwambia nilichokiona kwenye simu yake...
  19. W

    JamiiForums Tanzania MASTERCLASS: Jinsi ya Kutumia Samsung Modes & Routines Kuimarisha Ulinzi wa Simu Yako

    Modes and Routines (Zamani zikiitwa Bixby Routines kwenye simu za Samsung) ni kipengele kinachowezesha simu yako kujiongoza yenyewe (automation) kufanya mambo mbalimbali kulingana na wakati, eneo, au kile unachofanya. Wazo kuu la kipengele hiki linategemea "Kama (If) ... Basi (Then)": Modes &...
  20. bless on

    JamiiForums Tanzania Eboué: Jinsi Mapenzi Yalivyomfilisi Star wa Arsenal

    Hakuna pigo linaloweza kumvunja mwanamume vipande vipande kama kujitoa kwa 100% kwa mwanamke unayemwamini na kumpenda, halafu mwisho wa siku anakunyima hata sehemu ya kulala kwenye nyumba uliyoijenga kwa jasho lako mwenyewe. Hiki ni kisa cha kweli cha aliyekuwa mchezaji wa timu ya taifa ya...
Back
Top Bottom