Hu Jinsi (胡進思) (died April 28, 948) was a general of the Chinese Five Dynasties and Ten Kingdoms Period state Wuyue, becoming powerful during the reign of its third king Qian Hongzuo (King Zhongxian). After Qian Hongzuo's death, Hu had frequent conflicts with Qian Hongzuo's brother and successor Qian Hongzong (King Zhongxun). Fearing that Qian Hongzong would kill him, he deposed Qian Hongzong in a coup and replaced him with his brother Qian Hongchu (King Zhongyi, later known as Qian Chu).
Mara baada ya kumaliza elimu ya chuo kikuu(shahada) nilirudi nyumbani nikiwa mikono mitupu,
Harakati za kutafuta mia mia mbili zilianza nikapata sehemu ya kufanya KAZI na kuingiza 350k kwa mwezi.
Maisha yalienda, baada ya hapo nikakutana na rafiki yangu ambae kwasasa ni mtumishi wa TANAPA...
https://youtube.com/live/luCqPlMzdcU?feature=share
Sikiliza hii David Kafulila na wenzake wakifafanua jinsi Taifa litakavyokusanya trlioni 477 za Maendeleo kwenye FYDP-IV (2026|27-2030|31)
MITANDAO YA KIJAMII JINSI INAVYOLIPA!!!
FURSA YA KIPEKEE YA KUKUZA KIPATO CHAKO!
Je, unatafuta njia ya kuongeza kipato chako kupitia mitandao ya kijamii ukiwa nyumbani au popote ulipo?
Karibu kwenye Kampuni ya Eternal International – mahali ambapo ndoto zako za kifedha zinaanza kuwa kweli...
Uume Imara (Afya Ya Uume):
Ili kufanya uume uwe imara (kuwa na nguvu wakati wa tendo la ndoa), unahitaji kuzingatia afya ya mwili, akili, na mtindo wa maisha.
Zifuatazo ni baadhi ya njia muhimu na salama kabisa zinazosaidia uume uwe imara (kuwa na nguvu wakati wa tendo la ndoa);
1) Lishe Bora...
tengeneza chai kwa kuchemsha maji na majani ya chai ( zidisha majani ya chai kuliko kawaida )
kisha baada ya chai kuchemka vizuri acha ipoe
ikishapoa chuja na kuwekea sukari nyingi nyingi, kama una scoby unaweza ukaweka kama hauna hakunashida pia, iache chai yako ndani kwa siku kadhaa hadi...
Pipa moja la mafuta ghafi linauzwa $70 hadi $90 linakua na ujazo wa lita 159. ukienda kusafisha crude oil unapata petrol, diesel, kerosine, gas na lami. hivi vitu vyote ukivipima ujazo wake unafika lita 170 maana ujazo una expand
garama za kusafisha ni $1 kwa lita, cha kuganya ili kumaximize...
Teknolojia ya Artificial Intelligence (AI) imebadilisha sana namna watu wanavyotengeneza maudhui ya video. Leo hii, mtu anaweza kutengeneza video za matangazo, musiki, elimu, au burudani bila kamera, bila studio, na hata bila timu kubwa ya production.
Moja ya tools zinazotumiwa sana sasa ni...
Leo Meta hutumia zaidi jina Business Portfolio ndani ya Meta Business Suite, ingawa watu wengi bado husema Facebook Business Manager. Hicho ndicho kitu cha kwanza unachohitaji ili kusimamia Page, ad account, watu wa timu na matangazo yako sehemu moja.
Hatua ya 1: Fungua Facebook Business...
Itende HAKI na HAKI itakutenda Milele.
Ikatae pressure ya Executive, tenda Haki na nenda zako, usisubiri shukrani au cheo toka Executive.
Mtendee Lisu HAKI NA WALA SI UPENDELEO
Siku 40 or so kweli CoA haiwezi kukaa na kutolea maamuzi pingamizi la serikali?
Muhukumuni kwa haki hata kama...
Nimeiambia Gemini itengeneze picha ya Dar jinsi itakavyokuwa miaka 10 ijayo kwa kuangalia kasi yake ya ukuaji wa sasa
Ikaleta hii picha
I can't wait to see Dar inafikia level za kimataifa
Kuna kitu niligundua kwa muda, na sikijui kama ni coincidence au kuna kitu kingine kinaendelea.
Sio sayansi, au sheria maalum… ni kitu kinatokea tu ukianza kuangalia vizuri.
mara ya kwanza nilihisi akiki yangu ina connect kwenye internet wirelessly maana nikihisi tu simu itaita, ghafla inaanza...
Watu wengi husema mganga wa kienyeji ni mtu wa kuogopwa. Wanasema ana macho yanayoona mbali na majini yanayompa taarifa za kila anayemtembelea. Lakini siku hiyo, niliamua kuthibitisha kuwa hata "nguvu za giza" hupigwa na giza la njaa na tamaa.
Mtego wa Kisaikolojia
Mganga huyu, ( jina kapuni")...
Ni kwanini tukasirike badala ya kujivunia tulivyo?
Watanzania, wanaume kwa wanawake, mara nyingi tunaonekana kukasirika sana tukitajwa kuhusu maumbile yetu, kama vile kuitwa tuna visogo. Lakini tukijiuliza kwa utulivu, kuna ubaya gani kuwa hivi tulivyo ?
Kujipenda ni kukubali kila sehemu ya...
Tangu kabla ya kuzaliwa kwangu ilionekana anakuja mtu mwenye uwezo wa kipekee, mimi sikutambua hadi nilipoingia rasmi na kujihusisha rasmi na mambo ya umeme,
Kwa vitu vya kawaida tangu mwanzo nilipenda sana mwanga na kuvutiwa na kila kitu cha electronics, licha ya tabia hii kunifanya nipigwe...
Jinsi Mazingira uliyozaliwa yanaweza kukuchelewesha kufanikiwa.
Mazingira yanamchango mkubwa wa mtu kufanikiwa, ukiwa kwenye Mazingira sahihi ni rahisi kupiga hatua.Mazingira uliyozaliwa au home town yanaweza kuwa kikwazo cha mtu kutopiga hatua kivipi.
1. Marafiki uliokuwa nao, unapokuwa...
Bila kupoteza muda niende direct kwenye Mada mwaka jana ulikuwa mwaka wa changamoto sana kwenye maisha yangu hii yote ni kwa sababu ya kukosa uaminifu kwenye mambo madogo madogo.
Kuna bro ni rafiki yangu lakini kwa sasa ni kama ndugu yangu tupo kwenye urafiki zaidi ya miaka kumi tulisha...
Kuna kitu nilifanya mwaka jana ambacho watu wengi waliniona kama nacheza mchezo wa ajabu kidogo.
Nilikaa siku 100 nzima bila kuangalia saa.
Hakuna sababu maalum. Sikuamka asubuhi nikasema tu moyoni, “leo naanza.” Nikajiambia nione kama inawezekana kuishi kawaida kabisa bila kujua muda ni saa...
Mnamo 1989, house boy wa ki-Thai aliyekuwa akifanya kazi katika jumba la kifalme la Saudi Arabia huko Riyadh aliiba mamia ya pauni za vito, ikiwa ni pamoja na almasi ya bluu ya karati 50. Alisafirisha nyara hizo hadi Thailand ndani ya vacuum cleaner kupitia kampuni ya usafirishaji ya DHL.
Saudi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.