jinsi

Hu Jinsi (胡進思) (died April 28, 948) was a general of the Chinese Five Dynasties and Ten Kingdoms Period state Wuyue, becoming powerful during the reign of its third king Qian Hongzuo (King Zhongxian). After Qian Hongzuo's death, Hu had frequent conflicts with Qian Hongzuo's brother and successor Qian Hongzong (King Zhongxun). Fearing that Qian Hongzong would kill him, he deposed Qian Hongzong in a coup and replaced him with his brother Qian Hongchu (King Zhongyi, later known as Qian Chu).

View More On Wikipedia.org
  1. D

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupata wimbo

    Wakuu samahani Kuna wimbo WA Rhumba wa "Franco Luomba unaitwa Eli Kazho" Mwenye audio au video yake au anayeweza kunisaidia jinsi ya kuupata naomba msaada tafadhali maana nimetafuta sehemu nyingi nimeukosa
  2. JamiiForums Tanzania Mpasuko wa Ndani: Jinsi Kitchen Party Gala na Vikao vya Wanaume Vinavyotumika Kama Mpango wa Siri wa Kusambaratisha Mshikamano wa Familia

    Taifa linaelekea wapi? Hivi hatuna watu wenye akili, hekima, busara, tafakuri na maono ya kukemea haya mambo? Tunataka tuwarithishe nini watoto wetu? Mshikamano au utengano? Hivi tunajua madhara yake kiroho na kijamii? Hivi mpaka viongozi wa kidini hawaoni kwamba nyuma ya pazia la sherehe za...
  3. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kutambua Mungu anaongea na wewe

    Jinsi ya kutambua Mungu anaongea na wewe. 1. Mungu anaongea na wewe kupitia amani, Kama upo unapata amani kwenye roho yako pindi unapowaza au kupanga malengo fulani fahamu kuwa Mungu amekubaliana na hilo jambo. Jambo lolote kutoka kwa Mungu uwa alikufanyi kuchanganyikiwa, kukupa shinikizo au...
  4. C

    JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo jinsi nyimbo zetu zinavyosikika mbele ya masikio ya watu wa nchi zingine

    wanasikia hivi, watu wa Europe, Asia na Marekani 👇🏾
  5. JamiiForums Tanzania Msikilize/ mtazame Fatou Bensouda akizungumzia jinsi vikwazo alivyowekewa na Marekani vilivyoathiri maisha yake na familia yake

    Hakuna ubishi. Kwa sasa super power pekee iliyopo duniani ni Marekani tu. U super power wa Marekani haupo kwenye masuala ya kijeshi tu. Bali, hawa jamaa wanadhibiti, kwa kiasi kikubwa, mifumo itumikayo kuendesha uchumi wa dunia. Ukisikia wamemuwekea mtu flani vikwazo, basi kwanza ujue...
  6. JamiiForums Tanzania Ninaunga mkono kutumbuliwa kwa kiongozi mwandamizi tuliyedokezwa na mbunge Sumai

    Mimi naona lilikuwa jambo la kichama zaidi na kutakiwa kuwasilishwa kwenye vikao vya chama. Ila Simai ana hoja ingawa alitumia platform isiyo sahihi. Kwa aliyoongea ni wazi italeta maneno mengi ndani ya chama na kuchafua hali ya hewa. Kama mtu ninayetaka mama aongezewe muda wa kuongoza hadi...
  7. JamiiForums Tanzania Nawezaje kupata namba ya NIDA?

    Wakuu kwema, Umepita muda wa mwezi mmoja tangu nijiandikishe nida ili kupata kitambulisho cha Taifa, sijatumiwa sms na NIN na kawaida wanasema inachukua wiki 1 tu kutoa namba Mwenye kujua jinsi ya kuangalia kama namba imetoka au kujua maombi yapo hatua gani anielekeze. ASANTENI.
  8. JamiiForums Tanzania Battery Degradation kwenye EV na Hybrid: Sababu, Athari na Jinsi ya Kuongeza Life Span!

    Wakuu, kwema? Leo tuongelee kidogo kuhusu battery degradation za hybrids (HEV na PHEV) na magari ya umeme (EV), especially used tunayonunua kutoka Japan. Ili kuelewa degradation ya hizi battery, tuanze na utangulizi basics wa EV, PHEV na HEV kwa kutumia mifano ya magari maarufu ya hapa...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kumshinda shetani

    Jinsi ya kumshinda shetani Shetani ni nani? Tafsiri ya jina shetani ni ‘mshitaki’ au ‘mchongezi’. Kazi yake ni kuwashitaki watakatifu mbele za Mungu. Jina lingine la shetani ni Lusifa, maana yake nyota ya alfajiri (Isaya 14:12). Jina hili Lusifa aliitwa kabla hajaasi, baada ya kuasi ndipo...
  10. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kujiunga bando kwenye pocket wifi ya Yas.....sijui ndio wanaita post paid, naomba menu yake

    Naomba menu yake please
  11. JamiiForums Tanzania Behind the Beat: Jinsi G-Funk Ilivyozaliwa Katika Wimbo Wangu.

    " I say it " ni ngoma niliyoitengeneza kwa msaada wa google Gemini kwa upande wa beat. But mashairi na ,lyrics its all about me made it. Mwanzo wa utengenezaji wa beat nilianza na hizi code. "Uh uh uh uh uh uh uumh Uh uh uh uh uh' u' umh Uh uh uh uh uh uh uumh" start with my mouth Kick- "uh"...
  12. JamiiForums Tanzania Jürgen Klopp anazungumzia ubabe wa Pep Guardiola na jinsi Mikel Arteta alivyomaliza enzi hiyo 👀🏆

    🚨| Jürgen Klopp anazungumzia ubabe wa Pep Guardiola na jinsi Mikel Arteta alivyomaliza enzi hiyo 👀🏆 🗣️ “Sote tunajua jinsi Pep alivyokuwa mtawala nchini Uingereza. Kwa miaka mingi alikuwa akidhibiti ligi na wakufunzi/makocha wengi hawakuweza kuendelea na kiwango kile.” Klopp kisha alitania...
  13. JamiiForums Tanzania The Elite Betrayal: Jinsi Viongozi Wanavyocheza Kamari na Maisha ya Mtanzania

    Kiintelojia, nchi inapitia mdororo mkubwa wa kiuchumi, lakini hawa viongozi wamebaki kuleta mzaha na sarakasi za kisiasa. These f*cking niggas are out here clowning while the trenches are burning. Hata kama mliingia madarakani kwa mchongo wa kujiteua wenyewe, basic decency ingewasukuma kudeal...
  14. E

    JamiiForums Tanzania Simulizi: Jinsi David Djumbe "alivyotekwa" na kuwakimbia "watekaji" akiwa na pingu

    Mei 20, 2026 kulitokea tukio linalodhaniwa kuwa la utekaji wa David Djumbe ambaye ni msaidizi wa Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu. Hata hivyo, imeelezwa kuwa, Djumbe alifanikiwa kuwatoroka watekaji waliojitambulisha kuwa ni maofisa wa polisi. Akisimulia tukio hilo, David Djumbe amesema...
  15. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuishi kwa furaha na mkeo/mumeo Siku zote za maisha yenu.

    JINSI YA KUISHI KWA FURAHA NA MKEO/MMEO SIKU ZOTE ZA MAISHA YENU. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Baba/Mume. 1. Nitaendelea kutoa elimu. Sipo hapa kumbadilisha mtu anayeishi maisha anayoyahitaji. 2. Nipo hapa kwa ajili ya wenye uhitaji wa kuishi maisha ya furaha, kuishi kwa amani wao na...
  16. JamiiForums Tanzania Jinsi gani ya kutoka kwenye mahusiano bila vurugu?

    Wakuu, haya mahusino naona kabisa hatuna future, ila tumezoea kuwa pamoja na ndio kitu pekee kinatubakisha. Kwa namna nilivyoishi na huyu bibie sihitaji kuachana naye kwa vurugu, nahitaji tuachane kwa amani kila mtu ashike lake. NIpeni mbinu wakuu, nifanyaleje? Maana kama ni kupunguza...
  17. C

    JamiiForums Tanzania Jinsi nilivyoanza ujasiriamali kipindi nipo chuo

    nakumbuka kipindi hicho nilikua nimepanga mtaani ilikua ni mwaka wa pili maana mwaka wa kwanza nilikaa hostel baada tu ya kuingia mwaka wa pili nikatafuta geto nikalipia kodi nikanunua godoro na mazaga machache, sasa mimi ni mtu ambae napenda wanyama baada ya kuona nimekaa mpweke sana pale...
  18. JamiiForums Tanzania Jinsi Content Creation Inavyoweza Kukupatia Scholarship na Kazi za Kimataifa

    Siku hizi kupata scholarship au kazi kwenye mashirika makubwa si suala la kuwa na GPA nzuri pekee au CV ndefu yenye maneno mengi. Dunia imebadilika. Watu wa kwenye panel za scholarship na recruiters wa mashirika ya kimataifa wanaanza kuangalia “digital footprint” yako yaani umeonyesha nini...
  19. JamiiForums Tanzania CHADEMA YANGU, Kila Mkutano wa Hadhara Tupate Dakika Kumi za "Mwanamke Muhanga" atakayesimulia Jinsi Mumewe/Mtoto/Ndugu alivyouliwa mbele yake !!!.

    Hapa DUNIANI, Siasa, DINI, Michezo na Mapenzi huenda ndio vitu pekee ambavyo hushika "HISIA / EMOTIONS" . Sasa Wanawake ni viumbe waishio kwa HISIA . Ni katika kulijua hili, Mtunzi mzuri wa Tamthiliya uhakikisha ANATUNGA KWA KUZINGATIA HISIA, NA UKWELI YA KWAMBA KILE ATAKACHOKITUNGA...
  20. JamiiForums Tanzania Jinsi mazoezi yanavyoweza kumfanya mtu kuonekana younger

    Watu wengi wakiona picha za “before and after” za watu walioanza kufanya mazoezi, mara nyingi hushangazwa na jambo moja, mtu anaonekana mdogo kuliko zamani. Wengine huonekana kama wamerudisha miaka yao nyuma kabisa. Swali ni, hii hutokeaje? Ukweli ni kwamba mazoezi yana mchango mkubwa sana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…