Ukielezea kuhusu Israel utasikia kila mtu akizungumzia six days war, operation Entebbe na covert operation ambazo walifanya pale middle east.
Watu inabidi waelewe hizo story zilipendwa, ni kama miaka ile wazee wetu wanakuambia Peugeot 504 ni gari inakimbia sana, au 90's tunasikia Land Cruiser...
Wadau hamjamboni nyote?
Hali siyo nzuri huko madhariki ya kati
Israel imeanza chukua hatua za tahadhari kwa kufunga ofisi zake za ubalozi kwenye nchi mbalimbali duniani zake ikihofia mashambulizi ya kulipiza kisasi ya Iran.
Hatua hizi zinafuatia shambulizi lililofanywa kwenye makazi ya balozi...
Israel iko tayari kumaliza huu ugomvi wa muda mrefu, ifahamike moja kuwa nani mbabe ukanda huo, nani anayemuabudu Mungu wa kweli, hamna haja ya mikwara oohh masaa 48, yaani fanyeni kweli, mlipigwa tena kwenye unalozi.
IDF Spokesman Rear Adm. Daniel Hagari in a press statement says Israel is...
Kupanda kwa idadi ya Waisraeli walioangaziwa kwenye orodha ya Forbes kumechangiwa zaidi na kuendelea kukua kwa tasnia ya teknolojia ya hali ya juu ya Israeli.
Waisraeli 42 waliovunja rekodi walijumuishwa katika orodha ya Forbes Mabilionea Duniani kwa mwaka 2024, iliyochapishwa mapema wiki hii...
Third World War Info
-Balozi za Israel duniani kote haziko salama tena, anaonya Kayhan, msemaji wa Kiongozi Mkuu wa Iran Khamenei.
-Licha ya Iran kuendelea kupanga namna itavyoshambulia na kuimaliza Israel, Iran imeongeza tena mipango yake yaapa kulipiza kisasi kushambulia balozi zote za...
Israel imeamua ku jamming GPS kuogopa kipigo toka Irani cha Missile na Drone za mauaji. Wamesahau kua Irani anatumia GLONAS ya Mrusi ambayo inapenya popote
Wakati huohuo Magaidi wa Kizayuni wamefungua mahandaki na kuingiza familia zao zisije kuchakazwa....
⚡️BREAKING
Israel has jammed GPS at...
Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei amesema utawala wa Kizayuni wa Israel utazabwa kibao usoni kutokana na shambulio lake dhidi ya majengo ya ubalozi mdogo wa Iran katika mji mkuu wa Syria, mapema wiki hii.
Katika hotuba yake kwa maafisa wa utawala wa Iran na matawi...
Hili jeshi la Israel lina tilia shaka kubwa sana kama ni professional army au genge la wahalifu lililo kusanywa tu hovyo hovyo na kuanza kupigana na waarabu hapo mashariki ya kati.
Ukitazama namna ambavyo hata vita vyao vya Gaza wanavyo viendesha ni kama wendawazimu walio changanyikiwa sijui...
Rais wa Iran Ebrahim Raisi ametoa wito kwa nchi zote za Kiislamu kuungana dhidi ya Israel.
Hali ya mtaa huko Haifa nchini Israel na kufurika kwa wa-Israel kuelekea vituo vya kujikinga na mabomu
Hofu imetawala: Israel imebana GPS katika viwango vya juu zaidi katika eneo lake kwa hofu ya...
Kumekua kunazagaa taarifa kwamba Iran inajiandaa kuishambulia Israel kama kujibu mashambulizi…..
Basi huo ndio utakua mwisho wa Iran.
Ikumbukwe kwamba Israel imekua ikimtamani Iran siku nyingi sana na ilishajipanga hata kupigana vita na iran bila hata ya US.
Kwasababu israel haikuweza...
Iran inaripotiwa kupanga kushambulia Israel kwa kutumia ndege zisizo na rubani na makombora makali zaidi na yenye kusafiri kwa kasi na mlipuko mkubwa kuliko kawaida kulenga maeneo ya kimkakati ndani ya Israel.
-Mifumo ya vita vya kielektroniki vya Iran inasonga mbele karibu na Ghuba ya Uajemi...
Naamini huenda akawepo.
Ila sasa huenda labda alishaachana na sisi. Ana Dunia yake huko nyingine kaanzisha ambayo hatuwezi ifikia au kuijua. Maana yeye ni muweza wa yote..
Au labda ana mpango mwingine tu lakini kuhusu sisi huku alishaamua kututelekeza. Kutuacha tu kama tulivyo tutajijua wenyewe.
Ripoti za kiuchunguzi za CIA zinaeleza kuwa Iran inaendelea kujiandaa na mashambulizi ya drones ndani ya Israel hasa kwenye maeneo yake ya viwanja vya ndege na kambi za jeshi...
Wakati haya yakijiri Huko Iran na Israel nao kupitia waziri wa ulinzi bwana GALLANT amesema kuwa "vikosi vyetu vipo...
Moja kwa Moja..
Baada ya Jeshi la Israel kufanya Sbambulizi la anga katika mwa Gaza na kukenga gari la shirika la msaada la chakula na kuuwa wafanyakazi wa shirika hilo waliokuwa ndani wakiweno raia watatu wa Uingereza , raia wa Poland , Australia na Palestina viongozi mbalimbali wamejitokeza...
Hii imekaaje kaaje wakuu kwenye vyombo vya Habari tunaona mashambulizi baina ya Russia na Ukraine sio makali kivile yaani unakuta wanarusha bomu ila linaharibu tu upande wa jengo hatusikii takwimu za kutisha watu kufa ukilinganisha na vita ya Israel pale Gaza yaani ghorofa linapigwa kweli...
Iran kupitia balozi wake wa Umoja wa mataifa umeitaka UN kulaani shambulizi lililofanywa na Israel kwa kushambulia ubalozi wake uliopo Syria.
Iran imesema Israel ni tishio kubwa mashariki ya kati huku ikiapa kulipa kisasi.
Hapo Jana waziri wa ulinzi wa Israel alisema Taifa hilo lipo tayari kwa...
1. Ama kweli mwana mkaidi hafaidi hadi siku ya iddi.
2. Amekuwa akiambiwa Israel mwezi wa 6 sasa, kiungwana kuachana vita, kuacha shari atafute mapatano ya kudumu.
3. Red sea kuna wa houthi, kaskazini kuna hezbollah anaparurana nao akiambiwa wazi: "ni mwendo mdundo hadi tu vita Gaza vikome."...
Bandari ya Israel ya kusini ambayo iko kwenye bahari nyekundu imeshambuliwa kutokea upande wa mashariki.
Kikundi cha kivita ndani ya Iraq kimetoa tangazo la kuhusika na shambulia hilo ikisema ilipiga jengo muhimu walilolikusudia.
Bandari hiyo ambayo kwa sasa iko karibu kufungwa kutokana na...
"Utawala mbovu wa Israel utaadhibiwa kwa mikono ya watu wetu mashujaa," alihitimisha.
Kiongozi Muadhamu wa Iran Ayatollah Seyed Ali Khamenei: “Utawala mbovu utaadhibiwa na mikono ya watu wetu mashujaa. Kwa mapenzi ya Mwenyezi Mungu, tutawafanya wajutie uhalifu huu na mengine yanayofanana na...
Wanaukumbi.
Waziri Mkuu wa Australia Anthony Albanese amesema leo kwamba Idara ya Mambo ya Nje na Biashara ya nchi hiyo imemwita balozi wa Israel kuhusu mauaji ya Zomi Franckom, raia wa Australia.
Franckom ni mmoja wa wafanyakazi wanne wa kimataifa wa Jiko Kuu la Dunia (WCK) waliouawa jana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.