Habari JF Ili mjue nani mwamba Kati ya Iran na Israel fuatana na mimi twende pamoja.
IRAN NA ISRAEL,NANI MWAMBA?
Tarehe 13/04/2024,Islamic Revolutionary Guards Corps (IRGC) ambayo ni tawi la kijeshi la nchi ya Iran,ikishirikiana na kikundi kutoka nchi ya Iraq(Iraqi Popular Mobilization...
Marekani ilikua inatumia nguvu nyingi kuzuia operesheni ya kupiga Rafah, ila kwa sasa imelegeza kama njia ya kuzuia Israel kupiga Iran.
Ikumbukwe mojawapo wa sababu kuu kwanini inabidi Iran isisambaratishwe, lile taifa ni la kigaidi kwamba bora likabaki kama taifa kuliko kuacha magaidi ya...
Katika muda huu wa Israel kupata maadui wengi duniani maana amefanya mauaji Gaza lakini haijatosha kuvunja mahusiano mema kati ya nchi hizo mbili India na israel
Katika social media post za Israel zimekuwa zikipata upingamizi kwa mataifa mengi ila India wao wameomesha bado mahaba na Jews katika...
Tangu Iran iishambulie Israel haijafika wiki moja.
Ndani ya muda kwa hasira ilizokuwa nazo Israel na namna ilivyovuliwa nguo hadharani tayari imejaribu kutaka kurudisha kipiga lakini hatimae ikashindikana.Sasa inatarajiwa itakuwa siku ya Jumatatu ijayo.
Katika kipindi hicho cha ndani ya wiki...
Naona maji yanazidi kuzidi unga huko Middle East
Shambulizi la Hezbollah limeondoka na roho za wanajeshi 18 wa Israel papo hapo na huku makumi wakiwa majeruhi
Hii inaitwa kujitumbukiza kwenye kinamasi cha vita.
🚨🇱🇧🇮🇱 HEZBOLLAH statement on ISRAEL BOMBINGS:
“After careful monitoring and...
The decision has been made by Israel to attack Iran. Timing is now the issue for the attack
17 APRIL 2024
An Israeli strike against Iran and their Nuclear facilities may be just hours away. Word out of Israel is "the Decision has been made."
Iran on it's part has activated all defense...
Waziri Mkuu wa zamani wa Israel Ehud Barak amesema Israel ilifanya makosa ya kimahesabu kwa adui zake ,hivyo haoni kuna haja ya kufanya vita na Iran,
na anajua tayari kuna upinzani kutoka Hamas, Hezbolla,Houthis na sasa Iran na itachukua muda mrefu sana katika operesheni zake katika miji ya...
Kilichoipata Israel kutokana na kipigo cha Iran ni siri kubwa japo kidogo kidogo ukweli unaanza kujitokeza.
Marekani imesema makombora 9 ya ballistic hayakushikika na yalitua kwenye kambi mbili nyeti za jeshi la Isreael.
Kati ya hayo makombora matano yalipiga kambi ya Nevatim kwenye jangwa la...
1. Hajatokea Natanyahu kutia neno hadharani tokea kipigo cha jumapili.
2. Inafahamika amekuwa na vikao vya baraza la vita kila siku tokea siku hiyo.
3. Ziarani Israel David Cameron kaliweka wazi:
4. Kwamba kama alivyofanya Iran, mwendo ni calibration ya mapigo kutoleta madhara sana:
5...
Kutokana na mgogoro mkubwa ulioibuka kati ya Iran na Israel pia uvamizi wa makombora na drones za Iran ndani ya ardhi ya israel kumekua na hofu kwa raia wa Israel hivyo kuikimbia nchi yao
Kutokana na taarifa za ukubwa wa jeshi la Israel na umiliki wa silaha za kisasa,haikutarajiwa kwamba kungetokea nchi yoyote ile ikajiamini kuirushia makombora kulenga maeneo yake muhimu hasa ikizingatiwa kuwa iliwahi kuyashinda mataifa kadhaa ya kiarabu mwaka 1967 katika vita maarufu vya siku 7...
Wakuu naona watu wengi wanalalamika Israel kusaidiwa na mataifa makubwa hivyo kwa upande wangu naona tofauti
Kwanza ndege wanaofana wanaruka pamoja
Kama tunavyoona nchi zenye race Fulani zinaweza kusaidiana
Au nchi zenye mrengo wa dini Fulani zikisaidiana
Pia matajiri kwa matajiri husaidiana...
Iran attacked Israel with seven "Fatah" hypersonic missiles - the Iron Dome did not shoot down a single one
THOSE MISSILE ARE 15 TIMES FASTER THAN SOUND AND HAVE A RANGE OF 1400 KILOMETERS
Moscow military expert Vladislav SHURIGIN: The Iranians carried out their night attack in waves. Since...
Kwa technologia yasasa huwezi kufanikiwa na vikombola alivyotumia Iran dhidi ya israel'.
Iran hawakuwa serious. Hivi kweli wanatudanganya na vikombola vyao uchwala kwamba wanalipiza kisasi
Vikombola na vidrone vinamwendo wa km 40 kwa saa alafu eti unamtishia Israel.
Tuzungumze ukweli, Iran...
Awahishwa kwa mabikira...
The IDF on Tuesday announced it had assassinated a senior Hezbollah commander for the Lebanon coastal region, equivalent to the rank of an Israeli brigade commander.
According to the IDF, Ismail Yusef Baz had served for decades with Hezbollah in a variety of posts...
licha ya ndege zisizo na rubani za Iran yaani drones kudunguliwa kabla ya kulenga shabaha imegundulika idadi kubwa ya makombora ya masafa marefu ya Hypersonic ya Iran yameteketeza vibaya kambi kadhaa za kijeshi nchini Israel
1. Hii ni vita dhidi ya wanamgambo tu, Tena walio dhaifu zaidi katika mahasimu wao:
2. Kwamba uchumi wa Israel ndiyo huu?
3. Kwamba madeni ndiyo haya?
4. Wanaeleweka washirika waliojiapiza kusimama nao daima.
5. Kwa hakika ni kipi bora kuliko amani?
Waziri wa Mambo ya Nje wa Israel, Israel Katz kupitia Mtandao wa X amesema "Asubuhi hii nilituma barua kwa nchi 32 na kuzungumza na Mawaziri wengi wa Mambo ya Nje na Viongozi Waandamizi Duniani nikitaka vikwazo viweke kwenye mradi wa makombora wa Iran"
Pia ametoa wito wa Jeshi la Walinzi wa...
Yatoa hakikisho kwa mataifa ya Kiarabu yawe na amani kwamba chochote inachokusudia kufanya haitawadhuru.
Dunia sasa hivi inatumia nguvu nyingi kuibembeleza Israel maana tatizo la Israel huwa na usiri mkubwa sana, wao hufanya mnaamka asubuhi na kukuta wamefanya, yaani hata Marekani huwaona kama...
Wamerusha baruti kama 500 Israel. Jana nzima nlikuwa Al Jazeera kuangalia madhara ya hayo Makombola. Hamna. Sielewi ilikuwa Makombora au mafataki?
Madhara nilitegemea yawe makubwa sana. Maana Makombora 300 plus si kitu kidogo wadau. Au nasema uongo? Lakini nashangaa bado makafir wanadunda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.