israel

  1. JamiiForums Tanzania Jordan yasema itatungua kombora lolote litakalopita kwenye anga lake kwenda kuishambulia Israel

    Nchi ya Jordan imesema haitarusu kombora au makombora au drones za aina yeyote kupita kwenye anga lake kwenda kuishambulia Israel. Na kama kuna aina yeyote ya silaha itayoonekana kwenye anga lake kwenda Israel basi utatunguliwa mara moja. Huko mashariki ya kati watu wamechafukwa.
  2. U

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa kundi la Hezbollah Dokta Nassan Nasrallah aagiza Jeshi lake kuanza kuishambulia Israel kuanzia kesho Agosti 2, 2024

    Wadau hamjamboni nyote? Kumekucha na amri imeshatolewa kwa magaidi kuanza kuichakaza Israel kesho kulipa kisasi mauaji ya Ismael haniyeh Muda wa mashambuluzi ni baada ya maziko ya Ismael haniyeh/ sala ya ijumaa, hivyo ni takribani kuanzia saa 7 mchana na kuendelea kwa saa za kwetu Afrika...
  3. JamiiForums Tanzania Marekani imetuma Wanajeshi 4,000 nchini Israel

    Muda huu Marekani imetuma Wanajeshi 4,000 nchini Israel BREAKING: The U.S. has sent 12 warships, including the USS Theodore Roosevelt, with over 4,000 Marines and sailors to the Middle East! A senior Pentagon official confirms.
  4. JamiiForums Tanzania Kuna siri gani Israel mpaka kila mtu anaiogopa?

    Naam wakuu, karibia kila idara inaiogopa Israel, hata hapa JamiiForums kuna member alipost uzi akiomba ushauri Jinsi ya kukabiliana au kukomesha udhalimu wa Israel dhidi ya majirani zake. Uzi uliondolewa mara moja wala haukuwa na maisha marefu. Ina maana hata hapa jukwaani inatakiwa kuwa makini...
  5. H

    JamiiForums Tanzania Tetesi: MOSSAD wa Israel wanatumia aliens?

    Shirika la kijajusi la Israel MOSSAD linadaiwa kutumia viumbe vya Allen's katika operesheni zao, Inaelezwa kuwa mossad wanawatumia Allen's kuwafanyia kazi zao, Kufuatia kuuliwa Kwa kiongozi mkubwa wa hamas hapo Jana, Ismael hayineh, Wachambuzi wengi wanashangaa kuhusu uwezo wa mossad wanawezaje...
  6. JamiiForums Tanzania Israel yathibitisha kumuua Mkuu wa Kijeshi wa Hamas mwezi Julai

    Jeshi la Israel leo limethibisha kuuawa kwa mkuu wa jeshi la Hamas bwana Mohammed Deif kilichotokea 13 July 2024. Hamas wamekaa kimya kuhusu kifo cha huyu kamanda wao Mkuu. --- Israel's military says it has confirmed that Hamas's military chief Mohammed Deif was killed in an Israeli air strike...
  7. JamiiForums Tanzania Netanyahu aikumbusha Dunia kuwa Israel ya leo, ndio ile ile ya Ibrahim, Isaka,Yakobo, Yeremia, Isaya, Daudi

    Anasema, Ardhi hii ilikuwa yetu na Milele Daima, itakuwa yetu !!. Salaam alaikum, Kichapo kitaendelea tu, hamna namna !!. Israel ni Uthibitisho na Kielelezo cha kuwa MUNGU YUPO NA NDIO ALIYEUMBA DUNIA.
  8. JamiiForums Tanzania Iran: Interest za Marekani zitashambuliwa kwa kusapoti ugaidi wa Israel

    Baada ya Iran kutangaza kujibu kwa njia ya Kijeshi dhidi mauaji ya Kiongozi wa Siasa wa Hamas Marekani imeanza kuropoka mara tutailinda Israel, Mara tunalinda Interest zetu mara tunapeleka meli 12 kuzuia makombora ya Irani na Washirika wake, mara Iran itajibu ndani ya saa 72 ...vilio vyote hivyo...
  9. JamiiForums Tanzania Bila tawala za sasa za Saudi Arabia, Jordan, Egypt, UAE, Kuwait kuondolewa madarakani, Israel itaendelea kushikilia ardhi ya Palestina kwa muda mrefu

    Wanaoifanya israel iendelee kuwepo kwenye ardhi ya palestina ni tawala za siri za kizayuni zinazoshikilia madaraka Saudi Arabia, Jordan, Egypt, UAE, Kuwait, Bahrain, Qatar na Oman. Bila ya tawala za nchi hizo kung'olewa madarakani ni kazi bure tu. Hizo ndiyo tawala zinazolipia gharama zote za...
  10. JamiiForums Tanzania Hao kwenye picha wakijifungia kwenye hicho chumba kukujadili kukumaliza umekwisha

    Hiki kikundi kidogo kwenye picha kimejumuisha Waziri mkuu, waziri wa ulinzi, IDF, Mossad, Shin bet na IAF wakijifungia kwenye hicho chumba kukujadili kukumaliza umekwisha.
  11. JamiiForums Tanzania Mashirika ya ndege ya Marekani ya katisha safari za Israel

    Mashirika ya ndege ya Marekani yamekatisha safari za kwenda Israel kwa kuhofia kipigo toka Iran ⚡️🇮🇱🇺🇸 Airlines are canceling flights to Israel Starting tomorrow, United Airlines and Delta Airlines will be cancelling all flights to Israel - ynet
  12. JamiiForums Tanzania Kwahiyo Lebanon wanaowahifadhi Magaidi wa Hezbollah Kuishambulia Israeli walikuwa wanasubiri Kiongozi wao Auliwe leo ndiyo waseme hawataki Vita?

    BBC: Lebanon yasema haitaki Vita kwa sasa Kudadadeki zao waambieni Israeli ndiyo Kwanza imeanza Kazi na leo Netanyahu kasema Vita ndiyo imeanza rasmi.
  13. U

    JamiiForums Tanzania Mashirika makubwa ya ndege ikiwamo British airways yasitisha safari za ndege Israel yakihofia vita

    Wadau hamjamboni nyote? Hali ni tete Mashariki ya kati Taarifa kamili hapo chini United, Delta, British Airways said to cancel Israel flights amid soaring tensions Major American and British airlines have told passengers that flights to Israel are canceled, Hebrew media reports, amid...
  14. C

    JamiiForums Tanzania Kila neno litaandikwa leo kuisifu Israel

    Kufuatilia kifo cha kiongozi wa Hamas, tutaskia zile sifa za miaka yote juu ya uhodari wa IDF. Sifa za uongo kuhusu jeshi la Israel zitatawala sana wiki hii. Tutasahau kama wanashindana na kikundi kidogo cha Hamas ma ameshapoteza zaidi ya askali 500
  15. E

    JamiiForums Tanzania Hii ramani ya Palestina na Israel ni ya kweli ?

    Kama kweli ,hawa wapalestina wa bongo wanayaelewa haya ? Au wanashabikia tu vita vya gaza
  16. S

    JamiiForums Tanzania Israel amepiga ndege Wawili kwa Jiwe mmoja

    Hawa jamaa wameonyesha wamejipanga kusafisha mashariki ya Kati . Wamesambaratisha Gaza kila jiwe likapinduliwa huku misri ,Iran , uturuki, Hezbula na houth wakishindwa kufanya chochote zaidi ya kupiga kelele tu . Jana walimuua kamanda msaidizi wa shehe wa Hezbula ya Lebanon ndani ya mji mkuu wa...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Israel yajibu shambulio Lebanon

    Jeshi la ulinzi la israel limefanya shambulio la angani lililolenga Kamanda wa Hezbollah mjini beirut kufuatia shambulio lililosababisha vifo vya watoto wengi katika eneo la Golan heights eneo linalokaliwa na israel ambapo Hesbollah wamekanusha kufanya shambulio hilo. kupitia ukurasa wao wa X...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Israel yajibu shambulio Iran

    Jeshi la ulinzi la israel limefanya shambulio la angani lililolenga Kamanda wa Hezbollah mjini beirut kufuatia shambulio lililosababisha vifo vya watoto wengi katika eneo la Golan heights eneo linalokaliwa na israel ambapo Hesbollah wamekanusha kufanya shambulio hilo. kupitia ukurasa wao wa X...
  19. H

    JamiiForums Tanzania Huu ni wakati Hezbollah anaipiga Israel vibaya mno

    Narudia tena Israel anaenda kupigwa vibaya mno na Wana Lebanon Hezbollah. Kwa kilichowahi kutoka 2006 ambako Israel alipigwa na Hezbollah Hadi akakimbia ndio naona hii inatokea tena, Hezbollah hawa watu ni hatari sana. Hadi Marekani amemwambia Israel asiingie vitan na Hezbollah Kwa sababu...
  20. F

    JamiiForums Tanzania Kwanini wakristo tunaamini Israel ni taifa la Mungu wetu huku Waisrael hawamuamini Yesu wala dini ya ukristo?

    Waisraeli si wakrsito, na hadharani Wayahudi wanamkana Yesu Kristo kwamba hawamtambui wanamuona ni tapeli tu. Na hata mafundisho yake hawayafati. Agano jipya la biblia kwao hawalitambui. Na mafundisho yote ya yesu hawayatambui. Je, ni kwanamna gani taifa lilokataa Ukiristo likawa taifa la...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…