israel

  1. U

    JamiiForums Tanzania Israel kuishambulia Iran mapema badala ya kusubiri ishambuliwe, taarifa za kiintelijensia zaendelea kukusanywa

    Wadau hamjamboni nyote? Kikao cha Waziri Mkuu Benjamin Netanyau na wakuu wa vyombo vya ulinzi na Usalama yaani IDF, shin bet na mossad kilichoketi muda mfupi uliopita kimeamua kufanya shambulizi dhidi ya Iran badala ya kusubiri kujibu shambulizi kutoka Iran Taarifa kamili zikipatikana muda...
  2. U

    JamiiForums Tanzania Mahandaki maalum kwa Viongozi wakuu wa Israel yameandaliwa na Idara ya ujasusi ya shin bet, yapo Jerusalem

    Wadau hamjamboni? Mahandaki maalum Kwa Viongozi wakuu Israel yameansaliwa na idara ya ujasusi ya Jeshi la Israel almaarufu shin bet Mahandaki hayo yapo jijini Yerusalemu na yanauwezo mkubwa kuhimili mashambulizi ya makombora na viongozi hao watasalia huko kwa kipindi chote cha vita Taarifa...
  3. ward41

    JamiiForums Tanzania Taifa la Israel linalindwa na Mungu (Mungu hufanya kazi pamoja na wanadamu)

    Kuna watu kwa sababu ya kukosa maarifa huwa wanapinga ulinzi wa Mungu juu ya Israel. Wanadai Israel ailindwi na Mungu lakini inalindwa na MAREKANI, ulaya, UINGEREZA. Nataka kulifafanua hili. Mungu haonekani kwa macho ya mwili wa mwanadamu. Ila ameweka kanuni. Utaratibu wa Mungu hapa duniani ni...
  4. daraja la kigamboni

    JamiiForums Tanzania Kabla ya vita vya Israel vs Palestina, Russia vs Ukraine hili jukwaa mijadala ilikuwa inahusu nini?

    Ukisoma nyuzi za humu unaweza kuogopa. Utajua world war 3 ipo karibu siku mbili nyingi, Palestina/Israel itakuwa umeangamizwa ndani siku tatu zijazo. Hivi Ukraine ime survive vipi hadi leo, je watu wanaendelea na maisha kama kawaida?
  5. excel

    JamiiForums Tanzania Mungu Hailindi Israel Tena, Israel inalindwa na Marekani na Mataifa ya Ulaya

    Leo nimetamani kumchana makavu mchungaji wangu.. anadanganya kanisa eti mkono wa Mungu bado uko juu Ya Israel🤬🤬 Eti Mungu anailinda Israel dhidi ya wabaya wake ambao ni Arab nations, Jamani nimeishia kusema amina ila... Mchungaji wangu nimemsamehe tu kwa sababu ana Elimu ndogo sana na siwezi...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Marekani na Uingereza zaanza kuondoa raia wake Lebanon na sisi Afrika Mashariki tusizubae tena

    Kufuatia viashiria vya vita kuibuka wakati wowote huko Mashariki ya Kati UK na US wameanza kuwaondoa Raia wa Lebanon na Iran Afrika Mashariki tuungane Ili nasi tuwaondoe Raia wetu kwa haraka Credit: BBC Soma Pia: Hezbollah yawahamisha haraka maofisa wake waandamizi kutokea kambi yao kuu kusini...
  7. Webabu

    JamiiForums Tanzania Ujerumani yasema kuilinda Israel si suala linalohitaji mjadala. Wafalme wa mashariki ya kati bado wamelala

    Waziri wa ulinzi wa Ujerumani,Boris Pistorius, amesema kulitumia jeshi la nchi yake kuilinda Israel iwapo itashambuliwa na Iran si jambo linalohitaji kujadiliwa. Kauli hiyo ya Ujerumani inafuatiwa na uamuzi wa Marekani kupeleka meli na askari kuizunguka Israel ili kuipa ulinzi nchi hiyo ambayo...
  8. Mrengwa wa kulia

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Irani na Israel sio Maadui. Tulidanganywa

    Kuna uvumi Iran inawasaidia Israel kwa kujifanya adui wao ili awaingize mkenge adui wa kweli wa Israel, amesema Noah mahakouf Hammed wa Lebanon Ameshikilia point Tatu kwamba 1. Iran Ana play part ya kupoteza maboya kwa watu Huku Aki side na israel kwa kuvujisha Siri za kambi, Anatuhumu kwamba...
  9. Webabu

    JamiiForums Tanzania Unadhani ni kipi bora Iran ifanye ili ipate ushindi na kutoa funzo kwa Israel?

    Marekani ilisema Iran ingeaanza kujibu mauwaji ya Ismael Haniye masaa 72 baada ya tamko la Ayatollah Khamenei kwamba wataipiga Israel moja kwa moja. Kwa kujua Israel ina silaha bora na inasaidiwa na mataifa makubwa ikiwemo Marekani.Kwa namna gani unafikiri Iran itaweza kuingia vitani kuwatetea...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Marekani yasema inabadilisha Vifaa, Mikakati na Mbinu za Ulinzi Mashariki ya Kati Ili Kuilinda zaidi Israel

    Marekani yasema kufuatia viashiria vya Amani kutoweka Mashariki ya Kati imelazimika kubadili Vifaa, Mikakati na Mbinu za Ulinzi Ili kulinda Israel. Mabadiliko hayo yanahusu kupeleka vikosi hatari zaidi vya Kijeshi. Hata yanafuatia tishio la Ayatollah Khamenei anayejipanga kuishushia Kitu kizito...
  11. U

    JamiiForums Tanzania Msafara wa magari makubwa ya Kijeshi uliobeba silaha nzito kutoka Syria kwenda Lebanon wasambaratishwa na ndege za kijeshi za Israel

    Wadau hamjamboni nyote? Haiishi Hadi iishe mayahudi wamechefukwa na wameamua kufanya kweli Muda mfupi uliopita wameshambulia na kuteketeza Msafara wa magari ya kijeshi uliobeba silaha kuelekea Lebanon Mungu ibariki Israel Hezbollah claims convoy of trucks struck by Israel on Syrian-Lebanon...
  12. Morning_star

    JamiiForums Tanzania Israel hawanaga mambo mengi! Wao ni show tu! Inakula vichwa!

    Mnakumbuka Iran ilivyojaribu kuishambulia Israel kwa makombola ya ndege za drone zaidi ya 300 ambapo karibu 99% yalizuiliwa na kuharibiwa angani isipokuwa machache sana yalitua na kusababisha madhara hafifu? Israel ilisema hivi "tutalipiza kisasa muda utakapofika". Sasa angalia kisasi: Kwanza...
  13. Webabu

    JamiiForums Tanzania Israel yavuna ilichopanda, Raia wote watakiwa kusafisha mahandaki ili wakimbilie humo na Mawaziri wapewa simu za satelite

    Kwa kuhofia kipigo cha Iran kinachokuja serikali ya Netanyahu imewaamuru watu wote kujiandaa kupokea kipigo kutoka Iran na kwamba wasafishe mahandaki yao tayari kuishi humo. Wakati huo huo Mawaziri wote nao wamepewa simu za satelite ambazo hazitumii minara ya simu kwa kujua minara hiyo ni...
  14. wasumu

    JamiiForums Tanzania Israel ajiandae kunyolewa kama anavyonyoa

    Karma itamrudia Israel atapigwa vifo vitakuwa vingi itakuwa kilio na kusaga meno.hii sio chai but unabii .
  15. State Propaganda

    JamiiForums Tanzania Dunia ijiandae kushuhudia kile kitakachompata Israel -Tehran

    Iran imetangaza kupitia stesheni ya chaneli 3 iliyopo mjini Tehran ya kuwa masaa machache yajayo ulimwengu ujiandae kushuhudia jambo kubwa la kihistoria.
  16. U

    JamiiForums Tanzania Israel yaua kwa mpigo Viongozi watano wa Hamas waliokuwa wamejificha chini ya handaki huko gaza

    Wadau hamjamboni nyote Ama kweli IDF na Mossad wako kazini na hawatanii linapokuja suala la kuwasaka Viongozi wa magaidi ya Hamas na Hezbollah. Shambulizi moja tu chini ya ardhi laua magaidi 5 ambao waliamini wapo salama chini ya mahandaki Taarifa kamili hapo chini: Israel recently...
  17. U

    JamiiForums Tanzania Kiongozi mwingine Hezbollah auawa kwa drone, aliongoza kurusha maroketi Israel, yote yametunguliwa angani na kudondokea Lebanon

    Wadau hamjamboni nyote? Taarifa za muda mfupi uliopita Gaidi mwingine wa Hezbollah ameuawa kwa drone ya IDF baada ya kuongoza kurusha maroketi ya kadhaa kuelekea kaskazini mwa Israel. Hata hivyo hakuna roketi hata moja lililofanikiwa kutua Israel kwani yalitunguliwa yote yakiwa hewani na...
  18. Matteo Vargas

    JamiiForums Tanzania Jordan yasema itatungua kombora lolote litakalopita kwenye anga lake kwenda kuishambulia Israel

    Nchi ya Jordan imesema haitarusu kombora au makombora au drones za aina yeyote kupita kwenye anga lake kwenda kuishambulia Israel. Na kama kuna aina yeyote ya silaha itayoonekana kwenye anga lake kwenda Israel basi utatunguliwa mara moja. Huko mashariki ya kati watu wamechafukwa.
  19. U

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa kundi la Hezbollah Dokta Nassan Nasrallah aagiza Jeshi lake kuanza kuishambulia Israel kuanzia kesho Agosti 2, 2024

    Wadau hamjamboni nyote? Kumekucha na amri imeshatolewa kwa magaidi kuanza kuichakaza Israel kesho kulipa kisasi mauaji ya Ismael haniyeh Muda wa mashambuluzi ni baada ya maziko ya Ismael haniyeh/ sala ya ijumaa, hivyo ni takribani kuanzia saa 7 mchana na kuendelea kwa saa za kwetu Afrika...
  20. Masai wa Town

    JamiiForums Tanzania Marekani imetuma Wanajeshi 4,000 nchini Israel

    Muda huu Marekani imetuma Wanajeshi 4,000 nchini Israel BREAKING: The U.S. has sent 12 warships, including the USS Theodore Roosevelt, with over 4,000 Marines and sailors to the Middle East! A senior Pentagon official confirms.
Back
Top Bottom