Naam wakuu, karibia kila idara inaiogopa Israel, hata hapa JamiiForums kuna member alipost uzi akiomba ushauri Jinsi ya kukabiliana au kukomesha udhalimu wa Israel dhidi ya majirani zake. Uzi uliondolewa mara moja wala haukuwa na maisha marefu.
Ina maana hata hapa jukwaani inatakiwa kuwa makini...
Shirika la kijajusi la Israel MOSSAD linadaiwa kutumia viumbe vya Allen's katika operesheni zao,
Inaelezwa kuwa mossad wanawatumia Allen's kuwafanyia kazi zao,
Kufuatia kuuliwa Kwa kiongozi mkubwa wa hamas hapo Jana, Ismael hayineh,
Wachambuzi wengi wanashangaa kuhusu uwezo wa mossad wanawezaje...
Jeshi la Israel leo limethibisha kuuawa kwa mkuu wa jeshi la Hamas bwana Mohammed Deif kilichotokea 13 July 2024. Hamas wamekaa kimya kuhusu kifo cha huyu kamanda wao Mkuu.
---
Israel's military says it has confirmed that Hamas's military chief Mohammed Deif was killed in an Israeli air strike...
Anasema, Ardhi hii ilikuwa yetu na Milele Daima, itakuwa yetu !!.
Salaam alaikum, Kichapo kitaendelea tu, hamna namna !!.
Israel ni Uthibitisho na Kielelezo cha kuwa MUNGU YUPO NA NDIO ALIYEUMBA DUNIA.
Baada ya Iran kutangaza kujibu kwa njia ya Kijeshi dhidi mauaji ya Kiongozi wa Siasa wa Hamas Marekani imeanza kuropoka mara tutailinda Israel, Mara tunalinda Interest zetu mara tunapeleka meli 12 kuzuia makombora ya Irani na Washirika wake, mara Iran itajibu ndani ya saa 72 ...vilio vyote hivyo...
Wanaoifanya israel iendelee kuwepo kwenye ardhi ya palestina ni tawala za siri za kizayuni zinazoshikilia madaraka Saudi Arabia, Jordan, Egypt, UAE, Kuwait, Bahrain, Qatar na Oman.
Bila ya tawala za nchi hizo kung'olewa madarakani ni kazi bure tu. Hizo ndiyo tawala zinazolipia gharama zote za...
Hiki kikundi kidogo kwenye picha kimejumuisha Waziri mkuu, waziri wa ulinzi, IDF, Mossad, Shin bet na IAF wakijifungia kwenye hicho chumba kukujadili kukumaliza umekwisha.
Mashirika ya ndege ya Marekani yamekatisha safari za kwenda Israel kwa kuhofia kipigo toka Iran
⚡️🇮🇱🇺🇸 Airlines are canceling flights to Israel
Starting tomorrow, United Airlines and Delta Airlines will be cancelling all flights to Israel - ynet
Wadau hamjamboni nyote?
Hali ni tete Mashariki ya kati
Taarifa kamili hapo chini
United, Delta, British Airways said to cancel Israel flights amid soaring tensions
Major American and British airlines have told passengers that flights to Israel are canceled, Hebrew media reports, amid...
Kufuatilia kifo cha kiongozi wa Hamas, tutaskia zile sifa za miaka yote juu ya uhodari wa IDF. Sifa za uongo kuhusu jeshi la Israel zitatawala sana wiki hii. Tutasahau kama wanashindana na kikundi kidogo cha Hamas ma ameshapoteza zaidi ya askali 500
Hawa jamaa wameonyesha wamejipanga kusafisha mashariki ya Kati .
Wamesambaratisha Gaza kila jiwe likapinduliwa huku misri ,Iran , uturuki, Hezbula na houth wakishindwa kufanya chochote zaidi ya kupiga kelele tu .
Jana walimuua kamanda msaidizi wa shehe wa Hezbula ya Lebanon ndani ya mji mkuu wa...
Jeshi la ulinzi la israel limefanya shambulio la angani lililolenga Kamanda wa Hezbollah mjini beirut kufuatia shambulio lililosababisha vifo vya watoto wengi katika eneo la Golan heights eneo linalokaliwa na israel ambapo Hesbollah wamekanusha kufanya shambulio hilo.
kupitia ukurasa wao wa X...
Jeshi la ulinzi la israel limefanya shambulio la angani lililolenga Kamanda wa Hezbollah mjini beirut kufuatia shambulio lililosababisha vifo vya watoto wengi katika eneo la Golan heights eneo linalokaliwa na israel ambapo Hesbollah wamekanusha kufanya shambulio hilo.
kupitia ukurasa wao wa X...
Narudia tena Israel anaenda kupigwa vibaya mno na Wana Lebanon Hezbollah.
Kwa kilichowahi kutoka 2006 ambako Israel alipigwa na Hezbollah Hadi akakimbia ndio naona hii inatokea tena,
Hezbollah hawa watu ni hatari
sana.
Hadi Marekani amemwambia Israel asiingie vitan na Hezbollah Kwa sababu...
Waisraeli si wakrsito, na hadharani Wayahudi wanamkana Yesu Kristo kwamba hawamtambui wanamuona ni tapeli tu. Na hata mafundisho yake hawayafati. Agano jipya la biblia kwao hawalitambui. Na mafundisho yote ya yesu hawayatambui.
Je, ni kwanamna gani taifa lilokataa Ukiristo likawa taifa la...
Wadau hamjamboni nyote?
Baada ya kuona kuwa Israel haitanii sasa uongozi wa magaidi hatari wa Hezbollah umeanza kuhamisha silaha zake za hatari ikiwemo makombora huku ikijiandaa kukabiliana vikali na IDF.
Serikali ya Israel imeapa kuwa iwe isiwe lazima waifundishe adabu magaidi hayo
Taarifa...
Na hapo kumbuka Israel inapigana kwa tahadhari ku target zaidi magaidi ili kupunguza casualities za civilians zisizokwepeka, ni tofauti na nchi hizi zingine ambazo hushambulia zaidi raia wa kawaida wa Israel, lengo lao huwa ni kuua raia wa Israel wengi kadri inavyowezekana.
Hii sio mara ya...
Israel ilifanya shambulio lake la mwanzo kwa Yemen na kuiharibu vibaya bandari ya Hodeida nchini humo kwenye eneo linalodhitiwa na Houth.
Waziri wa ulinzi wa Israel,Yoav Gallant amesema shambulio hilo si kwa Houth pekee bali ni onyo kwa wote wenye uadui na Israel.Akaongeza kusema kuwa moto...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.