israel

  1. JamiiForums Tanzania Kuna sababu kubwa za Marekani kutokuingilia vita ya Israel - Iran

    Siku tatu zilizopita ilionekana kwamba US angeingia vitani, ila kwa hali ilivo sasa hiyo option inaenda ikipotea. Atachofanya US kuipa silaha Israel lakini sio direct involvement. Kuna jambo limemuogopesha US kuingia kichwa kichwa, na hapo ni baada ya Iran kupiga Hypersonic bomb na pia...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Wanasayansi wa Israel wasema kwa kitendo cha Iran kupiga kituo chao kikuu cha utafiti, Imeirudisha nyuma Israel miaka kadhaa nyuma kiutafiti

    Baada ya Ballistic missiles za Iran kupiga kituo kikuu cha utafiti cha Weismann na kukisambaratisha. Wanasayansi wa Israel wamesema kuwa sample nyingi sana za utafiti zimeharibiwa, wameweza kunusuru chache ila nyingi sana hawawezi kuzirudisha. Akasema kuwa watahitaji miaka kadhaa ili kuweza...
  3. JamiiForums Tanzania Israel ya sasa ni ya waisrael au wazungu wanaojifanya waisrael?

    Ukisoma historia ya waisrael, ni waarabu wenye dini tofauti baina yao na waarabu wenzao ambao ni waislam nao wayahudi. Ila ukaingalia wengi wanaojiita waisrael kama akina Netanyahu, unagundua kuwa ni wazungu tu waliotoka huko kwao na kuja kujifanya wayahudi. Je ndiyo maana wazungu wenzao...
  4. JamiiForums Tanzania Israel huwa inapiga mabomu spitali za Gaza. Jana spitali yao nao imekula kombora la Iran!

    Now, make it make sense. Israel huwa ikilipua spitali za Gaza inadai kwamba jengo lilikuwa linatumika kama command center ya Hamas, etc. Jana/ mapema leo Iran nayo imerusha kombora kwenye moja ya spitali huko Israel na viongozi wa Kiyahudi wanalialia kuwa Iran imecheza rafu 🤣. Well, mi nahisi...
  5. JamiiForums Tanzania Israel wiki ijayo Israel akishapokea tu mzigo wa Bomu la Bunker Buster kutoka kwa USA basi IRAN ni chali

    Unaambiwa hivi hili bomu lina uzito wa kilo 13K sawa na zaidi ya tani 13, na linabebwa na mdege wa kivita wa marekani B-2 Stealth Bomber na ndo Israel anasubiri apokee mzigo kisha amnyeee Ayatollah kwenye vinu vyake vya nyuklia.... Unajua kwa nini!? Ni kwamba Israel keshamgaragaza kwa kunyea...
  6. U

    JamiiForums Tanzania News Alerts Israel expecting US decision on joining Iran strikes in 24-48 hours

    Advertisement Live Update arrow right icon From the Liveblog of Thursday, June 19, 2025 Israel expecting US decision on joining Iran strikes in 24-48 hours, says official By Lazar Berman Follow Today, 7:10 pm 2 Israel still expects that US President Donald Trump will join the strikes against...
  7. JamiiForums Tanzania What if kama Mossad ndio wanalipua Israel na kuisingizia Iran?

    I have this intuition kwamba Mossad ndio wana lipua mabomu Israel na kuisingizia Iran, huku lengo likiwa ni kupata justification ya kuingia kwenye full scale war with Iran. My intuition is rooted from my personal understanding of Mossad's ' mode operandi". Ukisoma vitabu vilivyo andikwa na...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Iran yaiondolea Israel Confidence iliyokuwa nayo

    Siyo siri, Israel ilishaanza kujisahau, ilidhani yenyewe ni superpower tayari, kumbe ni ka entity fulani ambako survival yake hapo middle east inategemea kulindwa, kukingiwa kifua, kupetiwapetwa na west. Kitu ambacho Iran kamfanyia Israel, kamwe Waisrael hawatakisahau. Israel ilidhani iko...
  9. JamiiForums Tanzania Taifa la ISRAEL halitambui Ukristo; na hata Yesu wanamuona ni "MHAINI".

    Ninapoelezea jambo hili linalohusu 'nchi hii', sio 'taifa lile la Mungu wa Biblia'; nitagusia katika vipengele mbalimbali ili kuona haswa huu mzizi ulianzia wapi KIHISTORIA: Wayahudi wengi (ikiwa ni pamoja na viongozi wa dini ya Kiyahudi) hawakumkubali Yesu kama Masihi (Masiha) kwa sababu...
  10. JamiiForums Tanzania Iran yaishutumu Israel kudukua televisheni ya taifa

    Vyombo vya habari vya Iran vimeripoti Jumatano kwamba Israel ilidukua kwa muda matangazo ya televisheni ya taifa, na kuonyesha picha za maandamano ya wanawake pamoja na wito kwa wananchi kujitokeza mitaani. Kwenye chaneli yake ya Telegram, gazeti la Hamshahri lilishiriki video ya tukio hilo...
  11. JamiiForums Tanzania David Barnea: Mjue Boss wa MOSSAD aliye nyuma ya mashambulizi ya Israel kwa Iran

    David Barnea ni Mkuu wa Mossad (Shirika la Ujasusi la Israel) tangu Juni 2021. Hapa kuna muhtasari wa CV yake kwa ufupi: 1. MAELEZO YA JUMLA: Jina kamili: David (Dave) Barnea Tarehe ya kuzaliwa: 1965 Nchi: Israel Kazi ya sasa: Mkuu wa Mossad (2021–mpaka sasa) 2. ELIMU: Alisoma...
  12. JamiiForums Tanzania Iran imetangaza hali ya hatari kwa wananchi wa Israel, huenda ikapiga bomu la hatari duniani

    Taarifa kutoka nchini Iran zimesema kuwa leo siku ya Alhamisi huenda dunia ikaandika katika historia kwani Iran inaweza kupiga israel kombora lake la sumu ambalo halizuiliki wala kuonekana kwenye rada na linafika Israel ndani ya dk 6 tu Iran imesema haitalaumiwa kwa lolote
  13. JamiiForums Tanzania Kwanini Iran haitumi majeshi Gaza (Hamas) na Lebanon (Hezbollah)? : Ifahamu zaidi nchi hii inayopigana vita mtawanyo (asymmetric warfare)

    Kwanini Iran Haijapeleka Majeshi Moja kwa Moja Palestina na Lebanon? Ni swali muhimu kwa yeyote anayeangalia siasa za Mashariki ya Kati. Licha ya Iran kuwa na uwezo mkubwa wa kuingiza silaha, pesa, wakufunzi na hata kuathiri maamuzi ya makundi kama Hezbollah na Hamas, bado haijawahi kutuma...
  14. X

    JamiiForums Tanzania Kwa nini China haijaisaidia Iran kwenye vita vyake na Israel?

    Wengi wamekuwa wakisema China sio mshirika wa kuaminika kwa Iran. Ila tatizo liko kwa Iran yenyewe Kwanza kabisa China haina ushirika wa kulindana na Iran na wala hawajawahi kusign bilateral security and defence partnership. China ikiwa bado haina nguvu kubwa za kijeshi kama sasa imewahi...
  15. Z

    JamiiForums Tanzania Mods Tuanaomba habari zote za Vita ya Israel na Iran ziwe kwenye uzi Mmoja. Zimegeuka kero hapa JF

    Mods tunaomba hizo habari za Vita ya Israel na Iran ziunganishwe kwani zimekuwa kero na nyingi ni za uongo. Nawasilisha.
  16. JamiiForums Tanzania Makao makuu ya usalama wa taifa Iran yasambaratishwa na Israel

    Kichaa Myahudi amewehuka, anapiga tu, hivi karibuni mtasikia ikulu na yenyewe ni majivu..... IAF strikes Tehran's Internal Security HQ ByJERUSALEM POST STAFF Israel Air Force jets destroyed Iran's Internal Security Headquarters in Tehran on Wednesday, Defense Minister Israel Katz said. Iran's...
  17. JamiiForums Tanzania TETESI: Israel yalipua bunker alipokuwa amejificha Ayatollah

  18. JamiiForums Tanzania Israel -Iran war: Watu 585 wafa, 1326 wajeruhiwa kwenye shambulio la Israel Tehran leo

    https://youtu.be/gN12y0uq2Ds?si=RrGmQarChpzzlfmu
  19. JamiiForums Tanzania Israel inafanya mambo yote kujilinda na kimkakati, sio mwendawazimu anayeshambulia kila mahali tu

    Kama taifa au kikundi cha watu hawana mpango au njama za kuidhuru na kuingamiza Israel kama taifa na raia wake basi yenyewe inakuwa haina mpango wa kushughulika na hiyo nchi au kikundi cha watu ndio maana Israel haina shida na majirani zake wengine wa karibu kama Misri, Jordan na Saudi Arabia...
  20. A

    JamiiForums Tanzania Israel Taratibu Ananza Kukiri Ndege Zake Zimeangushwa

    Walikuwa wanakataa sa wameanza kukubali leo wamekiri kuna ndege yao imeangushwa https://youtu.be/4R3XpS3og1c?si=MFyCN2dqy7l9qucJ
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…