israel

  1. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Rais wa Syria aionya Israel dhidi ya kuiburuza Syria vitani

    Rais wa Syria Ahmed al-Sharaa ameituhumu Israel kwa kujaribu kuiburuza Syria katika vita na amesema nchi yake haitakubali kunaswa na chambo hicho.Katika hotuba iliyorushwa mapema alfajiri katika runinga ya taifa, rais wa Syria Ahmed al-Sharaa amesema hawatawapa Israel fursa ya kuwaingiza watu wa...
  2. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Video: Mtangazaji asitisha matangazo akiwa hewani baada ya Israel kushambulia Damascus

    Mtangazaji wa kituo cha televisheni ya taifa nchini Syria alilazimika kusitisha matangazo ya moja kwa moja baada ya mlipuko mkubwa kusikika karibu na jengo la studio, kufuatia mashambulizi ya anga yaliyofanywa na jeshi la Israel katika jiji la Damascus. Tukio hilo lilitokea wakati taarifa ya...
  3. Jackal

    JamiiForums Tanzania Raisi Wa Iran Ashutumiwa Kutaka Kumpindua Kiongozi Mkuu Ayatollah Khamenei Kipindi Alipokwenda Chimbo Wakati Wa Vita Na Israel

    Iran’s political fault lines are widening in the aftermath of the 12-day war with Israel, with President Masoud Pezeshkian facing accusations of attempting a coup against Supreme Leader Ali Khamenei. https://iranintl.com/en/202507149808
  4. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Historia na sababu za Israeli kulinda wakristo na Wadruze wa Israel

    Historia Fupi ya Wakristo na Druze wa Israeli Israeli ina makundi tofauti ya kidini ikiwemo Wakristo na Druze ambao ni wachache ukilinganisha na Wayahudi na Waislamu. Wakristo: Wakristo wa Israeli ni takribani 2% ya idadi ya watu, wengi wakiwa Waarabu wa Galilaya, Nazareth na maeneo mengine ya...
  5. Il Padrino

    JamiiForums Tanzania Israel opens a new war front in Syria

    New Israeli Front in Southern Syria Recent escalation: Israel has launched airstrikes on the Syrian Defense Ministry headquarters in Damascus, marking a major direct strike on central military infrastructure . Druze-region intervention: These strikes are connected to intense fighting in the...
  6. HIMARS

    JamiiForums Tanzania Israel yashambulia maeneo ya karibu na Ikulu ya Syria

    Habari za muda huu ni kuwa Israel inashambulia Ikulu na Makao Makuu ya jeshi la Syria baada ya Majeshi ya Syria kuua watu wa jamii ya Druze. Baraza la Ushirikiano wa Ghuba (GCC) limeilaani kwa “maneno makali zaidi” mashambulizi ya Israel dhidi ya Damascus, huku mashambulizi yakilenga wizara...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Watu 20 wamepoteza maisha kwenye kituo cha msaada (GHF) Gaza

    Wapalestina wasiopungua 20 wameripotiwa kupoteza maisha siku ya Julai 16,2025, katika kituo cha kugawa misaada cha Gaza Humanitarian Foundation (GHF) kilichopo Khan Younis, kusini mwa Ukanda wa Gaza, huku kukiwa na maelezo yanayopingana kuhusu chanzo cha msongamano huo wa umati GHF, shirika...
  8. A

    JamiiForums Tanzania Hezbullah Karibu Ataishambulia Israel

    Ujumbe ndio huo safari hi Hezbullah ataishambulia Israel sio target za kijeshi tu, kaona Israel ime cross red line na serekali ya Lebanon haijibu mashambulizi ya Israel. Yule Puppet wao walio mueka Syria wanataka wamtumie kupigana na Hezbullah na kwa njia ya kusingizia kuprotect wasipitishe...
  9. MK254

    JamiiForums Tanzania Rais wa Iran alijeruhiwa kwenye mashambulizi ya ndege za Israel

    Alinusurika kauwahishwa kwa mabikira 72 baada ya kutokea kwenye mlango wa nyuma wa jengo alilokua anafanya kikao, lilipigwa mabomu ikabidi aingie mitini. Israel ni kichaa.... -_----++++++++ Iranian President Masoud Pezeshkian was injured in the leg during an Israeli airstrike last month on a...
  10. MK254

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Iran wanaamini kuwa Israel ilitumia majini kwenye vita vya juzi, haiwaingii akilini kuwa walipigwa kizembe

    Kipigo cha juzi ambapo Israel iliteka anga lote la Iran na kujipigia kila walichotaka kupiga, ni kitu kinawasumbua sana Iran, ilitokeaje yaani kivipi licha ya wao kuamini katika Allah wao, iweje Mungu wa Israel aliwezesha vyote hivyo. Kuna viongozi wameanza kusema yote hiyo ilifanyika kwa nguvu...
  11. MK254

    JamiiForums Tanzania Picha: Iran yaonyesha namna inaweza kutumia nyuklia kuifuta Israel, hivyo inapaswa kupigwa kila inapojaribu kupata nyuklia

    Mshauri mkuu serikalini aonyesha picha ya namna ya kuifuta Israel kwa kutumia mabomu mawili ya nyuklia, hizi ndio sababu kwa nini hao magaidi wa waislamu hawapaswi kumiliki silaha zozote zenye maangamizi makubwa, maana adhimio lao kuu huwa kumaliza Wayahudi. Kila wakipanga kujihami kwa nyuklia...
  12. Mtamba wa Panya

    JamiiForums Tanzania The Daily Telegraph: Iran ilipiga kambi 5 za kijeshi za Israel

    Exclusive: Iran ilishambulia kambi tano za kijeshi za Israeli katika vita yao ya siku 12. Uchambuzi wa data za rada uliofanywa na watafiti kutoka Chuo Kikuu cha Oregon(Oregon State University ) na kusambazwa na gazeti maarufu la Uingereza The Daily Telegraph, unaonyesha kwamba Iran ilipiga...
  13. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Khan younis yaendelea kupigwa kwa nguvu zote na majeshi ya Israel

    Majeshi ya Israel yaendelea kuisawazisha Khan younis katika vita vyake na magaidi w Hamas!!!
  14. U

    JamiiForums Tanzania Mwandishi wa habari wa Iran adai Israel ilitumia uchawi wa majini kwenye vita dhidi yake

    Iran International: Iran yadai Israel ilitumia sayansi ya uchawi wa majini kwenye vita dhidi yake kwa ajili ya ujasusi Afisa wa mwandamizi Jeshi la Iran amedai kuwa Israel ilisambaza roho za uchawi na miujiza katika vita vyake na Iran, jambo lililozusha kejeli na mjadala...
  15. Jackal

    JamiiForums Tanzania Kulingana na duru za Kijasusi za Israel, Iran Hawakuhamisha Uranium Iliyorutubishwa kwenye vinu vyake wakati wa mashambulizi ya Marekani

    Senior Israeli official: Intel shows Iran didn’t remove enriched uranium from sites hit by US, Israel https://www.timesofisrael.com/liveblog-july-10-2025/
  16. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Duru zinasema kundi la Hamas limekubali kuwaachia huru mateka 10 wa Israel

    Duru zinasema kundi la Hamas linalotawala Ukanda wa Gaza limekubali kuwaachia huru mateka 10 wa Israel ikiwa ni sehemu ya majadiliano ya sasa ya kusitisha vita kwa muda wa siku 60. Hata hivyo bado kuna mkwamo kuelekea kufikiwa mkataba kutokana na msimamo wa Hamas wa kutaka Israel iondoe vikosi...
  17. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Magaidi wa Hamas wajaribu kumteka askari wa Israel huko Khan Younis na kushindwa!!!

    Askari wa akiba aliuawa huko Khan Yunis baada ya kuhangaika na magaidi waliojaribu kumteka nyara. Kulingana na uchunguzi wa awali, wakati wa operesheni za IDF huko Khan Yunis, magaidi waliibuka kutoka chini ya ardhi na kushambulia kitengo cha IDF. Wakati wa shambulio hilo, magaidi hao...
  18. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Je Israel wana hitami kupata Ndege-vita ya kimkakati B-2.?

    Je Israel wanataka Ndege vita za kimkakati B-2? Netanyahu: Bila shaka tungependa kuwa nao! Lakini tunashukuru msaada wote tunaopokea kutoka Amerika.
  19. uhurumoja

    JamiiForums Tanzania Musonda Kennedy (smart boy) katimkia Israel baada ya kuachana na Yanga

    Hivi kweli wachezaji wetu ni wanakosa koneksheni au bongo kama mbele Ikumbukwe Novatus akitokea huko nchi ya ahadi Sasa anatamba soka la Turkey Kwa Nini Mzize asiwaze Kutimkia nchi kama hizo!?
  20. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Rais wa Iran asema Israel ilitaka kumuua wakati wa vita

    Mtangazaji wa TV kutoka Marekani Tucker Carlson ametoa mahojiano yake na Rais wa Iran Masoud Pezzekian. Siku mbili zilizopita, alitoa video akisema kwamba alikuwa amemhoji Bw. Pezzekian na angeitoa hivi karibuni. Bw. Pezzekian alimwambia mtangazaji huyo mashuhuri kwamba Israel ilijaribu...
Back
Top Bottom