Urusi imeionya Iran kuwa hivi punde itashambuliwa na marekani na Israel
Wakati huohuo China,urusi na Korea kaskazini zimekua zikipeleka silaha nyingi Iran
Rada ya kufuatilia nyendo za ndege zilibaini safari lukuki za ndege kubwa za mizigo zikitua na kuondoka Iran takriban kwa muda wa mwezi sasa...
Baada ya taatifa ya taasisi ya haki za binadamu ya Amnesty ya miezi michache iliyopita, taasisi ya haki za binadamu ya nchini Israel ya B'Tselem nayo imetoa taarifa kuwa wamejiridhisha vya kutosha kuwa serikali ya nchi yao inafanya mauaji ya Kimbari huko Gaza.
Wakihojiwa na mwandishi wa habari...
Katika tathmini ya vita vya siku 12 kati yake dhidi ya Israel na Marekani,Iran imeamua kuachana na matumizi ya teknolojia ya GPS nyengine kadhaa ambazo imegundua zilichangia kuuliwa kwa makamanda wake wa kijeshi na wataalamu wa nyuklia.
Badala yake Iran imeamua kugeukia teknolojia aina hiyo...
"Hata wakinipiga marufuku kuingia Ulaya yote, nitaendelea kuchukua hatua kwa ajili ya nchi yetu," alisema Waziri wa Usalama wa Taifa Itamar Ben-Gvir.
Kauli hiyo ilikuja kujibu serikali ya Uholanzi kumzuia Ben-Gvir na waziri mwenzake wa mrengo wa kulia wa baraza la mawaziri la Israel Bezalel...
Katika biblia, kuna habari ya wana Israel chini ya Musa waliokuwa wanaomba ruhusa kwa FARAO, ili waende nchi ya ahadi. FARAO alikataa pamoja na kupewa mapigo kadhaa lakini hakutoa ruhusa. ndipo pigo la mwisho likawa la kuua mzaliwa wa kwanza wa binadamu na mnyama wafe. Walipokufa, kesho yake...
Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, amesema hakuna mtu anayekufa kwa njaa Gaza na kwamba Israel haijawahi kuwa na sera ya kuwanyima Wapalestina chakula
“Tunaruhusu misaada ya kibinadamu kuingia Gaza wakati wote wa vita la sivyo, kusingekuwepo na Wapalestina Gaza,” alisema Netanyau...
Trump's playing the ultimatum game with Russia: 50 days or 10…
He should remember 2 things:
1. Russia isn't Israel or even Iran.
2. Each new ultimatum is a threat and a step towards war. Not between Russia and Ukraine, but with his own country.
Don't go down the Sleepy Joe road!
— Dmitry...
Watu wa enzi hizi tumekuwa tuko nyuma sana kuwaza kulinganisha na wale waliotutangulia kiasi kwamba tunashindwa kuona ukweli penye uongofu.
Kama tutawaza vizuri basi ni wazi tutaona kuwa matumizi makubwa ya silaha na kuua na kuvunja majumba hakujasaidia kubadilisha mawazo ya Hamas na wenzao wa...
Nilipoona tu Siku ile Yanga SC inarejea na Kombe kutoka Zanzibar huku ukijifanya Wewe ni Dj na ukawa Unatuzodoa wana Simba SC hasa pale Msimbazi Street mlikopita nilijua tu baada ya hapo kuna Maumivu utayapata kwani Wazee wa Simba SC nawajua huwa hawana Masihara katika kutuma Makombora ya...
Mungu ibariki IDF kwa moyo wa huruma.
Waziri wa Mambo ya Nje wa Israel, Gideon Sa’ar, pamoja na mwenzake wa Cyprus, Constantinos Kombos, “wanaendelea kuwasiliana kwa karibu na mara kwa mara kuhakikisha kuwa msaada unafikishwa na kutumika haraka iwezekanavyo,” imesema wizara hiyo.
“Israel...
Katika Ile vita ya siku 12 Irani ametuonyesha maajabu sana kumbe vita sio lazima utumie Ndege au manuari au mimeli mikubwa mikubwa au wanajeshi unaweza tu kukaa ofisini na ukatoa kichapo kitakatifu
Irani walikuwa wapo tu ofisi wanacheza na mausi Kutoa kichapo Kwa Israel
Na Ile kazi yote...
We are ready to strike Israel again,' Iran’s president warns
1 hour ago
Updated 8:53 AM
Share
A screengrab from Iranian President Masoud Pezeshkian during an interview with Al Jazeera (July 2025)
A screengrab from Iranian President Masoud Pezeshkian during an interview with Al Jazeera (July...
Katika kitabu cha Qur'an, aya ya 80, katika Sura ya 20 inasema:
"Enyi Wana wa Israili! Hakika tulikuokoeni na adui yenu, na tukakuahidini upande wa kulia wa mlima. Na tulikuteremshieni Manna na Salwa"
Kwa kiingereza:
O ye Children of Israel! We delivered you from your enemy, and We made a...
Baada ya Kujiendesha kwa hasara kwa miaka kadhaa, bandari hiyo iko mbioni kufungwa mapema Jumapili hii ambapo chanzo kimesema shughuli za hapo zimeshuka kwa zaidi ya 90% , huku ikidaiwa kujiendesha kwa hasara kwa deni lisiloisha, kukosekana kwa mapato, kuongezeka kwa gharama za uendeshaji...
Huwa naangalia video za vita hizo nchi wanajenga nyumba nzuri sana na kwa mpangilio mzuri sana.
Wana ma-vita yasiyoisha lakini wanaonekana ni watu wenye mipango mizuri sana hasa kwenye Ujenzi.
South Afrika nayo wanajitahidi sana, Hapa kwetu unaona majengo mapya lakini hayana mpangilio mzuri...
Itabidi ubalozi wetu nchini Israel itangaze kwa niaba ya taifa la usa ya kwamba nchi ya Israel haikaribishi tena taasisi za dini za Kikristo na wawakilishi wao badala yake wanajihusisha na unyanyasaji na mapokezi mabaya ."-Huckabee
Itatubidi tuwatahadharishe wakristo wa America ya kwamba...
Baada ya jeshi la Israel kupiga kanisa na kuuwa watu waliokuwemo ndani, sasa huu umekuwa muda wa watu kufunguka macho na kuanza kuhoji huo utakatifu wa ardhi ya Israeli.
https://www.bostonglobe.com/2025/07/17/world/israel-strikes-gaza-church-pope-used-call-nightly/
Rais wa Iran Masoud Pezeshkian amekiri kwa mara ya kwanza kwamba nchi yake ilikuwa na mapungufu ya kiusalama katika vita vyake na Israel.
Akizungumza katika kikao cha baraza la mawaziri mjini Tehran hivi leo.
Ukosoaji binafsi wa aina hii ni nadra sana nchini Iran.
Wakati wa vita va siku 12...
Wana jukwaa wa JF
Papa Leo XIV amerejelea wito wake wa kusitisha mapigano Gaza baada ya watu watatu waliokuwa wakihifadhi katika kanisa katoliki katika mji wa Gaza kuuawa katika shambulizi la Israel.
Telegramu ilisema Papa "amehuzunishwa sana kujua juu ya kupoteza maisha na majeraha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.