israel

  1. JamiiForums Tanzania Jeshi La Israel, IDF,Sasa Hivi Latumia "Suicide Drones" Kuua Magaidi Wengi Wa Hamas Huko Gaza

    Mytake:Sasa wavaa vipedo, misuli na makobazi wanapigwa kotekote,ardhini,majini na angani. ..... The IDF revealed a shift in Gaza warfare: suicide drones now kill most Hamas terrorists. The “Atalef” drone is standard issue across ground forces, with platoons equipped with their own intel drones.
  2. JamiiForums Tanzania ERDOGAN: Hakuna namna zaidi ya kuingia vita kamili na Israel kwa manufaa ya utu

    ERDOGAN, Rais wa Uturuki amenukuliwa akisema hakuna namna zaidi ya kuingia vita kamili na israel ili kulinda utu. Maneno hayo yametamkwa Uturuki ikijiandaa kutuma wanajeshi tajriban laki moja huko Cyprus kaskazini jirani na israel Ikumbukwe uturuki ina maslahi Syria ambako Israel hushambulia...
  3. JamiiForums Tanzania Watu wa Gaza wasema hawawezi kuhama na hawana pa kwenda palipo salama.Wanasubiri wapigwe nyuklia na Israel

    Wapalestina kadhaa waliohojiwa na gazeti la Jerusalem post,wamesema wamechoka na mateso na wamekata tamaa na hawana imani na yeyote. Baadhi yao walipohojiwa wamesema wameshahama mara nyingi kote Gaza kufuata maeneo waliyoambiwa ni salama lakini kila wanapofika maafa ni yale yale. Mmoja wao...
  4. JamiiForums Tanzania Belgium, kutambua taifa la Palestina katika Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, kuiwekea vikwazo Israel

    Wanaukumbi. Ubelgiji itaitambua taifa la Palestina katika Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa baadaye mwezi huu, Waziri wa Mambo ya Nje wa Ubelgiji Maxime Prevot alitangaza Jumanne, akiongeza kwamba vikwazo vitawekwa kwa serikali ya Israeli. "Palestina itatambuliwa na Ubelgiji katika kikao cha...
  5. JamiiForums Tanzania Israel Aerospace Industries (IAI) Wakiwa kazini kuinufaisha dunia!!

    Sekta ya kwanza ya anga duniani kubadilisha Boeing 777 kutoka ndege ya abiria hadi ndege ya mizigo✈️ Israel Aerospace Industries (IAI) imerekodi mafanikio mengine ambayo hayajawahi kushuhudiwa, kama kampuni ya kwanza duniani kupokea leseni ya STC (leseni ya kubadilisha ndege kwenda kwa mizigo)...
  6. JamiiForums Tanzania Baada ya Iran kuona dalili zote kuwa Itashambuliwa tena na Israel yaanza kujihami mapema!!!

    Iran imeanza maandalizi ya kushambuliwa na Israel baada ya vyanzo vyake kudhibitisha kuwa wakati wowote wanaweza kushambuliwa na Israel. Juhudi mbalimbali zimefanya katika jeshi lake ili kuwaweka kwenye hali ya tahadhali ya juu vilevile wameandaa mpango mkakati wa kuwalinda viongozi wa nchi...
  7. JamiiForums Tanzania Wahouth wateka nyara wafanyakazi 11 wa UN baada ya shambulio la Israel huko Sana’a

    Umoja wa Mataifa umethibitisha kuwa wafanyakazi wake 11 nchini Yemen wametekwa nyara na Wahouthi. Waasi wa Houthi walivamia ofisi ya Umoja wa Mataifa mjini Sanaa kufuatia mashambulizi ya anga ya Israel ya wiki iliyopita ambayo yaliangamiza karibu serikali nzima ya Houthi. Utawala wa kigaidi...
  8. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Majeshi ya Israel Lt Jeneral Eyal Zamir awatishia viongozi wa Hamas nje ya nchi: 'Tutawafikia Popote walipo!!

    Mkuu wa IDF awatishia viongozi wa Hamas nje ya nchi: 'Tutawafikia pia' Mkuu wa IDF, Lt. Jenerali Eyal Zamir (kushoto) akizungumza katika tathmini pamoja na Mkuu wa Kamandi ya Kaskazini Meja Jenerali Rafi Milo, Agosti 31, 2025. (IDF) Kufuatia mauaji ya Israel kwa maafisa wakuu wa Houthi na...
  9. JamiiForums Tanzania Israel yamuua Waziri mkuu wa Yemen

    #HABARI Waziri Mkuu wa serikali ya Yemen inayoongozwa na Wahouthi na mawaziri wengine kadhaa wameuawa katika shambulio la Israel kwenye mji mkuu Sanaa, mkuu wa Baraza Kuu la Kisiasa la Houthi amesema jana Jumamosi, likiwa ni shambulio la kwanza la aina hiyo kuua maafisa wakuu. Wengine kadhaa...
  10. JamiiForums Tanzania Hamas limewaua wanajeshi kadhaa wa Israel huko Gaza na kuwateka wengine 4

    Wanakumbi. Kundi la Hamas limewaua wanajeshi kadhaa wa Israel huko Gaza na kuripotiwa kuwakamata wengine 4. Hata hivyo Israel imedai kuwa ni mwanajeshi mmoja tu aliyeuawa na wengine 11 wako katika hali mbaya. Israel imeweka udhibiti mkali wa vyombo vya habari kuhusu ripoti zinazohusiana na...
  11. JamiiForums Tanzania Gaza City: Hamas wateka wanajeshi wanne wa Israel huku wakiwaua wengine 9 katika shambulizi la kushtukiza

    Kikosi cha wapiganaji wa al qassam kimefanya shambulio hivi Leo na kufanikiwa kuwateka wanajeshi wanne wa Israel na kuuwa wengine 9 na kuacha majeruhi wengi. katika tukio linaloendelea katika mji wa Gaza. Helikopta 8 za jeshi la Israel zimeonekana zikibeba maiti na majeruhi kuwapeleka hospitali...
  12. JamiiForums Tanzania Uturuki kukata kabisa uhusiano wa kiuchumi na kufunga anga yake na Israel, waziri wa mrengo wa kulia wa Israel Itamar Ben-Gvir achanganyikiwa

    Wanaukumbi. Kufuatia uamuzi wa Uturuki wa kukata kabisa uhusiano wa kiuchumi na kufunga anga yake na Israel, waziri wa siasa kali za mrengo wa kulia wa Israel Itamar Ben-Gvir alichapisha kwenye X akilinganisha Uturuki na Hamas. Ben-Gvir anatafutwa na Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) kwa...
  13. JamiiForums Tanzania Israel yatangaza vita rasmi Gaza

    Jeshi la Israel limeanza oparesheni kubwa za kijeshi pembezoni mwa jiji la Gaza hatua inayoashiria maandalizi ya kuutwaa kikamilifu mji huo, huku ikiapa kuongeza mashambulizi kwa lengo la kuzidisha shinikizo la kuachiliwa kwa mateka waliosalia na kulitokomeza kabisa kundi la Hamas. Hatua hiyo...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Houthi Ahmed al-Rahawi, ameuawa na Israel

    Imeripotiwa na vyombo vya habari vya Yemen kuwa waziri mkuu wa Yemen anaye sapotiwa na Houthi ndugu Ahmed al-Rahawi ameuawa jana katika mashambulio ya jeshi la anga la Israeli hapo Yemen. Shambulizi hili ni kando ya shambulizi dhidi ya majenerali wa houthi kumi walio kuwa wakitazama hotuba ya...
  15. JamiiForums Tanzania Netanyahu anapambania wayahudi, na sio Israel wala waisrael

    Niaje waungwana Kwa mtu asiekuwa na akili kamili au uwezo wa kufikiri vizuri, anaweza akahisi, au akajua kuwa Netanyahu anaipigania Israel, au waisrael. Lakini kwa yule mwenye akili kamili na uwezo mzuri wa kufikiri, ni lazima atakubaliana na mimi kwamb Netanyahu hayupo pale kupambana na kwa...
  16. JamiiForums Tanzania Israel yaiomba ruhusa Marekani iishambulie Iran, URUSI yaondoa wanadiplomasia Tel Aviv

    Duru za kikachero zinadai israel iliiomba marekani ruhusa ya kufanya shambulio la kujihami(pre-emptive strikes) dhidi ya Iran Japo duru haziarifu ikiwa Marekani ilikubali au laa, lakini kitendo cha dege la kirusi la kubeba viongozi na wanadiplomasia kutua tel aviv kubeba wahusika,kadhalika...
  17. JamiiForums Tanzania Baada kushindwa kupambana na Hamas Israel inapambana na raia na watoto ililenga moja kwa moja waokoaji wa Kipalestina hospital Nasser. Khan Younis

    Wanaukumbi. Israel directly targeted Palestinian rescue workers at the Nasser Medical Complex in Gaza's Khan Younis. Journalists Mohammed Salama, Hussam Al Masri and Mariam Abu Dagga were among those killed, along with at least eight others ================ Israel ililenga moja kwa moja...
  18. U

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Brazil yakataa kabisa kumuidhinisha na kumkubali a balozi mteule wa Israel Gali Dagan kuanza kazi nchi ni humo

    Brazil imekataa kuidhinisha uteuzi wa Gali Dagan, aliyewahi kuwa balozi wa Israel nchini Colombia, kuwa balozi mpya wa Israel nchini Brazil, na kuacha nafasi hiyo ikiwa wazi, vyombo vya habari vya Kiebrania vimeripoti. Hatua hiyo inaashiria kushuka zaidi kwa uhusiano na nchi hiyo ya Amerika...
  19. JamiiForums Tanzania Wahouth huko Yemen wapata kipigo cha mbwa-koko kutoka Majeshi ya Israel!!!

    Jumapili ya leo Wahouth huko Yemen wamepata kipondo cha mbwa-koko tuwaombee tu!!
  20. JamiiForums Tanzania Houth wasema wana aina mpya za silaha ambazo wanakusudia kuanza kuzitumia kwa Israel.Na wameweza kuzuia mashambulizi ya jana yaliyofanywa dhidi yao

    Msemaji wa wapiganaji wa Houth wa Yemen amesema mashambulizi ya jana waliyofanya na kuwatia hasara mayahudi ni madogo kuliko yale wanayoweza kuyafanya kwa kutumia silaha mpya ambazo wanatengeneza wenyewe. Msemaji huyo amesema katika mashumbulizi mapya ya Israel wao wamefanikiwa kuzuia sehemu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…