Rais Isaac Herzog wa Israel amedai kuwa, utawala huo wa Kizayuni hauna azma ya kuingia vitani na Harakati ya Hizbullah ya nchini Lebanon katika upande wa kaskazini, siku chache baada ya viongozi wa Marekani kuwatahadharisha watawala wa Israel kuhusu ugumu na hatari ya kuendesha vita viwili kwa...
Kwa mara ya mwanzo tangu mashambulizi ya Hamas nchini Israel amiri wa Qattar ameitahadharisha jumuiya ya kimataifa kuwa isiendelee kuiacha Israel iuwe watu kama inavyopenda huko Gaza.
Sheikh Tamim bin Hamad Al Thani aliyasema hayo mapema leo alipokuwa akifungua kikao cha baraza la shura la nchi...
Taratibu tutaongea lugha moja humu.....
https://twitter.com/i/status/1716646861572849818
A senior leader of the Palestinian group Hamas has been arrested in the occupied West Bank following an Israeli night raid of his home, according to news reports.
A video clip posted by Al Jazeera Arabic...
Wakati Israel ikijiandaa kuivamia Gaza, kulitokea kimbunga kikali sana na mvua kubwa iliyoahirisha mipango ya Israel kuingiza majeshi yake Gaza.
Hali hiyo imeweka presha kubwa kwa serikali ya Netanyahu kwanza kudeal na janga hilo la ndani kabla ya kupeleka majeshi Gaza.
Wakati huohuo Hizbollah...
Baada ya Marekani kupeleka meli zake za kivita zenye thamani ya matrillioni. China na yeye anapeleka karibu na Gaza meli zake za kisasa z kivita nne.
Baada ya israel kuharibu uwanja wa ndege wa Damascus na Allepo. Leo dege kubwa la Iran limetua Syria likiwa na shehena za silaha kutumia uwanja...
Kuvamiwa kwa Isael ni mpango uliosukwa ukasukika kama ulivyosukwa mpango wa 9/11. Kinachotafutwa ni Saudi Arabia siyo Gaza wala Palestina wala Iran.
Naamini kuwa Israel na Palestina na yanayoendelea huko Gaza ni uwakala (proxy) tu wa kutafutwa Saudi Arabia. MBS wa Saudi Arabia" alimtowa nishai"...
Mafanikio makubwa yamepatikana siku ya Ijumaa ya juzi ikiwa umebaki muda mfupi wapalestina wa Gaza waanze kufa kwa njaa na kiu. Siku hiyo ilitanguliwa na kikao cha pamoja kati ya viongozi wa nchi za Jordan,Saudi Arabia na Umoja wa falme za kiarabu.
Ni siku hiyo hiyo ambayo katibu mkuu wa umoja...
Muda mfupi uliopita wanamgambo wa Hamas wamesema wamefanikiwa kuvirudisha nyuma vikosi vya jeshi la Israel vilivyojaribu kuingia kwenye ngome zao.
Wanamgambo hao wamesema waliwarejesha nyuma askari hao wenye mafunzo na vifaa imara pale walipoingia kuanza kuziba uzio waliouvunja wiki iliyopita na...
Waisraeli wanaamini ukiua mmoja wao, hata ujifiche wapi kwa namna moja au nyingine watakukuta tu hata kama itachukua miaka hamsini, watakuwinda kwenye pembe zote za dunia. Kwa mfano ma-NAZI waliohusika kwenye maamuzi ya kuua Wayahudi, pindi baada ya Hitler kupigwa halafu Ujerumani kuangushwa...
Hii misikiti yaani ni balaa sana, sijui kwanini watu wasiabudu miungu yao kwa amani bila kulea chokochoko...........
The Israeli military said it launched a "preemptive strike" on an underground compound on the grounds of the Al-Ansar mosque in Jenin on the West Bank.
Details: According to the...
Nguvu ya mashambulizi ya Israel imeonekana hapo jana na mapema leo, ambapo mashambulizi ya ndege za kivita yameendelea usiku kucha huko Gaza ambako tayari eneo kubwa limekuwa kifusi.
Sambamba na Gaza shambulio jengine limetokea tena leo huko ukingo wa Magharibi ambapo kombora limeua zaidi ya...
Ukiamua kusababisha wenzako wasiishi kwa amani, na wewe pia tegemea familia yako iishi kwa tabu....
Ramallah, Palestinian Territories:
Israeli troops on Saturday raided the West Bank home of a senior Hamas leader and detained members of his family, witnesses said.
Saleh al-Aruri is the deputy...
KIMSINGI Hesbullah ndio tishio kubwa.
Hamas ni kama genge flani ambalo wakiamua kulifuta hata kwa gharama ya maisha ya raia wasiohusika wanaweza.
Ila hawa Hesbullah naona ni watat zaidi. Ni jeshi la kisasa na ndio hatarishi kwa usalama wao kuliko Hamas.
Na leo nimemsoma kamanda wa IDF...
Imezoeleka kusikia kuwa Israel ni taifa kali lisiloshindwa kwenye vita. Hata hivyo historia inaonesha mwaka 1973 nchi za Syria na Misri pekee zilipigana kijeshi kwa siku chache kabla kusitishwa vita kwa njia za kidiplomasia baada ya madhara yake kuenea mpaka Marekani na Netherlands.
Katika vita...
Juhudi za kuwafikishia raia wa Palestina misaada kwa haraka zimepata nguvu baada ya washirika wawili muhimu wa Israel kupaza sauti zao kwa pamoja.
Mfalme Abdallah hapo juzi Alkhamis alitua Cairo bila mwaliko akitokea Italia,Uiengereza na Ujerumani kushauriana na viongozi wa nchi hizo kuhusiana...
Toka huu mzozo wa Israel na Palestine kushika kasi kwa sasa.
Kuna baadhi ya mambo ya nimeyang'amua yanayo onesha upuuzi wa idara mbalimbali au vitengo mbalimbali katika taifa la Israel.
Moja ya kitu kinacho nishangaza na kunipa mashaka juu ya utimamu wa kiakili wa watu wanaongoza utoaji wa...
Huku wakisaini waraka, Wanazuoni nchini, ambao ni Wahadhiri nguli wamelaani Vikali Occupation ya Waisrael kwa Wapalestina iliyodumu kwa miaka zaidi ya 75, inatopelekea Ghasia zisizoisha huko Palestine.
Wanazuoni wanasema kuwa wameshtushwa na ukatili endelevu wa Israel kwa watu wa Palestine...
Matangazo mengi kuhusu wanamgambo wa Hamas kinyume na uwezo wao inaonekana kumelitia hofu kubwa jeshi la Israel ambalo linaundwa zaidi na vijana wadogo.
Hayo yameonekana katika kurudiwa kwa ahadi na kuwatia moyo askari hao wakatishe mpaka kuingia Gaza.
Waziri wa ulinzi wa Israel Yoav Gallant...
Tangu mgogoro kati ya Israel na kundi la Hamas kuzuka, vyombo vya habari vya nchi za magharibi vimekuwa vikiripoti bila uwiano kuhusu changamoto zilizoletwa na mgogoro kati ya pande hizo mbili, ambao safari hii umelipuka baada ya kundi la Hamas kufanya mashambulizi ya kuvuka mpaka na kuvamia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.