israel

  1. Ritz

    JamiiForums Tanzania Israel yataja wanajeshi 11 zaidi waliouawa siku ya Jumanne

    Wanakumbi. Jeshi la Israel limetoa orodha yake ya wanajeshi ambao wamefariki katika vita vinavyoendelea na Hamas. Idadi hiyo ya vifo sasa imefikia 326, wakiwemo wanajeshi 11 waliofariki huko Gaza siku ya Jumanne.Wanajeshi hao wote walikuwa na umri wa kati ya miaka 19 na 20. Jeshi la Ulinzi la...
  2. Webabu

    JamiiForums Tanzania Kupigwa kwa kambi ya Jabaliya. Watoto wanabeba maiti za wenzao

    Kambi yaJabaliya ambayo ipo kaskazini ya Gaza ni moja ya eneo lenye msongamano mkubwa zaidi katika Gaza na mitaa yake si rahisi kupita hata gari.Kambi hiyo ni matokeo ya kufukuzwa wapalestina kutoka maeneo yao jirani na hapo mnamo mwaka 1948. Katika taarifa yake serikali ya Israel kupitia...
  3. kimsboy

    JamiiForums Tanzania Rasmi: Yemen watangaza vita na Israel

    Hii vita inaenda kuwa vita ya Ukanda wote Yemen imetangaza kuanza vita rasmi na Israel na imetangaza kuanza operesheni maalum ya kuichakaza Israel kwa makombora na Drones ‘Vikosi vyetu vilivyojihami vimerusha makombora ya balestiki na ya kusafiri, pamoja na idadi kubwa ya ndege zisizo na...
  4. MK254

    JamiiForums Tanzania Wanajeshi wa Israel waanza kuingia kwenye mahandaki ya HAMAS, wafagia kila kitu

    Kuna sehemu nilisoma wanatumia aina fulani ya gesi kwenye hayo mahandaki inayofagia kila kiumbe na kuwawahisha kwa mabikira.... GAZA/JERUSALEM, Oct 31 (Reuters) - Israel said its forces attacked Hamas gunmen inside the militants' vast tunnel network beneath the Palestinian enclave of Gaza after...
  5. Suley2019

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Kampuni ya Pepsi ya Israel imetoa soda mpya zenye rangi za bendera ya Palestina ili zinunuliwe na Wapalestina

    Salaam ndugu zangu, Nimeona picha inasambaa ikieleza kuwa Kampuni ya Israeli ya PEPSI imebadilisha muundo wake na kuandika Palestina ili kuepuka kufungiwa na Palestina.
  6. MK254

    JamiiForums Tanzania Israel yagoma kusitisha vita, yaingia Gaza ndani, mpaka sasa Wapalestina 8,306 wamekufa

    Maandamano ya Waarabu kwenye nchi za wazungu yameshindwa kufanya Israel isitishe vita.... The Israel Defense Forces has “expanded” its operations in the Gaza Strip in recent days, pouring in troops and armored tanks to conduct “coordinated attacks from the ground and the air,” spokesman Daniel...
  7. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Israel yawataja majina ya Watanzania waliotekwa na Kundi la Hamas

    Hatimaye Watanzania wawili waliotekwa na wapiganaji wa kundi la Hamas mjini Gaza wametambuliwa kuwa ni Joshua Loitu Mollel na Clemence Felix Mtenga. Uthibitisho huo umetolewa na serikali ya Israel baada ya Watanzania hao na raia wengine takribani 200 kushikiliwa na Hamas tangu Oktoba 7 mwaka...
  8. Mto Songwe

    JamiiForums Tanzania Israel inalazimisha dunia kuamini Hitler alikuwa sahihi kufanya alichofanya dhidi yao

    Baada ya wajapan kuwa na tabia ya kishenzi na kufanya majirani zake karibia wote kutowapenda kutokana na ushenzi aliokuwa anawafanyia ndio alipo jikoroga na kupanda mabega kwenda kuwaoneshea ushenzi wa marekani. Tukio la kikatili alilofanya marekani juu yao limewafanya wajapan mpaka ule ushenzi...
  9. MK254

    JamiiForums Tanzania Rais wa Iran aishia kulalamika kwenye Twitter kwamba Israel wameshavuka mstari mwekundu

    Israel wanaendelea kuvuka mistari yote inayochorwa na Waarabu na Iran, mistari ya blu, nyekundu inafyatua yote.... Rais wa Iran kaambulia kulalamika kwenye mitandao ya kijamii.... Katukanwa sana huko kwenye comments maana Iran ndio ilikua tegemeo la pekee la watu wa hiyo dini...
  10. benzemah

    JamiiForums Tanzania Serikali Yatoa Tamko Hali Watanzania Nchini Israel

    Serikali imesema inaendelea kufuatilia kuhusu hali za Watanzania waliopo nchini Israel na kwamba taarifa zaidi zitatolewa pale itakapobidi. Kauli hiyo imetolewa jijini Dar es Salaam leo, Oktoba 29, 2023 na Msemaji Mkuu wa Serikali, Mobhare Matinyi alipozungumza na wahariri na waandishi wa...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Mapigano kati ya Israel na Palestina yalianza tangu enzi za vita kati ya Mfalme Daud Muisrael na Goliati Mfilisti (Mpalestina)

    Miaka ya nyuma kabla ya kuzaliwa Kristo (BC) kulitokea mapigano kati ya Waisrael na Wakaanani ambao ndio wenyeji wa eneo hilo wa kabila la Wafilisti ambao ndio Wapalestina wa sasa Waisrael walikuwa wakiaminika kuwa ni wacha Mungu na Wafilisti walidaiwa kuwa wapagani kwa wakati huo Katika vita...
  12. Webabu

    JamiiForums Tanzania Waislamu wasiofika Gaza wana silaha yao kuu. Huu ndio muda wa kuitumia kuhakikisha Israel inashindwa

    Kuna hali zikitokea katika nchi au mbali ya miji waislamu humuelekea Allah aliyetukuka ili awape msaada. Na hiyo ina dalili kutoka kwa Mtume swalaLlaahu alayhi wassalam mwenyewe. Baadhi ya matukio hayo ni pale nchi inapopata ukame mpaka watu wemekata tamaa na uhai wao. Watu hutoka nje ya mji...
  13. Webabu

    JamiiForums Tanzania Rais Erdogan wa Uturuki aiambia Israel sitisha vita. El Sisi wa Misri aiambia ifungue mpaka

    Hali ndani ya Gaza imeelezwa kuwa ni balaa na machafuko huku majeshi ya Israel yakiwa yameingia kikamilifu eneo hilo na askari wa IDF wakipigana na watu mpaka kwenye kambi za wakimbizi. Katika hali ya machafuko kiasi hicho raisi wa Uturuki ameiambia Israel isitishe vita mara moja. Raisi wa...
  14. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Shangwe zilizopigwa Israel ilipovamiwa siku ya kwanza zipo wapi, Mbona nguvu kubwa inatumika kumpigia magoti Isreal aache kujilinda (cease fire) ?

    Njia pekee ya Israel kujilinda kwa sasa ni kutoa DOZI Nakumbuka siku ya kwanza Israel ilipovamiwa, Hamas waliitwa kila aina ya majina ya kishujaa na shangwe zilipigwa sana kiasi kwamba watu hawa walianza kuota ndoto za mchana kwamba Israel inaenda kumezwa ? Hali ya sasa ni tofauti kabisa, watu...
  15. WrestlerRSF254

    JamiiForums Tanzania Disinformation kwenye vita kati ya Israel na Hamas

    Habari wanajukwaa!! Tujitahidi kuwa makini sana na hawa watu waliochagua upande kwenye hivi vita vinavyoendelea. Kuna upotoshaji wa wazi wazi na kimakusudi kuhusu vita hivi, mfano mzuri ni mwanajukwaa Kimsboy na wenzake. Nimejaribu sana kufuatilia habari anazoleta humu jukwaani kwa 97% ni...
  16. Ritz

    JamiiForums Tanzania Watanzania wawili ni miongoni mwa mateka wa Hamas, yasema Israel

    Wanaukumbi. Watanzania wawili na raia mmoja wa Africa Kusini ni miongoni mwa mateka 224 wanaoshikiliwa na Hamas baada ya mashambulizi ya Oktoba 7 nchini Israel, serikali ya Israel inasema. Hakuna hata mmoja kati ya hao watatu aliyetajwa. Mamlaka ya Tanzania hapo awali ilikuwa imethibitisha...
  17. Webabu

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Israel limeanza kuingia Gaza

    Kulingana na radio ya Israel vikosi vya IDF vimefanya mashambulizi makubwa ndani ya Gaza usiku wa kuamkia leo. Hata hivyo taarifa zaidi za mashambulio hayo dhidi ya Hamas hayajwekwa wazi. Habari hizo zinafuatia ahadi ya hapo jana ya waziri mkuu wa nchi hiyo aliposema mashambulio ya kuingia Gaza...
  18. Webabu

    JamiiForums Tanzania Misri, Jordan na Syria waipe muda (ultimatum) Israel kuacha misaada iingie Gaza wakati watu wanaanza kufa kwa njaa na kiu. Wavunje mikataba baina yao

    Kiubinadamu wakati umefika wa kuacha kufikiria waisrael wangapi walikufa wakati wa shambulio la Hamas na wapalestina wangapi wameshakufa tangu Israel ianze kulipiza kisasi. Au majengo mangapi yamegeuzwa kifusi. Kinachotakiwa sasa ni kufikiria watu wanaokufa njaa na kiu kwa kunyimwa chakula na...
  19. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Ukristo Afrika unajifunza nini juu ya vita inayoendelea Israel?

    Historia yoyote itokeayo Duniani huacha fundisho. Kutokujifunza kutokana na historia ni tatizo binafsi. Leo Afrika madhehebu mengi yanaamini katika Mungu wa Israel. Sala nyingi humtaja Mungu wa Israel " Mungu wa Wayahudi".. Kipindi tunakazana huku Afrika kuomba na kuombewa huku tukiamini...
  20. Webabu

    JamiiForums Tanzania Najib Mikati, Waziri Mkuu wa Lebanon: Jeshi la Lebanon ni nguzo ya muundo wa taifa

    Kaimu waziri mkuu wa Lebanon, Najib Mikati hapo jana alifanya ziara ya kushtukiza kusini ya nchi yake na mpakani na Israel.Katika ziara hiyo aliambatana na kamanda mkuu wa majeshi ya nchi hiyo, Joseph Auon. Katika ziara hiyo alikagua vikosi vya UNIFIL na kusema alifika eneo hilo pendwa la...
Back
Top Bottom