iran

  1. T

    JamiiForums Tanzania Leo hii Trump anaomba kukutana na Ayatollah Mojtaba: Kongole Iran

    Raisi Trump amesema anataka kukutana na Ayatollah Mojtaba ili wayamalize😂.. Aise dunia inaenda kasi, kuanzia tumewavuruga, mpaka kuomba kukutana na Mjuba mwenyewe, tutaona mengi sana. Tulimcheka Mrusi anapelekeshwa na Ukraine. Leo hii supa pawa wa wamarekani wa kwa mtogole anaomba poo🤣 Aibu....
  2. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Roman Gofman awa kiongozi mpya wa Mossad!!! Iran wajipange!!

    Roman Gofman anakuwa mkuu mpya wa Mossad; katika sherehe, Netanyahu asema Israeli 'itasaidia' utawala wa Iran kuanguka Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu asema utawala wa Iran "umekusudiwa kupita" na anaapa kwamba Israeli itaisaidia kufanya hivyo, huku akizungumza katika sherehe ya kumkaribisha...
  3. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Ndoto za Mwendawazimu za Iran juu ya Isral!!

    Baada ya Iran kushindwa mbinu zake zote kuifuta israel kwenye uso wa dunia mara kadhaa!! Leo tena kuna Bango jipya la matangazo katika Uwanja wa Palestina mjini Tehran, Iran leo linaipa Israeli miaka mingine 15 ya kuwepo. Siku 5,218 zimesalia. Nina uhakika asimia 100% Iran wataangukia pua tu!!
  4. Keyboard_Warrior

    JamiiForums Tanzania Iran yatishia kuishambulia Israel endapo Beirut itashambuliwa na Israel

    Hawa Iran uthubutu wa kumchimba mkwara Netanyahu wanautoa wapi!? Siku zinakimbia sana aisee!!! Kuna kipindi Israel na Marekani walikuwa wanatafuta sababu ya kumtandika Iran, ila sasa hivi Iran ndio anatafuta sababu ya kumtandika Israel.
  5. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Hormz ngoma nzito Rais wa Iran ambiwa na IRGC kaa pembeni..

  6. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Vita Vya Iran na Marekani: Oman Kushambuliwa na Marekani

    https://youtu.be/9yP5oYnlva4?si=MbMw5u4P2bino_W7
  7. S

    JamiiForums Tanzania Iran ilishambulia vikali na kuharibu mali na kambi za Marekani picha za satellite zaonyesha

    Mashambulizi ya Iran dhidi ya kambi za jeshi la marekani mashariki ya kati yameharibu vifaa na miundo mbinu 228 kwa mujibu wa picha za satellite zilizoachiwa.Idadi ya uharibifu ni mkubwa mno tofauti na ripoti zilizotolewa na makao makuu ya jeshi Centcom. Wiki ya kwanza ya vita inaonyesha kambi...
  8. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Vita Vya Iran na Marekani: Imekuwaje Israel Imefunikwa?

    https://youtu.be/IdS3eoAdqhU?si=drTe0Dyah_0mscBF
  9. Ritz

    JamiiForums Tanzania Memorandum of Understanding” between Iran and the United States

    Wanakumbi. ⚡️EXCLUSIVE: We have obtained a complete version of the current “Memorandum of Understanding” between Iran and the United States Details of the current Peace Deal, per an Iranian MP: 1. Declaration of the end of the war throughout the Middle East 2. Respect for each other’s...
  10. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Maktaba Imepokea Vitabu Katika Historia ya Iran, Misri na Marekani

    https://www.facebook.com/share/p/1CiWRBfewf/
  11. Ritz

    JamiiForums Tanzania Qatar kurudisha $12 bilioni za Iran vikwazo vya mafuta vinaondolewa, ada za Hormuz zinarejeshwa. Makubaliano ya nyuklia ya siku zijazo

    Wanaukumbi. Qatar — imetatua tatizo la mwisho: $12 bilioni katika mali za Iran zilizogandishwa. Mkataba huo unahamia kwa sababu ya Doha. 🇮🇷 Iran — inapata mabilioni ya pesa zilizogandishwa, vikwazo vya mafuta vimeondolewa, ada za Hormuz zimerejeshwa. Bei: makubaliano ya nyuklia ya siku zijazo...
  12. P

    JamiiForums Tanzania Marekani yaishambulia kwa makombora Iran kwa walichokiita ni hali ya kujilinda dhidi ya vitisho vya Iran

    Jeshi la Marekani usiku huu wa tarehe 26/05/2026 limefanya mashambulizi ya kijeshi kwenye sites za kurushia makombora za Iran na boti ambazo wamedai zilikuwa zinajaribu kusimika mabomu baharini ========== US military says it struck southern Iran in 'self-defence' The US military said it...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Bajeti ya Ulinzi ya Iran pamoja na bajeti ya Ulinzi ya Marekani kwa mwaka 2025

    Supapawa wa Dunia akishirikiana na supapawa wa Middle East Israel wakipigana na nchi iliyowekewa vikwazo na kutengwa na Dunia kwa miaka zaidi ya 40 Iran. Sasa tuangalie bajeti zao za ulinzi kwa mwaka 2025. Iran Iran's official military and security budget for the 2024–2025 period was set at...
  14. Ritz

    JamiiForums Tanzania Iran Yakataa Masharti ya Marekani Kuhusu Fidia:

    Wanaukumbi. 🇮🇷 Iran Yakataa Masharti ya Marekani Kuhusu Fidia: 🇮🇷 Iran yasema Marekani haiwezi kuamua fidia ya kifedha kwa upande mmoja katika makubaliano yoyote ya amani. Tehran inadai: Kuondolewa mara moja kwa mali zote za Iran Kuondolewa kabisa kwa vikwazo vya mafuta 🇮🇷Iran inaweza kupata...
  15. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Iran kaanza kutepeta mbele ya Marekani!!

    Ripoti mpya ya Axios inasema makubaliano yanayoibuka kati ya utawala wa Trump na Iran yanaweza kujumuisha Tehran kutoa akiba yake ya urani iliyoruyubishwa, kusimamisha urutubishaji wa urani kwa muda mrefu, na kufungua tena Mlango-Bahari wa Hormuz. Kulingana na Axios, maafisa wa Marekani...
  16. Richard

    JamiiForums Tanzania Iran yaomba ruhusa FIFA kuhamishia timu yake ya taifa Mexico baada ya kugundulika wachezaji, makocha na maofisa wote wamepitia mafunzo IRGC.

    Ijumaa ilopita Iran wamezungumza na shirikisho la kandanda Duniani FIFA kuomba kuhamisha timu yake ta taifa ya kandanda na maofisa wote wanoandamana na timu hiyo nchini Mexico, baada ya kukikiri kuwa wachezaji karibu wote wamepitia mafunzo maalum kutoka jeshi maalum la mapinduzi la Iran maarufu...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Iran yaonesha miundombinu ya kijeshi 228 ya Marekani ilipigwa vibaya sana mashariki ya kati. Marekani ilificha

    Picha za satellite za Iran zilionesha uharibifu mkubwa na hasara kubwa sana Marekani ilipata kutokana na kipigo Cha Iran kilichofanywa katka makambi (bases) za Supapawa Marekani huko mashariki ya kati. Makambi mengi yalipigwa, na ndani ya makambi hayo yalikua ni Kambi za ndege,meli,rada...
  18. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Mpango wa Amani na Iran huenda Israel ikasimama Kivyake

    Baada ya Trump kutangaza kuwa wako karibu kufikia Muafaka na Magaidi ya Serikali ya Mapinduzi ya Iran, Israel kuna uwezekano mkubwa wakashindwa kukubaliana na makubaliano dhaifu yanayokwenda kutiwa saini na Trump na magaidi hao wa Iran. Mpaka asubuhi hii hakuna tamko rasmi kutoka serikali ya...
  19. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Ukiwa muislam haimaanishi hauna budi kuishabikia Iran au Palestine. Ni sehemu ambazo mwenye ngozi nyeus utatambulika kama tabaka la mwisho

    Kule mnaitwa "abeed" , yani mtumwa, ni jina lililozoeleka kumuita ngozi nyeusi yoyote karne na karne ila huku unatoa mimacho ukiwa unakomenti kwa hasira wakati kule utalazwa chooni maana hauna hadhi kubwa.
  20. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Vita Vya Iran na Marekani: Yanayoelezwa na Mitandaoni

    https://youtu.be/Ptjr5nBRPGw?si=nZy37faqqA-UFxu4
Back
Top Bottom