Wanaukumbi.
Kiongozi wa upinzani nchini Israel na waziri mkuu wa zamani, Yair Lapid, amemkosoa vikali Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu kufuatia taarifa za kutiwa saini kwa hati ya maelewano kati ya Iran na Marekani.
Kupitia ujumbe aliouchapisha kwenye mtandao wa X, Lapid alieleza makubaliano...
Niaje waungwana
Dunia imebadilika aisee. Leo hii zayuni ( Netanyahu ) anaitwa muuaji anaetafutwa kufikishwa kwenye Criminal Court.
Wakati nchi hizo zikiondoa vikwazo kwa Iran, hili zayuni liuaji Netanyahu haliwezi kutia mguu wake katika nchi yoyote hapo juu bila kutiwa nguvuni na kukabidhiwa...
Rais Donald Trump ametangaza kuingia mkataba wa amani na Iran.
Amefanya hivyo kwenye maadhimisho ya siku ya kuzaliwa kwake?
Je, mkataba huu utafuatwa au kuvunjwa kama ilivyokuwa huko Gaza ambapo ni utapeli mtupu au DRC?
Je, ni baada ya kushindwa kufikia malengo yake kisiasa au kuchapwa kimya...
Niaje waungwana
Iran inajiamini sana, ndio maana haiwezi kufanya shambulio bila kutoa taarifa mapema ili kuepusha maafa kwa kina mama na watoto kama Gaza na Lebanon.
Ila sasa taarifa hizi za kuwaepusha raia na maafa, hutumiwa na viongozi wa Israel kukimbilia kujificha kwenye bunker ili kuepuka...
Wanaukumbi.
Falme za Kiarabu tayari zimewasilisha takriban dola bilioni 3 kwa Iran na kukubali kutoa mabilioni zaidi chini ya mpango unaolenga kusimamisha mashambulizi ya Iran dhidi ya taifa la Ghuba ya Uajemi, Reuters iliripoti ikinukuu vyanzo vinne.
Vyanzo viwili vya kikanda vilisema UAE...
Wanaukumbi.
🇮🇷 Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imekataa madai ya Rais Trump kwamba pande zote zimeidhinisha makubaliano yaliyopendekezwa kati ya Marekani na Iran.
Maafisa mjini Tehran walisema:
❌ "Hakuna makubaliano yaliyofikiwa." ❌ "Hakuna mtu aliyekubali makubaliano hayo."
Iran inasema...
Baadhi ya vipengele muhimu vya makubaliano hayo ni;
Kusitishwa kwa mapigano kwa siku 60 katika nyanja zote, ikiwemo nchini Lebanon.
Mlango bahari wa Hormuz kufunguliwa mara moja, bila Iran kutoza ada zaidi kwa meli, na usafirishaji kupitia mlango huo kurudi viwango vya awali kabla ya vita...
Masharti ni haya yafuatayo
1 Aondoe sunction zote za Iran na aondoe maheshi yake karibu na Iran
2 Wasimamishe vita mpaa Lebanon (mimi naona hapo Israel akijidai mbabe wamwachilie Iran amtie adabu Israel hahaha)
3 Wasingile mambo ya ndani ya Iran
4 Waondoe sunction ya baharini
5 HORMUZ...
Hali si shwari kabisa huko Mashariki ya Kati, hususan kwenye mvutano kati ya Marekani, Israel, na Iran. Kwa wale ambao wamekuwa wakifuatilia, huenda mnajua kuwa kulikuwa na usitishaji vita (ceasefire) wa muda kuanzia mwezi Aprili, lakini mambo yamebadilika ghafla.
Usiku huu, mambo haya...
Juzi Iran iliishambulia Israel ikidai ni kutokana na kitendo cha Israel kuendelea Kuwashambulia Hezbollah huko Lebanon.
Baada ya shambulio la Iran nchini Israel, Rais Trump alimsihi Netanyahu asijibu mashambulizi ili mazungumzo ya kumaliza vita yasiharibike. Lakini Israel iliishambulia Iran...
Baada ya Iran kuishambulia Israel usoku kuamkia leo na IDF kujibu mapigo sawasawa Iran imebwaga manyanya kwa kutangaza haitaishambulia tena Israel kama Israel nayo haitawashambulia magaidi hao!!
Ombi hilo la Iran limekataliwa kwa vitendo ambavyo Israel imeendelea kuwashambulia Hezbollah ndani...
Ripoti mbalimbali za kimataifa zimedai kuwa ndani ya muda mfupi baada ya kusitishwa kwa mapigano kati ya Iran na Israel, kundi la Hezbollah lilianzisha mashambulizi dhidi ya malengo ya kijeshi ya Israel, hatua iliyoongeza hofu ya kuendelea kwa mvutano katika eneo la Mashariki ya Kati.
Kwa...
FOR THE FIRST TIME IN TWO MONTHS.
ISRAEL STRUCK BACK INSIDE IRAN WITHIN HOURS.
AND AN IRANIAN OFFICIAL JUST SAID THE PEACE DEAL IS "NO LONGER FEASIBLE."
---
Here is exactly what happened today:
Israel struck a Hezbollah command center in the Dahieh area of Beirut this morning in response to...
Israel inaishambulia Iran muda huu kama kujibu mashumbulizi ya iran ambapo, chombo Cha habari cha Israel cha chanel 14 kimeripoti kuwa milipuko ya mabomu imesikika muda huu nchini Iran katika jiji la Tehran
Masaa machache yaliyopita Israel imefanya mashambulizi ya nguvu Beirut Lebanon
Iran walisema kuwa endapo Israel watashambulia Beirut basi wao Watajibu kwa kushambulia ndani ya Israel.
Iran sasa tunasubiri wajibu maana walibweka sana.
Israel Kila siku wanashambulia kusini mwa Lebanon...
BREAKING: TRUMP ASEMA YUKO TAYARI KUKUTANA ANA KWA ANA NA KIONGOZI MKUU WA IRAN AYATOLLAH KHAMENEI. Rais wa Marekani Donald Trump asema yuko tayari kukutana na Kiongozi Mkuu wa Iran, Mojtaba Khamenei, huku mazungumzo ya kidiplomasia kati ya Washington na Tehran yakiendelea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.