iran

  1. M

    JamiiForums Tanzania Jinsi Marekani ilivyogundua kuwa Imeingia cha kike kweny MoU na Iran na jinsi ilivyoanza kuivunja MoU yenyewe

    Kwa kweli vita hii ya Iran na Marekani imetuonyesha kuwa Marekani siyo nchi ya kuiamni hata kidogo hata mkiingia nayo Makubaliano. Hazikupita hata wiki mbili tangu Marekani na Iran wawekeane wafanye makubaliano lakini Marekani tayari keshaanza kutoheshimu makubaliano. Hebu kwanza tuone...
  2. JamiiForums Tanzania Kwa hali hii siwezi kuiamini VAR inayoongozwa na binadamu. Goli la Iran ni halali kabisa

    cha kushangaa ili ionekane ni offside anaonyenyeshwa mwenye jezi no. 9 wakati kule mwisho kuna mchezaji mwingine wa Misri. Jamani hii offside kivipi au mimi ndio sioni au sijui? Wachambuzi karibuni mnieleweshe hapa mana tutakesha. Nashukuru sana naona media kubwa imeona kama nilivyoona mimi...
  3. JamiiForums Tanzania Marekani Muda Huu Wanashambulia Iran Kwa Makombora Mazito Mazito. Viongozi wa Iran kama Kawaida Yao Watatoa Mkwara Mzito Kuwaridhisha Wafuasi wao

    Muda huu Marekani wanaofanya mashambulizi ya anga ya mabomu mazito makubwa huko kusini mwa Iran. Uzuri wa marekani walisema kuwa watakua wanashambulia Iran Kila watavyoamua🤣🤣 Kesho wale viongozi wa Iran watalazimishwa Tena kufanya negotiation la sivyo watashambuliwa Tena Viongozi wa Iran kama...
  4. JamiiForums Tanzania Israel Bado Wanapiga Lebanon. Hivi Ndivyo Viongozi Wa Iran Wanavyowafanya Midoli Wafuasi wao

    Israel bado wanapeleka moto Lebanon, hakuna chochote ambacho Iran wamefanya kama walivyokua wakiahidi na kutoa vitisho huko kwenye Media. Viongozi wa Iran waligundua udhaifu wa Wafuasi wao hasa mitandaoni, hivyo wakawa wanaenda na biti, wanawageuza Midoli Wafuasi wao: - Israel ikishambulia...
  5. JamiiForums Tanzania Angalia majibu ya kura za maoni nchini Israel, kuhusu vita ya Marekani na Israel dhidi ya Iran pekee yake

    Niaje waungwana Ule msemo wa wahenga wa zamani kwamba kila "kwenye UKWELI, UONGO hujitenga" pembeni, umeanza kufanya Kazi vizuri nchini Israel, ambapo kura za maoni zilizofanywa na raia wa nchi hiyo zinaonesha kwamba Iran ilishinda vita yao kwa 92%. Hawa waliohusika na mchakato huu wa kura ni...
  6. JamiiForums Tanzania Israel Inapiga Bila Kuchoka Lebanon, Iran ni Vilio TU Na Kubweka

    Israel inafanya mapigo na mwendo ndani ya Lebanon, Iran waanza kulia Rasmi. Iran kama ilivyo kawaida Kubweka bweka, safari hii wameacha Kubweka wameanza kutoa milio. Watishia kuvunja negotiation Iran walianza kusema kuwa Israel akiendelea na mashambulizi Lebanon basi Iran nao Watajibu kwa...
  7. JamiiForums Tanzania Shangilieni ushindi kwa Iran kwa maana maisha yanaenda kuwa rahisi sasa

    Kama kichwa kinavyoeleza dunia nzima inapaswa kushangilia ushindi wa vita kwa Iran. Masharti yaliyowekwa na Iran US ameyakubali hii inaonesha mshindi ni Iran. Mashati ya Marekani yote alikataliwa, machache haya 1. Kutotengeneza makombora 2. Kutorutubisha uranium 3. Kufungua mlango bahari...
  8. JamiiForums Tanzania Vita Vya Iran na Marekani: Jukwaa Limeshusha Pazia Lake

    https://youtu.be/Rm1DcLSMNBc?si=QpLcMFE-9e_jUL6q
  9. M

    JamiiForums Tanzania Utawala uliopita wa Iran uliofutwa na jeshi la Marekani na Israel usingeruhusu makubaliano haya, Utawala mpya umeanza kulegeza msimamo ?

    Katika malengo ya vita iliyoanza February mwaka huu, Lengo mojawapo lilikuwa kubadili safu ya uongozi, na hilo limekamilika kwa kiasi kikubwa, viongozi wengi wa sasa wameshika nafasi hizo ndani ya miezi hii michache baada ya wale wa zamani kushambuliwa. Kwa jinsi utawala uliofutwa ulivyokuwa...
  10. JamiiForums Tanzania Rais Donald Trump. Iran anayo Haki ya kumiliki makombora ya ballistic kwa sababu kuna nchi nyingine pia Wanazo

    Rais wa marekani ameendelea kuishangaza dunia baada ya kuendelea kutoa kauli zinazowashangaza waisraeli na baadhi ya waungaji mkono wa vita ya marekani/Israel na Iran. Leo amesema Iran Ina Haki ya kuwa na makombora ya ballistic lakini pia Frozen asset ni fedha zao inabidi wapewe. Ameeleza kuwa...
  11. JamiiForums Tanzania Israel imeukataa na kuupinga mkataba wa amani wa iran na US! Inasema itaendelea kuwabomoa hezbollar na Iran

    Hii inatupa picha gani?? Wapambe wa iran wanaamini israel ilipigwa vibaya sana katika ile vita? Lakini kama ni hivo mbona bado hawataki vita isimame wala iishe?? Nadhani kina zungu kuna kitu wanaficha
  12. JamiiForums Tanzania Vita Vya Iran na Marekani: Nani Kasalimu Amri Iran au Marekani?

    "Naamka napita mitandaoni kwanza kabisa habari muhimu naikuta Aljazira wanatangaza wanasema Marekani na Irani wamekubaliana kumaliza vita. Basi mimi kwanza nikaitizama kile cha habari... Kwani vita hivi alianza nani? Na nani kila siku alikuwa anasema atampigia nani?. Ukweli ni kuwa Marekani na...
  13. JamiiForums Tanzania Israel Yaendelea Kumwaga Moto Lebanon, Iran wamefunga Rasmi Midomo

    Israel bado inaendelea kumwaga moto Lebanon, wakati huo huo ile mikwara ya Kila aina ambayo Iran imekua Ikipigwa imefutika. Iran wameingia ubaridi, hakuna tena nywi nywi nywi Ukumbuke kuwa Iran waliapa lazima washambulie Israel endapo Israel itashambulia Lebanon, lakini Hali imekua tofauti...
  14. C

    JamiiForums Tanzania Jamani hivi vita ya Iran na USA/Israel kashinda nani?

    Wamesaini makubaliano, ina maana sasa vita imeisha. Kashinda nani? Au nako kuna DRAW MATCH kama za kwenye mpira?
  15. R

    JamiiForums Tanzania Mafuta yashuka bei baada ya makubaliano ya USS na Iran. Subiri, hapa Malawi yatapanda

    Ujumbe ni huo, hakuna zaidi Hapa yatapanda mara dufu
  16. JamiiForums Tanzania Israel Yaendelea Kufanya Mashambulizi Gaza na Lebanon, Iran Wanywea

    Ukumbuke kuwa Iran walipiga mikwara kuwa endapo Israel itashambulia Gaza basi Iran Watajibu kwa nguvu kubwa. Lakini tokea waseme hivyo hakuna walichowahi kufanya. Ilikua ni mikwara ya kwenye media. Leo Israel imeendelea na mashambulizi huko Gaza Wapo walisema Iran walimaanisha Beirut TU...
  17. V

    JamiiForums Tanzania Aliewahi Kuwa Balozi Wa USA Amesema Kuwa Vita Na Iran Lilikuwa Ni Kosa Kubwa Sana Ambalo Limeifaidisha Zaidi Iran

    WASHINGTON D.C. — Aliyekuwa Balozi wa Marekani nchini Israel, Daniel Shapiro, ametoa tamko zito linalozua mjadala mpana, akidai kuwa vita dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran vilikuwa kosa la kihistoria na ni lazima vifike kikomo mara moja ili kuepusha madhara zaidi. Katika tathmini yake ya...
  18. JamiiForums Tanzania Marekani na Iran zimeripotiwa kufikia makubaliano ya kihistoria

    Wanaukumbi. 🇺🇸🇮🇷 Marekani na Iran zimeripotiwa kufikia makubaliano ya kihistoria. Mambo muhimu ya makubaliano hayo ni pamoja na: ✅ Kukomeshwa kwa shughuli za kijeshi katika nyanja zote ✅ Kufunguliwa tena mara moja kwa Mlango-Bahari wa Hormuz ✅ Kuondolewa kwa kizuizi cha Marekani ✅ Iran...
  19. JamiiForums Tanzania Lapid: Makubaliano ya Iran na Marekani ni pigo kubwa kwa diplomasia ya Israel

    Wanaukumbi. Kiongozi wa upinzani nchini Israel na waziri mkuu wa zamani, Yair Lapid, amemkosoa vikali Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu kufuatia taarifa za kutiwa saini kwa hati ya maelewano kati ya Iran na Marekani. Kupitia ujumbe aliouchapisha kwenye mtandao wa X, Lapid alieleza makubaliano...
  20. JamiiForums Tanzania Baada ya makubaliano ya Iran na Marekani kufanikiwa. Italy, UK, France na German zakubaliana kuiondolea vikwazo Iran

    Niaje waungwana Dunia imebadilika aisee. Leo hii zayuni ( Netanyahu ) anaitwa muuaji anaetafutwa kufikishwa kwenye Criminal Court. Wakati nchi hizo zikiondoa vikwazo kwa Iran, hili zayuni liuaji Netanyahu haliwezi kutia mguu wake katika nchi yoyote hapo juu bila kutiwa nguvuni na kukabidhiwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…