Ikumbukwe kuwa baada ya Rais wa Marekani Donald Trump kuiambia Iran kuwa itapigwa kipigo cha mbwa koko kama haitakubali mazungumzo ya ana kwa ana na Marekani. Mara moja Rais wa Iran alitoka hadharani kupinga wito huo baada ya siku moja kiongozi wa Mapinduzi wa Iran Ayatollah Khamanei naye Ali...
Mazungumzo na Iran yanayotarajiwa kufanyika kesho kama yatashindikana basi kipondo kwa Iran kitafuatia kabla ya hapo Israel atashirikishwa kikamilifu ili kuondoka kitisho kinachoikabili dunia kwa Iran kumiliki silaha za ki Nuclea.
Mwendesha mashtaka Sebastián Basso wa Argentina ameomba hati za kimataifa za kukamatwa kwa Kiongozi Mkuu wa Iran, Ali Khamenei, na wengineo kuhusiana na shambulio la bomu la AMIA mwaka 1994, ambalo liliua watu 85.
Basso pia ametaka washukiwa wahukumiwe hata bila kuwepo mahakamani, kufuatia...
🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇮🇷🇮🇷🇮🇷🇮🇷
Bunge la shirikisho la Russia (DUMA) limepitisha na kuongeza muda wa ushirikiano wa Kijeshi na Iran ikiwa na vipengele vya kuingilia Vita yoyote endapo mshirika atashambuliwa na Taifa lolote.
==================
The Russian State Duma announced the ratification of the agreement...
Iran inasema iko tayari kwa makubaliano ya nyuklia ikiwa Marekani itaacha vitisho vya kijeshi.
Iran iko tayari kushirikiana na Marekani katika mazungumzo siku ya Jumamosi kuhusu mpango wake wa nyuklia "kwa lengo la kusaini makubaliano", Waziri wake wa Mambo ya Nje Abbas Araghchi amesema...
Wadau hamjamboni nyote?
Iran imehamisha makombora mapya ya masafa marefu kwa makundi ya wawakilishi nchini Iraq katika wiki iliyopita, na kukaidi matumaini kwamba wanamgambo wanaoipinga Marekani wangepokonya silaha huku kukiwa na wasiwasi wa kuongezeka kwa Rais wa Marekani Donald Trump...
Baadhi ya wanamgambo wa Iraq wanaoungwa mkono na Iran wako tayari kusalimisha silaha chini ya shinikizo la Marekani - Reuters.
Vikundi vya wanamgambo nchini Iraq vimejiandaa kusalimisha silaha zao kwa mara ya kwanza ili kuepusha tishio la kuongezeka kwa mzozo na Marekani, kulingana na makamanda...
Hivi hamjui kuwa current situation ni kwamba muda wowote US na Israel wanaenda kuishambulia Iran kijeshi?
Mpango uliopo mezani ni kutumia silaha za nyuklia zilizorutubishwa na urani chache kwa ajili ya kuvilenga vituo vya Nyuklia na jeshi la Iran
Kwa maana wanaona sasahivi ndo wakati muafaka...
Defense Minister Israel Katz revealed for the first time documents found in Hamas tunnels, proving a direct connection between Yahya Sinwar and Muhammad Deif and the commander of the Iranian Quds Force.
In the documents, senior Hamas officials demand $500 million from Iran for the destruction...
Kiuwezo US/Israel wako juu mara mia KWA Iran. Wanawashirika karibu Kila nchi ya kiarabu. Inasemekana hata kiongozi wa ISIS Albagdad alikiwa ni Mossad. Osama alikuwa CIA.
Najiuliza nchi kama Israel/US wameweje kuruhusu Iran ikatengeneza Hesbullah karibu na Israel, Ikawapa nguvu Hamas karibu na...
Tuliwambia Yemen huwa hashindwi vita, US ameanza omba nchi zingine wawasaide kupambana na Yemen ( Al Houthi )
https://youtu.be/zggM6Zu3ZYs?si=-bVmlSCOBTuYN7nq
Naomba kuuliza ni kwanini Iran haruhusiwi kua na Nuclear? Wakati India, south africa, uk, russia, israel, pakistan, china nk wanazo!!! Kwanini Iran haruhusiwi?
Iran imeripotiwa kuwaamuru wanajeshi wake kuondoka Yemen na inapunguza uungaji mkono wake kwa Wahouthi huku kukiwa na mashambulizi makubwa ya anga ya Marekani dhidi ya kundi hilo la waasi.
Gazeti la Telegraph la Uingereza limemnukuu "afisa mkuu wa Iran" akisema kwamba Tehran inapunguza uungaji...
Mada hii itakuwa inakuletea updates zote zinazopangwa na US akishirikiana na Israel dhidi ya Iran Hadi siku ambayo Iran itaenda kupigwa......
Toka juzi kuna zaidi ndege 6 hatari za kivita za B-2 bomber zimewasili tayari Huko DIEGO GARCIA AIR BASE.
Tukumbuke DIEGO GARCIA ni kisiwa kilichopo...
Kisingizio kikubwa cha Marekani kutaka kuipiga Iran ni kwamba eti lazima iingie makubaliano mapya nayo katika muda uliowekwa na Marekani ili ipokee masharti mapya au ikishindwa ipigwe.
Iran imesema hata wakitaka kufanya majadiliano mapya basi si kwa njia ya vitisho kama hivyo.Na kwamba wakipigwa...
Benjamini Netanyahu amejisifu kuwa ramani mpya ya mashariki ya kati inaenda vizuri.Katika kujisifu huko ametaja jinsi ambavyo Hamas na Hizbullah zimedhoofika.
Makamanda wake nao hasa waziri wa Ulinzi wamekuwa wakitoa kauli za kujiamini kiasi kama hicho zinazoenda sambamba na kuvunja maeneo...
Ningependa kujuzwa na wajuvi wa mambo na wataalam wa siasa za kimataifa katika hili swali langu.
Je, nchi ya Marekani ina shida gani na haya mataifa mawili Iran na Korea Kaskazini ? Kwa nini tawala mbalimbali za Marekani zinayatendea haya mataifa kama tishio kwa marekani ?
Maoni yangu binafsi...
Mambo yanazidi kuchukua sura mpya ambapo Urusi amesema kitendo cha marekani kuishambulia Iran kitakua na matokea mabaya sana.
Wachambuzi wa siasa za kimataifa mje hapa Kila mmoja Atoe mtazamo wake kuhusu Hali inayoendelea kwa sasa baina ya marekani na Iran.
Je Urusi anaweza kuungana na Iran...