Kauli za Donald Trump kuhusu mazungumzo kati ya Marekani na Iran zinaonekana kuwa na ukweli fulani, lakini ndani yake kuna muktadha mpana unaohusisha mgawanyiko wa madaraka ndani ya Iran yenyewe.
Nchi hiyo haionekani tena kuwa na msimamo mmoja, hasa kutokana na ushawishi mkubwa wa Islamic...
Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran: Hakuna mazungumzo yoyote kati ya Tehran na Washington. Kauli za Rais wa Marekani ziko katika muktadha wa juhudi za kupunguza bei za nishati na kupata muda wa kutekeleza mipango yake ya kijeshi.
Ndiyo, kuna hatua zinazochukuliwa na baadhi ya nchi za kikanda...
Muda mfupi baada ya Rais wa Marekani, Donald Trump kutangaza kusitisha kushambulia vinu vya nishati vya Iran kwa siku tano, Wizara ya mambo ya nje ya Iran imesema hakuna mazungumzo kati yao.
Imedai kauli ya Trump iko katika muktadha wa juhudi za kupunguza bei za nishati na kama njia ya kupata...
CHANZO CHA PICHA, EPA
Maelezo ya picha, Trump
Donald Trump anasema kumekuwa na "mazungumzo yenye tija" kuhusu "suluhisho kamili " kwa mzozo wa Mashariki ya Kati.
Anasema "ataahirisha mashambulizi yoyote dhidi ya mitambo ya nishati ya Iran na miundombinu ya nishati" kwa muda wa siku tano...
Rais wa Marekani, Donald Trump, ametangaza kusitisha kwa muda wa siku tano mipango yote ya kijeshi ya kushambulia miundombinu ya nishati ya Iran, kufuatia kile alichokielezea kama mazungumzo "mazuri sana na yenye tija" yaliyofanyika ndani ya siku mbili zilizopita kati ya mataifa hayo mawili...
Hii habari ya Kuuwawa kwa Netanyahu, tufute tuanze upya kumsaka
Mbona tulishamdedisha?
Huyu anayekaa na kuwa na press mbalimbali kujidai atawauwa viongozi wetu wenye Iran yao, anatoka wapi?
Nahitaji kufahamishwa,
Au tulipigwa na kitu kizito shabaha yetu ililenga mdoli wa Netanyahu na...
Niaje waungwana
Raisi wa Marekani ndugu Donald Trump ameitishia NATO na EUROPE kwamba hivi punde wajiandae kukikabidhi kisiwa hicho katika mikono yake, kabla hawajakumbana na vifo vya kujitakia kutoka kwenye jeshi la Marekani.
Hapo chini ni vitisho vya raisi Trump huku Iran ikiahidi kusimama...
Maelezo hayo ya kuchanganyikiwa Netanyahu ameyatoa siku moja baada ya kombora zito la Iran kupiga karibu kabisa na kinu cha nyuklia cha Dimona kilichopo kusini mwa Israel, ikiwa ni jibu la kushambuliwa kwa kituo chake cha nyuklia cha Natanz.
Katika maelezo hayo,Netanyahu amesema mataifa mengi...
Tupeni habari kamili bila upendeleo.
Habari zenu zimegemea sana marekani na Isreal badala ya kutupa habari sahihi za vita. Mnatupa kauli za Trump na letanyahu huku kauli za Iran mnazitia kabitini na hamtaki kabisa washabiki wenu tuzisikie.
Mnatunyima fursa washabiki wenu
Tupeni taarifa za...
Wanaukumbi.
🇮🇷🇺🇸🇬🇧 Iran ilirusha makombora mawili ya masafa ya kati kuelekea Diego Garcia Airbase, yalizuiwa njiani, kwa mujibu wa Wall Street Journal.
Hii ni zaidi ya safu ya makombora ya balistiki ya Iran inayojulikana.
Mzee Ali Khamenei. Aliuliwa yeye ndiyo alikuwa hataki vijana wake...
Wanaukumbi.
Baada ya zaidi ya saa 12, udhibiti wa Israel unasema "iliruhusu" kuchapishwa kwa athari ya kombora la Iran karibu saa 1 asubuhi huko Haifa,
https://x.com/aryjeay/status/2035001330511569060?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Waarabu ndio waliomfukuza mtume kutoka Makka na kumfanya akimbilie Madina.
Waarabu ndio waliowatesa waliosilimu na kuwapa adhabu kubwa.
Kwa hivyo asili ya waarabu wakipinga uislam.
Kwa hivyo usishangae nchi za uarabuni leo kushirikiana na wasiokuwa waislam.
History hujirejea.
Wakiristo...
Ripoti: Iran Yajaribu Kushambulia Kambi ya Marekani katika Bahari ya Hindi
Iran ilirusha makombora mawili ya balestiki kuelekea kambi ya Marekani huko Diego Garcia katika Bahari ya Hindi. Maafisa kadhaa wa Marekani waliambia The Wall Street Journal kwamba makombora hayo hayakugonga kambi hiyo...
Ndege Bora kabisa ya Marekani isiiyoonekana kwenye rada Leo Tena imepigwa na kombora la kuangusha ndege la Iran.
Irani wamepiga picha ya tukio zima na kusambaza picha hiyo,ambayo rubani alifanikia kujirusha kutoka katika ndege hiyo.
Tukio jingine nibkwamba Irani imefanikiwa kupiga uwanja wa...
Ni dhahiri raia wa Iran wanahusika pakubwa kwenye kutoa taarifa nyeti kwa Israel, maana sielewi hawa Israel wanafaulu vipi kuwapukitisha viongozi wa Iran, jamaa wanauawa kizembe sana.
Huyu hapa aliongoza kikosi katili cha Basij kilichochinja sana raia kwenye maandamano, kashushiwa kitu kizito...
Muislam kupigania nchi yake hilo haweki silaha chini wala hanyanyanyui mikono juu ya kuomba poo.
Anaamini akifa anaenda kustarehe peponi tofauti na wakiristo wao kufa kwao wanaona kama balsa flani
Ukiwa kwenye jeshi au uongozi Iran, usiongee sana, fanya kazi zako kimya kimya maana ukiwa mropokaji unasakwa na kushushiwa kitu, haya huyu hatunaye tena.
-------
The IDF confirms killing the spokesman for Iran’s Islamic Revolutionary Guard Corps, Ali Mohammad Naini, in an airstrike in Iran...
AKILI NI NYWELE, KILA MTU ANA ZAKE!
Mbali na kushambuliwa kijeshi, Iran inaingiaza zaidi ya Dola za Kimarekani Milioni 140 kwa siku kutokana na kuuza mafuta yalipanda bei. Hii ni zaidi ya Bilioni 300 za kitanzania kwa siku. Hii inamaanisha kwamba Iran ataendelea kupata mabilioni ya pesa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.