iran

  1. A

    JamiiForums Tanzania Trump Alisema Iran Air Force Kaimaliza Kumbe Alikuwa Kwenye Ndoto

    Jf ujumbe ndio huo. Na kuhusu hawa kina Echolima1 na jina lingine anajiita Mlaleo Sa kichaa mwenzenu atasema nini hapa Iran karibu watanza kushambulia kutumia Fighter Jets https://youtu.be/ImHc0t4N7JM?si=y2YSieqz2zadMYuF Tunawasubiri kwenye vita vya chini pia...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Iran wameishiwa mbinu wanataka kulipua makampuni binafsi, ni kama Tanzania ipigane na SA halafu ianze kulipua viwanda vya blueband na Vaseline, Kenya

    Iran imetangaza kuanza kushambulia makampuni binafsi ya raia wa Marekani ambayo yana ofsi ukanda wa mashariki ya kati,kampuni hizi ni kama Microsoft, Google, Nvidia, Tesla, n.k. Wameshindwa kabisa kuangusha hata ndege moja ya f35 na kumkamata rubani kuwe na ushahidi usio na shaka wameona...
  3. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu katika taarifa kwa vyombo vya habari kuhusu Iran!!

    Benjamin Netanyahu katika taarifa kwa vyombo vya habari kuhusu Iran, Hapa kuna mambo MUHIMU ZAIDI: -"Natumai naweza kukuambia kuhusu miungano muhimu hivi karibuni". -"Utawala wa Iran unatarajiwa kuanguka - mapema au baadaye". -"Tuliunda mabadiliko ya kimkakati - Iran ilitaka kutunyonga, leo...
  4. Ritz

    JamiiForums Tanzania Iran imetoa wito kwa wafanyakazi wote wa Google, Nvidia, Apple, IBM, Tesla, Intel na Cisco kuondoka

    Wanaukumbi. 🇺🇸🇮🇷 Iran imetoa wito kwa wafanyakazi wote wa Google, Nvidia, Apple, IBM, Tesla, Intel na Cisco kuondoka kwenye makampuni hayo ifikapo saa nane mchana kwa saa za Tehran siku ya Jumatano - The Hill Baada ya hapo wataanza kuwalipua. IRGC imetishia makampuni makubwa ya kiteknolojia...
  5. Echolima1

    JamiiForums Tanzania IRGC Yatishia Makampuni makubwa ya Magharibi

    Baada ya viongozi wakuu wa iran kuuwawa kila siku Sasa IRGC-Walinzi wa Mapinduzi ya Iran walitangaza kwamba kuanzia kesho saa 20:00 saa za Tehran, mauaji yoyote zaidi ya afisa mkuu wa Iran yatasababisha kulipiza kisasi dhidi ya orodha ya makampuni makubwa. Taarifa hiyo inataja makampuni ikiwa...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi kuhusu athari za vita inayoendelea baina ya Marekani, Israel dhidi ya Iran na hali ya mafuta nchini

    Vita baina ya Marekani, Israel dhidi ya Irani ilianza tarehe 28 Februari, 2026. Vita hiyo imeongezeka wigo kutokana na mashambulizi ya Irani kwa nchi za Saudi Arabia, Bahrain na Nchi za Falme za Kiarabu (UAE) ambazo ni wazalishaji wakubwa wa mafuta duniani. UTARATIBU WA UAGIZAJI WA MAFUTA...
  7. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Uturuki haitaruhusu Iran igawanywe, tutachukua hatua kali kama tulivyofanya Syria

    Kumekuwepo na chapisho linalosambaa kwenye mitandao ya kijamii, hususan Facebook, likidai kuwa Rais wa Uturuki, Recep Tayyip Erdoğan, ametoa kauli kali kuhusu Iran. Chapishi hilo limechapishwa katika ukurasa wa Athumani Seiph Amri ambapo Erdoğan anadaiwa kusema kuwa Uturuki haitaruhusu Iran...
  8. Sigonella Island

    JamiiForums Tanzania Marekani yaituhumu Russia kuisaidia Iran kinyemela

    WASHINGTON: Marekani imeshindwa kuvumilia baada kupoteza ndege E-3 AWACS Radar Plane na Refueling Tankers huko Saudi Arabia nakuelekeza tuhuma zake kwa Russia kua inaisaidia Iran kinyemela. BREAKING; US officials warn President PUTIN: Stop Indirect Military Support to IRAN After Loss of E-3...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Urusi hawatupi washirika wake, Yuko Iran na sasa kapeleka mafuta Cuba, kavunja vikwazo vya Trump

    Urusi imevuka kibabe vizuizi na kuvunja vikwazo vya Marekani hatimae Leo meli ya mafuta ghafi ya Urusi imefika Cuba. Marekani kama kawaida yake kwa roho mbaya yake iliiwekea Cuba vikwazo vya mafuta baada ya kuiba mafuta ya Venezuela ambayo ndio ilikua nchi peke inayoiuzia mafuta Cuba...
  10. U

    JamiiForums Tanzania Msaliti wa ndani na mhafidhina anayeungwa mkono na Marekani ameshaidhinishwa anasubiri kukabidhiwa madaraka kuongoza serikali

    Wadau hizo ni tetesi kwa mujibu wa vyanzo kadhaa tuvute subira tuone hatima. Mhusika ni mhafidhina mkubwa aliyeamua kubadili gia angani baada ya kuona fursa Mchakato umesalia mdogo kabla ya hitimisho ambalo ni kumkabidhi serikali.
  11. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Vita Vya Iran: Kibri Kinaangamiza

    Maoni ya mwandishi wa vitabu na mchambuzi wa masuala ya kisiasa nchini #mohamedsaid kuhusu vita ya Iran dhidi ya mataifa ya Israel na Marekani.
  12. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Spika wa bunge la Iran Mohammad Bagher Ghalibaf aangamizwa!!

    Ameangamizwa leo hii Mohammad Bagher Ghalibaf, Spika wa Bunge la Iran Watetezi wa Magaidi Adiosamigo mdogoee na Mmbeya wa JF zitto junior njoni mkanushe hapa tuone!!!!
  13. Sir John Deere

    JamiiForums Tanzania Iran yafanya shambulio Kubwa katika eneo la viwanda vya chuma na Chemicals huko Israel

    Katika Hali iliyotarajiwa ya kulipa kisasi baada ya marekani na Israel kushambulia viwanda vya chuma huko Iran. Muda mfupi uliopita Iran imefanya shambulizi na kulenga eneo la viwanda kusini mwa Israel ambapo uharibifu mkubwa na Moshi mzito umeonekana ukitanda katika anga kutokana na shambulizi...
  14. U

    JamiiForums Tanzania Rais wa bunge la Iran Mohammad Bagher Ghalibaf adaiwa kuuawa na jeshi la Israel

    🇮🇱🇮🇷➡️ The IAF has eliminated someone important in the heart of Tehran. Rumours say it was Mohammad Bagher Ghalibaf, the president of the Iranian parliament. We will find out soon enough but here is his obituary in advance. Mohammad Bagher Ghalibaf is/was an Iranian politician and former...
  15. Mi mi

    JamiiForums Tanzania Iran imeachana na GPS wanatumia BeiDou?

    Ni kweli kwa sasa Iran inatumia BeiDou na imeachana na GPS ? Kwa nini ? Na kama kweli ni toka lini ?
  16. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Vita Vya Iran: Kipindi Maalum

    https://youtu.be/wSL_Z6pY3h8?si=ASBnArYg5G5en2vL
  17. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Uwanja wa Ndege-vita wa Bushenr huko iran washambuliwa!!

    Uwanja wa ndege-vita huko Iran umeshambukiwa na ndege-vita za Israel
  18. E

    JamiiForums Tanzania Iran ndugu yetu ameshindwa kuruhusu Meli zetu au ndugu wa mchongo

    Nilimuona Kombo anatoa pole kwa ndugu zetu katika imani balozi wa Iran. Sasa hiyo pole mbona ndugu zetu hawarudisha ukarimu huo kuruhusu meli zetu zipite. Ukizingatia kiongozi mkuu ni muislamu tena anaipenda Iran hadi kutumia wajumbe kutoa pole.
  19. L

    JamiiForums Tanzania Vita ya USA Israel na Iran wote wameishiwa ADS imekua piga nikupige

    Ni hakika kabisa pande zote mbili katika vita hii ambayo USA akishirikiana na Israel kupigana na Iran,pande zote mbili zimeishiwa Air Defense Systems,kilichobaki hivi Sasa imekua ni piga nikupige. Ni kweli zipo chache zilizofichwa sana lkn naamini sehemu kubwa sana ya hizi ngao zimekwisha...
  20. Richard

    JamiiForums Tanzania Wadukuzi wa Iran wauinglia mtandao wa internet wa FBI na kufungua akaunti binafsi ya barua pepe ya Mkurugenzi wake Kash Patel

    Wadukuzi wa kundi lijulikanalo kwa jina la "Handala Hack Team" wamefungua akaunit binafsi ya barua pepe ya mkurugenzi wa FBI bwana Kash Patel na kuianika barua pepe yake pamoja na picha zake binafsi katika tovuti yao huku wakiacha ujumbe usemao kwamba huu ndo mwanzo tu -" This is just our...
Back
Top Bottom