ili

Ahupuaʻa (pronounced [əhupuˈwɐʔə]) is a Hawaiian term for a large traditional socioeconomic, geologic, and climatic subdivision of land. It usually extends from the mountains to the sea and generally includes one or more complete watersheds and marine resources. The predominant traditional system in the eight high islands of the main Hawaiian Islands was based on the ahupuaʻa. Each ahupua‘a contained a cross section of island resources and they were managed within a complex social system associated with each area. The general belief is that each ahupua‘a met the needs of the local population, with excess for tribute and trade.

View More On Wikipedia.org
  1. J

    Serikali iondoe kodi kwenye vipuli na mashine kwa vijana wanaoagiza nje ya nchi ili kuinua sekta ya viwanda

    Ili kukuza sekta ya uchumi na viwanda serikali ya Tanzania iondoe kabisa aina zote za ushuru na kodi katika kuagiza mashine mbalimbali zinazoagizwa china na kwingineko, hii itasaidia kustawisha sekta ya viwanda itakayo saidia kukuza uchumi na kuongeza ajira.
  2. Idugunde

    Kupeleka vijana JKT ili waje watoe wananchi sio suluhu ya matatizo ya taifa letu. Tatizo ni ufisadi wa CCM mtandao

    Jamii imeshutushwa na video za vijana walioenda mafunzo ya Jkt wakijinasibu kuwa wapo tayari kutoa mavi wananchi watakaoandamana kudai haki na mabadiliko. Hata huko Sierraleone na kwingineko Wanajeshi wenye mafunzo hawakushinda nguvu za wananchi. Kutishia watu kwa vijana kama hawa ambao...
  3. H

    Kitambulisho chenyewe kama nchi tumeingia gharama, tumeahirisha baadhi ya shughuli za maendeleo ili tutoe - Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba

    Kitambulisho chenyewe kama nchi tumeingia gharama, tumeahirisha baadhi ya shughuli za maendeleo ili tutoe vitambulisho. Lakini tunapokuwa tumetoa kitambulisho, halafu mhusika haendi kuchukua, haya ni mambo ambayo yanakwamisha malengo mapana - Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba. Amesema hayo...
  4. M

    Wengi huangalia bei ya gari na kusahau gharama za Interior, Tairi na Rim. Tenga bajeti ya ziada mapema ili usije ukahangaika baada ya kununua gari

    Wengi huangalia bei ya gari na kusahau gharama zinazoweza kuja baada ya kulinunua. Unaponunua gari, ni muhimu kutenga bajeti ya ziada (Buffer Amount) kwa ajili ya kuboresha au kubadilisha baadhi ya vitu muhimu kama Tairi, Rim na Interior. Tairi na Rim Kwa hali ya barabara zetu zilizojaa...
  5. O

    Kuna haja ya kuwa na Sheria inayoongoza michango kwa shughuli za vyama vya Siasa inchini.

    Ninatoa pendekezo la Serikali kuandaa Muswada wa Sheria ya kusimamia michango ya shughuli za Vyam vya Siasa nchini ili kuzuia watu au makundi ya watu wasio na maadili kuhusika kwenye michango ya shughuli za vyama kwani kwa sasa kumejitokeza tabia ya watu wanaojiita wanaharakati kuchangia au...
  6. sonofobia

    Nina tatizo la kutopata internet ruta ya airtel. Ili ni tatizo la wote au mimi peke yangu?

    Nina wiki sasa siwezi access internet kutumia ruta ya airtel. Nililipia unlimited bundle 70k lakini nimetumia siku moja tu ndio nilibahatika kupata internet.niliongea nao kwa simu sikupewa majibu ya kueleweka naona uko wanaajiri watu wajinga wajinga wa kuokota wa bei chee maana ilibidi nikate...
  7. C

    Ligi namba 5 Afrika haifai kuwa na waamuzi kama wa jana aliyewanyonga Geita ili kuwapa faida Yanga

    Kwa miaka kadhaa kumekuwa na malalamiko ya waamuzi kuchezesha kwa maelekezo ya timu zenye uwezo wa kifedha ama nguvu serikalini. Kwa kupunguza ama kuondoa kabisa malalamiko kama hayo TFF ilifanya jambo la maana sana kuleta vfs iliyokusudiwa kupunguza makosa ya kibinadamu. Hata hivyo bado...
  8. S

    Wakimaliza kumuhoji John Heche, msishangae kesi ikafutwa ili vigogo wa vyombo vya usalama wasohojiwe na Lissu mahakamani

    Hii ni kwasababu, wanajua kabisa anachokutananacho Heche mahakamani, kinaweza kuwakuta IGP, CDF na DCI hasa ikitokea Lissu anawafanyia cross examination iwapo mashahidi hao watamgeuka. Wanajua upo uwezekano wa Lissu kuwa na taarifa nyeti za hao vigogo zikiwemo za kibinafsi na zile zinazohusiana...
  9. McLaren

    Gen Z amkabia trafiki kwa juu. Ambana Trafiki kwa kumrekodi muda wote ili asipokee rushwa

    Wakuu Kijana mmoja anayejulikana kwa jina la Ezra Kachelo amezua gumzo kubwa kwenye mitandao ya kijamii nchini Kenya kumfukuza afisa wa polisi wa usalama barabarani (trafiki) aliyekuwa akituhumiwa kupokea rushwa kutoka kwa madereva wa matatu katika Kaunti ya Kiambu. Katika video iliyosambaa...
  10. M

    Tafiti zaonyesha Watanganyika na Wazanzibari hawautaki Muungano. Kura zipigwe upya ili wananchi waamue kuuvunja au ubakie

    Wananchi wanatakiwa kuamua kama Muungano unawafaa au haufai. Wazanzibari wanasema unanyonya kiasi hata cha kutokuwa na uanachama Un na Caf. Watanganyika wanalalamika kuwa taifa lao limemezwa. Wazanzibar wanawanyonya kwa kutumia rasilimali zao. Suluhu ni kuitishwa kwa kura ili wananchi waamue...
  11. Idugunde

    Maoni: Yaitishwe maandamano nchi nzima ili tuambiwe yupo wapi Nchimbi.

    Kwa mujibu wa katiba ya JMT alikuwa kiongozi wa pili baada ya raisi baada ya rais wa JMT. Yupo wapi? Yupo hai au amekwisha toweka kama Polepole? Taifa zima liitishe maandamano ili kujua yupo wapi? Hii nchi sio mali ya wanaCCM mtandao.
  12. Msolid1990

    Kila Mkazi awe Mlinzi, tugawanye Miji katika maeneo ya Uwajibikaji ili kutokomeza Uchafu Dar na Miji mingine

    Hivi karibuni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam ametangaza mpango wa kusimamia usafi na kupiga vita utupaji taka ovyo baada ya maelekezo ya Mh. Raisi. Ni hatua ya kupongezwa. Lakini ukweli tunaoujua sote ni kwamba kampeni za usafi huja na kuondoka — kinachokosekana ni mfumo wa kudumu unaomfanya...
  13. Traxtion

    Simu za Raddy zinazotengenezwa Tanzania, ingependeza ziwe na quality nzuri na bei nzuri kuanzia mwanzo ili kutengeneza trust kwa wateja

    Nimeona leo tangazo la simu za Raddy ambazo zinatengenezwa Tanzania. Ni hatua nzuri na nimefurahi kuona simu hizi za hapahapa Tz, maana wanasema kiwanda kimeajiri watz zaidi ya 1000 ila natamani wangeimprove product zao Kwa mfano nimeona hii simu yao inaitwa "Raddy Janja Pro" inauzwa 350,000/=...
  14. idiomer

    Ili tuendelee tunahitajika 1. Watu 2. Ardhi 3.. Siasa safi 4. Uongozi safi

    Hapa tumebaki na nini? Ardhi ????
  15. M

    Lissu inabidi aukatie rufaa uamuzi mdogo ili mashahidi muhimu anaowataka waje mahakamani

    Lissu aliomba miongoni mwa nashahidi wa kwenda mahskamaani ni rais Salia, Waziri mkuu mstaafu Majaliwa na makamu wa rais mstaafu. Jaji akisoma hukumu ameeleza kwa nini rais hawezi kwenda, ila hajaeleza kwa nini waziri mkuu na makamu wa rais hawawezi kwenda mahakamani. Kwa ninavyoona, Waziri...
  16. GENTAMYCINE

    Kwanini tusiojua kuongea Kiingereza huwa tunapenda sana 'Kuzuga' kwa Kuchekacheka hovyo muda mwingi ili tusishtukiwe?

    Na hata ikitokea tukajitutumua Kuongea hicho Kiingereza chenyewe neno lililo jirani na Ulimi wetu na tunalolijua ni la Yeah....Yeah.....Yeah.....na baada ya hapo ni Kuchekacheka na kuongea Kiswahili.
  17. N

    Uwanja wa soccer wa Fumba kule Pemba/Zanzibar uitwe "Seif Sharif Hamad" (Maalim Seif Sports City) ili kumuenzi muungwana yule??

    NB: Nina Akili Ndogo Sana Baba Levo ni mwanasiasa. Babu Tale ni mwanasiasa. Kasheku Msukuma ni mwanasiasa. Ila Maalim Seif ni mwanasiasa mkomavu, muungwana na mstaarabu kweli kweli yule baba aisee. Kwanini ule uwanja kule Pemba/Zanzibar usibadilishwe jina kutoka FUMBA sasa ukawa Maalim Seif...
  18. instinct desire

    Traffic wapewe silaha za moto au mtu mwenye silaha za moto ili kudhibiti watu waovu barabarani.

    Tufanye kama ilivyo kwenye nchi za wenzetu hakuna traffic asiye na silaha ya moto kwanza ukizingua tu chombo kinataifishwa au tail zinapasuliwa. Nashauri IGP aweke huu utaratibu kwenye Kila traffic station kuwe na watu wenye silaha za moto, hatupendezewi kuona traffic wakivamiwa na wauvu...
  19. CM 1774858

    David Kafulila: Rais Samia ametoa Shilingi trilioni moja ili kuwakopesha wakulima kwa riba ya 9% zipo NMB na CRDB nia kukuza Kilimo walau kwa 8-10%

    https://www.instagram.com/reel/Dc-fV2YAgEN/?stkn=MTI3M3czY3cyajR1NA==
  20. Eli Cohen

    Mimi nafikiri wewe mshabiki wa man utd mwenzangu tuachane na matumaini tena, ili kulinda afya yako ya akili achana na kujipa moyo tena.

    Usiishabikie man utd kwa moyo kama ule uliokuwa nao kipindi cha fergie. Its over.
Back
Top Bottom