ili

Ahupuaʻa (pronounced [əhupuˈwɐʔə]) is a Hawaiian term for a large traditional socioeconomic, geologic, and climatic subdivision of land. It usually extends from the mountains to the sea and generally includes one or more complete watersheds and marine resources. The predominant traditional system in the eight high islands of the main Hawaiian Islands was based on the ahupuaʻa. Each ahupua‘a contained a cross section of island resources and they were managed within a complex social system associated with each area. The general belief is that each ahupua‘a met the needs of the local population, with excess for tribute and trade.

View More On Wikipedia.org
  1. Financial Analyst

    Ila waafrika bwana!, mtu anaweza kugeuka kuwa paka ili asumbue watu usiku ila hawezi geuza makaratasi yakawa pesa

    Which is which
  2. USSR

    DC Magoti: Tuchore mstari ili kumsaidia Rais wetu - sema enough is enough

    MKUU WA WILAYA YA KISARAWE KISARAWE – PWANI YAH: TAARIFA NA OMBI LA KUPATIWA MSAADA KUHUSU KERO YA KELELE ZA MUZIKI KUTOKA KWA BAR ILIYO KATIKATI YA MAKAZI Mheshimiwa Mkuu wa Wilaya, Hii ni mara ya pili nakuandikia hapa jamiiforums! Ninakuandikia barua hii kwa heshima, na kwa mara ya pili...
  3. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    Panda mimea hii ili kufukuza nyoka kwenye mazingira ya nyumbani kwako.

    Nyoka wana mfumo mkali sana wa kunusa (kupitia ulimi wao na kiungo kinachoitwa Jacobson's organ), hivyo huwa wanajiepusha na mimea yenye harufu kali au inayochoma. Hapa kuna orodha ya mimea na maua ambayo nyoka hawayapendi: Mkitza / Kitunguu Saumu (Garlic) na Kitunguu Maji: Mimea hii hutoa...
  4. Lexus SUV

    Si kila Mwanamke hapa duniani ni wa kuolewa na kuzaa, wengine wapo ili kukidhi haja za Mwanaume

    That's why hata idadi ya wanawake Kwa mwanaume ni ratio ya 4 Kwa 1 , I mean wanawake wanne Kwa mwanaume mmoja . Wanawake wengine si wa kuoa na KUZAA .
  5. figganigga

    Kwani Korona imerudi? Samia ahutubia Bunge la IPU Arusha kwa njia ya Video🤣🤣

    Samia Suluhu Hassan ameutaka Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), kuimarisha nafasi ya mabunge katika kushughulikia changamoto za dunia, akisema mvutano wa kisiasa na kijiografia, migogoro na kutokuwa na uhakika kiuchumi vinazidi kuhitaji ushirikiano wa kimataifa. Ujumbe huo wa Samia ameutoa usiku...
  6. Mshana Jr

    Je, umepoteza kitu nyumbani kwako? Fanya hivi ili kukipata..

    Glasi iliyopinduliwa chini juu inanasa utupu unaoficha kile ulichopoteza nyumbani kwako Unapojua kuwa kipo mahali fulani ndani ya nyumba lakini umetafuta kila kona na bado hakionekani, ni kwa sababu utupu wa nishati unaficha ulichopoteza. Utupu huo unaweza kunaswa chini ya glasi. 1.Chukua glasi...
  7. L

    Boniface Mwamposa:CHIVAYO Alinipigia Simu Wiki Aliyokufa Akitaka Kuja Kwenye Mkesha Lakini Nilimkatalia Ili Watu Wasije Fikiria ndiye anayenipa Hela.

    Ndugu zangu Watanzania, 😄😄😄 Hayo Ni Maneno yametamkwa Na Mtumishi Wa Mungu Nabii na Mtume Boniface Mwamposa akisema Eti Mfanyabiashara Na Tajiri kutoka Nchini Zimbabwe CHIVAYO Eti alimpigia Simu wiki ile aliyefariki. Eti alimpigia ili aje kwenye Mkesha wake . Lakini Eti Mwamposa alikataa kwa...
  8. M

    Tukumbuke kuacha Wosia ili wanaobaki wasifanye aina ya maziko tusiyoridhia.

    Siku za karibuni nilipata fursa yakutembelea makaburi walipolazwa baadhi ya Wapendwa wangu pale jijini Arusha.Miongoni mwa mabadiliko niliyokutana nayo ni pamoja na ongezeko kubwa la Makaburi na wengine ni Watu niliowahi kuwafahamu ila sikujua kama wameshatangulia mbele ya haki. Katika pitapita...
  9. mirindimo

    SGR YAFUTA ROUTE YA MORO YA SA 3 asbh (13500) ILI ABOOD IPATE ABIRIA

    SGR wametoa route ya 13500 Moro Dar wamebakiza ya 50,000 ili mabasi ya Abood yapate abiria
  10. M

    Aina hii ya wanawake ndio huongoza kupush ndoa zivunjike ili mgawane mali

    1. Waliozungukwa na marafiki wengi ambaondoa zao zimevunjika au hawajaolewa, aina ya wale wanawake wa mjini ambao wapo huru sana na kupenda maisha ya starehe 2. Kama mkeo ni muumini wa makanisa ya kilokole na wachungaji wake ndio hawa wachumia tumbo na wacheza mazingaombwe, ishi nae kwa akili...
  11. K

    Ukiona mtu kaanzisha mada ya kidini usichangie, Ukichangia unamaanisha wewe ni mdini, hebu tuzipotezee ili ziondoke hapa JF

    Siku za karibuni Kuna mfumuko mkubwa wa mada za kidini ukizifuatilia utagundua hazina mana yeyote zaidi ya kuchafuana na kubezana. Sisi ni wastaarabu hebu Kila mtu abaki na imani yake. Kataa kujadili maswala ya dini. Dini yako hawezi kuleta chakula mezani zinduka.
  12. Erythrocyte

    Bilionea Joseph Mbilinyi aanika Utajiri wake ili kuondoa Mkanganyiko

    Taarifa kamili hii hapa
  13. Eli Cohen

    Ili kupambana na ukata huu mkali ilibidi vijana wa-normalize uhalifu na tabia mbovu na kuupamba majina ili tu wasiwe pressured na jamii

    1: Mfano sasa hivu binti hasemi anafanya umalaya, anasema ana danga, na akisema anadanga inasikika kikawaida kwa jamii kuliko akisema anafanya umalaya ila ni kitu kile kile. 2: Wazee wa connection 3: Machawa imekuwa hyped ila kiukweli watu wanauza utu na ubinadamu wao kwa ajili ya kumpamba mtu...
  14. M

    Kwanini NHC haivunji vighorofa vya kale vya Upanga (kuanzia Fire hadi Selander) ili kujenga majengo marefu ya kisasa?

    Habari za majukumu Wakuu wa jukwaa hili, Leo ningependa tuguse eneo linalohusu mipango miji, makazi, na uwekezaji wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) hapa jijini Dar es Salaam. Kama umetumia Barabara ya Morogoro au maeneo ya Upanga, kuanzia makao makuu ya Zimamoto (Fire), kuelekea Upanga...
  15. Duh Aisee

    CCM wanapenda kupush CCM vs CCM ili waendelee kubaki, msikubali kuchezewa

    Wanataka siku zote adui yao awe CCM ili waendelee kubaki kututawala. Au wanataka mpinzani soft soft leo watu wanatekwa kesho tunakutana kwenye mechi ya Simba na Yanga tunachekeana na tag juu “ Upinzani sio Uadui”, sio uadui wakati watu wanauliwa, wanabakwa, chaguzi zinaibiwa, watu hawajazika...
  16. Eli Cohen

    Rubani mwenza amemchoma kisu rubani mkuu ili aweze kudondosha ndege makusudi

  17. M

    Usiridhike na cash au salio la Bank, Wekeza au nunua assets kulinda thamani ! miaka 30 iliyopita elfu 50 ilikuwa na thamani kuzidi milioni ya leo.

    Usiweke tu pesa zako kwenye savings, hakikisha unawekeza, Nunua kiwanja, nunua Bonds, assets, n.k. Enzi hizo miaka 30 iliyopita ukiwa na elf 50 ni zaidi hata ya milioni ya sasa, leo hii kama kuna mfungwa aliefungwa miaka hio katoka jela na aliacha elf 50 hawezi kupata basi Dar kwenda Mwanza...
  18. Tajiri Tanzanite

    Tetesi: Kuna kiongozi wa Yanga anafanya mawasiliano na baadhi ya wachezaji wa Simba ili awarubuni kuelekea darby ya kariakoo ya tar.10.10.2026

    Hapo vip! Za chini ni hivi kuna kiongozi wa Yanga mpumbavu sana yule mtu,ameone hii darby yanga anaenda kupoteza hivyo anatumia njia mbadala ya kuta kuwarubuni wale key players wa Simba ili wacheze chini ya kiwango ili apate ushindi. Na hili linaanza kutupa wasiwa kwa darby iliyopita kwa...
  19. Hismastersvoice

    Serikali iufanye mji wa Mikumi kuwa mji mkuu wa mkoa wa Morogoro ili kukuza utalii mkoani humo.

    Mji wa Mikumi uko njiapanda ya maeneo mengi ya mkoa wa Morogoro pia uko katikati ya huo mkoa. Mji wa Mikumi umezungukwa na maeneo mengi ambayo ni vivutio vya utalii kama mbuga ya Mwalimu Nyerere, Mikumi, Ruaha na milima maarufu kwa mimea na viumbe pori kama ilivyo Arusha, pia ni mji uliofikiwa...
Back
Top Bottom