Hasa hasa kila tarehe za mwisho wa Mwezi kuanzia 25 hadi tarehe za 7 na 9 za Mwezi mpya.
Natamani mno kuuona akiandaa Makongamo yake tarehe za kuanzia 11 hadi 22 za kila Mwezi.
Nimemtaja hapo Mtume wenu kwakuwa Mimi siyo Mtume wangu na nikiwasoma Watume wakweli katika Biblia na Historia...
DP world wakiendelea na huu Mkataba na uwekezaji wake basi nitajua kuna kitu kimejificha nyuma ya pazia.
Mwekezaji lazima awe na wasi wasi pale wenyeji wanapoonekana hawajafurahiswa na uwekezaji wako.
Je watapata ushirikiano?
Ningekuwa mimi ndio DP world huu mradi ningeupiga chini tu. Then...
Utafiti kutoka Chuo kimoja Kikuu huko London unasema kwamba, unapojikwaa au kupata maumivu, kiwango cha uchungu unachopata kinategemea na kiwango chako cha maisha.
Iwapo wewe ni maskini basi utahisi uchungu mwingi zaidi kuliko yule ambaye ni tajiri.
Una maoni gani kuhusiana na utafiti huu?
Viongozi wa juu wa serikali kama ni kweli wajua kwamba "mahakama hazitendi haki" mpaka wakazikwepa ktk mikataba. Sasa hizi mahakama zetu kwanini ziendelee kuwepo na zikiendeshwa kwa gharama kubwa na zikiwa zinaumiza watanzania kwa kutowapatia haki zao?
Ama ina maana watanzania siyo...
Mwanamke ni kama ua, lisipotunzwa linapoteza mvuto kabisa. Hivyo usidanganyike kuolewa na mchovu akaanza kukulaza chini kwenye mkeka, mnakaa sakafuni, mnapikia kuni au jiko la mkaa mpk kucha zinajaa masizi.
Saloon unakuwa unazipita tu kama kituo cha polisi maana wewe nywele husuki bali unakata...
Kumekuwa na maswali yasiyo na majibu mujarabu miongoni mwa jamii kwamba imekuwaje vijana wa kiume wamekuwa ni waongo na waoga hasa linapokuja suala la kuoa?Kadri siku zinavyokwenda ndivyo hivyo idadi ya wanaume wanaoogopa kuoa inazidi kkuongezeka Unakuta wapenzi wanaambiana kwamba wanapendana na...
Habari JF,
Leo katika pita pita zangu nimekutana na kauli kutoka kwa watu wa wawili tofauti zikimuhusu Hayati JPM.
1. Tundu Lissu yeye anasema Rais Magufuli kwenye hili la kuingia mikataba ya hovyo hausiki sana kwa kuwa alikuwa hapendi wageni kukamata mali za Nchi hii.
2. Rostam Aziz yeye...
Imekuwa ni fasheni kwa wadada na mabinti wengi wanazaa bila mtoto kujulikana ni wa nani hii hatua waliofikia hawa dada zetu naona tunaelekea kupoteza maadili yetu kama watanzania.
Nina dada yangu pia nina shangazi yangu hawa wote wamezaa bila kuolewa kibaya zaidi watoto haijulikani baba zao ni...
Kama mada inavyosema , siku hizi kumekuwa na wimbi kubwa la vijana kulalamika kukosa nguvu za kiume.
Kwenye tatizo hili wamegawanyika makundi makundi lakini leo nitaongelea kundi la wale wenye kimoja chali. Hapa unakuta mwanaume anakuwa na hamu lakini roundi ya kwanza tu hana tena hamu ya...
1. Zambia
2. Congo DR
3. Ivory Coast
4. Ghana
5. Senegal
6. South Africa
7. Uganda
8. Cameroon
9. Zimbabwe
10. Mali
11. Sudan
12. Mozambique
Wasipotokea katika nchi nilizotaja hapa Simba SC isahau Mafanikio hata kwa Msimu ujao wa 2023 / 2024.
Idadi ya Wachezaji wa Kigeni wanaotakiwa na TFF ni...
Viwanda ni katika sekta zinazotoa ajira nyingi sana kwa wananchi, Sekta hii ni ya muhimu katika ukuaji wa uchumi , Nikiwa kama mdau ambaye nimefanya kazi viwandani nathibitisha hilo kuwa viwanda vinatoa ajira kwa watanzania wengi.
Pamoja na umuhimu huo, Kwa muda ambao nimefanya kazi viwandani...
Shaloom wana wema!
Nianze kwa nukuu hii ya Jakaya Kikwete, "Samia najua wewe ni zao la upinzani kwa hiyo haishangazi unavyowatendea wapinzani". Jakaya anakumbushia historia ya Samia kuwa anayo damu ya upinzani. Kwa kuwa ni Mzanzibari basi kama anayo hisia za upinzani basi tujue ni muumini wa...
Nimechaguliwa kusoma kozi zote nne nilizoomba kusoma kwa level ya Masters.
1. Ya kwanza MS in Business Analytics and Management.
2. Ya pili MS in Finance and Economics.
3. Ya tatu ni Ms in Economics and Data Science.
4. MS in International Business Finance and Economics.
Ipi kati ya hizo...
Nimekata tamaa. Najiona si mimi tena. Nimekuwa mtu wa ajabu humu JF naona kama watu wote wameanza kunichukia. Sijui hata nitafanyaje. Naona kama tu nisiishi tena. Sioni makusudi ya kuishi katika hali hii. Nimekata tamaa sana.
Jana na leo sijapata hata mtu mmoja wa kugombana naye humu JF...