hizi

Hizi Koyke (1902 – September 1991), born Koike Hisako, was a Japanese singer based in the United States.

View More On Wikipedia.org
  1. Mangwea1900

    JamiiForums Tanzania Sifa hizi zikufanye ukajitegemee

    Inatia aibu na fedheha kijana umeshamaliza shule kwa ngazi yoyote na bado unakaza chogo na komwe nyumbani kwa wazazi wako. Kwa sifa hizi beba begi au mfumo wa Jero ukapambane mbele kwa mbele; 1. Umefika umri wa miaka 25 na haupo shuleni kwa ngazi yoyote. 2. Unaona hali ya familia haiwezi...
  2. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Kuna Taarifa zinasema Chaz Lee amekamatwa naomba uongozi wafatilie hizi taarifa kama ni sahihi.

    Chaz Lee inasemekana amekamatwa . Naomba uongozi wa JF ufatilie hili swala. Sehemu za kufatilia ni kwa Malisa GJ n.k
  3. Setfree

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wakristo wanaishabikia sana Israeli? Sababu hizi hapa

    Kwa nini Wakristo wanawasifia Waisraeli? Kwa nini wanawatetea, wanawaombea na hata kuwatakia baraka? Je, si hao hao waliomkataa Yesu na kumsulibisha? Ukweli wa kibiblia ni huu: Waisraeli ni Wakristo watarajiwa. Ingawa kwa sasa hawamkiri Yesu kuwa ni Masihi, Biblia inaonyesha kuwa watamkiri...
  4. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Nikiwa Rais hizi ni gharama za nyumba ambazo watauziwa wananchi hii ni proposal tu

    Nikiwa Rais moja ya mambo ntakayoyafanya ni kuhakikisha makazi ya watanzania yanakuwa mazuri na katika ubora unaotakiwa Barabara zote zitakuwa kubwa na zitapigwa lami Kukiwa na mipango miji kutakuwa ni rahisi kupigwa paving Kutakuwa na mfumo wa Sewage watu hawatachimba tena mashimo Nyumba zote...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Sababu zinazofanya nisiamini uwepo wa Mungu ni hizi

    1. Mungu anapenda kusifiwa kama Mhaya. 2. Mungu hana huruma (hukumu kwa wasiokuwa na hatia, vita sehemu nyingi za dunia, watu kufa kwa njaa na umaskini). Kuna sababu nyingi ila leo tuishie hapo.
  6. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Hakuna Mbunge wa kuletea Jimbo maendeleo unlesss atumie pesa zake mwenyewe, Hizi Mindset ni za kijinga sana.

    Maendeleo ya nchi yataletwa na sera nzuri za kitaifa sio za Jimbo moja la uchaguzi au Mbubunge pale Jimboni kwake.Hizi hadaaa zina tucost sana. Hizi mindi set ndio hufanya wananchi mfano kule Vunjo walimchagua Kimei waki connect na CRDB Bank kwamba labda pesa za CRDB zitahamishiwa vunjo na raia...
  7. Mtu Alie Nyikani

    JamiiForums Tanzania Amani aliyoipigania Nyerere imevurugwa, ila Nina Imani hizi zama zitapita na Tanzania yetu Itarudi Salama na Kusimama tena

    Wakuu kwema? Leo hii, moyo wa taifa letu unapitia majaribu. Kumekuwa na ongezeko la matukio ya utekaji, mateso na mauaji ya raia hasa wale wanaotoa maoni tofauti au kusimamia haki. Hali hii inaleta hofu, giza, na ukimya wa kulazimishwa. Matukio haya yameipaka doa nchi yetu ambayo kwa muda...
  8. B-2 STEALTH BOMBER

    JamiiForums Tanzania Hizi ndizo nchi zenye ndege nyingi za kivita duniani

    Haya wale wazee wa IRAN ni super power mpo..? Njooni huku muone ukubwa wa super power. Ila kwa ujumla USA apewe heshima yake. Kuna vi nchi vina mtishia US anaamua tu kuviangalia alafu anavihurumia na kukataa kuvipea trending. Hako ka kiduku + kobazi wote + Russia + Afrika yote ndege za US...
  9. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Picha hizi zinakufundisha nini?

  10. drakeman

    JamiiForums Tanzania Tuokokeni ndugu zangu siku mbaya hizi

    Nacho wakumbusha ndugu zangu, dunia hii ya leo, tunaishi katika nyakati mbaya sana, tuokoke, tuacheni dhambi, tuombe sana, maisha tunayo yaishi yamezungukwa na kifo, magonjwa ni mengi, uovu ni mwingi, kule ni vita, huku ni ajari, pale ni utekaji, kule tena ni ushirikina na mengine mengi duniani...
  11. kalisheshe

    JamiiForums Tanzania Unajua ni Kwanini wapigania haki duniani kote huishia kupewa kesi za uchochezi? Hizi ndio sababu.

    Sababu kubwa zinazofanya watu wanaoielimisha jamii kuhusu unyonyaji fulani kupewa kesi za uchochezi ni: 1. Kutishia maslahi ya wenye mamlaka. – Mara nyingi wanaosema ukweli huibua maovu yanayohusu viongozi, taasisi au makundi yenye nguvu. – Hii huonekana kama tishio kwa mfumo uliopo. 2...
  12. Genius Man

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hizi baiskeli zimetoka wapi, na kwanini zigawiwe kwenye kuelekea uchuguzi tu?

    Hizi baiskeli zimetoka wapi, na kwanini zigawiwe kwenye kuelekea uchuguzi tu ? Vipi zilikuwa kwenye bajeti ya nchi ? Hizi siasa tunazotaka kuzifanya sio kabisa na zinatia aibu sana kwa majirani na dunia, sasa mtu kama huyu anayekupa sijui baiskeli sijui kanga hana akili timamu na hawezi kuwa...
  13. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Wakuu kati ya kampuni hizi za sola D.light, MySol, SunKing na nyingine unazozijua ipi imara na mzuri?

    Inshallah mwakani nitakuwa porini kwenye shughuli za ufugaji na kilimo. Naomba Kwa wanao jua nitahitaji mambo wa solar Kwa ajiri ya mwaga,kutotoreshea vifaranga na burudani kidogo si unajua porini Tena. Mimi binafisi nilinunua mtambo wa mySol Kwa mkopo kama m3 na ushee mtambo wa kati na ipo...
  14. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Hizi Lamborghini Urus zinauzwa kama bei gani hivi?

    Maana kuna mwamba anavimba nayo mitaani sijui itakua bei gani? Kwa maana ata kikokotoo cha TRA hawajaweka, ila simple Google inatuambia new one kuanzia Billion
  15. Dr. Zaganza

    JamiiForums Tanzania Hizi ni Tabia Za Wasiojali Ngozi Zao

  16. R

    JamiiForums Tanzania “10 Basic Rights of Accused Persons in Criminal Proceedings” Je Lissu anazipata haki hizi? katika kesi ya Uhaini?

    “10 Basic Rights of Accused Persons in Criminal Proceedings” Drafted by Dr. Markus Englerth 1. Presumption of Innocence Criminal proceedings which start from a presumption of guilt and put the onus to prove one’s innocence on the accused are inherently unfair. It is not by accident that...
  17. Wambandwa

    JamiiForums Tanzania Kwanini Watanzania na Tanzania ni masikini pamoja na rasilimali (resources) tulizonazo?

    KWA NINI WATANZANIA WENGI NI MASKINI? Sijawahi kumwona Mtanzania kwa wakati wowote ule ameondokana na umaskini, umaskini ambao sasa ni mkubwa mno na unakaribia kutudidimiza. Binafsi nauchukulia umaskini kama kukosekana kwa mahitaji ya lazima ya kila siku kwa mwanadamu: malazi mazuri, chakula...
  18. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Iran inajitahidi sana kwa kweli. Ona hizi picha

    Iran haijaanzisha hii vita. Iran inachofanya ni kujilinda. Huo ndo ukweli wa mambo, licha ya upande ambao mtu upo au upande unaoushabikia. Hivyo, kwenye huu mzozo, Iran hana kosa lolote. Na pamoja na kuzidiwa kwa karibu kila namna, Iran inajitahidi sana kwa kweli. Hakuna anayemsaidia Iran...
  19. stakehigh

    JamiiForums Tanzania Ni kwel wachungaji wetu hawa wanatajirika na sadaka hizi hizi ama kuna mengine hatuyajui?

    Nikitumia mfano wa DALLE, kiujumla lifestlye yake tunaongelea mabilioni ya pesa, ila sasa ni kwel ni izi jero jero za wananchi mpaka billion ama kuna mengine https://www.tiktok.com/@kings_hot_riders/video/7418271723461676294
  20. Joshua Mbezi

    JamiiForums Tanzania Siku hizi tumeamua kukinunua kifo kwa gharama zetu wenyewe

    Katika jamii zetu kumekuwa na visa vya mara kwa mara vya ajali za moto na watu kupoteza maisha hatuwezi kupingana na husemi husemao kuwa hakuna ajuaye siku ya kifo chake yawezekana ikawa ni baadae kidogo au ata kesho Lakini je hivi vifo vingine vinavyotokea katika jamii haviwezi kudhibitiwa...
Back
Top Bottom