ULIMWENGU WA SASA MATUMIZI MAKUBWA NI YA ARTIFICIAL INTELLIGENCE (ROBOT) NOW WHATSAPP KUNA ROBOT MAARUFU KAMA WHATSAPP BOT.
""baadhi ya features zilizopo kwenye whatsapp bot""
1. VIEW STATUS HERSELF THEN JUST NOW 🙄📱Ina uwezo wa kuview status hata ukiwa offline muda wowote.
2. TUMA NYIMBO KWA...
Hakuna watu wanaonaga wameyapatia Maisha, kama watumishi wa serikali wakiwa wamepanda kwenye hizi gari
V8
Land Cruser
Range Rover
G-wagon
Harier n.k...
Wengi Tunategemea sana kutangaza biashara zetu kupitia mtandao mnazima ili iweje ..nmepoteza hela.
Mmefunga Twitter (x) , sasa hivi mmehamia Facebook. Fungueni hii mitandao, wengine siasa hatuzitaki ni ujinga tu.
Wewe kama mfanya biashara mara kadhaa unaweza kuchelewa au kusahau ku file taxes zako kutokana na sababu kadha wa kadha.
Lakini vipi kama nikikwambia Kuna tarehe 3 tuu ambazo ukizishika hauta Chelewa tena ku file taxes?
Yes ni tarehe 7, 20 na 28
Ngoja nikuvunjie hapa chini ili ujue ni tarehe...
Hivi karibuni, Kampuni ya Mabasi ya Shabiby Line iliingiza nchini mabasi mapya yasiyopungua 50 kwa ajili ya matumizi ya barabara za nchi nzima.
Mabasi hayo ni aina ya Yutong D 14 yaliyotengenezwa nchini China yakiwa na Kilomita '0' (zero).
Sifa kubwa ya mabasi ya Yutong D14 inaanzia hapa...
Habari za alfajiri waungwana?
Kuna mwanamke huwa nammendea leo ana birthday, toka juzi ananiambia eti anataka zawadi ya birthday (ikumbukwe ana mpenzi wake).
Sasa mimi nataka nimtege kwa kumpa zawadi ya chupi nione kama atazipokea au atazirudisha.
Sasa ebu niambieni, zipi kati ya hizi ni nzuri?
Ukiongea na wazee wengi, especially wale ambao hawako vizuri kiuchumi, utakuta kuna baadhi ya vitu vinafanana kwenye past experiences zao.
Wengi walipata "bahati" sio ya kuwa matajiri, ila bahati ya kushika pesa nzuri kwenye ujana wao.
Ila baada ya muda, pesa zikawakimbia. This is not a...
Hello wana Jamii,
Niende kwenye Mada/ Kero.
Nauliza maswali Kwa hawa viongozi wetu wa Chama hivi Wana- CCM mnawachukuliaje ?
Kuna watu wanakula Upinzani wakiona hakuna Maisha wanakimbilia CCM na inaonekana wana bahati Sana kuliko Wana CCM wenyewe maana wakifika wanapewa vyeo na nafasi za...
Zote mbili Ni kushare sex fantasy! Thread 1:ya Kwanza iliandikwa 2014, Je, Fantasy yako katika mapenzi ni ipi?
Replies zake zipo clean kabsa fantasy nyingi Ni normal sex
Mf; sex na other race, kupata mwenza wa maisha etc
2; Thread ya pili ilikua 2022...
Habari wanajamii
Kuna utitiri wa maduka mengi sana hapa bongo, mbaya zaidi mengi ya haya maduka yanauza bidhaa nyingi ambazo hazina manufaa kwa taifa!
Kinachoniumiza ni kuona kutokuwepo wa Ubinadamu kila nikilinganisha thamani ya kinachouzwa na uzuri wa duka. Hii kwa wale wanauza Pombe kali...
Angalia kesi kama hii iliyosimamisha shughuli za CHADEMA. Uhuni wa kisiasa mtupu. Kesi za kubumba ili kudhoofisha wapinzani wenye nia njema na nchi yao.
Kesi ya Shujaa Lissu? Haitadhoofisha Watanzania wanaopenda mabadiliko
Mmesahau hata Kaburu Peter Botha alitumia mbinu kama hizi!
Naziona ziko nyingi ila kuna nyingine hata hazitumiki zilinunuliwa nyingi na bado ziko bandarini cha ajabu sometimes wanaazima bus za binafsi ila me nazipenda Sana hizi bus aisee 🤣🤣 wakuu hii mada ni nimeanzisha Tu baada ya kuziona zinasafiri empty nazipenda Sana hizi bus 🥰
Je serikali ilipigaje hizi hesabu , wanafunzi ambao wapo darasa la nne wataingia secondary mwaka 2028 na ambao wapo darasa la tano wataingia 2028.
Je ikiwa tutautekeleza huu mtaala Mpya , maana yake wanafunzi ambao wapo darasa la nne mwaka huu wataingia form one 2028 na ambao wapo darasa la...
Helll
Mwanaume mwenzangu ambaye bado ujajua perfume nzuri zitakazo kufanya uonekane mtanashat na kunukia vizuri wakati wote mimi natumia hizi mbili
Hii natumia kama sehemu ninako enda hakuna kusanyiko kubwa la watu wengi sana hii ndio natumia au safari za kawaida bei 50000
Hii ya pili...
Nionyeshe Jimbo hata moja lenye maendeleo maana yake kuwa na maendeleo lina sera mbalimbali bora kabisa hapo jimboni.
1. Huduma bora za afya
2. Sera nzuri ya ajira, hakuna tati la ajira.
3. Sera nzuri za kufanya biashara.
4. Elimu bora na yenye viwango.
5. Sera nzuri za hifadhi ya jamii.
6...
Wakuu nimejitahid sana kupiga mali hasa za chuo kutokana nipo kweny mradi kweny chuo kimoja dsm ila harufu nazokutana nazo ni hatari au ni kwamba ile K lazima iwe na harufu? Nipen experience yenu mlioa jmn yaan nikiichap harufu ni jau hadi nataman badilisha mashuka
Dalili za kuachwa au kwamba uhusiano unaelekea kuisha mara nyingi huanza kwa mabadiliko madogo ambayo huongezeka polepole. Hizi hapa ni dalili za kawaida zinazoashiria kuwa huenda mwenzi wako anapanga kukuacha au tayari amepunguza mapenzi katika uhusiano:
1. Mawasiliano Kupungua Sana
Hataki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.